ALLAH akuhifadhi ewe mtoto bachu , kila kitu umeweka ushahidi , MASHAALAH
@Muharram-c5n3 ай бұрын
Baaraka llahu fik,sheikh Muhammad Bachu Allah akuongoze,unaongea kwa evidence
@HemedRamadhanJuma3 ай бұрын
Asalam aleykum sheikh muhammad mimi nakuelewa sana au zaidi nakupenda sana kwa ajili ya Allah natamani nikuone mdogo wangu japo kukupa mkono tu kwa ajili ya Allah umenifumbua macho kwa kuiona haki Allah akuhifadhi inshallah.
@OmarAlly-iz8ot3 ай бұрын
Shekh Muhammad Maashaa Allaah, umesimama imara sana kuwaweka sawa ndugu zetu majadida, ila nina ushauri kwako; 1-Ndugu zetu masalafy hawana inswaaf sehemu kubwa ya kutaja kasoro za wenzao. 2-Hutumia lugha zisizofaa, na zisizo ridhisha kwa hao wanao wafanyia ruduud. Jitahidi usije kusifika kwa sifa hizi, kwani Watu tunakuelewa vyakutosha kabisa, kwaio Mashaayikh wa kisalafy wataje kwa lugha ambazo ziko tofauti navile wanavyo taja wao, kwani kufanya hivyo ni miongoni mwa inswaaf na wema uliokua mkubwa. Baaraka Allaahu fiik.
@NaduuAbdilah-uj5vj3 ай бұрын
Allahuma Aamiiiin
@ShamsudeenOmary3 ай бұрын
Wallah kuna watu mnakusudia na mnapenda kheri😢 umeongea vyema akhi Allah akulipe
@omarabdullah34123 ай бұрын
Allaah *Akuweke akulipe kwa kutuelimisha. Akulinde duniani na akhera. Aamiyn!
@ShaabaniRamadhani-i6i3 ай бұрын
Maashalaa barakanllahu fiiika baba utawauwa Hawa jamaa hongera Sana anllah akupe jannat frdaws
@ZuberiVesso3 ай бұрын
Ujinga ni adhabu
@jambojomba90422 ай бұрын
Allah azidi kukupa ilmu ya manufaa,msimamo ,hikma na ufasaha
@FadhilaBakari-q8t3 ай бұрын
Mashaallah allah akujifadhi kila siku zinavyokwenda tunaelewa haki iko wapo
@yusufathman24783 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakaatu sheikh..nakupenda kwa ajili ya Allah. Ni mwanafunzi wako uyu. Yusuf Athman Sampuli
@malelembaabdulrahim91073 ай бұрын
Inaonekana wazi ya kuwa SOLOKA hakufanya utafiti wa kutosha Jazzakallah kheir Allah akuhifadhi sh Mohammed, endelea kuufahamisha umma.
@NaduuAbdilah-uj5vj3 ай бұрын
Soloka kakurupuka yeye kadhanii mashekh zake walivyo nyamaza ni wajinga wenzake wame soma alama za nyakatii waka piga kimyaa
@Cherehanitanzania3 ай бұрын
Soloka Kawakosea Sana Majadida Sabab Yeye Kakirupuka Na Sasa kakamatika Mno Hapo Hawezi Ongea Akaeleweka Sabab Ameshakosea Arudi Akashauriane Na Masheikh Zake kwa Aibu Hii😂
@ZuberiVesso3 ай бұрын
Tusomeni jamani kwani ujinga ni adhabu
@khalifa_kuchi3 ай бұрын
Wallah wengepatikana w2 km 10 ambao wapo km ww sheikh muhammad bachu bx naamin dini yengekaa sw na msimamo mmoja tu. Allah akuhifadhi na akulipe ujira ulokua bora InshaAllah
maashaallah Allah akuhifadhi maana hawa majadida wanalia sasa
@ImanSaid-ox3po3 ай бұрын
Subhanallah hawa majadida wanahitajika kuogopwa kama maradhi ya kuambukiza
@AjmalTV-ng4yi3 ай бұрын
Mashaallah sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi
@TandalesseАй бұрын
Amin.
