Рет қаралды 5,338
Ikulu Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan akitembelea kituo cha Manunuzi ya Mahindi NFRA Matika Mbinga Mjini Mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Septemba, 2024.