Asante sana Mama Samia kwa kutoa Pole ya jumla kwa Watanzania❤! Tunakupenda Rais wetu.
@salymzoro8745Ай бұрын
Global TV mpo vzuri sana Asante kwa habari nzuri
@GraceJoseph-u2qАй бұрын
Asante mama 💖🙏🙏 mwenyezi mungu awaponye haraka wagonjwa wote awatie nguvu wafiwa eeee mwenyezi mungu baba😭😭😭😭ziweke roho za wapendwa wetu mahali pema peponi🙏🙏🙏
@ElickEmanuelАй бұрын
Ee mungu tupe mwisho mwema na wapokee ndugu zetu amina
@BentiM-q2cАй бұрын
Ameen yarabbi
@godfreyswai4965Ай бұрын
Asante mama yetu raisi mungu akupe maisha marefu kwakutoa pole nakuwajali Hawa walio pata majanga.
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
❤❤ Allah atatufanyia wepes kwa kila hatua ln shaa Allah... ndio mitihan ktk safar ya mwanadam ..kubwa tumuombe Allah atupe Khusni hatma Yarrab 🤲
@FASSALEHALIBАй бұрын
AMEEN YAA RABB.
@MamaAmina-s8kАй бұрын
Mungu akujalie Mama yetu kipenzi mungu akupenguvu nalooyako iyoyo yauluma mungu akuweke Amin Amin
@ModestaNjauАй бұрын
Asante mama kwa kujali kama watoto wako. Mungu akulinde
@RodamathayoАй бұрын
Ubarkiwe sana mheshimiwa Rais Kwa kuwafariji wahanga Na watanzania wote🙏
@GraceBonyo-sm6tiАй бұрын
Ubarikiwe sana mama mie nakuelewa raisi wangu
@GraceBonyo-sm6tiАй бұрын
Unaroho nzuri sana mama majengo yachunguzwa
@umfahad2609Ай бұрын
Nawe pole saana Mama Samia. Kwa kupoteza wananchi wako, hasa wakiwa bado vijana na wanapambana na maisha. Inahuzunisha sana. Mcba huu huu umetuhuzunisha wengi. 😭😭💔💔🇴🇲Nakupenda sana Mama.💕💖🌹
@annatondi8657Ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda na kukutunza mheshimiwa una utu na kujali najivunia kuwa na rais anayejali sana Mungu akuongezee mitano tena
@AndreaDaud-k2cАй бұрын
Asante sana mama mungu akutunze na akulinde bado tunamachozi mengi kupoteza watu tuliozoeana nao kifo kama mshumaa upepo ukizidi unazima😭😭😭😭😭😭😭
@SaumuTojaАй бұрын
Mwenyezi Mungu awape makazi mema peponi amini
@AlexDaniel-q5pАй бұрын
Mungu awalaze mahalo pema peponi wote walio fikwa na umauti🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@MeoexaOscaАй бұрын
Asante rais wetu kwa.maneno.ya hekima uliyoyasema
@BakarHamad-z8oАй бұрын
Mungu akupe nguvu ya kuendelea kulipambania TAIFA hili inshallah mungu aendelee kukuweka ukiwa na afya njema
@WilliamNyanginywaАй бұрын
Tunakushuruku Mh. Rais kwa kututia moyo Mungu akubariki sana
@umfahad2609Ай бұрын
Namuomba ALLAH ampe umri mrefu wenye uzima na afya Mama Samia.
@LaurentMagesa-iv5ytАй бұрын
Pole pia mh rais Samia kwa kuwapoteza raia wako.
@jumamohamed4808Ай бұрын
Pole sana piy mama
@ZainaHamadi-yl8erАй бұрын
Amina yarabi kwasote piya Allah akupe umri mrafuu naafiya jema❤
@DafrosaMisago-em6wkАй бұрын
Ooooh Mungu awafariji wote wariopoteza families zao poleni sana ndugu zetu
@ndukulusudikucho_Ай бұрын
Mwenyezi Mungu awape mwisho mwema wote
@ramadhanifakikombo4010Ай бұрын
Asante sana MUHESHIMIWA RAISI nime furai kukuskia tupoweni woote TANZANIA na MUNGU ATUJAALIE subira
@BakarHamad-z8oАй бұрын
Hongera sana mama hakika unathibitisha ukomavu wako kweny uongozi
@kennethkirigha4042Ай бұрын
Preparedness and emergency response to disasters in Tanzania is severely inadequate. How can someone be transported in a canter truck instead of an ambulance? Who authorized the construction of the basement while the building was still standing and occupied? This is a clear example of rampant corruption within the Construction Authority Agency in Tanzania. To those who lost their lives, may they rest in peace. Wishing a swift recovery to the injured.
@KingstonbagamoyoАй бұрын
Poleni sana kariakoo na poleni sana viongozi wetu,pia poleni sana wafanya biashara na wakazi,hongera mama kwa kakemea wanaojaza mizigo kuwe na kipimo maalum mizigo inayowekwa kwenye apartment za makazi, mungu awajaalie Pepo njema marehemu,na wagonjwa wote mungu awape afya njema
@MussaOmar-no4joАй бұрын
Asante mama kwa huruma zako. Lkn sio tu kukagua umashuhuri wa majengo ila uwezo wa majengo pia uwe unafuatiliwa, ona shehena ya zogo lilikuwemo jengoni limepitilia uwezo. Hata ukichukua meza ukaitwisha tani za mawe itabonyea tu. Tuwe tunazikagua nyumba za biashara Mama. Asante
@Gsamir694Ай бұрын
Tunamuomba sana raisi wetu samia awasaidie familia zao waliofiwa na waliojeruhiwa
@SechySeche-hm6bdАй бұрын
Pole pia Raisi wetu
@Rasoola34Ай бұрын
Shukran mama Samia kwa kutufariji
@JamilaMokhamedyАй бұрын
Mama pole sana namajukumu mama yangu kutuogoza sijambo dogo mungu akulipe mama
@Abduli-n7jАй бұрын
Polen sana ,M/mungu awape nguvu wafiwa wote🙏🙏🙏🙏🙏
@JeniferKinaАй бұрын
.mungu akupezidishie umri mirefu na akuepushe na mabaya yote.
@jamesukombozi5216Ай бұрын
Tunakupenda sana Rais wetu 🎉❤
@VeriuseMnyakiweleАй бұрын
Pole sana mamaetu daaah
@JumaKanindoАй бұрын
Polen sana ndugu zetu mungu awape Wales kwakipindi Niki kigum
@Aida-qh3jqАй бұрын
Mwenyezi mungu akulinde na mabaya ya Kila namna uongozi wako uendelee mama na pia tunakushukuru sana kuipa tz pole kwa ujumla nasi tunasema mwenyezi awe na wagonjwa wote awape shifaa wapone kwa kwa haraka waendelee na majukumu yao
@singlemamaof4xx227Ай бұрын
Ameen❤ Asante mama ❤
@aishajuma7813Ай бұрын
Mungu awape nguvu familia zote 🙏🙏🙏
@HaythamIsdory-q7sАй бұрын
Pole watanzania wote nawe pole my president
@sKITOBOАй бұрын
RAIS WE2 SAMIA ASIEKUPENDA ANYWE SUMU❤❤
@SchadrackNiyo-e2jАй бұрын
Mwez mungu awapumzishe Mahalia pena peponi
@JOSEPHATBYALUANGAАй бұрын
Kweli hizi n siku za mwisho watu wanakufa ovyo mungu atulinde Amina
@LameckMbeleАй бұрын
Asnte Mama yetu nifaraja kubwa kukuona ukitoalea ufafanuzi wa janga hili Mungu akubariki mama
@NginaKimamboАй бұрын
Ahsante mama. Pole na wewe pia
@MidredEsauАй бұрын
Tuzid kuliombea taifa ketu
@EdnaMremaАй бұрын
Asante sana mama yetu Kwa kweli unatujali sana.
@ZaiGablilАй бұрын
Asante mama mungu akuweke nauwe namoyo uouo
@fridamwenda5728Ай бұрын
Asantee sana mama yetu kwa msiba mzito
@MonicahLaurentАй бұрын
Poleni mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
@DeusBrunoIgotiАй бұрын
niwape pole kwa ndugu mlio poteza ndugu zetu kariakooo dar
@subralugege7019Ай бұрын
Pole pia mama ❤
@TeresiaNgaidaАй бұрын
Mungu fanya wepesi maana mbele yao nyuma yetu
@EmanuermwambulaАй бұрын
😂😂😂 pole sana mungu awape Uvumirivu wote wariofikwa na msibahuu Asante mama kwa kutoa ushikiano wako Na serikari kwaujumla
@MariamuJuma-t8zАй бұрын
Kinachokuchekesha nini
@marymalley3593Ай бұрын
Mama yetu mungu akutie nguv uendelee na huo moy
@OphiryNtirnigaАй бұрын
Mungu akubark mh kwakuliona janga hili
@RaphaelNyerereАй бұрын
Pole Sana mama yetu taifa limekubwa na majozi
@MickTimbwАй бұрын
Asante bimukubwa kwautupapore
@JacksonLameck-j6tАй бұрын
Polen sana mlio wapoteza wapendwa wen mung azilaze roho za malehem mahala pemapepon amin
@HanifaUrassaАй бұрын
Hongera sana kwa Rais wetu shupavu
@AfaeAnde-h5bАй бұрын
Poleni sana ndugo wa tanzania.
@DeusBrunoIgotiАй бұрын
polen Sana kwa adha ya kuporomoka kwa gorofa kaliyakooo
@PiliismailPiliАй бұрын
Poleni sana wa tanzaniya
@mbulabalenzi3790Ай бұрын
Pole sana mama kwa msiba wa kitaifa
@muhammednassor3569Ай бұрын
Shukran mama u big up
@clauschaula2050Ай бұрын
Inauma sana.Mungu tunusuru na majanga ya aina hii.
@MulandaKasongoАй бұрын
Nitowe mkono wa pole kwa wenzetu, majirani lakini pia ndugu zetu. Kwa Msiba mkubwa wa kitaifa. uliye ikumba Nchi ya Jamihuri ya muhungano la Tanzania. Eh Jéhovah Mungu fariji utawala wa Nchi hii na familia zilizo gushwa na Mkasaka huu lakipini kupoteza wanetu. Mwanga wa milele uwaangazie na Raha ya milele awape eh bwana. Wapimzike kwa Amani.
@SamwelNjiliАй бұрын
Jina la mungu libalikiwa
@KibejosАй бұрын
Poleni sana kwawale walipata hasara kariokoo
@gracekagoma3231Ай бұрын
Majengo ya kariakoo ni balaa.Yabomolewe majengo yote watu wahame na ijengwe Shopping mall kubwa ya kimataifa vinginevyo mikasa itaendelea 😢😢
@homeandaway2811Ай бұрын
💯
@jabiraxmed7898Ай бұрын
Mimi naishi uk 🇬🇧 nilikuja mwaka jana nikayaona majengo nilisema hivo hivo yavunjwe yote
@philemonnongu3222Ай бұрын
Asante sana mh rais
@habibabarker1644Ай бұрын
Yarabi wape nguvu wafiwa tupo pamoja tushkuru Mungu wetu
@yudasanga-d2pАй бұрын
🎉mungu mwema atawaongoza wote Wazima hadi walio Aga dunia
@SakinaIdrissa-o8bАй бұрын
Jaman mama mi nakukubal sana nakuombea Allah akuzdshie kila la kheri
@SmilingBeachChairs-xl3fxАй бұрын
Uchunguzi wa hili ufanyike pande mbili 1 serikali 2mwenye jengo.,kwa upande wa serikali Kuna vitengo vinavyoshughulika na majengo especially maghorofa,inauma sana kuona msururu wa majeneza ya ndg zetu yanayotokana ukosefu wa umakini kwenye vitengo vyenye dhamana husika Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
@HamisiAbdallah-vu7fzАй бұрын
majengo yote yakaguliwe SIO kariakoo Tu
@AminaHaji-i4hАй бұрын
Tuwe pole wote watanzania mungu akuweke mama
@venancen.manori5293Ай бұрын
Asante mama.
@YonaMayayaАй бұрын
Polen sana ndg zangu.
@NoelaNgulukuluАй бұрын
Pole I Sana ndg jamaa na marafiki waliofikwa na janga la kuporomokewa na jengo Hilo la kariakoo POLE I SANA!!!!!
@RichardLyamuyaАй бұрын
Ukaguzi wa majengo uimarishwe hasa wakati wa kuyajenga .
@MoshiBuhoyeloАй бұрын
Pore saaana na mungu ataweka wepisi wakuwaokoa
@SofiaKhamisi-y2gАй бұрын
Mungu azipunzishe loo za maleem wot na pia awaponye majelui wote
@FaidhaMlanziАй бұрын
Yaniii
@MohamedKishoshaАй бұрын
😂😂😂 mwenyezimungu azilaze loho zao amiina
@SikuzanKongoyaАй бұрын
Ahsant mama kwa ushirik wako kweny janga hili
@HappyIceClimber-fw9ehАй бұрын
Tumuombe mungu atuongoze kwakila jambo
@JacobernestMlulaАй бұрын
Pole Sana mama lakini huyo injinia maliyesimamaia Hilo jengo akamatwe na mwenye jengo wote w akamatwe mama kuwa mkali kabisa
@MwajumaShabani-c9pАй бұрын
Nikusema alihamdulilah
@TwalibuPangoАй бұрын
Allwahu akbaru
@sipirianLeonidasАй бұрын
Nakushukuru mama samia kwamusaad urioutoa na wazirimukuu kwa husimamizi wa huokoaji hasanten sana
@rabanphotostudionyakanazi_4115Ай бұрын
Poleni sana.lakini tunapaswa kujua chanzo Cha ajari hiyo
@Gsamir694Ай бұрын
Tunamuomba sana raisi wetu awakamate mara moja mwenye ghorofa lililo ua na kujeruhi watu
@saimonisinani4616Ай бұрын
Mungu hawa laze roho zao mahali pema peponi amina
@MushiJoylineАй бұрын
Sawa mama
@AnethJoseph-x6tАй бұрын
Mama tupe mda wa maombi tusifanye kazi kwa mda matukio yamezidi sasa mama tuangalie😢😢😢😢
@DidaskamiliАй бұрын
Mwanga wa milele uwaangazie
@HashimMussa-ss4qfАй бұрын
E,mwenyezi Mungu wapokendu guzetu waliotangulia mbeyaki uwalaze malipema peponi E,mwenyezi Mungu tunakuomba wajawako uwasame. Makosa yao waliotangu liha kwako kwenye ak