Рет қаралды 101
“Kidata mimemuondoa…niliona mwisho atadata kwa namna alivyokuwa anaandamwa…” - Rais Samia Suluhu Hassan akielezea sababu zilizomfanya amuondoe aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata na kumteua kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais, Ikulu.
#AzamTVUpdates
Mhariri |Onike Masayanyika, John Mbalamwezi