Mungu akulinde Sana ❤❤ nakufatiliya toka Congo ninzuri❤❤
@MeckyZephaniah-r2o5 ай бұрын
Jamani tuwe tunaagalia na watu wa kuwa nao kwenye mahusiano kwa mfano huyo kaka aliemtumbukiza mpenzi wake kwenye maji, huyo ni tahira Kabisa tena chizi
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw2 ай бұрын
kazi iendeleeeee,,mpaka woooooote,, tunyookee bhana
@henrickiula52867 ай бұрын
Umzgua sana ndgu iv ugekua ww ugfanya nin. Au ndio kusema ww ndio smart boy. Tena ningkua mm ata vtsa ugechezea tu
@kandacrazyTZ2557 ай бұрын
Wewe una akili mbovu
@Daniella2497 ай бұрын
Mungu naomba na mm unijalie huo moyo wakumnunulia huyo mtto wa mama mkwe Iphone 15 au nitoe2 pesa yangu n mpe yan kwa matumizi ya nyumbn Amen 😂😂😂😂 Maana kila nikijaribu natetema mikono yangu
Hii sio kazi mwisho watu watakuuwa tafta kazi kaka
@ShaelKimaro4 ай бұрын
Kazi nzuri tu kikubwa atumie utulivu wakati wa mahojiano atulize akili tu kaziiii nzuriiii mno wanafki wajulikane
@yustakipenyakipenya91173 ай бұрын
Hii kazi nzuri sana sema watu sio waelewa
@angelinagabriel19445 ай бұрын
Duuh hiv wanawake we zangu mnapataga wapi nguvu za kuninulia hawa wanaume vp jaman khaaa ebu tubadilike nazani kama iyo pessa angemtumia mama yake angeshukuru sana aisee kama hakuwa na mama basi amsaidie mtu wakumsaidie duuuh aisee inasikitisha sana wadada wenzetu hawa wanaume sio wenzetu badilikeni bhna wadada
@julianapeason62547 ай бұрын
endelea na kazi ,wanaume wamezidi kudanganya .Kwani si alijua kuwa ana mwanamke mwingine? angekataa kutoa simu
@AgapeKivuyo-d7g7 ай бұрын
haha hzo nguvu za ku mnunulia mwanaume simu inatoka wap
@julianapeason62547 ай бұрын
@@AgapeKivuyo-d7g yaani huyu kaka mwenye marasta angegoma kutoa simu kwa mr uky, huyu dada badala anunue mafuta apake usoni mashavu yasiungue na jua yeye anamnunulia mhuni simu
@najmasalim-rg6ow7 ай бұрын
@@AgapeKivuyo-d7gyaan mi hiyo leso ya buku tu siezi
@Humanity212167 ай бұрын
😂😂😂 unaifata simu ulipoitupa
@FALIDHANAHassan2 ай бұрын
Daah wanaume mmh
@Swamyhassan_sy4 ай бұрын
Pole sana jamnii lakin usikate tamaa
@AngelChino-v8f3 ай бұрын
Mm nataka nimchalenji mpenzi wangu
@SalmaJuma-q7g7 ай бұрын
Pole jmn Mr Uky ila usiache kazi bhn
@YeddaMturi5 ай бұрын
I appreciate bro Make sure kuwepo na trust🎉🎉🎉🎉🎉
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw2 ай бұрын
tunajinza sana kupitia izo challenge
@ZainaSurАй бұрын
Yani nahio nikazi kama kaziingine bana tena nayipenda sana mana wanaume hawana ukl kaziyao ni guchiti tuu😅
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw2 ай бұрын
challenge ziendelee mpaka wote tunyookee
@jesckamolel56935 ай бұрын
Kuna siku utakula chuma cha kichwa wew kua makin na hiz inteviw zitakuja kukuumiza
@LindaLinda-r8k3 ай бұрын
Jaman kua makin sasa maana mmmh lakn dada pole
@EzekielAgnes5 ай бұрын
Aise mmeleta hii video tena😂😂😂😂😂ntapasuka mbavu jamani mimi hahahaaaa 😅😅😅😅
@glorytarimo83215 ай бұрын
Jaman ivi hiyo nguvu ya kumnunulia cm mwanaume mnaipatwa wapi jaman hamuogopi wewe??😂😂😂😂 🙌🙌🙌
@ShaelKimaro4 ай бұрын
Yaaani mpk mapafu yanakufa jmn mm siwezi mpa mwanaume kitu yani labda babangu hawa manina hawaaaaa kwanza ela za mwanaume ndio za kula
@glorytarimo83214 ай бұрын
@@ShaelKimaro 🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝
@henrickiula52867 ай бұрын
Umezgua ww acha kjielza sana
@AgnesMakono-yg3lv5 ай бұрын
Pole sana
@aziza90935 ай бұрын
Hakuna kazi isiyo nachangamoto
@jasminsadick55575 ай бұрын
Mbn cpati part 2 jmn za hiz video
@Nyangindu4 ай бұрын
Endelen nakaz nzur kunalakujifunza apo ila tafuten bod gad
@godfreyhaule83315 ай бұрын
Kweli mwamba yupo makini nakubali
@JosephineJacob-zo8sq5 ай бұрын
Tatizo magonjwa mjombaa
@LindaLinda-r8k3 ай бұрын
Kufatilia mtu moyo wenyewe ndo huu😂😂😂
@QueenAssenga3 ай бұрын
Wakwako yupo wapiii😂😂
@LucyPatrick-t1l4 ай бұрын
Iyo zawadi jmn daaaaaaah ad uruma jmn
@Samedo-e2t7 ай бұрын
Duh hatari 😢
@jamilaathumani54814 ай бұрын
Wewe imezidi Sana mana unawafanya wenzio kama wajinga wakati wabongo wengi sio waaminifu iyo ndo shida
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw2 ай бұрын
kwahiyo unatakaje waendelee kuwa siowaminifuu???
@MonicaCyprian7 ай бұрын
I mhhh 😂pole
@AyishaOman-cw4xs4 ай бұрын
❤❤❤
@EligiaMligo5 ай бұрын
Mbona uongo sasa baharini au sweeming pool
@batistkatumbi7827 ай бұрын
Et baharin hp nibaharin
@najmasalim-rg6ow7 ай бұрын
Usiesuka ukamnunulie mwanaume sim😏
@HappynessStephano7 ай бұрын
Nashangaaaa yani Mungu aniepushe na hilo janga la kumlea mwanaumr kwa pesa zangu
@HappynessStephano7 ай бұрын
Yani nitamlea kwa pesa zake
@nancyg86647 ай бұрын
@@HappynessStephano😂😂😂umeona ee
@henrickiula52867 ай бұрын
Kweli ww mtoto wakiume ila co mwanaume ndio mahna unafanya ayo mambo co