Barikiwa sana mtumishi sisi waTanzania tunaoipenda nchi hii tunawauliza maswali ya msingi ni nini kimefichwa huko Ngorongoro na kwanini wanatumia nguvu kubwa kuzuia watu wasiingie huko?
@chumhaji6787 Жыл бұрын
Mtumishi wa mchongo
@Ambwene Жыл бұрын
Kabisa broo huyu mpumbavu kashaiuza Ngorongoro
@IssackSamizАй бұрын
@@chumhaji6787sss😅en x/c v f g g v g.
@ChristerShao Жыл бұрын
Vyeo vya kisifa vitapita lakini neno la mungu litasimama.Mbarikiwa mungu akutunza.
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Aamen! Barikiwa sana mchungaji Mwakipesile 🙏🙏🙏🙏
@davidmwaipopo5171 Жыл бұрын
Leo nimekuelewa Sana mtumishi wa mungu Kama ngolo ngolo sio Dubai tundulisu aachiwe haraka sana
@ramdanmbara8500 Жыл бұрын
Mimi ni Muislam, lakini leo hii hakika nimekuelewa na kukukubali. Mungu akupiganie Mtumishi..
@Ambwene Жыл бұрын
Kabisa broo
@leyasekilekoyo Жыл бұрын
Amen 🙏 mtumishi mungu atawalaan hii serikali ya mama samiy na mwenyezi mungu atawadhibu
@DONALDMTOWE-u9g Жыл бұрын
Tunatangaza mauti kwa wote wanao watesa wamasai,na mungu tunae mwamini hata kaa kimya.
@GMD820 Жыл бұрын
Kabisa kabisaungu asiwasaze
@israellotas3655 Жыл бұрын
😆
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Mungu asikie haja ya moyo wako
@StevenNyanguye Жыл бұрын
Safi sana wewe ndo msema kweli yawezekana kumeuzwa.nguvu inayo Tumika kubwa mno.ipo siku yatafahamika mwisho wa mateso haya
@ommimg2467 Жыл бұрын
tumekwisha mi nna uchungu kweli yaani.. 😢. ila nilishajua sababu kwann rais hana uchungu na Tanganyika.
@luciasteven3314 Жыл бұрын
Nipe bas sir n mm nijue kwann hana uchungu
@helbertsoneka2008 Жыл бұрын
Ongea Mtumishi Mungu azidi kukutia nguvu
@KessaBlessing Жыл бұрын
Kweli kabisa mbarikuwa uko sahihi mungu azidi kukupa ujasiri
@raymondchaula3914 Жыл бұрын
Mbarikiwa Mungu Akubariki Kwa kuendelea ktk Mahubiri yako kukemea maovu
@rajeshndola Жыл бұрын
Bravo pastor strong speech!
@SuleimaniFihoma Жыл бұрын
Tuna penda watumishi Kama huyu wote tungeubili mema kwa nguvu Kama huyu tungekuwa mbali sana
@Ambwene Жыл бұрын
@@SuleimaniFihoma kabisa kaka suleimani tutaanza kuingia na Pasipoti Ngorongoro kama raia
@davidmwaipopo5171 Жыл бұрын
Hapa nimeanza kuamini nchi imeanza kuuzwa na tayari wenye nchi mmeanza kuwakamata wakisubutu kuingia katika baadhi ya maeneo Kama ngorongoro
Nampenda Sana raisi wangu ila kwa kamata kamata hii nashindwa. Kuelewa mkuu wetu polisi watakuharibia jina lako Kama wanatumwa na mtu nakuomba mshugulikie.
@malyondanga4635 Жыл бұрын
uko vizuri mbalikiwa We huwa napenda kukuita Jasri waroho Nafc namwili
@BarakaOlesamwel Жыл бұрын
Mungu atupiganie basi eeee Mungu cmm nac barikiwa sana pst
@urumtewele9693 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awehakimu wa Tanzania aisimamie na aiokoe awaangushe yeyote atakae kuiangusha Tanzania awaangushe wale wote wanaotafuta kuwaangamiza wa Tanzania Mungu ahimidiwe milele AMINA
@jongoshaushi6945 Жыл бұрын
kazi yawa2mishi nipamoja nahii kuwatetea wa2 mungu mbariki sana mwakipesile
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Mtamkumbuka ndugai alivyo sema siku moja nchi hii itauzwa!
