RAIS SAMIA ATAJA SABABU ZA KUMWONDOA BOSS TRA "UHUNI WOTE WA TRA UMEFANYWA NA WEWE, MLIKUWA MNAIBA"

  Рет қаралды 40,970

Uhondo TV

Uhondo TV

5 күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 175
@hamisimwinzagu6624
@hamisimwinzagu6624 4 күн бұрын
Ungemtumbua waziri wa fedha ingekua vzr sana maana watanzania tunalalamika ila bado yupo tu daa
@augustinekusekwa183
@augustinekusekwa183 4 күн бұрын
kabisa sio siri
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 күн бұрын
Si vyepesi Sana Rais yeyote kumtumbua Waziri wa fedha anless Rais awe hashirikiani naye kwa njia isiyofaaa Yaani mwaminifu kwelikweli awe na hakika hana makando kando ya kipato cha kificho
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 күн бұрын
Serikali hasikilizi wananchi. Power iko kwa watu, na serikali ni ya wananchi. Wabunge wako bungeni kusimamia haki zetu. Kwa sasa serikali ni ya CCM. Na wabunge wanakiwakilisha chama na sio watu. Mishahara yawo inalipwa na wananchi. Katiba mpya inatakiwa haraka kutuokowa kwenye huu utumwa mambo leo. Watu wasitegemee vyama vya siasa kupata haki zawo. Kila mtu awe na uhuru bila vyama. Walioiteka nchi kupitia vyama vya siasa. Tuseme tu haki, Watanzania wengi wako utumwani
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 күн бұрын
Waziri wa fedha ni kwenye group la wapigaji. Wananchi wamelalamika hawasikikizwi. Rais kajifanya bublu. Kuna Siri gani hapo?
@bundaman8542
@bundaman8542 3 күн бұрын
Watu mna roho mbaya hata bila sababu. Hivi bila Mwigulu asingekuwepo pale hiyo miradi mikubwa ingekuwa inatekelezeka. Ni ma trillion ya pesa yanahitajika. Usipokuwa na kichwa kama hicho utafanikiwa wapi. Nenda shule ndo ufahamu watu wanavyofanya kazi
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 4 күн бұрын
Nchi ikikosa kiongozi ni hatari sana!
@geey7893
@geey7893 2 күн бұрын
yani ni aibu
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 күн бұрын
Mama Samia ukweli ni kwamba kulipa kodi hatuna shida, tatizo kodi zetu za Tz ni za juu mno, zinatuumiza sana
@kwisa4899
@kwisa4899 3 күн бұрын
kwahiyo zikipotea kwako huna shida ?
@section8ight174
@section8ight174 3 күн бұрын
Lol you have on of the lowest taxes in the world and there you are still complaining without doing your due diligence!! Make Google your friend kind sir!!
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Ebu fikiria kodi asilimia 70 ya matumizi yao asilimia 30 ndio ya maendeleo hahaaa yaani wanamatumizi kama mchwa.Bado wanakopa toka Mwendazake atutoke kukopa kweli kweli na bado hajijulikani zinaenda wapi.Cha kushangaza anajua wanaiba anatamka wanaiba kisha bado anawaweka hao hao watanzania hivi tumelogwa ?
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 күн бұрын
Tz Tatizo shule w congo w Zambia Malawi msumbiji Burundi Rwanda wamekimbilia Mombasa kisa TRA Uganda hawana bandari lkn watu wanaenda Uganda, et rist mapato mtapata je
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 2 күн бұрын
Na matumizi yake pia
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 4 күн бұрын
Watu wanaiba kama hakuna serikali. Watu wanateseka, bunge limetekwa. Wananchi wanaotetea Mali za wanatanzania wanaambiwa wabebe Mizigo yawo watóke bungeni, utafikiri bunge ni la watu binafsi. Uwongo juu ya uwongo. Wabunge wote wakianza kutowa hoja zawo wanamushukuru Mwenyezi Mungu kisha wanamushukuru Rais. Rais amekuwa Mungu wa pili. huku hawatetei haki.. Wenye akiri zetu tunajuwa hizi ni sifa za uwongowa. Wanayoyasema pembeni wanajuwa wenyewe.. Wanaosema ukweli na watetezi wa haki wanafukuzwa bungeni. Haki iko wapi?
