Mr Uky KAZUA BARA "MAPENZI"🙌

  Рет қаралды 55,034

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Zawadi Ya B day Ime Geuka Maji....

Пікірлер: 193
@PonsianaMkalimoto
@PonsianaMkalimoto 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 team kucheka after Mr uky kurushwa kwa maji
@Reyjackson-f5c
@Reyjackson-f5c Ай бұрын
Hahaaa
@BenedictoMakulile
@BenedictoMakulile 2 ай бұрын
Mr uky hongera xan kwa kaz nzur But girls jifunzen watu wakuanao kweny mahusiano tatzo mnapenda xan mabishoo
@user-qo6ft7kg6h
@user-qo6ft7kg6h 2 ай бұрын
Ni kweli broo
@leilatabdala1325
@leilatabdala1325 6 ай бұрын
Uyu mwanaume play boy anaonekana TU unamtia kweny maji mwanamke kwa sababu ya simu wakat shida ni yakwako wanaume wakibongo wanazingua sana mwanaume mzur kuliko mwanamke wanini sasa muuza sura uyo
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 6 ай бұрын
Huruhusiwi kutupa simu ya mwenzio katika maji Coz hizo simu zina vitu vingine vya msingi mno.
@SabraThemua
@SabraThemua 6 ай бұрын
🤣🤣🤣mm co kwny maji ningevunja vunja 😂😂 vyte na mpya acngeipata. Na huyu mwanaume sio mpenz. Hana akil ya uanaume. Mwanamke hutakiwi kumfanya hvo. Yani hapo dada jua hauna mpenz bali una mattzo hakupendi
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 6 ай бұрын
Kabisa tena anaweza kuliwa na wahuni 😂😂😂
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 4 ай бұрын
Yani ilo ndio jembe Sasa kutupa simu kwenye maji ingesaidia Nini nawewe brow angaliaga nawatu wakuwaletea michongo Kama iyo ona Sasa umezalilishwa umetupwa kwenye maji kibwege 📵😁
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 3 ай бұрын
Ajamani siwezi det na Vijana wa Aina hiyo
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 6 ай бұрын
Nimecheka kma mazuri uwiiiii😅😅😅
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@CorrinsKalolo
@CorrinsKalolo 5 ай бұрын
hahahahhahahahha huyo jamaa anataka kunivunja mbavu zang umbea mbaya sana😅😅😅😂😂😂
@Oman-xx1nm
@Oman-xx1nm 6 ай бұрын
we misso misondo umepigaje hapo😂
@glorychristopher7283
@glorychristopher7283 4 ай бұрын
We shoga
@RehemaPeter-s8n
@RehemaPeter-s8n 6 ай бұрын
Roho imeniuma kwa mr uky jmn
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid Ай бұрын
😆😆🤣🤣🤣🤣
@NeemaJoseph-mb6qm
@NeemaJoseph-mb6qm 6 ай бұрын
Pole mr uk , uhakikishaji wa mawasiliano ya watu.kama yapo sawa , yamekufanya uoge bila kutaka ila endelea hvyo hvyo
@BahatiAbdalla-v7l
@BahatiAbdalla-v7l 6 ай бұрын
Pole sanaaa jamaaa nomaaa ila ndo ivoo kazihazikosi changamoto
@AngelDaniel-kr7qr
@AngelDaniel-kr7qr 4 ай бұрын
Akii nimechekaa sanaaa mwanaume nyokooo na wew me uky tutakuja kufa ona sasa umeog bila kupenda
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 6 ай бұрын
Jins mr uky ilivyokuwa anamwangalia mwamba kutoka kweny maji😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 ай бұрын
Ka anaomba msaada wa kuokolewa 😄😄
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 ай бұрын
Bado sijajua wanaume mnataka nn dada Ana pesa ana umbo zur nn shida daah acha tu niendelee kua mbali na mapenz😢
@EvaNicholaus-og4im
@EvaNicholaus-og4im 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaaah.....tupo liiiiiveeeee.....
