Рет қаралды 111
MAELEZO TV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Vihenge na Maghala ya Kuhifadhia Nafaka, Kijiji cha Kanondo Manispaa ya Sumbawanga ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.