Kama ulimpenda magufuli gonga like yako hapo tutakukumbuka daima
@gervaswilliam2222 жыл бұрын
Like
@simonmburu87843 жыл бұрын
This guy was really great ... A realistic person who had gud plans for his people ....rest in peace doctor
@uwajado30484 жыл бұрын
I love u Rais Dr. Makufuri wa Tanzania Mimi kutoka Rwanda
@Worldunite5 жыл бұрын
Nakupongeza saaana rais, nimekukubali ,Mungu akujaalie uwe na moyo huohuo
@omarikessy23395 жыл бұрын
Yaani kila siku unanifurahisha Raisi wangu Magufuli
@tatubadi90103 жыл бұрын
Jembe magufu umeenda 😭😭😭Mungu akupe mwanga wa milele
@elidaburton87372 жыл бұрын
I miss this man 😭😢😢💔😭
@diltondilunga99155 жыл бұрын
Siku zote nazungumza ,Tanzania kwanza ,uzalendo daima ,huu ni mfano tosha,
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Kabisa
@joasitz95595 жыл бұрын
Waoo asante Mungu umetupatia Rais mzuri. Sitajutia kuwa mtanzania hata siku moja
@paulofesto49485 жыл бұрын
Safi sana Mh Rais Jpm kwa uamuzi huo wa kukataza matumizi ya mifuko ya plastiki zinachafua sana mazingira yetu
@julessebintu65255 жыл бұрын
Kwa uhakika watu wanapinga uyu mutumishi wamungu président MAGUFULI ni MUROZI KWERI. Mimi Si mutanzania lakini uyu RAIS wenu nimutumishi wa wanainchi. Namupenda sana. Mungu abariki Tanzanie inchi ya amani.tunawapenda wa Tanzaniya kwa utulivu wenu na amani. Nawependa sana kutokeya CANADA mungu awalinde
Nakubali laisi kununu wa samaki watu wafuturu mungu akulipe
@athumanhassan93605 жыл бұрын
Nakpnd xn rais wng Allah hakujalieh afya na Baraka tele kwny uongoz wk na ht ukistaaf inxha allah...
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@hermankoba49705 жыл бұрын
Kama ume mwerewa baba jesca gonga like mungu amuweke miaka 1000
@zakariamaria93975 жыл бұрын
Siyo umemwerewa sema umemwelewa
@hermankoba49705 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali matumiz ya r-l Aya bhana😆😆
@fredreckmwakalinga34755 жыл бұрын
Herman Koba maneno sio vitendo anayeumia ni mtu wa chini
@hermankoba49705 жыл бұрын
Mbona maisha yale yale
@triplea34633 жыл бұрын
He is gone 😭
@tinyaanosiatha11185 жыл бұрын
Good job jpm. Tumekuelewa baba
@brunonsungwe83895 жыл бұрын
Huyo ndiyo chaguo letu, Asante Mungu
@billgussy60995 жыл бұрын
Bruno Nsungwe chaguo lako na nani peleka ujinga wako huko watu wana kushangaa
@chrismbalilaki24455 жыл бұрын
Bill Gussy unamshangaa na nani???Na wewe Toa ujinga wako
@poulmisoji49773 жыл бұрын
Watu wajinga wamshangae nini peleka huku urimbukeni wako
@feisalmohamed31985 жыл бұрын
mungu ametupa raisi asie bagua dini kabila chama wala rangi kiufupi yupo vizuri sana
@simonmagembe71405 жыл бұрын
Mzee uko vizuri
@f.a60435 жыл бұрын
👏👏👏 teh teh teh😁😁😁 bila kumsahau samaki wake Mr. Prezda big up
@saidiyusuph55775 жыл бұрын
Safi sana, unaenda sokoni na gharama za mifuko asante kwa kuliona hilo
@delabossreizer94715 жыл бұрын
