RAMANI YA VYUMBA VITATU NA FULL BAJETI MPAKA KUPAUWA Tsh.(10,761,000)

  Рет қаралды 60,622

Sanuka Media

Sanuka Media

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@AkillyMussa
@AkillyMussa Жыл бұрын
Upo vizuri Mr House decorations. Maoni yangu ya ziada nafikiri ingekuwa vizuri zaidi uwe unatuambia na makadirio ya ukubwa wa kiwanja Kila ramani unayoitolea maelezo vilevile ungeziwekea namba hizo ramani ili mtu akiipenda akuambie nahitaji uniuzie ramani namba fulani
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 5 ай бұрын
Ubaya wake hajibu sms wasp sijui shinda yake nini
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 9 ай бұрын
Asante sana kaka yangu umenigusa sana,barikiwa sana
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 9 күн бұрын
Nimeipenda hii
@MagrethMushi-pr1mh
@MagrethMushi-pr1mh 10 ай бұрын
Daa Yesu akutiye nguvu umenifanya moyo wangu umefurahi
@NickoMapikipik
@NickoMapikipik Жыл бұрын
Nimekuelewa sana fundi Mungu alibariki kazi ya mikono yako
@betsyjimmy231
@betsyjimmy231 Жыл бұрын
Asante kwa darasa , Mungu abariki kazi ya mikono yako
@zephaniapaul9592
@zephaniapaul9592 Жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri kabisa kabisa mkuu
@Rahmapastory
@Rahmapastory 11 ай бұрын
Unanitia moyo,mungu akubarik
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 4 ай бұрын
Nimekupenda sana kaka nitakutafuta
@Daima-ik1cf
@Daima-ik1cf Жыл бұрын
Umenipa moyo kaka ahsante
@josiahkulwa5318
@josiahkulwa5318 11 ай бұрын
Hongera sana
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Bongo ujenzi rahis mm ntakutafuta InshaAllah
@deodathsilayo3639
@deodathsilayo3639 Ай бұрын
Hiyo Raman tunaipata vip bos
@RachelNgailo-vn5bj
@RachelNgailo-vn5bj 11 ай бұрын
Ndugu yangu umenitia Moyo na Mungu akipenda nitakutafuta.
@nembu1518
@nembu1518 Жыл бұрын
Umeongea ukweli mtupu fundi tuombeane mungu azidi kutubariki fundiiii Huna baya
@ashaashaa1959
@ashaashaa1959 6 ай бұрын
Ya allah turaisishiye nasis tufanikishe kujenga😢😢😢😢
@SamsungA03core-tz7sz
@SamsungA03core-tz7sz 2 ай бұрын
Amiin
@sakinayasini8328
@sakinayasini8328 Жыл бұрын
Nazikubali Sana kazi zako onger San broo
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 Жыл бұрын
Naomba no zako Bro
@west_ye
@west_ye 2 ай бұрын
Kimsingi gharama ulotaja inaweza ikawa ni kwaajili ya kunyanyua msingi tu. Inategemea ukubwa wa nyumba, Geographical location ya kiwanja na quality unayoitaka.
@OmanOman-v2g
@OmanOman-v2g Ай бұрын
Nimeielewa bro iyo nyumba nitakutafuta baada ya miaka minne nazichanga niko oman
@JaneNkwama
@JaneNkwama Жыл бұрын
Umesahau mbao
@muhiyidinishabani
@muhiyidinishabani 25 күн бұрын
Boss unapatina wapi?
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Umenitia moyo sana
@SaumuSaumu-r8i
@SaumuSaumu-r8i Жыл бұрын
Nitakutafuta Mr House
@chrissjapheth2803
@chrissjapheth2803 Жыл бұрын
Boss siku moja ongela kuhusu finishing
@خديجهخديجه-ط1ه
@خديجهخديجه-ط1ه 5 ай бұрын
Kaka..uko..vizuri ..naomba..namba .zako...nikutafute
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 4 ай бұрын
Nice
@خديجهخديجه-ط1ه
@خديجهخديجه-ط1ه 5 ай бұрын
Tunaomba..namna
@chosenfrank4286
@chosenfrank4286 3 ай бұрын
Unapotosha watu ndugu huo hapo sio chini ya tofali 3500 hadi 4000 inategemea uwanja
@rehemaanderson832
@rehemaanderson832 2 ай бұрын
Ni kweli kabisaa hapo ni Zaidi ya hiyo,
@abdulrahimmohamed7066
@abdulrahimmohamed7066 2 күн бұрын
Nahisi kakosea
@ruthchristian8080
@ruthchristian8080 2 ай бұрын
namba ZA simu ILI utusaidie na KUJENGA kabisa
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Hapo gharama za madirisha milango na finishing haijaweka ,
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Жыл бұрын
Na hapo ndio kwenye bajeti kubwa sasa maana kupandisha tuu sio kazi
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 11 ай бұрын
Tatizo Lenu Hamjibu Meseg Mukipigiawa Sim Hampokei Hilo Ndio Tatizo Lenu Mimi Nishawapigia Sana Hampokei Sim..??????
@love98910
@love98910 4 ай бұрын
0769502576 karibu
@PatrickEnock-is7ki
@PatrickEnock-is7ki 2 ай бұрын
Naaihitaji hii ramani
@dadamwajuma5155
@dadamwajuma5155 9 ай бұрын
Kiwanja ni ngapi kwa ngapi na pia utoe namba za simu ili tukutafute wengineo
@MonikaMbuya
@MonikaMbuya Жыл бұрын
Mimi pia najipanga maana nipo oman huku kwaiyo kuna hela zangu za mchezo nikipokea tu nakutafuta kaka
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
Kumekucha kumekucha pambeee 👌
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Жыл бұрын
​@@mariamkibindo1741😅😅😅
@christinagabriel5702
@christinagabriel5702 2 ай бұрын
Nahitaji ramani hii nitaipataje?
@dork8749
@dork8749 6 ай бұрын
hizo gharama haziko sawa kwa kila mkoa kuna mikoa mingine boma tu kwa hiyo nyumba ni 12m
@SimonMathew-cd5it
@SimonMathew-cd5it 4 ай бұрын
TOFALI ELF 1450 SI NI MSINGI TU HIZO HAPO SI CHINI YA TOFALI 3500 USIPOTOSHE WATU NDUGU
@mrutu9496
@mrutu9496 4 ай бұрын
Hata Mimi nimeshangaa.
@aliamjad2683
@aliamjad2683 Жыл бұрын
Hukaweka namba
@zubedasaid5962
@zubedasaid5962 3 ай бұрын
Nitakuita unijengee hadi hiyo kozi tatu ya juu maana kama siamini😅
@HgiHg-i7t
@HgiHg-i7t 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@NuruHasa-zp6cn
@NuruHasa-zp6cn Жыл бұрын
Tunaomba namba
@leonardkigere
@leonardkigere Жыл бұрын
namba kaweka katika hiyo picha ya nyumba huoni hapo kwa chini
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Duh unanitia hasira mm mwexi uloisha nimejenga kaka foundation tu milioni 1 na Laki7 tofali kajenga kwa m4nanusu😢
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 11 ай бұрын
Huenda kiwanja kina bonde kwa hizo garama lazima kiwanja isiwe n amwinuko hata kidogo 😂
@JaneNkwama
@JaneNkwama Жыл бұрын
Shs ngapi ili nielewe vzri nikupe budget yangu
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 Жыл бұрын
Hizi gharama zinafiti kwa nchi nzima, mfano Mwanza, hizi gharama zinafaa?
@rizikimabruki4131
@rizikimabruki4131 Жыл бұрын
SS WATU WA ZENJI VP MPO PIA
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Жыл бұрын
Mbona hujaweka madirisha, milango na tiles?
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Жыл бұрын
Yaani hapo hajaweka bajeti ya finishing
@jullytenga5934
@jullytenga5934 8 ай бұрын
Wanasemaga tu 10ml. Mpe sasa hiyo pesa uone maneno yanavokuwa mengi, mara vifaa vipo juu mara hatukupigia hesabu vioo, mara milango imepanda, mara maneno yanakuwa mengi. Mafundi kama mafundi.
@dork8749
@dork8749 6 ай бұрын
@@jullytenga5934 Kabisa. ukisikiliza unaweza ukafikiri ni rahisi sana lakini ni kujifunga kwelikweli sio mchezo
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg Ай бұрын
kaka nisaidie mimi jaman yangu ni vymba vitatu na vyoo viwili tu na na sebul mbili na eneo sio kubwa cha ajabu fundi kupaua kaniambia m 6 je ni kweli na nimemwambia sitak kona kona nyingi kwenye kupaua natak simple cha ajabu imekuja garama kubwa sana nisaidie kak
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Күн бұрын
😅😅😅kupaua ni mziki dada mbona hiyo ndogo
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg Күн бұрын
@salmamlokela1987 yaan mtihan kwakwel kupaua unawez zimia bado plasta s nitakufa Mim jmn
@khadi-z4o
@khadi-z4o 10 ай бұрын
Kamahii Vp Mpaka Kwsha Yote Kabsaa,Inafka 65Mil???
@mutaji5454
@mutaji5454 5 ай бұрын
Yani milion 65 ndgu si jumba la kifahari ilo
@nembu1518
@nembu1518 Жыл бұрын
Nitakutafuta mda sio mrefu
@nicetarimo5650
@nicetarimo5650 10 ай бұрын
Nipeda
@asyavuai
@asyavuai Жыл бұрын
SISI WA HUKU unguja ZANZIBAR TUTAJENGAVIPI? KWANI KAZI ZAKO ZINATUPANDISHA MORI. NA TUMESHANYANG'ANYWA SANA
@abyudishiuga1368
@abyudishiuga1368 6 ай бұрын
Ivi bati hizo fute 19 zipo
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Centa ya kokoto zanzibar 350000 mchanga centa 180000 kwa.sasa
@monicasada5667
@monicasada5667 10 ай бұрын
You 're scammer stop laying to people
The German house in 4 days. From start to finish
7:04
Perfect IDEA
Рет қаралды 10 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 18 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН