Aseme tuu ana taka alelewe 😂😂 vijana kwa mserereko wana penda 😂
@mejumaamwachirero73242 ай бұрын
Sasa alelewe wakati yeye amesomea rubani huko ndo kulelewa.sijui mwatakaje waja wivu na hasadi zimewajaa hata wewe watamani lkn tu ndo hivyo hujapata nafasi
@user-vv1te9fu8q2 ай бұрын
@mejumaahuyu kalenga demu wake babaake ana mawe tukiachana na kusomea urubani na hiyo chanell kaipatia kwa demu na aache uongo anapenda sana wanawake wenye shepumwachirero7324
@user-ku6nv7ph3c2 ай бұрын
Ni kweli
@user-pu6pr5jt4nАй бұрын
Asilimia kubwa ya wanaume wa sasa wanapendq wanawake wenye pesa Wanapenda mseleleko mxxxieeee
@Salmakaucha2 ай бұрын
Kwan Mimi nimesikiya anatembea na lushayna imeishiya wap Tena maana awawasaniii ???