@universitylink3 ай бұрын
Na sehemu anayo darsa sheikh Mohamed Imam ni area ya mahuthi na Marka yake ni ya pili kwa ukubwa katika halaqat za Yemen wanafunzi kuanzia mia saba kwenda juu na wakati wa summer wanakuja watu kutoka nchi mbali mbali wanakuwa wengi zaidi sasa haipendezi waingizwe kwenye vita
@QuthamAbdalla3 ай бұрын
والله أنا في الله ربي أحبك حبا خالصا لله يا شيخنا ومعلمنا
@twaibumikidadi73773 ай бұрын
Hawa watu n MAKADA WA ..... BE carefully guys Jazakum Allah khayran yaa shekh Tumeshawajua !
@sakinasakku83403 ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh
@adnanomary19553 ай бұрын
Maalim wetu bachu uwe makini sana kwa hizi nondo jamaa wanaweza kukudhuru
@nahlaaasidee18483 ай бұрын
We mpumbavu
@subhanallah8682 ай бұрын
Allah atamlinda Inshallah😢
@TandalesseАй бұрын
Ni kweli maana Majadiyda hawaaminiki na wanawezamfanyia hila akapotea kwani wanatetemeka.
@mohamedimiraji54953 ай бұрын
Dini kwa sasa inaendeshwa kishabiki. Haswa hili ombwe la vijana wasio na busara kuendeshwa na mihemko ya kusoma dini kiitikadi badala ya kuisoma kama mfumo wa maisha. Innalillahi wainnailayhi raajiuun
@SalumuMatimbwaАй бұрын
Mche allah kwanza hiyo jambo limetokea mwaka gani wote tunajua sisi wengi wetu hatujakulia kweny sunnah kwaiyo zaman tulikua tuna yetu na hatuhukumiw kwa hayo bali mamb huja baada ya hoja pili yeye huyo hajahusisha hiyo gadi yake ya chama na dini kama ikiwa yake kwel Lakin nyiny taasis zenu zipo kidin munazinasibisha na dini na hilo ni moja tuuh yapo meng kweny hiyo taasis nasis tumekinai inshallah isipo kuwa yule nafuata hawaa zake ALLAh NDIO MJUZI ZAIDI
@tayt40863 ай бұрын
Bachu km bachu mashalha we basi
@youngtomuller-vh2pu3 ай бұрын
Together ostaz for everything insha-Allah
@rajabTaratibu3 ай бұрын
Bachu Jamani hawezekan kwa majadida Allah amleta mkombozi
@laisamaujud11573 ай бұрын
Hanalolote uyo uyo hamu yake anataka ajibiwe na shk kasim
@sumaisabu98163 ай бұрын
@@laisamaujud1157 icho Cha kumjibu anacho sas 😀
@HassanHamad-rf9tq3 ай бұрын
@@laisamaujud1157 wewee unachojua nini njoo utufundishe hapo tukuone acha mipasho kakaa leteni hoja nyinnyi mukiishiwa hoja mwaleta tantarira nyingi
@mahfoudhcalender27473 ай бұрын
hawezi kujib uyo mafuta, na wala usimtetee@@laisamaujud1157
@abiabi93533 ай бұрын
@@laisamaujud1157kama hana lolote jibuni hoja zake
@ismailmakame71833 ай бұрын
Shida kubwa nihasad ndio inayotusumbua Allah atuongoze
@AliKhamis-xb7et3 ай бұрын
ماشاءاللہ الله حافظ
@abdulmalicktvabdulmalicktv37503 ай бұрын
Hahaahahhahahahahaha kwa hapa shekh Muhammad nakuunga mkono umeacha nkacheka pekee yangu ofisn dah
@maalimhamad12973 ай бұрын
Yani nyinyi mnashangaza mnataka mistiriwe kwa uchafuwenu lakini nyinyi hamuwezi kumsitiri mwenzenu nyinyi si ndio mnamkashifu barahini hadharani muoopeni mungu nyinyipoa mtakwenfa kuilozwa😊
@MuhammadMkoka3 ай бұрын
Safi ya akhy bachu
@leylamajid34393 ай бұрын
بارك الله فيك
@Kassimjey733 ай бұрын
Allah akulipe khery
@mwanaishajuma41663 ай бұрын
Amiin
@Daawa-l8s3 ай бұрын
جزاك اللهُ
@NuryaMusa3 ай бұрын
Kwakweli. Bachu ALLAH subhanah wataalah Amuhifadh kwa kuwaaibisha. . maswaafiqah mahadadiyah..