@Haarun-h4q Жыл бұрын
Mwambieni Samia ipoh siku atalala kama Magufuli. Huko atakuwa poker yake, hakuna mapolisi wala chawa.
@GMD820 Жыл бұрын
Haelewi jmn huyu mama ila ole unakuja
@JeremiaholendikaMakeseni5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@muharamiesther5908 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tuepushe na Viongozi Wapumbavu 🤲🙏😢🇹🇿
@ThomasSimba-gu6oo Жыл бұрын
Tiini kila mamlaka maana kila mamlaka inatoka kwa Bwana wetu, kuwasamehe bure
@HamisMghuna-fj3vz Жыл бұрын
Bila katiba tutakufa kw umaskin hawana huruma mungu atusaidie kuazibu Asante MBARIKIWA, ALLAH,L
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Kwani yanayoendelea yameruhusiwa na Katiba ipi?
@GabrielPetro-qj2mk Жыл бұрын
MBARIKIWA wewe ni saut ya mungu duniani, tusemehee baba yetu
@bonabonala5559 Жыл бұрын
mungu akubariki barikiwa mungu anakutumia samia atumtaki bara aende kwao znz atatuua nae atakufa akiwa madarakani aende kwao znz atumtaki mh samia
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
Kweli kabisa aende zanziba Samia ni shetani
@oscarcharles9624 Жыл бұрын
Asante mtumishi
@AlexMetwi-y8u Жыл бұрын
barikiwa paster
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Huyu mhubiri angekuwa jirani na nyumbani kwangu ningekuwa naenda kusali kanisani kwake kila siku ya ibada
@luciasteven3314 Жыл бұрын
😂😂😂ain y kinagwajima sijui gwajima wamemfny nn skuiz hasemi kitu
@hosianamosha389 Жыл бұрын
Yaani kweli hili ni swali la kijiuliza kunanini wanachokificha huko Ngorongoro
@mulingwajuma136 Жыл бұрын
barikiwa nakukubali sana umenena kweri mungu akupe maisha malefu
@paswasadera9691 Жыл бұрын
May the Lord almighty keep you safe for these generation.
@bensenlukumai4691 Жыл бұрын
Pamoja sana mtumishi wa mungu
@remigiusmbele Жыл бұрын
Mama samia tumekuchoka uondoke tuachie tukomboe ichi yetu na tuna omba tundulisu aachiwe aendelee na kutupa elimu huyu ni mzarendo sana mungu amlinde huyu lisu
@rehemakanyere4188 Жыл бұрын
Aende salama safari
@MACHOYATAI-jk6fu Жыл бұрын
@@rehemakanyere4188 wee mjinga
@eliyajohn4626 Жыл бұрын
Hii nimeipenda
@altonkanjolonga2380 Жыл бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA
@ThomasSimba-gu6oo Жыл бұрын
Mungu anamtumia mtu kufikisha ujumbe wake kwa watu wake,Bwana akutie nguvu Mtumish
@dominicksangu8934 Жыл бұрын
Tunataka lissu achiliwe ndio kauli yetu wana nchi.
@victaboy7273 Жыл бұрын
Hawana paspot tenah!!!!😨😨😥, duh. Sasa Tanzania siyo salama tenah.
Mtumishi mungu aaendelee kukutia nguvu na akubariki sana pia ayafute machozi
@stivensimeo1467 Жыл бұрын
mtumishi nilopendezwa naye🙏
@WilliamMlangi Жыл бұрын
Wabongo bado tunakazi viongoz wetu mtupende bad raia wenu nasi tunapenda kuona aman ikitawala katika nchi yetu tunatamani sana tupate maisha mazuri wote
@josephmturi6936 Жыл бұрын
Kazi IPO mwaka huu Mungu tunusulu
@EliasMakesen Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe
@meshacklukumai581 Жыл бұрын
Mmbarikiwa ww ni mtetezi wa wanyonge❤
@LETSGOTOHEAVEN.HeavenHellissor Жыл бұрын
Nahisi ningekuwa kwenye kanisa hilo me ningehama yaan imekuwa tumachi Watu badala kupewa neno, chakula cha kifalme bali wanapewa siasa tena iliyo jaa chuki dhidi ya viongozi wetu. HAPANA SIO SAWA
@johngerald4677 Жыл бұрын
Ata wewe unatakiwa uwasemee wamasai mana msomela handen hakufai kwa ukame mimi niko mjini maji ya kuoga2 mtihani
@DivaMsukuma23 күн бұрын
😩😩😩
@oltetiangaroya8489 Жыл бұрын
Hongereni Sana watumishi wa mungu akutangulieni Kwa kusema ukweli
@methodmsokele2704 Жыл бұрын
Hapo siyo sawa
@alexjovin2981 Жыл бұрын
Mungu akubaliki mbarikiwa
@luciasteven3314 Жыл бұрын
Mbarikiwa nampenda sana ❤ yaani yy n tumbua tumbua hata haogop weeee hapna chezea Mungu akikuinua kwaajili y taifa hata ukimuua atainua mwingine mkali zaidi yake
@amosnnko7792 Жыл бұрын
Yesu akutunze baba uishi miaka Mingi papaaa be blessed always
@oltetiangaroya8489 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Sauti lazima iseme Tunaonewa Sana ngorongoro
@fredlusambo2452 Жыл бұрын
Nakuelewa Sana mtumishi WA Mungu 😂😂
@liliansindiyo1214 Жыл бұрын
God blesses you
@thobiasmasabile-cw9xo Жыл бұрын
Nikwambie mtumishi, Mimi natoa utabili wakweli, Sasa, mana naona hawaamini Wala hamtaamini, jiandaeni, kupokea talifa mbaya katika taifa hili, mwezi huu juu ya viongozi watesaji wananchi, Mimi nimesema kwaimani mungu anaenda kujibu maombi yetu musihofi, wanasamini mwarabu kuliko watanganyika, mda umefika sasa, wajiandae mungu aneanda kutenda jambo, kubwa Ili iwe fundisho, kwa wengine,Amina, mungu wangu anaenda kufanya jambo
@JaphetJames-yb1jb Жыл бұрын
Aminaaaa
@andrewkissavah8272 Жыл бұрын
Naiwe hivyo katika jina la YESU
@JoshuaOlelengu Жыл бұрын
Asante sana mtumishi wangu kwa kutuombea sisi Wana ngorongoro 😢😢😢 mama Sami ame tumiza bhn
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
MY CHURCH🙏🙏🙏❤️
@eliajimmy95 Жыл бұрын
MY CHURCH TOO
@kennymakunja405 Жыл бұрын
Huyuuu Mama atupishee kabisaaa kweliii ana onea..chadema.. kwanini. Asiseme na kubakia Kimya..? Ukimya ni ishara ya udhaifu
@ugalidona-cs2yn Жыл бұрын
MATESO MATESO Na VILIO VILIO Vya watu wa MUNGU Wa NGORONGORO Na LOLIONDO,Vimefika na Kubisha hodi kwa MUNGU,Amina. MUNGU Anashuka hivi sasa kupiga chini kabisa Utawala wa KIDHALIMU Ulioko huko, NGORONGORO Na LOLIONDO,Amina.
