Wow thats Fantastic Your Excellency Doctor pombe Magufuli ,My Name is Norman kioko from Kenya I have been following you all through , and for sure , you are a leader of less fortunate , how I wish we can get leaders like you not only in Kenya but the entire Africa ,,Long live My president
@laughingclub96604 жыл бұрын
C we go to live in Tz... I'm planning to do so.. I'm a Kenyan too
@josephkalume26036 жыл бұрын
From Kenya we appreciate JPM gonga like Kama unakubaliana
@andikimanasebadonavine94905 жыл бұрын
U're the best President that I have ever seen in this World
@Micpiu6 жыл бұрын
Hongera sana Rais kwa kazi unazoendelea kuzitenda.
@robertsimba50814 жыл бұрын
What a humble human being??? So down to earth God bless you...am a Kenyan but I appreciate his job alot
@samwelimadaraka43586 жыл бұрын
Hakika watanzania tumepata rais kama unamkubali magufuri gonga like
@realremih5 жыл бұрын
From Kenya . Sijawai kuona rais mwenye upendo na kujali wanyonge kama uyu
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔💔😭😭😭
@abdubaadan93005 жыл бұрын
This is true leadership,one in a million, God bless you abundantly.
@binsora58975 жыл бұрын
Though am from Kenya I love the way jpm is handling his pple
@japhetdaud38896 жыл бұрын
MUNGU mulinde Rais wetu na uendelee kumtumia na kumpa ufunuo mpya kila iitwapo leo-Hapa kazi tuu 💪💪💪💪💪👍
@abubakarrujugiro44155 жыл бұрын
i love u from Rwanda you are so generous and kind
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON6 жыл бұрын
Asante rais Mtu wa munguu
@faridasaid87246 жыл бұрын
kazi nzuri sana rais ,hongera sana inabidi ukae madarakani hadi kifo kitakapokuchukua,
@abuunasri36286 жыл бұрын
Hayo ni mawazo yako
@salmaalimusa5475 жыл бұрын
Kabisaa
@shanimohamed63155 жыл бұрын
Farida Said nimelia kwa kweli jaman
@johnbosco20244 жыл бұрын
namimi nawaza hivovo
@penelopestanley70213 жыл бұрын
Hatimae yametimia Leo hii
@alisaalis92186 жыл бұрын
Nimelia aki huyu prezo ndo anatakikana katika dunia hii,Mwenyezi mungu akubariki sana Rais
@Mamatonny20656 жыл бұрын
Khaaa kizaa zaaa hicho! Mwenyezi Mungu pamoja na Mheshimiwa Rais amsaidie huyo Mama.
@kichomimedia95826 жыл бұрын
Endelea kupiga Kazi mh.
@kihanda25546 жыл бұрын
Bora Raisi wangu Usiende Nje. Wa Tz wengi tunakutizama. Mungu akubariki sanasana.. Nimesisimka sana. Nazidi kufurahia matunda ya Kura yangu Kwako. Sijutii kukuchakua Raisi wangu.
@rehemasumulei62376 жыл бұрын
kweli unawafuta wamama machozi lakini umetusahau wajane tuliokuwa tunakusanya uchafu Mererani ili tujipatie kipato Kwa sasa tunalia tuu hatuna msaada wowote
@magigezabron37705 жыл бұрын
Kura yangu yaijapotea kumbe
@jasminiomary77745 жыл бұрын
Magufuri mungu akuximamie mxaidie uyo mama
@mtanitz95826 жыл бұрын
Pongez kwa Mr. President
@japhetmanumbu45955 жыл бұрын
Mr predident nakupenda sana
@greciousnewgeness31706 жыл бұрын
the beauty full one is born!! viva honorable president MAGUFULI !
@joachimhancemwakoba82836 жыл бұрын
Sikuwahi kukupenda.. naomba nikiri mbele ya mungu na mbele ya Watanzania NINAKUPENDA SASA BABA, rais wangu
@michaelmhenga2806 жыл бұрын
kuazia Leo nitakupenda paka mwisho nimejua nia yako Kwa wtzn
@beatricekamengekamenge55436 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 Jamani mkuu wa mkoa ametinganya mambo
@DrSanai6 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu
@shungushula43406 жыл бұрын
Joachim Hance Mwakoba amina kaka uyu ndie raisi wetu mkuu
@princeibro78096 жыл бұрын
Leo nimekuelew JP
@mishijuma63266 жыл бұрын
Magufuli. Magufuli. Magufuli the best African leader so far
@akimmbwego7976 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaa me nauzunika wasaidiz wa JPM wengi ni mzigo mkubwa sanaaaaa......pia nafuraji Jpm kila kukicha anavyo watumbua......GOD BLESS YOU
@josephsimioni30626 жыл бұрын
hakuna kama.magufuli tengeneza kanda yaziwa baba tumeachwa sana
@josephsimioni30626 жыл бұрын
kula Yangu haikuhalibika Ila kwambunge ilihalibike nilimpigia afu hakushinda ila nimapenzi yamungu
@issajohn56706 жыл бұрын
Nani kama J P M?
@lisanide63395 жыл бұрын
hakuna yan
@xxxtxandaniel6995 жыл бұрын
Akim Mbwego MAmbo
@gabriellydaud54116 жыл бұрын
Mungu akuzidishie moyo wa upendo mheshimiwa raisi
@rehemareubeni57836 жыл бұрын
hakika Mungu akulinde dady
@kimrodgers78095 жыл бұрын
Tanzania you've got a visionary president,,#magufuli fan from Australia
@Ansel.6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana jPM mtumishi Wa Mungu aliye hai......it's so touching kwa kweli....I LUV U MY PRESIDENT
@bablee97525 жыл бұрын
Hongera sana rais wetu kwa kazi yako nzuri kuwasaidia wanyonge🤝
@jumamasaka91626 жыл бұрын
kazi nzur rais wetu, hongela xana
@gbbuku47146 жыл бұрын
Wallah mungu akupe umri mrefu hii sio tu kwasababu ni rais utapata thawabu mzee wang john
@denniskatiku90516 жыл бұрын
If only we could have atleast 10 presidents like HH.JPM..walai Afrca ingekua mbali tena sana...👑👑👍👍👐👐.HONGERA RAIS MWESHIMIWA JPM...Denno here frm kenya
@kizimkazi34436 жыл бұрын
JOHN POMBE MAGUFULI.
@ngokositta40016 жыл бұрын
Magufuli mkoa wasimiyu
@ngokositta40016 жыл бұрын
Magufuli
@faridkhamid13583 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu rais magufuli
@salmadalaquimane53036 жыл бұрын
Daaah mungu akupe nguvu na maisha marefu
@esabelfadhili84326 жыл бұрын
NAKUPENDA mnooo Rais wangu!MUNGU akulinde your the best baba
@peternasarinasari97006 жыл бұрын
Kwakwel kwa miaka yang michache niliyo nayo cjasikia wala kuona Rais kama huyu wa kwetu,,mcha Mungu na kujitahid kujal maskin na walioonewa..Mungu ilinde sana hii hazina yetu zaidi ufalme wa Mungu uwe sehemu yake pamoja na watakatifu wengine siku ya mwisho.we love you our PRESIDENT.
@josephmackdonald31226 жыл бұрын
Peter Nasari Nasari
@abuunasri36286 жыл бұрын
Uchamungu unaupima kwa kitu ganii? Huna vipimo vya uchamungu ndugu
@lightnessmsuya39145 жыл бұрын
mungu akubariki shemeji yangu magufuli upewe miaka zaidi yabuku amina
@thabujohn12566 жыл бұрын
Asante Raisi wetu kweli unasaidia wanyonge Mungu akupe maisha marefu yenye heri na fanaka
@winnesakara69576 жыл бұрын
Kweli nimeamin rais wetu hachagui huyu mama namfaham anaitwa nyabura mtongori
@jamesngundateresia26006 жыл бұрын
Basi fiatilia asije akaporwa hiyo pesa
@agnesteacher70366 жыл бұрын
Jamaani kaniliza huyu mama
@audifaxkabura61976 жыл бұрын
uyu anaweza bwana magufuri sisi warundi tunamukubari kabisa
@jamesngundateresia26006 жыл бұрын
@@agnesteacher7036 yaani matajili sehemu yao ni moto wa jehanam huna huruma hata na mama kipofu yaani hana macho
@richardmanoni34836 жыл бұрын
Winne Sakara p
@abdiyoochannel5855 жыл бұрын
Magufuli ni rais mzuri sana na mwenye anatetea haki
@mwikali43826 жыл бұрын
Mungu akubariki makufiri kwa kujali wanaonewa na matajiri
@mussamaduka28286 жыл бұрын
Ila andika jina vizuri la Rais wetu. Usiandike kama asiyejua
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔💔💔😭😭😭😭
@selemanimkonga81506 жыл бұрын
Ukiwa na Rais kama huyu hata uwe umepanga unajihisi umejenga vyumba 5na ukumbi sijutii kukupigia kura
Joseph Materu sio vichwa vigumu wengi wao ni criminal mambo yao yamezuiliwa au bangi na viloba huoni majizi yote yako huko
@glorycharles13826 жыл бұрын
Joseph Materu fact
@shaibumahanda65016 жыл бұрын
Washaelewa now coz hata mm nilikuwa mgumu kuelewa ila now nimeelewa na waliobakii wamelewa ila n wakaidii daima
@yaedlifemedia32036 жыл бұрын
Aisee uyu jamaa anatakiwa kutuongoza miaka yote watanzania coz hakuna kama jpm
@mdasad21486 жыл бұрын
Makufuri njitajidi kusaindoa wanyonge
@elizabethmwandu98996 жыл бұрын
Hongera sana Mh Rais kwa moyo wako wa huruma, moyo wa kujitoa kwa ajili ya wengine Mungu wetu wa mbinguni azidi kukuongoza vyema ktk utendaji wako wa kazi.
@bensonmusyoka51045 жыл бұрын
Mimi ni mkenya lakini watanzania mko rais magufuli hoyeeeeee
@aminasalum19545 жыл бұрын
Alhamndulillah 😭😭mpk nimelia jmn huyo mam rais wetu Mungu akulinde
@hashakatv5 жыл бұрын
Hongera magufuli. Rais wetu wa Jamhuri ya Kenya anapaswa kuchukua mfano wako kutumikia wakenya
Sijawai kumuelewa huyu Rais ila kwa anayoyafanya mungu akuweke miaka mia 5 mbele ameen
@serianjamal82545 жыл бұрын
Nimelia mimi jamani Mungu akupe wepesi wa kazi zako Rais wetu mpendwa mtetezi wetu Ameen
@HenriHSP6 жыл бұрын
Huyu ndiye angelikuwa Rais was Africa nzima.
@alexdougly826 жыл бұрын
Mpka nimetoa machozi kwahuo msaada wa pesa...umemuinua sana huyo Mama sana sana hasa kwamaisha ya kijijini...siku yangu imerud kuwa nzuri kwasabab yahili tikio...🙏🏻🙏🏻
@stellaloves98793 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔💔
@winfridashango64815 жыл бұрын
Makufuri nakupenda nalala usingizi mzuri japo nipo kwenye nyumba ya kupanga
@ummimohammed61375 жыл бұрын
Allah akubariki na akuziishie imani ktk kazi zako. Nakupenda sana natamani ubakie ktk uraisi miaka yote kwa hali hii...
@shawaribakari12266 жыл бұрын
Sina mpango wakuchagua rais mwingine tofautii mzee maguful
@daudfyedrack18516 жыл бұрын
Rais wetu magufuli mungu akubaliki Sana kwa kazi nzur unayo fanya
@salimalriyami77796 жыл бұрын
Magufuli the greatest ever 😍😍😍
@eddyajode89216 жыл бұрын
Mm niko kenya bt nampenda Magu sana kwa utenda kazi wake.
@agnessjoseph31995 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu rais wangu
@akramhajji48934 жыл бұрын
The only honest President I have ever seen,for real...
@hapynesmabula73486 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kutupa rais mweny huruma
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
Huyu mama kanitoa machozi kwa kweli,watu hawana huruma kbs
@dominicemanuel36106 жыл бұрын
jamani machozi yananitoka baada ya kuangalia rais wangu mpendwa john pombe magufuli akimsaidia huyu mama kipofu
@m.mmarckus62986 жыл бұрын
@GAME BOYS 12345678910 binadamu hatuna utu wa huruma,tu najua kujineemesha wenyewe bila kujari wengine,km huyu mama hakupaswa kufanyiwa hayo mambo kabisa Mungu anamuona muhusika atajuta
@florakeneth60836 жыл бұрын
Hata mm machozi yamenitoka
@SafeHaven_TV5 жыл бұрын
Watu wananyang'anya wengine ardhi utadhani wao wataishi humo milele,kumbe nao ni wa kufa tu.Huyo ni masikini kuliko huyo mama kipofu.
@anithamwenda77255 жыл бұрын
@@SafeHaven_TV nmeliaa piaa dH
@mugemainyas52416 жыл бұрын
Jamani rais magufuli . Mungu asikilize sala zetu
@martinkariuki5512 жыл бұрын
Hayati makufuri na mkupuka mara kwa mara ni rais alikifanya kile alixaguliwa mungu amweke pema
@martinkariuki5512 жыл бұрын
Am kenyan but I love makufuri xanar
@noronhacompanylimited53705 жыл бұрын
Naomba Naomba Naomba sana Mheshimiwa Rais Magufuli aongezewe muda angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!!!
@rosesamwelitenga46485 жыл бұрын
Naskia hivo hairuhusiwi
@aishajeaninejeanine89346 жыл бұрын
Mungu akubariki saana rais wetu napenda sana chapa kazi.
@rahelmasiga15035 жыл бұрын
Kweli maghufuli Raisi wa wanyonge huu Ni mfano wa kuigwa kwa hata atakaekuja awamu ya sita .big up Mzee wa hapa kazi tu
@immaculeensabimana20974 жыл бұрын
Mungu akuweke baba John pombe magufuri wewe nibana wawanyonge kabisa ❤️
@terrycherono47675 жыл бұрын
Wakenya we Need Such President. Raisi wa watu,Raisi wa Maskini,Live Long Mr President Nakupenda For Real.
@miriduds3605 жыл бұрын
I wish Kenya we can a president like him. He is a real preso 😘😘
@liznimo59173 жыл бұрын
For real watanzania wamepoteza mtetezi wa wanyonge rest in peace legend 😥😥😥
@thomastarimo2 жыл бұрын
Akika mungu ali mleta uyu baba kwa makusudi malumu akuna kiongozi mwingine mwenye moyo mweupe kama kaka yetu magufuli
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON6 жыл бұрын
Kweli tutakukumbuka Sana unafanya kutoka rohoni
@adamkondo41625 жыл бұрын
Mimi Baba Rais huyu wangekuwa kuwa watanzania wana weza kunisikiliza Mimi sio mshabiki nikiongea nimejilizisha Sana Sana kweli Rais makufuli tumemupata tayali Mwenye uhusiano na Tanzania na wa Tanzania tumemupata kazikwetu kumulinda kumutuza Sana Sana kweli Rais nimekuelewa Sana Sana sijawahi ona Kama wewe Tanzania hii 0753462727 kukulinda nitatumia kinywa tuu ili utufikishe sehemu
@stellaloves98793 жыл бұрын
💔💔💔😭😭
@raymondshilatu24956 жыл бұрын
Ni raisi pekee unayefanya ziara za ndani na kushughulikia matatizo ya watu wako moja kwa moja. inapendeza sana. Mungu akutie nguvu
@hdmtanzania26176 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe nguvu na afya mh Rais
@markanthony56286 жыл бұрын
Unaeza ukalia kwa futaha Mungu mbariki Raisi wetu JPM
@bernardomondi26326 жыл бұрын
Rais magufuli Mwenyezi Mungu akulinde siku zote na akupe maisha marefu pamoja na familia na watanzania wote,
@mtumbadkrish24743 жыл бұрын
Mungu ailaze Roho take Mahali pema peponi
@edinakalole98536 жыл бұрын
Kweli wewe ni Raisi wawanyonge mungu akubariki endelea kutawala miaka 1000
@mussamaduka28286 жыл бұрын
Endelea kumuunga mkono
@bahatimatiku42946 жыл бұрын
Asante Sana Rais wangu kiukwel we ni kiongoz wa watanzania wote NAKUPENDA SANA mheshmiwa
@emmanuellawrence24346 жыл бұрын
Inauma sanaaa...Mr president unatukosha moyo watanzania...God bless you..
Mimi ni mkenya lakini nampenda mheshimiwa rais Magufuli sana Kenya tungekuwa na rais kma huyu wanyonge kweli tungesaidika
@rafiahamadi97875 жыл бұрын
Wanazarau masikini ccm oyeee minomba mungu uongoze mpaka mwisho wa maisha yako tunakupenda raisi wetu
@mmlove91276 жыл бұрын
Mimi najiuliza sana hawa viongozi wengine wanafanya nini kama raisi ndio anafanya kila kitu
@fashiryjumanne35686 жыл бұрын
yapo 2
@hassanjumaa73906 жыл бұрын
Kweli viongozi wanamuangusha magufuli. .kila kitu afanye yeye tu. ....viongozi wajitolee wafanye kazi kama raisi afanyavyo
@teddymeela27916 жыл бұрын
Delegation of power is needed
@andreajeremia4366 жыл бұрын
Mizigo,walizoea kubweteka,na kutumikiwa badala ya kutumika
@zainalarssonHotel5 жыл бұрын
🥰🥰🥰🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾ASANTEEEE SANA BABA YETU.WEWE NI MTU KATIKA WATU, UBARIKIWE . AMINA
@gemeryne42985 жыл бұрын
Love from Kigali .tunakupenda tena sana baba
@christophermwema98673 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima hatutoacha kukulilia tutalia sana kila tunapoangalia clip hz😭😭😭😭 R.I.P mtetezi wa wanyonge
@moseskiplagat48595 жыл бұрын
Mungu akubariki pombe.. Kenya 🇰🇪 tunakupenda
@munyaonormankioko14265 жыл бұрын
Rais Magufuli ,you are heaven sent , you remind how Jesus healed a blind man!!
@thomasmwitah18856 жыл бұрын
Hongera sana Mh.Rais kutembea kwingi ndo kuona mengi .Umetembea Tz na umejiona jinsi kulivyo na maovu mengi.Endelea kutembea nchini ili ujue zaidi.Ulichaguliwa Tz na ziara zk kwel ni za haki ni za ndani ya nchi tu...Big up rais wangu.
@Kidotii6 жыл бұрын
Godbless my President!
@rosenight2725 жыл бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa Raisi Magufuli. Tanzania mmebarikiwa sana Africa nzima ni nyinyi 2.
@abdisalansharif266 жыл бұрын
We really need PRESIDENT like this in all African nations hakiya mungu ni binaadamu ya mungu
@glorykimonge86294 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwakutupa neema, Raisi tuliyopewa na Mungu mwenyewe
@saidkhalfan37856 жыл бұрын
Mimi sioni haja ya kutafuta raisi mwengine zaidi ya magufuli kiukweli, ila ndio katiba inatufunga. Sijui kama atatokezea mwengine mwenye kujua majukumu na uadilifu kama magufuli. GOD BLESS MAGUFULI GOD BLESS TANZANIA GOD BLESS AFRICA AND ITS PEOPLE . (AMEN)
@eliassiki67586 жыл бұрын
Hon president be blessed your the special to us .Mungu akulinde akubarik ukapate kutenda majukumu yako sawasawa na mapenzi yako
@mpendaedward95786 жыл бұрын
Nilikuwa sikuekewi Mr President but now nakuelewa sana nakuomba tuma watuwako kwenye makampuni ya ulinzi kuna manyanyaso sana hakuna haki tafazali sana Raisi wetu
@andreajeremia4366 жыл бұрын
Asante sana kama umeanza kumuelewa Rais wetu,ni Rsis Wa kipekee
@masaimbuyu79965 жыл бұрын
Mpenda Edward atakae. bisha. makufuli.hafanyi.kazi.yule.sio.mwelewa
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Nakupenda sana baba , kura yangu 2020 tena no Yako nitakuwa nisharudi tz kwetu
@uwajado30485 жыл бұрын
Thx Rais wa Tanza unatenda mema sana uwe namani tunakuoenda sana mungu akubaliki kbx
@alsadymateke86956 жыл бұрын
Tz ss tume pata Raisi tuacheni unafki tujenge nchi jamani
@rechosoi25176 жыл бұрын
Nzur
@davidbarnaba20136 жыл бұрын
tena.mungu.amuache..miaka.mia
@margarethsaramaki11006 жыл бұрын
Chozi limenitoka.JPM Oyeeee mwenyezi mungu akupe uzima zaidi kuwasaidia taifa letu pia wanyonge nk
@annkim26905 жыл бұрын
Tukopesheni huku kenya
@SafeHaven_TV5 жыл бұрын
Huyu ameletwa na Mungu,rais Magufuli angepewa fursa atawale tu muda mrefu,kwani katiba ni nini jamani,si inabadilishwa tu?
@luganolusekelokajigili93436 жыл бұрын
Mungu akusaidie Rais wetu
@abdiyoochannel5855 жыл бұрын
Hongera mweheshimiwa
@babawatotobabu72295 жыл бұрын
yani pia naona vibaya magufuli hakuna rais kama ww hapa east africa hongera sana bb 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nabintukadende23886 жыл бұрын
Mungu akubariki Mr President, wewe ni Musa
@firdausabdullah63156 жыл бұрын
Subhana allah so sad ma sha allah magufuli big up nakupenda raisi magufuli ftom kenya