@rendiman2878
@rendiman2878 4 күн бұрын
Kwasababu matanganyika ni maoga kama mbwa koko
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 күн бұрын
@@rendiman2878 Na wewe ni raia wa wapi?
@rendiman2878
@rendiman2878 3 күн бұрын
@@Mima-cl2im huwa sijibu usenge huo. Mafisi mikishindwa hoja mnaanza kulliza uraia wa mtu kwasababu hamtaki kuambiwa ukweli
@section8ight174
@section8ight174 3 күн бұрын
Nyie wasenge sijui Wa Burundi ama Kongo, vipi mmetumwa nini kutuchokonoa?
@section8ight174
@section8ight174 3 күн бұрын
@@Mima-cl2immkongo Huyo! Nadhani wanalipwa na wazungu kutuchokonoa, wasenge wanafirwa hawa
@elioimer8423
@elioimer8423 3 күн бұрын
Kama mama Anasema mnaiba , kwa nini wasistakiwe. Nchi ya ajabu sana.
@geey7893
@geey7893 2 күн бұрын
sjawahi kusikia speech ya hivi kutoka kwa raisi wa nchi ndugu zangu.kazi tunayo
@elisharenatus9351
@elisharenatus9351 3 күн бұрын
Sema Rais ni mlalamikaji sana juu wezi badala ya kuchukua hatua ya kuwatumbua very sad
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 2 күн бұрын
Kama unajua walikuwa wanaiba mbona huwachukulii hatua!!
@PeterNMzee
@PeterNMzee 3 күн бұрын
Nasikia kichefu2
@justinemsela3593
@justinemsela3593 4 күн бұрын
Mh rais wetu Samia, kwann watu au taasisi zinazotajwa na CAG kufuja pesa za uma hawachukuliwi hatua za kisheria na kiwajibishwa
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 4 күн бұрын
Professor anasema tunakopa sababu sisi matajiri. Mama hiyo kauli Mh Mwigulu alikuwa atumbuliwe. Ukweli ni kwamba mapato hayaridhishi. Mama matumizi yasiyo ya lazima yapungue. Nashangaa waziri wa fedha halipi kipaumbele. Ripoti ya CAG zinaonyesha pesa nyingi inapotea kwa uzembe wa wafanyakazi. Napendekeza tuwe na sheria kali dhidi ya ubadhirifu wa mali ya umma.
@section8ight174
@section8ight174 3 күн бұрын
Kunyongwa tu kama wanavyofanya Uchina au kukata vidole kadiri unavyozidi Kuiba kama Saudi
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 күн бұрын
Waziri wa fedha hajtali hali ya watanzania. Huyu yumo kwenye kundli la mafisadi ndiyo maana anasema sisi ni matajiri. Ukiingia kwenye siasa unatajirika bila kuwa na kiwanda. Tayali, kisha mmutayalisha Mtoto wake kuingia kwenye siasa. Tanzania tutawaliwa na Hawo Hawo viongozi wetu. Wakitoka wawo wanashika watoto wawo. Vijijini watu wanakula majani. Watoto bado wanakaa chini. Walisema elimu bure, ni Uwongo. Viongozi wetu wanaishi kitajiri na kufumbia macho shida za wananchi. . Mama anakopa anamwaga, watu kama wakina Mwiguru wanachota, Rais hana habari wanamuziba macho na masikio kwa kumpa sifa, mama anaupiga mwingi. Watanzania tuna shida kubwa sana kwa elimu yetu ndogo.
@Piscesblair
@Piscesblair 2 күн бұрын
Hongera Sana Mama yetu. Tutanyooka tu. Mdogomdogo. Bado Halmashauri zetu.
@gm003
@gm003 3 күн бұрын
Mtu anaeiba anawezaje kupewa kazi ingine??? Unatuambia nini Mama Abdul sisi Watanzania Mafala?
@gm003
@gm003 3 күн бұрын
Mama Abdul, unafurahisha, Kidata jizi, sasa ndo MSHAURI WAKO WA KODI, haaa Watz kweli sisi ni mafala, ilibifi tuingie mitaani jana na sio kesho, ccm wanatuchezea!!
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 күн бұрын
Haya yote unayokataza yanakujaje kila mara yanajirudia,na ĺundo la kodi tusilolimudu linakujaje?! Uongozi wa juu umeshindwa kubuni vyanzo vya kodi tofauti na kukamua wananchi tu?! Huyu waziri wa fedha hana ubunifu tofauti akaacha kukopa mfululizo huku anatuletea tozo mfululizo!? Loh! Mtatuua lkn na ninyi mtakufa mtaziacha
@raymondtenga
@raymondtenga 3 күн бұрын
Mama nakupongeza kwa jitihada ZAKO. Ulinip nafasi ya kukushauri, nitakujulisha Kama ifuatavyo:- Watoza Kodi Wana elimu ya kutoza Kodi lakini walipa Kodi hawana elimu ya kulipa Kodi. 2 Walipa Kodi wakifanya makosa Wana adhabu(penalty) Watoza Kodi wakifanya makosa hawana adhabu. Ukubwa wa adhabu unatoa fursa ya watoza Kodi Kutengeneza fursa za rushwa na wizi. 3 mbinu za kushawishi ongezeko la wafanyabiashara NI dhaifu. Njia za wafanyabiashara kupata mtaji NI finyu. Mifumo ya mikopo NI mibovu ( mikopo kausha damu) imezidi na inadumaza biashara. Waziri wa biashara na viwanda awe na eliminate yakinifu ya ujasiriamali ( Entrepreneur ship knowledge know how.)
@gm003
@gm003 3 күн бұрын
Kutokopa mama Abdul kunawezekana, PUNGUZA ZIGO LA MATUMIZI YA SERIKALI...mashangingi na mianya ya kupotea kwa pesa za walipakodi, kupitia watendaji wa serikali...na hii kazi ccm haimuwezi.
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 4 күн бұрын
Mama naomba uwe serious na watz Wengi majizi ,ndo maana nchi haisogei
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 4 күн бұрын
Mchoma picha ya raisi yupo sero ilihali wezi na mafisadi wanaachwa tu kwa kubembelezwabembelezwa! Tanzania na vichekesho vya viongozi wetu.
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 4 күн бұрын
Mwizi anakaa mesa Moja na muheshimiwa! Mwizi.....nani analinda raia na Mali zao? Nani anapambana na kuzuia rushwa?
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 4 күн бұрын
Hivi vyeo vya kupeana vina tabu sana.Mtu anaharibu hapa anapelekwa pale.
@MATIKO9640
@MATIKO9640 3 күн бұрын
Katiba ya nchi yetu hakika ilitudhurumu haki yetu ya msingi ya kupiga kura, kumchagua kiongozi takwa letu sisi wananchi na sio takwa la katiba ya zamani ambayo haina hata mchango wa mawazo yetu sisi kama raia wa sasa tunaongozwa, huko ni kutuburuza, kutulazimisha kukubali maamuzi ambayo hatukushiriki, Dah!. hayati rais wa Iran alipofariki kwa ajali, uchaguzi ukaitishwa ili kupata rais wa wananchi, na hivyo ndivyo inavyotakiwa hata katiba iwe,makamu wa rais hatumchagui sisi, inakuwaje then anakuwa rais na hatujamchagua? au mimi ndo sielewi, basi mnisaidie mawazo.
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 3 күн бұрын
Punguzeni VAT ni kubwa mno wekeni walau iwe 12% ili waingizwame walipa kodi wengi zaidi
@selemanijumaselemani7191
@selemanijumaselemani7191 2 күн бұрын
Shida wanakusanya kisha wanaiba pengo linazibwa na mikopo,mzigo unabaki palepale kwa wananchi kulipa deni, hiyo ndio mifumo ya viongozi wa Africa tunaomba Mungu amuongoze.