@NuryaMusa3 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x sawa niite. Jadida tu maan. Nawakubali. Nakataa hii tabia. Walomfanyia ubaya mpaka akiwa. Maiti. . Abuu muawiya. Allah mtukufu Amrehem. .hawakua. Wanampenda. Mbona Anuary khatibu .Answar Sunnah .yule. Allah mtukufu Amrehem pia mbona yy. Hawajamfanyia uadui ??
@NuryaMusa3 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ndiyo Akhy maan. Aloandika. Makala. Abdul Kareem urassa amekimbia. Msala. Amemuachia. Abul Abbas hasani waziri. Anashambuliwa. Huku na kule kwa akina Abuu zaghar kwakweli. Wameaibisha. Uhl Sunnah waljamaah kwa. Magonvi. Yao. Na kushindwa. .kuendeana. Nakunasihiana. Mdogo. Mdogo mpaka. Yule. Alopinda. Snyooke. Wao wanakimbilia. Mtandaoni. Kusemana. Na kutiana kwenye bida.ah
@hafidhwajina67183 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xok ulikua unasema amesingiziwa kuwa ni mwanachama, Bachu kathibitisha, Thibitisheni ninyi wizi wa barahiyani
Wewe unayesema anaperua anayofundisha ummah ni ya uwongo Allah atamwihifadhi shk bachu ili aendelee kutupa faida
@SuolFat3 ай бұрын
Tulieni mubainishiwe uongo wenu
@haroubsalim7793 ай бұрын
Kasim Mafuta na Mohd Mafuta chawa hao wananainika
@seifsaid99053 ай бұрын
BAADA YA SIMBA LA MWANZA ABUU ISMAIL .NAANZA KUKUBAL DAWA YAKO ALLAH YAAN WEW NDIO UNAZIBIT HAO MAJADIDA
@seifsaid99053 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Kwa kia's kip Lin na wap chin ya dolla lisilo kuwa la kiismu papatikane mtu ka hyo? Kam wapo bc nn HUKUMU ya muislmu ane ishi miji y makafir wanahukumiana Kwa Sheria isyokuwa ya Allah
@chibuharuna3 ай бұрын
alhamdulillah tunamshukulu allah amemtoa tena kwamara nyingine tena japo kuwa walimfanyia fitna hao massalafy feki wa ccm maana alikuwa anawashinda kwahoja ikabidi watumie dola iwasaidie maana wao hawamuwezi na walitamani asiludi tena bali auwawe huko huko lakini allah amemtoa tena tena na daawa ile ile tena ndio imezidi mara dufu allah amemrejesha tena SIMBA LA MASIMBA SHEIKH AALIM ABUU ISMAIIL ASSALAFY AL MUJAHIDUN allah amuhifadhi tunamuombea duwa inshaallah
@ABUUJAAFAR923 ай бұрын
@@chibuharunaAllah akuongoze na akupe ufahamu uufahamu ukhawariji na umfahamu abuu Ismail kuwa si mtu wa sunnah bali ni khaarij ,,
@TandalesseАй бұрын
@@ABUUJAAFAR92 "kuhizbisha na kukharijisha" ni misingi miwili pacha ya kumtambulisha "Salafi uchwara/jadiyda".
@الشيخحسين-ف3ش3 ай бұрын
HUYU NDIYO SIMBA KWA SASA NA HILI HALIPINGIKI
@AllyKame-rx2zd3 ай бұрын
Shekh Kasim punguza mpango kwa Doktoor Islam, ukimya wake..
@mobilespecialschool42163 ай бұрын
Mwambie alogwe ajichanganye huku maccm hao
@abuuzahra-fc2jg3 ай бұрын
اللهم أرح الامة من هولاء المفسدين الضالين اذا دخلوا قرية أفسدوها
@DR.SAIFILLAH.53633 ай бұрын
USALAFI NI ULAFI. Nitabaki kufata elimu ya wanazuoni wa kale ambao wao walichukua elimu kutoka kwa wanazuoni wa kale. Usalafi sijui ujadida haya yote ni makundi yaliyozuka juzi tu na sio uislamu bali ni mfano wa vyama vya siasa tu. Leo kwenye vikundi vya usalafi unaweza kutolewa usiwe miongoni mwao km vile vyama vya siasa tu. Tuamke waislamu.
@abdurashidinasorodini3 ай бұрын
kweli yaani kati ya nyundo uliowahi kugongo hii babukubwa lao mwakahuu mpaka waseme nawataseme
@AliJuma-k2t3 ай бұрын
Shekh bachu leokwahili umenifurahisha naukosawa mm penyehaki naukweli nitakuungamkono lakini kwenyemaulidi barazanje sikuungimkono mpakakiama
@jumamahmoud92713 ай бұрын
Unasema kwenye haki na ukweli unaunga mkono lkn kwenye maulidi huungi mkono unaonyesha wewe bado hujajua kupambanua haki na batwil
@AliJuma-k2t3 ай бұрын
Kwenye maulidi hajuwi nawalahanahoja
@jumamahmoud92713 ай бұрын
@@AliJuma-k2t unajua kama haki na batwil hafikai sehemu moja kwaio amua kumueka upande moja sheikh muhamed bachu either yupo ktk haki au batwil
@amouromar69433 ай бұрын
Mwaka mzitoo huu kwa watu wa sunna. Hakuna uwezekano wa kukaaa vikao vya siri vya kielimi mukaweka sawa hayo MASHEKHE ZETU.
@IbnuAlly-wm8il3 ай бұрын
Ikiwa siri ww ungeelewa? na km hawakuafikiana je?
@issaabdallah12053 ай бұрын
Kweli ndugu hamisi hawa ksim mafutana bachuwote ni watuwa sunna tupaaswa kuwasikiliza nakuchukuwa faida kwa yale mazuri na kama mtu kateleza tumuache
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
Swadaqta
@TandalesseАй бұрын
Hayo wayasema wewe ila Sheikh Qasimu "Jadiyda" Mafuta hawezi kukushauri ukasome kwa wale ambao "majadiyda" wanawaita kwa jina la "Mahizb".
@ahmedseif-cu4ex3 ай бұрын
Assalam alaykum sheikh Muhammad twaomba skumoja utupe history kidogo kuhusu kadhia ya dammajj mpk kuripuliwa kwake
@mfalmenajjash21283 ай бұрын
Ngoja na mm nifunguwe taasisi yangu ya sunnah najina lataasisi yangu itaitwa Muhammad Nasour Bachu foundation , ah majajida nimewachoka kabsaaa 😂😂😂
@sakinasakku83403 ай бұрын
Hahahahaaaa hahaaaaa ushasemaaa hahahaaa
@mfalmenajjash21283 ай бұрын
@@sakinasakku8340 ee ndiyo kutoka taasisi kuwa haramu mpaka dharura hadi taasisi za sunna wallah simchezo niboratu namm nifunguwe yakwangu nipeleke mahujjaji uko makka
@mfalmenajjash21283 ай бұрын
yaani hawajamaa nihatar zaidi ya ukoma
@sakinasakku83403 ай бұрын
Niushindani tu lakini habari wanazo
@saidimpako51863 ай бұрын
ALAFU HAWA MASALAFI WENGI WAO NI MASHUSHUSHU WA SEREKALI
Mm nalijuwa hilo tangu 2014 alipokuja unguja na akasababisha mabombo ktk msikiti wa darajani
@QudraIbnUmar3 ай бұрын
Hebu tueleze ulijiua vip na kasababisha vip mabomu??
@HassanHamad-rf9tq3 ай бұрын
Jamani eee nipo pongwe Maranzara napata wapi kadi ya CCM naombeni namba ya muhamed mafuta anisaidie 😅😅😅
@mobilespecialschool42163 ай бұрын
😂😂😂 nipe namba yako nikuinganishe na Muhammad mafuta
@TandalesseАй бұрын
😂😂😂😂
@abuushakiraddausiy86663 ай бұрын
Jamman kaasimu mafuta na kundi lake muacheni muhammad bachu hamumiwezi nyie wakina mafutanakundi lake mnakuruupuka sana ....
@faridfrefre352 ай бұрын
Mbona hiyo kadi inaonekana ya zamani? Au macho yangu
@why-ir8zl2 ай бұрын
Wewe mwenyewe kazi yk kutoa watu kwenye dini kama vile ni dini ya famila yenu!
@TandalesseАй бұрын
Nani huyo?
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
Cha ajabu kuna salafy wanaambiwa wasisikilize watu wa bidaa ila unaweza ukaona wakifika kwa Bachu wanasikiliza akiwa anasoma qur an.Hatar sana mtu anaambiwa usimsikilze Qassim Mafuta na watu wanamskiliza darsa zake.Msimamo wangu kwangu hawa wote siachi na sitoacha kuwasikiliza naitakidi ni watu wa sunna katika sehemu zenye faida Allah atanisamehe nilipoteleza.
@MuhammadJaffary-uu6zl3 ай бұрын
Maa shaa Allah tabarakallah hauko peke yako Akhil karim
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xna huyo alosema haifai kusikiliza hata qur an ya mtu wa bidaa vipi nae maana Bachu nae si wamemtia humohumo? Masalafy wapo wanaosiliza Kisomo cha Bachu alhamdulillah,na hata wanaosemwa mahizbi hawawapend masalafy kisomo cha sheikh Abdallah Humeid Allah amhifadhi wanasikiliza basi2 ubishi na mijazba
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Na hicho Kisomo cha kawaida kawaacha mbali masheikh wengi wakisalfy hata kama hamumpend ukweli ndo huo na hata kama ikitokea siku1 akawa pa1 na nyie basi rundo la wanafunzi watatamani kufubdishwa na huyu jamaa kujua jambo na kupresent ni jambo lingine.
@isihakamgeta54333 ай бұрын
HAO MAHAAJAWIRAH MBONA WANA KHERI KULIKO KIKUNDI CHA KINA MAFUTA.
@kasimubangu18753 ай бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xyaan wejamaa ndo miongon mwa watu wenyekujitakasa nafsi zao
@AdamAli-mh4bk3 ай бұрын
Tunawajuwa zamani hao ni waovu tusipoteze muda
@pavillioncry52413 ай бұрын
Majadida yashaaabika hoi kwisha hawana la kuwaambia watu tena wakawaamini
@JapharyMawanza-q3q3 ай бұрын
Kwanzia dakk ya ngapi anazumgumzia U ccm wa Sheikh Muhammad Mafuta?
@MALELEMBARIMO3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. BACHU BASI TENAAA
@ukweli193 ай бұрын
Raddi ya Leo ni atomic bomb...
@abdurashidinasorodini3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kwa nn akhe
@MattarOnlineTV3 ай бұрын
😂😂😂😂
@KhalfanMassoud3 ай бұрын
Assalaamu aleikum, enyi waja wa Allah.
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
Wa’alaykum salaam warahmatullah ndugu yetu
@KhalidAbdalla-lb4ph2 ай бұрын
Hali Muhamnada imam inajuulikana usiwababaishe watu
@KhalidAbdalla-lb4ph2 ай бұрын
Ukapoteza umma
@AbdumkadamSaidi3 ай бұрын
Tunatamani siku Moja utuelezee historia yako ya kusoma
@Najma_Mbaruk3 ай бұрын
Ili iweje, kama unataka mazingatio basi soma historia za maulamaa huko... na kama unataka kejili basi umefua dafu😂😂😂😂 chuma kinatandika kisawa sawa😂😂😂 apo ndo munasema hajasoma😂😂😂😂 sijui akisoma itakuwaje
@MusaNjalo3 ай бұрын
Porojo tu@@Najma_Mbaruk
@TandalesseАй бұрын
@@Najma_Mbaruk aisee akisoma huyu atalifuta hili kundi jipya linalojinasibisha na Usalafy.
@TandalesseАй бұрын
Kujua historia ya wapi kasoma si muhimu saaana ikiwa anachokisomesha ni cha sawa.
@hidayaramadhani18333 ай бұрын
Bachu nimbumbumbu asiejijua
@TandalesseАй бұрын
Majadiyda acheni ta'asubi(kung'ang'ania) na mshike haqq.
@JafariNyallu3 ай бұрын
mashekhe wengi watamfata dajjal, huu ni utabili wa mtume s.a.w.
@MahirJamilMahir-td7sr3 ай бұрын
Sheikh kaa na wanaokuzidi umbri na ilmu na wala sio kuongea mitandaoni utafika sehemu utashanga
@TandalesseАй бұрын
Hao wenye elimu wasiokuwa mtandaoni wanapatikana wapi?.
@Kzm-c9u3 ай бұрын
Muhammad bachu anapokusikiliza mtu mwenye Hibra anabainikiwa wewe ni Juweyhil. الحمد لله الذي عافانا بما ابتلاك به وفضّلنا علی كثير ممن خلق تفضيلا
Hawa hawana tafauti na wale wasemao DAWA ZA KISUNNA . baada ya kusema Dawa za miishamba ...
@JumaOmar-ku6cr3 ай бұрын
Wanawadanganya vijana ambao hawajui hostoria ya vit vya sunna tanzania
@YussufHamad-i5k3 ай бұрын
Mashallah
@HimidAli-s5v3 ай бұрын
Muhammad kinachomsumbua ni umaarufu t ili au pate soma kwanza ili uipate elim na huwez kupata elim ukiwa na kibri
@Athumaniomari-ge2gs3 ай бұрын
Maaashaallah
@massoudhaji89633 ай бұрын
Hiyo apo ndio picha halisi shekh kasim mafuta
@jamalsaid74752 ай бұрын
Majadida na CCM ndio Hawa na watu wa Siasa Ma Hizbiy ndio nyinyi. Wacheni Fitinah na Chuki zenu.
@halidijuma18843 ай бұрын
JADIDAH vs HIZBY ,, hapo ndipo mayahudi walipotufikisha,,, kumbe hata usalafi munapeana tu kama pilau sio ??
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Sikuza mwisho makundi yatakuamengi. Kwahiyo kilamtoatabebamxigowake. Kikubwa tuache ushabiki ndiyo salamayetu tusigeuze dinikama mpila misifa. Nakuitana majina mabaya nakutoleana sili. Jueni kwamba nyie mashehe mnadhima ..kubwa mtalipwa nyuekwahiyo chungeni sifambaya
@issaabdallah12053 ай бұрын
ATI DUNIA ILIVOKUWA TAMU jani munamuelewa huyu eti dunia tamu
@nasirdinmohammed87413 ай бұрын
يا أيها الذين آمنوا إن جاءكم فاسق بنبأ فتبينوا أن تصيبوا قوما بجهالة فتصبحوا على ما فعلتم نادمين Watu wangetaamal na hii aya na wakasoma vizur sababu ya kuteremshwa kwake na madhara yaliyopatikana kwsababu ya watu ambao nia zao ni kuwachafuwa watu bila kujali habar imesihi au haijasihi kafanya au kajafanya mpka kwsababu ya watu mfano wa hawa ( Muhammad bachu) baadhi ya maswahaba walitumbukia kwenye fitna ikapelekea kuchapwa viboko thamanini kwsababu ya dhana yao kwa bibi aisha tufatilieni tujikinaishe na si kila jambo unalosikia unatengeneze chuki kwsababu ya mtu ambae unamuona amekuja kwenye mtandao kwa njia ya nasaha kwsababu hata iblis aliwaapia adam na hawa kwmba yeye ni mwenye kuwanasihi وَقَاسَمَهُمَا إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ النَّاصِحِينَ Allah allah fatilieni mambo yasije wakuta mfano ya waliyowakita Hassan bin thabit Allah amrehem kwsababu ya habar ambazo hamjazifanyia tathabut mkajikuta mnaingia kwenye mzigo ambao hamtaubeba mbele za Allah wala barahiyan hakuraddiwa kwsabab ya taasis Tu yapo mambo ya msingi ambayo kwsababu yake akapelekewa kutahadharishwa na sheikh ameyaaeleza bayaan alipokuwa akikiradd kitabu cha ni UPI usalafia jadida akatowa kikao kizima cha kueleza ni UPI usalafia jadida
@kasimubangu18753 ай бұрын
Sheikh barahiyan kosalake nini au ni chuki binafsi naco dini?
