Rais Samia aweka wazi sababu za kumpeleka Makonda Arusha

  Рет қаралды 5,262

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Rais Samia Suluhu Hassan ametaja sababu za uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha huku akieleza anachokitegemea katika utendaji wake mkoani humo.
Rais Samia amesema hayo leo Aprili 4, 2024 kwenye uapisho wa viongozi wateule, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Пікірлер: 6
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 5 ай бұрын
Safi rais samia , arusha inahitaji kiongozi kama makonda, good move
@NgoloMpologom
@NgoloMpologom 5 ай бұрын
Nakukubali sana makonda wangu,mungu akutangulie
@LENGIMASharifa
@LENGIMASharifa 5 ай бұрын
DOH malazi hakuna kuna logde zipo na zinasifa njema. ilaaaaa.....
@DonnyMafikiri
@DonnyMafikiri 5 ай бұрын
Pamoja na mazuri anayofanya mama.....sioni kwa nini anazungusha tu badala ya kuchagua wengine wapya?
@EmanuelElphas
@EmanuelElphas 5 ай бұрын
Karibu Arusha michango ya ovyo wanafunzi wanarudishwa Hadi nyumbani kisa 2000 ya kila wiki wametujeuza chuma ulete bila kujali mwenye nacho na aside kua nacho Arusha dc
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
Mbona hawapigi makofi
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1 МЛН
MAKONDA Akimuomba Msamaha MBOWE, Askofu AWAPATANISHA!
4:03
Global TV Online
Рет қаралды 196 М.
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН