Rais Ruto akosolewa kwa kumpa pole TRUMP

  Рет қаралды 19,080

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 136
@AllyRocky01
@AllyRocky01 Ай бұрын
SnS much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eve3894
@eve3894 Ай бұрын
Asante sana SKY kwa habari nzuri kabisa. Love from London ❤
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
Ruto mpumbavu sana. Wakenya hawana rais .kuacha kuwapa pole Wakenya family zako walizofiwa yy ampongeza bwanake
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 Ай бұрын
Ungenyamaza
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Ай бұрын
@@mosesg.pendael8381 ninysmaxe wakati rais wenu choko
@FredChaki-jb8zj
@FredChaki-jb8zj Ай бұрын
Ruto anapenda sana kujipendekeza😄😄😄
@OscarMmbando
@OscarMmbando Ай бұрын
Ruto ni Mpumbavu Pro Max, lishenzi la Mwisho.
@bongomastory791
@bongomastory791 Ай бұрын
Ruto hajakosea ila Wana hasira naye tuu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Ruto must go 🚶‍♂️ anajifanya mwema Dado yeye sasa?
@mbajimargarette7146
@mbajimargarette7146 Ай бұрын
Angenyamaza tu
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 Ай бұрын
Huyu sio Rais nikichatu😂😂😅
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 Ай бұрын
Mmmmmmhhh
@btsanime6138
@btsanime6138 Ай бұрын
Ruto hana akili nikujipendekeza tu.
@user-qz3zl4xt1r
@user-qz3zl4xt1r Ай бұрын
Ruto ajiuzulu ameshindwa na kazi alio aminiwa na wa kenya
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Ай бұрын
Anajipendekeza sanaaa duuu
@djafro8729
@djafro8729 Ай бұрын
Kosa sana kwa muuaji kama ruto kushtumu jaribio la trump kuawa
@johnmwirigi3836
@johnmwirigi3836 Ай бұрын
Kama angempea pole ya mamilioni hapo ndio mngelalamika kabisaa...hakuna kosa kwa pole ya mdomo bana 😂😂😂
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 Ай бұрын
Ruto ni mjinga sana
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 Ай бұрын
Ruto ni mjinga sana mpuuzi sana🤣🤣🤣
@matalo0551
@matalo0551 Ай бұрын
Hello Kenyans, stop from blaming at your president, don't you know what really international relation mean and deplomacy? Stop from misjudgements....Ruto is the democratic presidents he deserves to give condolences to his fella former president..... Am imbalanced with you Gen Z, you have to tolerate some basic issues, no matter what it means...... Build your country, stop from killing international deplomacy..... Ni mimi Kijana Mtanzania ndugu yenu...sifurahishwi na ukosoaji wa kila kitu kinachofanywa na Ruto, jueni hakuna aliyekamilika na hamptapata kiongozi atakaetekeleza mahitaji yenu yote.