@LETSGOTOHEAVEN.HeavenHellissor Жыл бұрын
Njoo tuungane kwa pamoja sisi kama watumishi wa Mungu tuiombee nchi yetu na viongozi wetu Mungu awape Hekima sahihi ya kuliongoza taifa letu na si kuungana kukosoa na kuponda tu
@veronikakereto3515 Жыл бұрын
Hakikaa mungu atanyamazaa,ubarikiwee Sana mtumishi maana hauna ubaguzii baba yangu,tunaishii Kama yatimaa Kama ambae sio wazaliwa wa Tanzania,jamani watumishii wootee semeni neno kwa ajili ya wamasaii jamani
@brianshomi722 Жыл бұрын
Kila mmoja MUNGU ameweka kitu cha tofauti na mwenzake, hivyo kama umepewa mzigo wa kuomba maombi na Amani inatokea,basi fanya hivyo ila usimshangae mwenzako kwa kutofautiana na wewe
lazima mungu ata jithirisha juu ndugu yetu wa masai
@IbrahimTovagonza Жыл бұрын
Nakuombea Sana mtetezi mungu akulinde
@gwamakamwaikambo109 Жыл бұрын
Chama cha haki🙏🏻, haki mbinguni duniani ni..
@jacksonkipuyo441 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu ingekuwa bora Kufanya mambo mawili Kuliko hiyo kelele isiyo saidia Moja kufuatilia hali ya maisha ya watu wa ngorongoro hata kwa wachungaji wenzako kuliko kupiga kelele kwa kuwa lizu amesuiliwa mbona hujawai kulipa kelele Kwa sababu sasa unatumia jina La Yesu kwa kile usiyo kijuwa
@johngerald4677 Жыл бұрын
Mimi niko handeni ukipelekwa msomela huwezi ishi maji ya kuoga2 shida utapata ya kuzipa Ng'ombe wewe ndo hujui kitu
@DivaMsukuma23 күн бұрын
Wekwer mjinga unatetea maovu had motor mdogo amekushinda akili jiandaen namsiba mkubwA Tanzania hahahaha
@fredyjeremia70747 ай бұрын
We jamaa ukiongea vizuri sana
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Waambie mtumishi wa Mungu Samia sijui anaficha nini shauri ya waarabu tu aliowauzia na baba ake mwinyi
@mkude Жыл бұрын
Jinga kabisa nyinyi mnachuki na roho mbaya za ubaguzi sasa waraabu wanahusika na nini hiyo ngorongoro,ngorongoro wamasai wamehamishwa kwasababu ya national park.jinga kabisa nyinyi na chama chenu Cha chuki hicho
@ezekielkandonga9238 Жыл бұрын
Jiheshimu😏
@mkude Жыл бұрын
@@ezekielkandonga9238 na nyinyi acheni kuwapotosha watu na kusema uongo kuhusu mwarabu,mwarabu amekufanyieni nini nyinyi,waraabu walipewa loliondo siku nyingi game reserve lakini hii ishu ya ngorongoro mwarabu hapo anahusikaje maana wamasai wanatolewa kwasababu serikali imeona Ile sehemu ya national park wanataka wazidi kuiboresha
@LaizaErnest Жыл бұрын
@@mkudeKuma mamakooo
@FrankMndolwa8 ай бұрын
Tunahitaji watu wamfano wako kuiongoza nchi hii wengi tunao wachagua wapo kimasilahi binafsi na si kwa wtanzania.usiogope Chapa kazi aliyo kutuma bwana wa majeshi👍
@adamsanga062 Жыл бұрын
Kwa ukweli mmh nimekuelewa
@hawaelymaricca7602 Жыл бұрын
Acha kumwita SAMIA ,mwite Mh Rais mama Samia.
@ShakiruIsmail-d5n Жыл бұрын
asante mtumishi tema cheche za moto zikawe laana kwa wanaoleta shida
@peternengoswa Жыл бұрын
Mungu awe Nawewe kila wakati pasta
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Kweli kabisa halafu wanaanza kusema Chadema wanavurugu mmhMungu atusaidie hivi nyie serikali kwann mnatafuta Vita?
@misheckmrk8848 Жыл бұрын
Mtumishi kweli kabisa❤
@issawaziri2335 Жыл бұрын
Nimekukubali
@davidkalamata9040 Жыл бұрын
Aluta kontinua
@paulomollel9717 Жыл бұрын
Na mungu akubariki sana na kukupa ujasiri huo huo pamoja tundulisu
@PauloLeiyo2 ай бұрын
Eee mungu wangu
@NokorenKuluo-xd7wn Жыл бұрын
Amina San mtumishi
@rogersiddy Жыл бұрын
Watumishi wengi wa Mungu wamejaa unafiki huyu tofauti kbs na hao wanafiki wanaosifia watawala wakiogopa rungu la kukosa ugali watafungiwa makanisa yao lkn huyu Askof kakobe Muhingila aliesema Lisu ameshinda hawa ndo wanaotoa ushuhuda sasa
@LETSGOTOHEAVEN.HeavenHellissor Жыл бұрын
Nilikukubali sana mwanzo mtumishi ulivyokuwa umebase sana ktk Mambo ya ufalme wa Mungu. Lakini naona sasa umeagama kwenye government.
@brianshomi722 Жыл бұрын
Kwani anachokiongea sio NENO LA MUNGU? Au NENO LA MUNGU ni nini?
@mkingajuliuas9673 Жыл бұрын
Kule ngorongoro CCM wamewaficha waraabu pale ndio maana hawataki mtu aende pale wana kula nyama za wanyama wetu bure
@h.alshidhani8971 Жыл бұрын
Wewe ni khasf mkubwa
@Monica-vq2iy Жыл бұрын
Wanasubiri wanyama waondoke ee mungu waangameze wote wanaotoka kututekeleza watanzania tuteseke
@JonathanLyimo-k3b Жыл бұрын
Mtumishi wTu wafuge na kuomba sana Mungu aingilie kati
@SAMSONKOIKAI Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa utetezi wako wa haki,,
@MarietaMlowe Жыл бұрын
Kwa jina la Yesu lisu aachiweeeee
@IsayaAlanyuni-rb3fo Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ubarikiwe mungu
@masubukopita7201 Жыл бұрын
Daaah mtumishi was mungu anaongea kwa uchungu sana hakika mungu hatatuacha
@amad1638 Жыл бұрын
Sema kaka, maana tulikofikia sio.!
@victorkisenha5933 Жыл бұрын
Amen!
@brownmashine Жыл бұрын
Hakika aliyekupa jina la mbarikiwa hajakosea ni saut ya haki iliyo barikiwa
@charleskingimwakasagule5752 Жыл бұрын
Tunashukulu kwa kujilipua gwakukaja tupo nyuma yako 😢😢make ww ni mzalendo wa tz mungu akubaliki uwendele kuwepo uwendele kufufua makabuli ya sisiemu
@FahmiAbdalla-oi8ed Жыл бұрын
WATANZANIA WALO WENGI SI WAELEWA NA NI DOUBLE AU TRIPLE FACE'S LKN INSHAA ALLA KHEIR
@DanielDaudi Жыл бұрын
Ila unaamini Magufuli kama Mungu wako
@PhilipBahonya Жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@geofreybukwali9611 Жыл бұрын
Unasemaaa
@petermwenda6470 Жыл бұрын
Hii ndiyo injili, maana mfumo ovu hauwezi kumzaa mtu mwema, sijui wanaojiita watakatifu na wanapigana rohoni kwa mfumo huu utakatifu wao wameupataje kwa kujifungia ndani? This is the true Gospel man of God
@samiraseif Жыл бұрын
Mungu atawaadhibu mnatumia madhabau ya bwana,mnayageuza viwanja vya siasa,watanzania tunataka Amani,achenu kuchonganisha wananchi na serikali Yao,tumeshawajua mtashindwa kwa jina la yesu
@Mbarikiwa_Mwakipesile Жыл бұрын
Unachoita siasa ndicho ambacho Biblia ilikiita injili neno la Mungu. Yaani kutumia madhabahu kupinga dhuluma na uovu unaofanywa na yeyote (Soma Yeremia 7 na Isaya 58:1). Ila kama ulichanja chanjo ya corona dozi zote tatu au moja iliyo na nguvu tatu hapa nitakuwa naelimisha zombi.
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Nakupongeza umeongea vizuri ingawa sio sahihi. Uhuru bila utaratibu ni fujo!