@rahimmaulid2283
@rahimmaulid2283 2 күн бұрын
Tatizo tukishauri serikali ndo utasikia ila mimi kama kijana Anaependa nchi yake ukweli mama yangu Rais wangu kumtoa kidata Dar cjui ili sijazungumza vibaya dr es salaam inatakiwa mtu kamq mzee wetu kidata Aliweza sana tena sana
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 3 күн бұрын
Kodi bado IPO juu Sana, especially kuna watu wa nao ishi nje ya nchi ambao wanapotaka kurudi nyumbani huja na Mali zao Sasa Kwa Nini walipe Kodi ya Mali zao???wakati nivitu walipata Kwa Kazi zao.
@yusufurhobi9678
@yusufurhobi9678 4 күн бұрын
Sio kwamba wanakula kulingana na urefu wa kamba yao
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 күн бұрын
Na yeye Samia ndo alisema hivo.
@generosennko8343
@generosennko8343 3 күн бұрын
Viongozi mweenye skio na asikie. Mama kwa utulivu amewapa hekima ktk kuongoza kwenu.hakubakisha kitu. Please go and perform. Asante mamakwa maneno yenye mshiko. I hope wameelewa ulivyowaagia. Mungu barikiTanznia
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 күн бұрын
Huwezi kumteua unayejua kuwa alikuwa anaiba. Hii inaumiza sana tena .Binafsi nimesikitika sana.
@amohammed3390
@amohammed3390 3 күн бұрын
If there’s system of justice there would be no stealing but caring thieves is not acceptable
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 4 күн бұрын
Tra ,takukuru,ewura,tcra,nida ni institution zinazotakiwa ziangaliwe kwa jicho sanifu mlo kwani ni sekta nyeti ktk maendeleo ya nchi why?we lives like this?
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 4 күн бұрын
Mwigulu yupo njiani nawengine nimeshasoma nyakati
@kwisa4899
@kwisa4899 3 күн бұрын
Anahistoria ya wizi arafu Tiss inapatika kazi nchi ngumu hii
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 3 күн бұрын
Nchi ya kulalamika kila mmoja.Aibu sana
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 Күн бұрын
Mungu wangu jamani nchi haina rais
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 2 күн бұрын
Sina lakusema zaidi ya😂😂😂😂 maana kama mwizi wa kuku yupo segerea au kauwawa wezi wa fedha ya serikali❤❤❤
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 күн бұрын
Kwa kauli hii ya Rais ni kama kusema "Mchawi mpe mwanao akulelee"
@ImamuKitale
@ImamuKitale 3 күн бұрын
2:28 magufuli tuu
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 күн бұрын
Unafiki viongozi raisi akiongea wanasimama wanainama unafiki ,sisi watu weusi alieturoga alishakufa….
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m 3 күн бұрын
Bora tufe sisi watoto wetu waishi kesho,hatuna rais hapa
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 күн бұрын
Waziri ndiyo fisadi,tumbua mawaziri wako,huyo umemuonea,
@siamollel6051
@siamollel6051 4 күн бұрын
Jamani ,jamani,Tuafika kweli?Maisha nimagumu
@htx1873
@htx1873 2 күн бұрын
Fisi anapelekwa kwenye mifupa halafu tunaexpect asile mifupa , jamani hivini ni kweli ? 🥴🥴🥴 Time will Tell !!!
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 4 күн бұрын
Mama SMAIA SULUHU HASSAN. Umenena vizuri umeelewaka. Sasa Fukuza kazi Majizi yote serkalini ili update pesa za kuendesha shughuri za serkali.. usiyaoneee huruma kabisa. Ukifanya hivyo utaona hazina pesa zinajaaa tele..
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 4 күн бұрын
Mawaziri anawagopa,au hakuwatea yeye
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 күн бұрын
Huo uwezo hana.
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 2 күн бұрын
Angemtumbua waziri wa Fedha,ni mwizi halafu kiburi cna
@JonathanMwandala-hs3ld
@JonathanMwandala-hs3ld 2 күн бұрын
Yaaani unajua kwamba ni mwizi afu unampa tena cheo,daaah hatare sana iii
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Sikuwahi kuona kushuhudia kusikia Raisi wa nchi anaongea hivi inasikitisha mno
@iddyekanda6456
@iddyekanda6456 Күн бұрын
Kuna majizi yanaiba hayashitakiwi alafu wananchi tunakamuliwa kulipa kodi punguza kodi iwe rafiki na mfanya biashara hakuna mwananchi atahepa kulipa kodi,, Kariakoo ukinunua bidhaa ukiitisha risiti unaulizwa upewe risiti ya kusafirisha bidhaa au ya kununulia,
@Nedjadist
@Nedjadist 4 күн бұрын
Watu wamewaibia wananchi maskini yab idi kwanza wzfilisiwe pili makama tatu warudishe mali. Marufuku kufanya kazi ya umma milele. Halafu anamteua mtu anayekiri ni mwizi! Unauchekea ufisadi! Ila mtu akipasua picha....
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 3 күн бұрын
Ote hao ni wezi
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 күн бұрын
Samia nchi imekushinda. Una woga mwingi. Huna udhubutu, unawaogopa wala rushwa wenzako. Ripoti ya CAG imekushinda kuifanyia kazi. Tumepiga kelele mpaka tumechoka. Mnakusanya kodi zinaishia kwenye mifuko yenu. Kama hamkujifunza kutoka Kenya basi zibeni masikio.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 күн бұрын
Utafungwa na domo lako hilo, hivi ukiulizwa unaweza kutoa uthibitisho kwa hicho unachomshutumia raisi?!
@BraxedaDomina-xn4zc
@BraxedaDomina-xn4zc 21 сағат бұрын
​@@rayisadesigns2646Acha kutisha watu bro
@geey7893
@geey7893 2 күн бұрын
we si ulisema Magufuli alkua anakusanya kodi za manyanyaso? sasa mikopo ya nini? bado hamjasemaaaaaa
@thomaskwibonelwa9240
@thomaskwibonelwa9240 2 күн бұрын
Ni ajabu kiongozi kulalamika. Watanzania tupo milioni 60, kwanini akumbatiwe mwizi mmoja! Wapo wenye sifa, shida hawajui kuimba mapambio kusifia.
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 3 күн бұрын
Mtumbue waziri wako wa fedha yeye ndiye KASWENDE KUBWA matatizo yote ya RUSHWA Bandarini, Kariakoo yeye anjua Siri zote na ndiye mtoa maagizo ya kusamehesha KODI. Utawabadilisha Makamishina na Kuwatumbua kwa maelfu lakini hujajibu KIDONDA.
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 4 күн бұрын
Kweli mama
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 күн бұрын
Kumbe walikuwa wanaiba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 күн бұрын
Haya sasa
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 3 күн бұрын
Safi sana mama kwa maneno mazuri nakupenda sana
@edgerphanuel6967
@edgerphanuel6967 2 күн бұрын
Kila la kher
@PeterNMzee
@PeterNMzee 3 күн бұрын
Hamna kitu hapa.....hata hiyo hela mliyo kopa mmeiba.....madeni sisi ndo tutalipa.....anyway nadhani mnaona yakiotokea kenya
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 күн бұрын
Hongera mama,kuwa mkali sana na usicheke na kima.
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 2 күн бұрын
RAIS wangu kipenzi naomba wezi kwenye utumishi wawajibishwe kama wahujumu uchumi shida iko wapi kufanya maamuzi? Badilisha Sheria ya utumishi watu wafungwe maisha na wafilisiwe Hadi paka wao WATAACHA WIZII!
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Күн бұрын
Mama achavupumbavu selikali siyo mumewako. Acha kunyenyekea kiivo unaangamizanchi. Toa kauli za kishujaaa ao wapumbavu wanakucholatu. Kwamala yakwanza nchi itachafuka kwenye uongoziwako
@davidmgedzi9879
@davidmgedzi9879 3 күн бұрын
Mama nakuelewa ila ebu tumbua kidogo shida mama una hofu ta mungu sana watu wanaona km we we huna sumu ebu wang,ate kwanza😅
@alexkatama4341
@alexkatama4341 3 күн бұрын
Tukodishe management ya TRA kutoka nje kwa mwaka mmoja tu....Wabunge pia wanapaswa kulipa kodi
@IlalioMbunju-hv7kw
@IlalioMbunju-hv7kw 3 күн бұрын
Kwa kuongezea maneno ya Rais, mkumbuke kwamba mtakufa na kama mmeiba sana hamtaenda navyo kwa Mungu mtaenda na roho tu. Rais kasema cheo ni dhamana tu
@majaliwaharuna4064
@majaliwaharuna4064 3 күн бұрын
Suala la kuiba fedha za serikali ni kweli wanaiba lakini mama unaposhindwa kuwachukulia hatua hao wizi ni wazi kuwa hata huyo mpya ataishi kama waliotangulia.unapomtengua mtu Kisha anakuwa mshauri wako sijui unategemea nn hapo
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 2 күн бұрын
Mmmmhhh mungu tuhurumie.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 4 күн бұрын
Samia wetu mpendwa, tafadhali ondoa matumizi yasio ya lazima serekalini, mfano, magar ya garama, kwa baadhi ya viongoz,
@nasibuathumani7705
@nasibuathumani7705 4 күн бұрын
Nataman siku moja. Nikutane na mama. Nimwambie njia nyingine ya kupata pesa. Nampenda sana
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 3 күн бұрын
Andika hapa ataona😂😂
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 күн бұрын
Niambie mimi tukazipige hizo hela
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Күн бұрын
Ao wanalipwa msahara mkubwa alafu unawachekea kuwa mkali kama umeshindwa kaapembeni ata akuna point uloifanya apo
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 3 күн бұрын
Wanakusanya wanatia mfukoni TRA ni cance ambayo haina dawa katika kiwanja Cha ndege dar wanakwambia kabisa mzigo wako bei ya kawaida ni milioni lakini ukitoa laki Tano nakuandia lakitatu laki mbili mfukoni mwake kwa siku anakusanya ngapi cargo huko na ushahidi ninao wanasumbua sana watu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 күн бұрын
Manabii na mitume wa uongo walipe kodi wanawaibia wananchi maskini
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 2 күн бұрын
Mungu tusaidie wewe peke yako hakuna mwingine. Na waziri wa fedha je? Mmmh .
@SanziNzige
@SanziNzige 3 күн бұрын
Yani na limwigulu limo TU HUMO ndani? na wewe mama una mwangalia TU mwigulu kafanya zuri lipi huyo unamuacha HUMO?. NI vichekesho TU.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 күн бұрын
Inchi NGumu hii bila mageuzi ya kimfumo taifa litasota saana
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 2 күн бұрын
Mama mpole mpole ila kama mkali kiaina
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 күн бұрын
Huyo ndo ataiba zaidi ya hao
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 3 күн бұрын
Maneno mazuri kbx, tatzo linakuja wap? Rais au wateule wake? Rais mm nakuelewa sana lkn skupi kura maana unaoteua wote ni mizgo,
@alexdukes5547
@alexdukes5547 3 күн бұрын
Mwarubain nikutengeneza mfumo mmoja unayokusanha mapato yote ya serikali na taasisi zake,hii kunyesheana vidole hata hujuwi pesa zako zinaibiwa wapi ni uongo,kila unapolala hakikisha umefunga hesabu zako za makusanyo kila siku,kumbuka pesa ni namba unashindwaje kutengeneza mfumo unayoweza kuzibiti rushwa?😊
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 күн бұрын
Wafanyakazi wa TRA wana mihela na mali zinazozidi mishahara yao, nao wadokozi. Pia wafanyabiashara nje ya mji hawatoi risiti kabisa na hawana hofu.