@user-td3xz9ej7r
@user-td3xz9ej7r Ай бұрын
Hawa watu wako brainwashed na demokrasia uchwala baada ya kuangalia chanzo cha tatizo wao wanajadili tatizo. Gen z kila zama wataandamana if we dont leave this trash so called democracy
@James-Jabari
@James-Jabari Ай бұрын
This is not even about international relations or anything like that. Wakenya wanachosema ni kwamba huyu nyani na puppet wa wazungu hana nyota ya uongozi; ananyota ya kukenulia meno wazungu, he must go immediately! Hakuna aliye kamili sawa, lakini kwa huyu ni tofauti. He has shown failure in every single aspect - too bad he’s unapologetic. Uhuru hakuwa mkamilifu na hakufanya maendeleo sana, sawa. Lakni kwa miaka 10 yake pamoja na kwamba alipenda tupombe, watu hawakulia kama miaka mingapi tu hii ambayo grinning Ruto amekuwepo. Njaa haivumiliki. Huwezi kuweka wananchi kwa maisha magumu ilihali wewe unasafiri kwa starehe zote kama mfalme wa dunia halafu ukategemea kuwa wananchi watakuelewa
@rizikimwero1767
@rizikimwero1767 Ай бұрын
Yeye mwenyewe nimuaji anauwa wakenya kama kuku mpuzi sana ruto
@mariamkassim9925
@mariamkassim9925 Ай бұрын
Umemona huko wewe umbwa
@rizikimwero1767
@rizikimwero1767 Ай бұрын
@@mariamkassim9925 wasubiri umuone ndio ujue niyeye umbwa wewe alipo pelekwa icc alionekana anakukula nini katako sana
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po Ай бұрын
Shenz kabisa
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m Ай бұрын
luto ajitaidi kupunguza shobo kwanza anashobo sana
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Ай бұрын
Ruto ya kwake yana mshinda kwenye inchi yake anakalia kuingilia maisha ya inchi nzingine😂😂
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg Ай бұрын
Wazungu wot ata wakiuwawa siwez huzunika atakidog
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Waharabu wakiwawa utauzunika
@AdamAmos-rr6fg
@AdamAmos-rr6fg Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n warabu inaniuma
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Ай бұрын
Hajafanya poa inchi iko kwenye machafuko ila ana endelea kujipendekeza kwawamagaribi
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Ай бұрын
Ruto yuko sahihi anakwenda na upepo kwani next election Trump anauwezekano wa kushinda kwa hiyo anajiandalia mazingira ya kupata misaada hasa ukizingatia hali ya Kenya kwa sasa kiuchumi
@rizyonebatuli1851
@rizyonebatuli1851 Ай бұрын
😮
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
Mbona Gen z ,,,wanataka kila jambo walipinge tu hata kama ni zuri ,,,,kwahyo wanataka kila siku waongelewe wao tu,,,,,yaaani mnaandaman wnyewe alafu mnalalamka lalamika,,,,,,,mnataka kila muda kuongelewe nyinyi tu
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Ай бұрын
hata hao genz wamekuja sana
@Chaliwachuga-ns4hh
@Chaliwachuga-ns4hh Ай бұрын
Tulia wewe ungekua Kenya ndio ujue Chenye Una comment
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 Ай бұрын
@@Chaliwachuga-ns4hh 😁😁😁😁 basi tuendelee , tuone itakuwaje ,,,,tuendelee but tusibweke bweke ,,,na tusipinge matokeo yake
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
​@@jeremiahcharles6027tena unajua kinacho endelea Kenya, bila shaka ujui maisha ya Kenya mahali yamefika na utawala wa ruto
@rizyonebatuli1851
@rizyonebatuli1851 Ай бұрын
Htar😅
@okoyostephen6335
@okoyostephen6335 Ай бұрын
It's disheartening to listen to,or read rutos comments showing affection with what happens not within our country but without even as his Mafias continue with Extra judicial killings.Quite saddening.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Ай бұрын
Hajafanya vizuri
@Moseskoome-l1t
@Moseskoome-l1t Ай бұрын
wakenya kilakitu wanapinga bora to wapinge ruto anajitahindi sana
@Latifah-hf6fu
@Latifah-hf6fu Ай бұрын
Wewe ni mbwa
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Wa africa wengi nimakuma
@user-jb3cy3mw3rgn
@user-jb3cy3mw3rgn Ай бұрын
Kinachoonekana Waafrica wamechoka ukandamizwaji wa utawala wa magharibi, Ruto amejiunga sana na Magharibi akajionyesha hafai kwa watu wake.
@user-xo4qc2hk4j
@user-xo4qc2hk4j Ай бұрын
Huyo zakayo na angoje risasi kwa moyo
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b Ай бұрын
Ruto Ana pupa hawezi kufika kwa style hii
@Uwezohussein-me2gp
@Uwezohussein-me2gp Ай бұрын
Ruto kazi anayo
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 Ай бұрын
Ruto you not crc about your people you buys about America president yohh this is so bad 😞😞😞
@amotvtz1302
@amotvtz1302 Ай бұрын
Tatizo ya hii media ni Moja haitoi taarifa za nchi ya Tanzania.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Ай бұрын
Kabisa samia yupo uko mikoan katangaza bei ya mahindi ameongea vitu vingi makonda hapoi uko arusha watu wanakatwa mapanga wengine wanapotea mara watu wasiojulikana vitu ni vingi sana.kushabikia vya wengine vya kwao aaaah
@SWAGA_BOYS
@SWAGA_BOYS Ай бұрын
AMO TV 📺 zitowe wewe hizo taarifa nao wako subscribers wawili
@Munchkins77
@Munchkins77 Ай бұрын
@@melanialeonard4031 Kuna TBC, ITV, Azam TV, Mwananchi, Global TV, Ayo TV, TBC na media kibao zifuate huko, wote wanaripoti, na tayari inaonekana kuwa unafahamu kinachoendelea, hapa unatafuta nini? Kila media ina angle yake, hawa wameamua kudeal na habari za kimataifa, local news wameamua kudeal na burudani, lifestyle zaidi. Unadhani wamefikisha watu 1.3m kwa bahati mbaya?
@user-us4tg2it5q
@user-us4tg2it5q Ай бұрын
,,,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@SWAGA_BOYS
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 Ай бұрын
Labda wanaogopa Sheria yamakosa ya mtandao au...
@AtmuthoniMsoo
@AtmuthoniMsoo Ай бұрын
Hikes on Extra judicial killing in Kenya sasa watu wanakatwakatwa in😢😢😢 am just done
@3erffeoui86
@3erffeoui86 Ай бұрын
RUTO NI UMBWA WA WAMAREKANI
@djafro8729
@djafro8729 Ай бұрын
Ambia sma yeye hamjui shetani Ruto. 2007 aliua watoto kanisani kiambaa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Kujipendekeza kwa mashoga ni moja ya makosa ambayo Ruto anayafanya.
@erickomyboy
@erickomyboy Ай бұрын
Yaani huwezi kusoma ujumbe jinsi ulivyo kwa kingereza....?
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs Ай бұрын
Jaribio la kutaka kuuawa sio kuuawa😂😂😂
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Ай бұрын
Aaah kwani kutoa pole ni kosaa???
@user-hr4bh4nf6w
@user-hr4bh4nf6w Ай бұрын
Kwani hapo nako kakosea??
@user-qz3zl4xt1r
@user-qz3zl4xt1r Ай бұрын
Nikosa kubwa kuweza jirani na kwako pako matokeyo mabaya ya mauwazi makubwa ya vijana wanaoteteya hakizao hana habari na raiyawake wanauwawa anajipendekeza kumabebero wakubwa zake
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Kukolonewa kifikra ni hatari sana, Ruto hana uchungu wa watu wake wanao uawa Katika maandamano bali anauchungu na watu wa Marekani. Kweli huyu jamaa ni mateka wa nchi za Magharibi pole sana Wakenya mnasafari ndefu ya utumwa.
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Fanya mahishayako
@fathers19991
@fathers19991 Ай бұрын
Wakenya wanatumwa na nani
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 Ай бұрын
Hata mm natamani KUJUA
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Ай бұрын
Gen Z... Jawabu liko na Ruto...
@InnocentZamkulu
@InnocentZamkulu Ай бұрын
Watajutia baadaye.
@hashimkasimu6050
@hashimkasimu6050 Ай бұрын
Putin hamjui kuw ruto katoa eneo kwa ajili ya jeshi la marekani na mpaka alipigiw mzinga
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
NI KOSA KUBWA UKIANZA KUFAGIA UNANZIA CHINI YA MIGUUNI MWAKO KWENDA MBELENI 😂😂😅😅
@jacobeliufoo7635
@jacobeliufoo7635 Ай бұрын
Hyo account yako ya x weka dark themes itakuwa poa sana
@Benjaminkakamasha662
@Benjaminkakamasha662 Ай бұрын
Huyo mzungu trump apendi wafrica hata kidogo hata iyo risasi ingepigwa nyingi afe kabisa shenzi mkubwa yy
@widebrainclassic
@widebrainclassic Ай бұрын
Anakosa utu ju kama nchi yake inaungua na hasemi kitu anaongea ya marekani
@mwenebatuetabo5515
@mwenebatuetabo5515 Ай бұрын
Nikuhelewa hali huyo nikibaraka alio wekwa
@user-gh4mg2wn8y
@user-gh4mg2wn8y Ай бұрын
Huyo ruto ni shoga mwenye nyota mbovu..
@AbubakariBausi-zd6xf
@AbubakariBausi-zd6xf Ай бұрын
Na ruto wangekuuwa tuu gen Z nije niwape ak47 Hahahahaha
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
G zege ng'oa hiyo Rutobwe🤮🤮
@Tsbz9154
@Tsbz9154 Ай бұрын
Hafai kutowa kitu hio
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g Ай бұрын
Adui wa kenya sio ruto adui wa kenya ni wakenya wenyewe wanakubali kutumika kisiasa na kuharibu nchi yao
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t Ай бұрын
Mbwa wwe hujui unachokisema hyu mtu ni muuwaji sna
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g Ай бұрын
Sawa mbwa mwenzangu naona umenijibu
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Ай бұрын
​@@user-rc2ye4ri6taliuuwa mamako? Achana na ruto mbwa wewe
@user-wf7em3yl8z
@user-wf7em3yl8z Ай бұрын
Nimakosa
@ShafiiDauda-mh9ju
@ShafiiDauda-mh9ju Ай бұрын
🤔🤔🇰🇪🇹🇿🤔🤔🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 Ай бұрын
Yalitumgwa
@Latifah-hf6fu
@Latifah-hf6fu Ай бұрын
Lazima alambe matako ya wabeberu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Manahoko hanalamba matako ya nan
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb Ай бұрын
Ni watu wangapi kenya wameuliwa kwa kupigwa risasi na kukatwa katwa na kutupwa kwa mito na hajawapa pole?
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Walikuwa wanataka wenyewe umehambiwa usfanye ivi ukahamua ww kukaid utapgwatu
@AbuuAli-nf4fb
@AbuuAli-nf4fb Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n wameambiwa na mungu ama ni majambazi wauwaji ?
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@AbuuAli-nf4fb kwaiyo ww hapo ulipo unafata shelia yamungu au ya taifa
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
@@AbuuAli-nf4fb mungu hana shelia nawala hanahamli kwa mtu
@joezeno8
@joezeno8 Ай бұрын
Huyu KIBARAKA anangaika saana 😂
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
Hupitwi wewe baba!!! Khaaa!!! Tunataka utoke hiyo kujipendekeza kwako ukapewe uraia uko marekani
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Ай бұрын
Kama inauma chomoa
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n wewe ndie imekuuma ndio umejileta kwenye comment yangu, hau nimasima haikuumi ushakua shimo? Maana naona kwako inachomoka yenyewe ata aingoji kuchomolewa!
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n wewe ushachomoa? Au kwako imechomoka yenyewe ?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n wewe umeshachomoa? Au yako inachomoka yenyewe?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
@@user-tq4lx9si1n wewe inachomoka yenyewe
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k Ай бұрын
Ruto ata inzii n vidudu vingine havitaki ata kumsikia anaboa vyakutosha
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 28 МЛН
Urusi yamkamata Naibu Waziri wa Ulinzi wa zamani
1:26
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 4,4 М.
Joho DAZZLES CROWD in Homabay, AFFIRMS support for Ruto come 2027
18:09
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 6 М.
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 155 М.
ВЕЛОМОТОКРОСС 😯 #Shorts
0:28
ФАКТОГРАФ
Рет қаралды 236 М.
Самый безумный водитель #дуракинадороге #shorts
0:11
Дураки на дороге
Рет қаралды 806 М.