Рет қаралды 18,737
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza IGP, Simon Sirro kutowaagiza Polisi kufyeka mashamba ya bangi badala yake watumie njia za intelijensia kuwakamata wahusika na ikishindikana wakamate kijiji kizima wafyeke mpaka atakapotajwa muhusika.