@SharifRashid-g1j3 ай бұрын
Hujuwi Jambo
@AliKhatib-vy1oj3 ай бұрын
Nasaha yangu yaleo musifanye khiyana shekh kassim mafuta hataki kuonekan picha yake kwann muiyeke
@salehrashid-fx9rq3 ай бұрын
Natarajia kasim mafuta atatoka hadharani kumradi ndugu yake na kumwita hisbiya
@FadhilaBakari-q8t3 ай бұрын
Mashaallah
@ameirameir43493 ай бұрын
Aibu Kwa majadida
@jamalsaid74752 ай бұрын
Swadaqta Majadida hawana Hoja wala Ushahidi Ni makelele pekee. Hatari. CCM ndio chama chao Subhana'Allaah
@Yayouselim3 ай бұрын
Nan muandishi wa hiyo mustasfaa mbona hubainishi kuwa ni alghazali ambae mnamwita mtu wa bidaa😅😂😂
@AllyKame-rx2zd3 ай бұрын
Naam
@muhadithdaudy3 ай бұрын
Duh 🙄 reference inaonesha 2018 tupe current 2024 huenda ukawa ametubia dhambi zake za siasa
@ramaqaasim2393 ай бұрын
Imewekwa sababu amedai amezuliwa hiyo imewekwa kuthibitisha jambo Hilo kama katubie akubali nlikua mbona anapingaa... ushahidi ushatolewa jambo jepesi mno ale kiapo kama amezuliwa na aseme sio vyake vitu hivyo Kisha tutaschia amri Kwa mikono ya Allah alafu elewa kuwa haya yalipatikana Kwa mtoto wa Muhammad mafuta ndio alikuwa kabeba vitu hivyo
@nusalim33893 ай бұрын
Hapana,daawa ya kupinga uchama rasmi walianza kabla hata ya 2007,kadi ya 2016,lkn Hadi 2018 ukiiangalia IPO hai inalipiwa,kafanya kosa baada ya kujua? Na katikati ya kujua,wkt mambo ya juzi TU hayo,kwahio katubia kisiri? Na wao kutwa washurutisha watu wabaini minbar makosa Yao?
@JafariNyallu3 ай бұрын
nimeamini Pepo ni ya watu wachache wenye iklhaas sio maneno
@وزيرهالوزير-ذ8س3 ай бұрын
Shekh tumekuewa na umeeleweka hata kwamajadida halafu tunaombi kuhusu yule mshirikina wakichawi yusufu diwani anavo Tukana watu wasunat alijamaa kua niwarokole au wakatolika namengin matusimeng tunakuomba umutuekeesawa
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
Yaani yule bahat yake amezima comment mbwa yule.
@IbraFareed3 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha. hajo maneno uloyacomment utakuja kuulizwa ndugu yangu
@MshihirDguyya3 ай бұрын
Yule hamuwezi yule Sufi ni anajua
@Hamis-ks1sy3 ай бұрын
@@MshihirDguyya mjinga2 kama wajinga wengine wanaojua wapo wengi2 sio Yusuph Diwani alitaga kwa Bachu akaambiwa alete kjtabu kutoa ushahidi kaingia mitini mpka saiv anazima comment
@HassanHamad-rf9tq3 ай бұрын
Hana lolote ajualo anajifanya anajuwa lugha 😂😂 hio lugha yenyewe hata uwe vip makosa lazima yapatikane Maana si lugha yetuuuu@@MshihirDguyya
@omarylucas973 ай бұрын
yawezekana ilikuwa zamani
@Muharram-c5n3 ай бұрын
Asitushughulishe
@nadraiddi80643 ай бұрын
Usalafi majanga
@HabibuMakoja-y3f3 ай бұрын
Mbona Abuu rajab amesharaddiwa sheikh
@hafidhwajina67183 ай бұрын
Na nani? Kuna waliompa udhuru,hii ndio mada walio radd ni watu ambao walishahitilafiana baada ya kupita sulhu wakawa pamoja,so aliyeradd alirad kwa kuzingatia htlafu za zamani, Hawakuradd watu wa upande wake mulimpa udhuru,ndo mada iko hapo ,huelewi?
@WakaliFashionTz3 ай бұрын
Sawa na vp kuhus Muhammad mafuta ?? 😂😂😂😂 Au kwasbb kaka ni salafi tumpe udhur?? Daaa kweli dini haitaki kujikweza Kwa wengine na kuwazarau kumbe we wawez kuwa mbaya zaidi kuliko wao"
Kweli ninyi majadida kwa kupinga haki ndio zenu eti simpi masikio yangu kumsikiliza we vp lazma ww usikilize na unasema husikiliz mbona umecoment ndo Kaz yenu hata ukweli mkiubain
@RajabuBabu-c9y3 ай бұрын
Mbona abuurajabu asha wekwasawa dikunyingi na mimbari ashaambiwa asipande tena
@IbnuAlly-wm8il3 ай бұрын
Mbon hakutukanwa hadharani km wengine wasiokuwa kwenye group salaf
@nusalim33893 ай бұрын
Kwahio hapo hio picha ya mohd mafuta kwenye kadi ya kijani ni picha ya dharura kisheria😊 kama ya fedha na paspoti? Chama ndio kimefanywa saddu dharii'a ,ila wenzao answar wakitumia chama kama chambo wanakuwa mahizbi