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 2 күн бұрын
Mama leo mkali umekuwa
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 3 күн бұрын
Sasa km mwizi ushamtangaza hivyo wa nini huyo hii nchi aibu tupu wanaongea km bongo move yaani wizi unachukuliwa km kigezo cha kazi nzuri kutokana na maneno ya Rais
@theonalyalfred8087
@theonalyalfred8087 Күн бұрын
Tunashida miaka5
@bundalaizina652
@bundalaizina652 3 күн бұрын
Bashe jee
@hijaabdalah9235
@hijaabdalah9235 3 күн бұрын
waislam awaibaki mama umecheza kama pele
@BonyGood
@BonyGood 2 күн бұрын
Mama Suluhu
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 4 күн бұрын
Unamtumaje mwizi akafichue mbinu za wizi alizoziweka mwenyewe??? SSH Watanzania siyo wajinga kiasi hicho... Wewe sema umemtoa kidata kwa chuki binafsi... Wewe mama ni wa hovyo sana
@htx1873
@htx1873 2 күн бұрын
Trust me I wonder the same way , !! Like hooooooowww ?😮 yani hai make sense kwa kweli, eti mwizi akawabadilishe wezi wenzie 😂😂😂😂 jamani nimechekaaaaaaa😂😂😂
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 2 күн бұрын
Uwelewa mdogo eti wewe kubadiliuso umeshindwa hlafu unamtaka uliemteuwa abadiliuso umefeli vbya haijawai tokea toka uhulu
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 3 күн бұрын
BIG UP mama! Nimeipenda level ya seriousness ktk hotuba. Lakini wahusika ktk system wawajibishwe wanaohujumu mapato
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 күн бұрын
Actions speak louder than words! Otherwise these are mere orders of the day!
@user-lw3tg3yg5b
@user-lw3tg3yg5b Күн бұрын
Nanni awajibiswe na liniwawajibishe? Ripoti za cag nani aliwajibiswa? Hayo maneno tu
@ImamuKitale
@ImamuKitale 3 күн бұрын
Magufuli tuu
@user-so8uh8bt5t
@user-so8uh8bt5t 3 күн бұрын
Mama usiogope vimbe mungu zamana uliopewa utakuja kuulizwa komaa maangu nyoosha kama mtangulizi wako kwahili umenikuna
@user-cy5jg4cx7i
@user-cy5jg4cx7i 3 күн бұрын
Ni kweli wafanyabiashara mikoani hawazitumii EFD ukiwauliza list wanasema hawamuelewi waziri wako wa fedha mbadilishe ili nchi iende
@SanziNzige
@SanziNzige 3 күн бұрын
Na mwigulu ndo tatizo kubwa katika taifa hili wengine ndo wanafuata.mwigulu jamani
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 4 күн бұрын
Nikweli mama ila angalieni kiwango mnacho toza
@leokamil6284
@leokamil6284 2 күн бұрын
Shida ni hiyo hawaangalii ngo'mbe anahitaji nini mpaka afikie kukamuliwa maziwa, wao kazi yao kukamua tu mpaka ngo'mbe atoke damu badala ya kutoa maziwa
@msamanga2277
@msamanga2277 3 күн бұрын
Mama hii ni kweli kabisa, waambie wapunguzue kukopa
@user-no2ut7yd3e
@user-no2ut7yd3e 3 күн бұрын
Mama kumbe sasa umewagundua kwa ushauri ondoa waziri wa fedha,mambo ya nje,mipango na mawasiliano hawa wanacheni kali ila ni ya wazi sana tunaiona kwani wananini ,mama wafuatilie na ukihitaji msaada tupo.Ushauri sina kinyongo ila nakuhurumia kwa kutuhangaikia na wezi wanakucheka .
@simonsadala2386
@simonsadala2386 3 күн бұрын
Mh Rais umemalizia vyema kwa kusema cheo ni dhamana
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 күн бұрын
Rudisheni mfumo wa kusajili wafanya biashara hata mama lishe. Ili mjue jinsi ya kuwasaidia.
@feiswalsalim2117
@feiswalsalim2117 3 күн бұрын
kwani mum haukuona mjpmba alikuwa akifanya kazi kwa hosipitali ya vetinary hapo wito kwani mum haukuiona nikuwa tu nikupatarifa
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx 3 күн бұрын
Ali participate halafu akazibe
@MartineShija
@MartineShija 3 күн бұрын
Msicheke tunaumizwa Sana Maumeme nayo niwizi2 wabunge nao wanakunja posho2 walahata hawalisemei hilo wamebaki
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 3 күн бұрын
Wapi magufuli tumbua tumbua
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 3 күн бұрын
Mama safiiii
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 47 МЛН
Khó thế mà cũng làm được || How did the police do that? #shorts
01:00
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 10 МЛН