Ww mzee 2020 ss tushasema atutakuwa na muda wa kupoteza kuchagua mtu mwingine ww peta mpk mungu atapo amua yeye bana sikuiyo mm nalala wala sinamda wakwenda kupoteza
@sochriman3 жыл бұрын
Huyu mzee ataishi sana kwangu, moyo wa kuwafanya watanzania wote kuwa ndugu zake ulikuwa moyo mkuu sana
@athumanomary14385 жыл бұрын
Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe raisi wetu tunakupenda san
@severineemmanuel37855 жыл бұрын
Mungu Mbariki mjomba Magufuli
@delorenzosource19875 жыл бұрын
Dah ww ndio rais bwana tulikua tunakuota siku nyingi mungu akulinde na kila baya
@anuaryally61775 жыл бұрын
Wale wa kudanga watadanga sana ughaibuni jembe mbele kwa mbele
@allyndambwe43543 жыл бұрын
Mtani wangu mungu akulipe kinachostahiki
@anafisuleimani70835 жыл бұрын
Safi sana kiongozi
@ababuumwana51025 жыл бұрын
JPM Ni Shidaaaa Sema baba tunakuelewa Rais wetu
@ericmunoru6223 жыл бұрын
Kizuri hakidumu,rest in peace ua Excellency
@rezegerezege6913 жыл бұрын
Rais tulipewa na MUNGU lkn MUNGU NDO MWENYE UWEZO .R.I.P BABA😭😭😭😭😭
@King_1862 жыл бұрын
It is a sad exit of the hero,we will always miss your presence
@lucaswalogwa38215 жыл бұрын
Samaki wangu yuko wapi?
@salimharrasy70473 жыл бұрын
No choice we should eccept God wishes. But his foot step it is our guadance for the future to come.
@kipesekiaruwamallya30983 жыл бұрын
pumzika kwa amani raisi jpm
@rehemaothman22003 жыл бұрын
RIP magufuli
@georgepondelo48455 жыл бұрын
Ni rais mzuri sana na ana ndoto nzur na taifa hili ila wasaidizi wake ndio wanaomwangusha mungu akufanyie wepesi ulikomboe taifa maana linaangamia
Sis wananchi tumekuelew ila hao wa viyoyozi ni shiida hwajakuelew kabisaaaaaaa
@issabakari19162 жыл бұрын
Sizani Sina uhakika, sifikilii kama atashuka atakuja Kama BABA BABU UNCLE MAGUFURI , hakika mtoto anaetambaa sio Rahisi kujua malengo yake, atakua Nani baadae, wakina baba/watu wangekupigia kura mapema na watu wangefaidika mapema, ah NENDA TU MAGU
@talha27543 жыл бұрын
Daaaah jman magu wew mbona umetuliza
@patrickmbogo78053 жыл бұрын
Pumzika kwa amani jemedari wetu
@amanally73273 жыл бұрын
R I P magufuli weetu
@shaabanramadhan67705 жыл бұрын
Jembeeeeee
@godfreyleka58395 жыл бұрын
Msigwa macho juu juu vp we ni bodyguard?
@nashirkamugisha94255 жыл бұрын
KWA ISSUE YA MIFUKO NAKUUNGA MKONO MH. YAANI UCHAFU NI MWINGI KUPITIA HIYO MIFUKO HONGERA SANA. MUNGU AKUONGOZE
@vincentmwita14943 жыл бұрын
R.I.P Hayati Joseph pombe magufuli
@mrfix65963 жыл бұрын
Tunamlilia wangapi mheshmiwa😖
@imanibensoni82743 жыл бұрын
R.I.P JPM😭😭😭😭😭😭😭
@iddikibwana91855 жыл бұрын
Yuko vizuri
@erickhaule86803 жыл бұрын
Daah inauma jamani
@jumakapo99145 жыл бұрын
Ongola baba mana ulivyo ondoka vikuu vya mikoa vipumbavu sana vinakomaa sana wanaichi bola baba umerudi endelea na majukumu yako alafu baba mwakani kula tunakupigia wewe wapungo tunawapiga chini