RAIS SAMIA AELEZA JUU YA KAULI ALIYOWAHI KUITAMKA BAADA YA JPM KUFARIKI 'NI MTIHANI WANGU WA KWANZA'

  Рет қаралды 36,906

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 112
@tukyaclassic-xm1qd
@tukyaclassic-xm1qd 9 ай бұрын
Hata Ivo haujaweza kuwa raisi! Umepwaya kabisa na hatutamani hata kdg ukalie hicho kiti baada ya 25
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Ni rais mzigo rais dhaifu ameipoteza Tanzania 🇹🇿 kwenye ramani Rais alikuwa Magufuli Tanzania ingeendelea sana kama Mungu asingemchukua mpendwa wetu Magufuli , huyo Bibi ajuza hamna chochote mipasho Na hivyo kusifiwa ndio anapenda Na wezi wanamjulia wanamsifia huku wanaiba
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 9 ай бұрын
Yaaani hakuna raisi apooo taarabu, ngonjera nyingi promo kama msanii afu kazi aslimia 0
@AlbertShayo-i6v
@AlbertShayo-i6v 9 ай бұрын
Mungu akubariki na kukulinda utuvushe
@patricktimoth8476
@patricktimoth8476 9 ай бұрын
Mungu akulinde
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 9 ай бұрын
Huyu mama propaganda anaijua kweli kweli umetisha sana Mh Rais wetu Dr Samia piga kazi mama
@neemamgesi3752
@neemamgesi3752 9 ай бұрын
Anayemvalisha mama hongera zake💯
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 9 ай бұрын
IKULU NI MZIGO.....kifo cha Rais wetu JPM,Kamwe hatuwezi kusahau.maana kuna watu wengine walifurahi....kuna wengine mpaka leo machozi hayakauki.Mama Hongera kwa kutufikisha hapa tulipo,nakuomba angalia miripuko ya bei.Wananchi tunaangaika huku.
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Hamna chochote cha maana alichofanya ameharibu nchi nchi imekuwa ya ovyo tena kama enzi za Kikwete hawa watu wa pwani hawawezi uongozi ni wapenda starehe Na hawawezi kutoa maamuzi magumu ! Tutamkumbuka daima Magufuli
@blessingmuyambo908
@blessingmuyambo908 9 ай бұрын
Very intelligent President ❤
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 9 ай бұрын
Hongera Mama Samia rais wetu ❤
@abbumwaipopo2940
@abbumwaipopo2940 9 ай бұрын
Hongera sana mama mungu akulinde na akubaliki kifupi niseme tunaona kazi inaendelea na iendeleee. Sisi Wana mbeya tulikua na ombi Moja tu. Tunaomba utusikilize na Imani yangu kubwa ni kwamba utatusikiliza.
@mkude
@mkude 9 ай бұрын
Hongera MAMA SAMIA Watanzania wengi tunakupenda
@YohanaMagembe-i6z
@YohanaMagembe-i6z 9 ай бұрын
🎉 Mliovaa Bimini hapo mbele ya rais hamfai kuwa viongozi jifunzeni kwa mama anavyojisitiri
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 9 ай бұрын
Shida sio mbele ya rais, issue ni sitara, hata kama angekua mbele ya watoto wake.😢😢
@simonchambo1230
@simonchambo1230 9 ай бұрын
You deserve madam president God bless you to lead our country well.
@OctavinaYustoNyandwi
@OctavinaYustoNyandwi 9 ай бұрын
You look Good, Hongera sana Rais wetu, umependeza kweli, Ivo Safi kabisa.
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 9 ай бұрын
DAAH aisee nimefurahi sana ☺️ mama SAMIA nimejifunza kitu kikubwa sana Maishani mwangu kuhusu Uongozi 🇹🇿 Asante sana mama 😍😍☺️
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 9 ай бұрын
Ametufundisha wengi hakika nimekuwa jasiri lakini mwenye matumaini kikazi,kulea pia katika kuona utukufu wa Mwenyezi Mungu na kusudio la kutuumba tumuambudu na kumtegemea
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 9 ай бұрын
Wanafki ni wengiiii sanaaaaa nchiii haendeshwi kwa promo na kuwinda teuzi, mwamba alifanya vitendo nakukamilisha miradi ndo ilikua promo yake now days zimerudi siasa na maneno mengiiii kazi 20% uhalisia ni hakuna kitu apooo
@mwajohari4385
@mwajohari4385 9 ай бұрын
Naupenda, Mama
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 9 ай бұрын
Mama dkt Samia Suluhu Hasani UNAWEZA KUONGOZA nchi yetu 🎉❤❤❤🎉🎉
@fdizzo
@fdizzo 9 ай бұрын
Wazee wa buku20 mpo kila sehemu🚮
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 9 ай бұрын
Mmmu mbona amependeza sana leo mh.? Na amekuwa kama kasichana!!!!!!
@mudy-hf6rv
@mudy-hf6rv 9 ай бұрын
Sang A
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Ndio vitu anavyojua mama wa pwani kuvaa vijembe taarabu Na anasa kusafiri kama kikwete Na sijui ni mke mwenza watu wa pwani hawawezi uongozi wako laini sana Na dhaifu
@MwalamiGande
@MwalamiGande 9 ай бұрын
Ahsante mama acha nikupe 🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏💯💯💯
@Antelius-ew6it
@Antelius-ew6it 9 ай бұрын
Mmh! Hii nchi bhana
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 9 ай бұрын
Kilichotokea ni neema ya Mungu tu,mm nauhakika ndan ya mioyo ya watanzania sidhan kama unakubalika hata kwa asilimia 20,shukuru tu katba mbovu ndo imekuweka hapo ulipo,
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu 9 ай бұрын
N kwel kiongozi.
@ruwaichijoseph5946
@ruwaichijoseph5946 9 ай бұрын
Sasa tueleweje mwenyewe hujiammini au ?
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Mimi mwanzoni nilimpa muda ila nimekuja kuona ni mbabaishaji na ana mikakati yeyote ni katiba mbovu tu imemuweka madarakani
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 9 ай бұрын
Uyoo porojo nyingi, siasa nyingi hatuoni hata kazi, kazj yake ni kazifanya media ziimbe jina lake na machawa kuliko kutenda kazi, miradi mingi haiendi kasi ndogo afu eti baadhi ya viande eti umetuvusha kweli mabongolala yapo badooo
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 9 ай бұрын
Kabisa labda walopewa helaa ndo wanamkubalii, ila siyo mzalendo hata kidogo hamaanishiii, chochote kazi kupromo tu jina lakee utendaj asilimia 0
@tanunewstz
@tanunewstz 9 ай бұрын
❤❤❤❤
@GRACERICHARD-g9o
@GRACERICHARD-g9o 9 ай бұрын
Safi sana mama tunakuamini kazi nzuri
@MACKMLUMA-f2j
@MACKMLUMA-f2j 9 ай бұрын
HONGERA SANA RAIS WA JMT,DKT.SSH,NINAIMANI KUBWA NA UONGOZI WAKO. BY BK,MUHAYA ( RAIS WA KAWAIDA_ FROM MWZ.
@Jal210
@Jal210 9 ай бұрын
Katiba tu inakulinda isongekuwa katiba usingeweza
@lupamwakyusa1582
@lupamwakyusa1582 9 ай бұрын
Kabisaaa yaani ni tarabu nyingiii kuliko kazii, hakuna kitu apoooo
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 ай бұрын
MAMA AMEPENDEZA SANAAAA. ALIVE MVALISHA ASANTE SANAAAA
@MrDreamMtemba
@MrDreamMtemba 9 ай бұрын
❤❤❤❤ ongeren wanawake
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 9 ай бұрын
Mama unastaili kupewa tuzo,ya kamataifa.
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 9 ай бұрын
Mama kama mama woow❤❤❤❤🎉 kapendeza mashaa allah
@patricktimoth8476
@patricktimoth8476 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 9 ай бұрын
Majizi Yana shangilia kweli kweli
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Ujapata kazi zamu itafika
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 9 ай бұрын
@@jumamussantuiche sijawahi waza kuungana na wezi
@HamadiMaganga
@HamadiMaganga 9 ай бұрын
😅😅😅
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Wanamjulia Samia anapenda sifa wakimjaza masifa ambayo Hana anacheka cheka Na majizi yanapata muda wa kuiba, upuuzi mtupu hizo gharama za kumsikiliza huyo Samia mpuuzi Na sherehe ya hiyo siku yao si wangekusanya hela Na kujenga hata shule zaidi za wasichana ili kumkomboa mwanamke Na ujinga
@denismasele4130
@denismasele4130 9 ай бұрын
Kwa hyo ile kauli ulikua unatupga changa la macho au😢😢😢
@mrsinia3064
@mrsinia3064 9 ай бұрын
Kauli gani hiyoo
@kissnarmgeni4845
@kissnarmgeni4845 9 ай бұрын
This woman is blessed. Our dear President be blessed more and more
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 9 ай бұрын
Tyr imeshakuwa role model
@evanceedwin525
@evanceedwin525 9 ай бұрын
😮
@byaombealoys5967
@byaombealoys5967 9 ай бұрын
Ukiona mtu anaongea neno alafu yafuatayo unaiona 1.. kung'ata mdomo..2kuangalia pembeni basi ujue hapo anapanga maneno ambayo sio kbs.... ameacha ukweli akaanza kuongea uwongo mtupu.... mnadhani mngemuoji siku ile au baada ya wiki kwani angeliongea ivyo??? Hapo kuna maswali kbs duh eti kutiana moyo kweli??????😢
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Ata mbuzi uwezi kuongoza
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 9 ай бұрын
Kwakweli mwanamke kweli. Tuvushe mama
@scolanamwinga9018
@scolanamwinga9018 9 ай бұрын
Kwali mama akili niakili inategeme unavyo itumia
@tushabefelician6875
@tushabefelician6875 9 ай бұрын
N'a wengi Walifurahi magufuri kufa
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 9 ай бұрын
mngemuuliza ile kauli aliyosema kulikuwa na simba wa yuda juu ya watumishi wa umma.
@victorymaiba1648
@victorymaiba1648 9 ай бұрын
😊
@johnsonjoseph6544
@johnsonjoseph6544 9 ай бұрын
Mama tunataka upinzani bungeni ili mifumo kandamizi ipigiwe kelele na matatizo ya nchi hii yapungue
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Atuna mpango na upizani
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 9 ай бұрын
Ww ni mwanamke ila kwenye urais ulisha feli huna uwezo wa kuogoza wanaume ww
@SteveMawi
@SteveMawi 9 ай бұрын
MWENYEZI MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MAMA YETU.NAKUPENDA SANA
@Manyanya8551
@Manyanya8551 9 ай бұрын
Raisi leo umetuangusha Hereni umeziacha wazi?!!
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 ай бұрын
Ulitaka afiche?
@Manyanya8551
@Manyanya8551 9 ай бұрын
@@adkajisi4536 ndio
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 9 ай бұрын
Mhhhh
@jumaally4263
@jumaally4263 9 ай бұрын
Jali uongozi wa nchi. Helen zitakusaidia nini asipozivaa
@fdizzo
@fdizzo 9 ай бұрын
Ndio wasomi wa nchi yetu yani alicho kiona Apo ni icho tu! ili li nchi ni rahisi Sana kuliongoza watu wake ni wajinga Sana🚮
@SelijusiMalambo-q2u
@SelijusiMalambo-q2u 9 ай бұрын
Mmmmmh
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 9 ай бұрын
Naona mama yenu leo Kawa mulimbwende
@highvoltages4169
@highvoltages4169 9 ай бұрын
Wivu utakuua
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 9 ай бұрын
Mama unatupanga huna mkakati kma nchi mbona uelewe au mpk ulazimishwe uache uraisi naona kma nchi tuanapotea kwa sababu miradi imekaa mda mrefu bila kumalizika pumzika tyu usitutie ahibu
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 9 ай бұрын
Subiri 2025 ajipange up yaw. Maana hiki kipindi alistukizwa siwezi kumlaumu. ANAFANYA VYEMA
@fdizzo
@fdizzo 9 ай бұрын
Kwakweli kipindi chake kiishe
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Raisi wenu anaweza nenda mataifa mengine uwone uzaifu
@queenmollel6739
@queenmollel6739 9 ай бұрын
Ni muhimu kwenye maisha yangu kuliko Marais waliopita
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Hana mikakati kabisa maono na ubunifu, na hamna mradi wowote wa maana ameweza kubuni Samia anatembelea upepo wa Magufuli na ni muongeaji sana na ni muongo safari zake alikuwa akirudi anatoa ahadi nyingi ila hamna kinachofanyika hata ujenzi wa Dodoma wameanza kujenga kimasikini hamna tena mikakati ya kujenga jiji kisasa na liwe na treni za mjini nk
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 9 ай бұрын
Mhuuu kubulaga hujeho shini mayu!!!!
@highvoltages4169
@highvoltages4169 9 ай бұрын
Google imeshindwa kutafasiri
@guugug9gt829
@guugug9gt829 9 ай бұрын
Hakuna atakimoja kilichoebdelezwa toka magufuli kufaliki
@makingireuben
@makingireuben 9 ай бұрын
Ha
@sundaysHassan
@sundaysHassan 9 ай бұрын
Ni comment wap
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Hamna kitu sio kiongozi mzuri hawezi kufanya maamuzi magumu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Asikupe kula
@queenmollel6739
@queenmollel6739 9 ай бұрын
Fanya kazi maamuzi magumu yafanye wewe mwenyewe kwenye maisha yako
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 9 ай бұрын
Wewe kuweza?? Ukipewa hii nchi hata siku moja utatuua wewe! Mama Samia tunakupendaaa!❤❤❤❤
@highvoltages4169
@highvoltages4169 9 ай бұрын
MUNGU kamjalia kila mtu na kipawa chake, chamsingi ni kusonga mbele
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
@@queenmollel6739 mpuuzi sana wewe hujui hata umuhimu wa kuwa Na kiongozi wa nchi aliye imara kama JPM unafikiria bila JPM mngepata miradi mikubwa, si unaona Samia hata kufanya kuwe na uhakika wa sukari hawezi hakupaswa kuwa rais hajiamini na hawezi kufanya maamuzi magumu
@fdizzo
@fdizzo 9 ай бұрын
Kiukweli kabisa uyu mama hatoshi katika iyo nafasi.Uku mtaani wananch atumuelewi kabisa.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 9 ай бұрын
Ata bimkubwa nyumbani aumuelewi
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Upumbavu mtupu Rais dhaifu
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 9 ай бұрын
Tuache utan huyu mama ni mzuri mno.ningekuwa na uwezo ningeomba hata kuoa familia yake
@universalenergy8060
@universalenergy8060 9 ай бұрын
Wow kapendeza sana ❤
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 6 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 46 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:13
BBC News Swahili
Рет қаралды 12 М.
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 48 М.
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 6 МЛН