@SelineChandja
@SelineChandja Ай бұрын
Nimecheka sana kweli uyo dada ana asira kama za kwangu kwel😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw
@MphilipinoFilmsTv-bs4mw Ай бұрын
mbona iyooo SIM mpyaa aijatupwaaa😄😄😄😄😅😂
@omanoman2044
@omanoman2044 2 ай бұрын
Mungu wangu et anampa zawad mnaishia kuloan 😂😂😂😂😂 kimewaramba madem vihehere
@eliyadavid3629
@eliyadavid3629 6 ай бұрын
Dah! Pole kaka Leo yamekukuta
@RichardMauya
@RichardMauya 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂nacheka kama mazuri khaaaa yaani uniletee upuuzi then kweny maji uniweke aki wanaume wanajua kugeuza kibao pheeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@SarahJames-e5d
@SarahJames-e5d Ай бұрын
Amna mwanaume apo ata kwa. macho tu iyo cm ni Bora ungemnunulia ata mama akozazi
@ramasalm-wk5zj
@ramasalm-wk5zj 6 ай бұрын
Pole sana dear nimoja ya changa moto kila kazi inachanga moto jaman pole sana
@user-ef6zt8dr7p
@user-ef6zt8dr7p 4 ай бұрын
Ila Mr uky hatakagi aman kabisa sasa anavoangalia hizo dm jamn❤😂
@frankshedrack8259
@frankshedrack8259 Ай бұрын
😂😂😂😂tupo nawe mpaka pale watapokuua
@CutenessSanga-ys7dc
@CutenessSanga-ys7dc 6 ай бұрын
Jmn mr uk choz limenitok ila viumbe hawa m sitakii
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 3 ай бұрын
Mbavu sina😅😅😅😅😅😅😅
@SeleMindanho
@SeleMindanho 6 ай бұрын
Kimeunanaaaaa😢 aiiiseee kazi ngumu sana kwako kwa siku hiyo
@Zouh480
@Zouh480 4 ай бұрын
Hahaha huyo marioo kachafukwa ujue😅😅😅
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😊Mr UK unatupwa kwenye maji nimecheka Adi kufa😂😂😂😂
@trofimogodfrey5386
@trofimogodfrey5386 6 ай бұрын
Jamaa Ana akili kapotea dem kaondoka na ubapa😂😂😂😂
@UmmyMsafiri
@UmmyMsafiri Ай бұрын
Maaaake kwanza nicheke mr uky akaoga bila kutaka jaman 😂🙌
@user-qo6ft7kg6h
@user-qo6ft7kg6h 2 ай бұрын
Ndio ukome kazi unbeya 😂😂😂
@bensonluta4907
@bensonluta4907 3 ай бұрын
Sema wadada hamjuagi wanaume wahivyo ukimwangaliatu anyone kana kabisa anamambomengi ila ving'ang'aniz
@joyhemed
@joyhemed Ай бұрын
sijawah kucoment kweny kaz zako mr uky ila leo dah had nimesubcrbe 😂😂😂😂😂😂
@AbdallahRajabu-it1pc
@AbdallahRajabu-it1pc 3 ай бұрын
Iyo noma
@isakahassan4275
@isakahassan4275 6 ай бұрын
huwezi ukarusha sim yangu kwenye maji nikae kimya mnaoga wote
@user-yl8dv7ip7f
@user-yl8dv7ip7f 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅 heeee
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 ай бұрын
Ningeirusha na nkabeba mkoba na simu yangu mpya mbio sana
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 6 ай бұрын
Bro!! Alisahau kumrusha kamera man kweny maji
@elizabethmwinuka2859
@elizabethmwinuka2859 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@RoseCharz-q8u
@RoseCharz-q8u 6 ай бұрын
Pole kaka uyo tutatafuta nayeye tumtupe baharini
@AllyMgawe
@AllyMgawe 6 ай бұрын
😂😂😂😂 dah wanawake wanapata tabu sn kulea wanaume
@mankamassawe7030
@mankamassawe7030 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂pole Mr Uky jmn
@onesmomoses-dl8re
@onesmomoses-dl8re 6 ай бұрын
hz challenge mta kuja uliwa
@tunulupene1933
@tunulupene1933 6 ай бұрын
😂😂😂😂 kazini kuna kazii jamani iyoo imeendraaaa ulivolushwaaaaaa duuuuh sim inauma bhana
@FailaKisubi-h3l
@FailaKisubi-h3l 6 ай бұрын
Atari sana mapenzi akuna tena wanaume ni wahogo .
@happyogongo217
@happyogongo217 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kiboko Mr uky
@EstaPulo
@EstaPulo 6 ай бұрын
Sa apo kunamwanaume jaman😀😀
@zwadiijaxen
@zwadiijaxen 3 ай бұрын
Hoooo😅😅😅😅Mr UK ndan na yy
@Reyjackson-f5c
@Reyjackson-f5c Ай бұрын
Mmh
@libnashaban7604
@libnashaban7604 6 ай бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhh nd ukome , umbea ,uky 😂😂😂😂😂
@AminaMaige-b3s
@AminaMaige-b3s 6 ай бұрын
Duh hatar sana Yan nimecheka sana
@hildaruben3372
@hildaruben3372 4 ай бұрын
Aki nimecheka sana 😂😂😂
@EMILYSAMSON-rv3ns
@EMILYSAMSON-rv3ns 6 ай бұрын
da pole sana bro ila usiache kufanya ili tuzidi kujuwa mengi
@AnnyStanslaus
@AnnyStanslaus 6 ай бұрын
Mbn uju jaamaa na yule alofumaniwa kwenye gari wanafanana
@eunicedaniel
@eunicedaniel 6 ай бұрын
😂pole sana yupo kazini na ni moja ya changamoto ya kazi yake hawezi acha kazi kisa changamoto Keep it up nichek nina jambo langu😂😂😂
@canisiusjohnkayombo4996
@canisiusjohnkayombo4996 3 ай бұрын
😂😂😂uwiii aisee
@OMONDIMTUKAZIOG
@OMONDIMTUKAZIOG 6 ай бұрын
Pole mzee Leo kazini pamekuwa na kazi ndoivo kk pole vip ilikata au ataendelea😂
@angelyminja7967
@angelyminja7967 4 ай бұрын
Mr uky UK pow
@Khmis-w5m
@Khmis-w5m 6 ай бұрын
Uyo ndio mwanaume sasa anampiga demu kwa tishu ety 😂😂 cheka san aisee
@user-wj3tx9rp9k
@user-wj3tx9rp9k 3 ай бұрын
😂😂😂Aaaaaah nmecheka jmn asicheke mwingne sio vxur
@kingchriss1811
@kingchriss1811 6 ай бұрын
Lyoli sanyunu ushajile mwana wetyu
@youngchyna744
@youngchyna744 4 ай бұрын
Nimecheka sanaa
@devothalugela8048
@devothalugela8048 4 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nmecomment kwenye hz challenge walah nimecheka 😂
@user-pd8cm4sz7m
@user-pd8cm4sz7m 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamn mnapitia mingi mambo
@user-cc1ru5xe1t
@user-cc1ru5xe1t 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂pole changamoto za kazi bro
@khaney-de-joance
@khaney-de-joance 6 ай бұрын
😅😅camera man vipi ubapa part 2 ije pls
@user-dt1bb1yn8g
@user-dt1bb1yn8g 6 ай бұрын
Hapa bongo hakuna mwanaume wa msichana mmoja😢
@user-pl2xs1nl6r
@user-pl2xs1nl6r Ай бұрын
Nimecheka kwanguvu ujue 😂😂😂😂
@user-js4bu1jp7n
@user-js4bu1jp7n 3 ай бұрын
Mbonahuyu kaka mmemuweka mara fumanizi la gari mara huku
@thobiasmajaliwa9282
@thobiasmajaliwa9282 6 ай бұрын
Mr uky leo umekutana na kitu kizito
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 6 ай бұрын
Kazini kwangu kuna kazi
@user-yn8yj5xf2p
@user-yn8yj5xf2p 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂ckutarajia kabsa Yan n ww Kam utatupwa ukafate cm
@angelmakasi3687
@angelmakasi3687 6 ай бұрын
😂😂 poleni aise.ndo mkaogeshwa
@JayneWilly
@JayneWilly 3 ай бұрын
Nimechka kwasauti wallah🤣🤣
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 3 ай бұрын
Jamani mbavu zangu😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-rx9kv3if5q
@user-rx9kv3if5q 4 ай бұрын
Wallai watu wamevulugwa mnakuja waretea ujinga😅😅😅😅
@MariaFrances-xf1iw
@MariaFrances-xf1iw 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂mapenz nyokoooooo
@ZuuhLugoda
@ZuuhLugoda 4 ай бұрын
Naomb muendelezo kuhuc hy cm 13promax alochukua huyo jamaa
@AntiaAshura
@AntiaAshura 3 ай бұрын
Nimecheka saana
@GabrielMaganga
@GabrielMaganga Ай бұрын
Mnakutana na chagamoto
@LetciaAlto
@LetciaAlto 3 ай бұрын
Aah kukubabake huyo mwanaume ningeenda kumroga agongwe na roli sitak ujinga mim
@NeemaAlfred-v3r
@NeemaAlfred-v3r 6 ай бұрын
Ndo upunguze Mr uky hzo
@Elisha-ym6st
@Elisha-ym6st 6 ай бұрын
Mr uky 😂😂😂😂
@JerusaMkuyu-pw1zo
@JerusaMkuyu-pw1zo 3 ай бұрын
Hahahahaha uwiiii
@JacklineJosia-qs5hb
@JacklineJosia-qs5hb 6 ай бұрын
Beib😂😂😂😂😂😂😂😂
@JumaDezombie-cn3yu
@JumaDezombie-cn3yu 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kaziii ngumu sana
@saumurashid972
@saumurashid972 6 ай бұрын
Duuh pole sana
@nickymassacky9698
@nickymassacky9698 6 ай бұрын
Wekeni actors wanaoweza kuwa serious. Tunajua mnatufunga kamba kwa uongo lkn wekeni uongo unaofanana na kweli. Dakika 3:30 anacheka sana
@فاطمهال-ص7ت
@فاطمهال-ص7ت 3 ай бұрын
Jemeni hakuna kazirahisi kweli
@miriammshana8762
@miriammshana8762 6 ай бұрын
Jaman this location ni nzuri anae ijua plz ipo wapi??? I need to go there nimtoe out my man
@pendolymo9354
@pendolymo9354 6 ай бұрын
😮😅😅😅😅mr uiky leo kimeumana
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maskin' pole Mr Uk
@celvinrobert7972
@celvinrobert7972 2 ай бұрын
Shida Mnapenda Mabishoo😅😅
@MwanaidBakar
@MwanaidBakar 6 ай бұрын
Sema woyoooooooo
@fatumayahaya8901
@fatumayahaya8901 5 ай бұрын
Waifungie abaki na kopo lakee😂
@Dareaziz
@Dareaziz 6 ай бұрын
Mfyuuyy
@AdmiringCaptainHat-gh3tf
@AdmiringCaptainHat-gh3tf 6 ай бұрын
Mr uky
@user-lg1ix5gk5i
@user-lg1ix5gk5i 6 ай бұрын
Pole umekutana nacho
@FetyJoseph-vj9th
@FetyJoseph-vj9th 3 ай бұрын
Nimechek kama mazuri
@RayRogers-h9m
@RayRogers-h9m 6 ай бұрын
Hhhhaahhh walivorusha ss kma ndege😅
@momkhan-hc7zh
@momkhan-hc7zh 4 ай бұрын
😂😂😂mkaogeshwa kwa lazima manina
@martinetimotheoofficial3304
@martinetimotheoofficial3304 6 ай бұрын
Duuuuuuuh kazi na malipo😅😅
@user-dv5oz5lt7x
@user-dv5oz5lt7x 6 ай бұрын
Mm jamaa namsapot kwasbb mtoto wa kiume huwez kufatilia mahusiano ya watu na kugombanisha kasahu camera man t mshkj ingenoga
MUMAMA ALETA BARA
9:56
Mr Uky
Рет қаралды 177 М.
AIBU YA MWAKA, KAPEWA GARI SKU YA GRADU KUMBE ANACHEAT
6:29
KIREDIO
Рет қаралды 176 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 102 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 55 МЛН
MWANAUME KAWA KATA WOTE
4:02
Mr Uky
Рет қаралды 48 М.
EX WANGU NIMEPATA MPENZI MPYA NATAKA NKUAGE NIJE????
3:12
KIREDIO
Рет қаралды 69 М.
MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA
8:52
Mr Uky
Рет қаралды 85 М.
Huku ndiko alikotokea chief godlove alikozaliwa nyumban kwao
8:04
Chief_Godlove
Рет қаралды 15 М.
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Mr Uky
Рет қаралды 105 М.
SHEMEJI KAJICHANGANYA
9:26
Mr Uky
Рет қаралды 53 М.
SHEMEJI ALETA UTATA MKUBWA
5:00
Mr Uky
Рет қаралды 59 М.