No video

RC AUNGANA NA TRC KUSHUSHA NEEMA KWA BODABODA, BAJAJI, MAMA NTILIE STESHENI YA SGR MORO

  Рет қаралды 4,118

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@suleimanbigger4251
@suleimanbigger4251 Ай бұрын
Huyu dada anapiga sanaaa kazi pongezi sana Bi Jamila Mungu akubariki mno .
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Mimi mwenyewe nimeshangaa bado yupo safi sana.nilimfahamu kipind cha trip yakina diamond
@kidsontemba1641
@kidsontemba1641 Ай бұрын
HONGERA DADA JAMILA huu mpango mzuri sanaaa ushauri wangu hao madereva wa Bajaji,BODA na TAX upo hata nchi zilizo endelea. Kinacho takiwa ni weled kutoka kwao na muwe nao karibu kwa elimu na kuwafatilia kwa karibu sanaaa. Hongera sana UMEWAFUNGULIA DUNIA🎉
@fidodido9578
@fidodido9578 Ай бұрын
Nchi gani ilioendelea ambayo train station kuna Bajaj na Pikipiki?
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw Ай бұрын
@@fidodido9578analeta uongo tu apa😆
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Wewe ovyo kabisa nchi gani iliyoendelea kuna usafiri wa bajaji Na Boda Boda kwenye train station ?
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@fidodido9578Tanzania ya Mavi kunuka upumbavu mtupu
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Tanzania ni nchi ya ovyo sana imejaa uswahili uswahili yaani hamna hata mpangilio wa usafiri wa wenye hadhi na SGR Hadi mjini na barabara mbovu kutoka hapo kuingia mjini , ona mama ntilie wanauzia vyakula chini hii nchi haiko serious kabisa !
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Kama kweli kuna mahali pa kujenga wajengeen vibanda safi vya chakula na wapen masharit ya usafi anaeshindwa atolewe pili kuwepo na idadi ndogo inayoendana na hali iliyopo sio wawe wengi kuliko wateja waje watulishe viporo
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 Ай бұрын
Shirika la Reli Tz Linunue coater Kwa kila vituo ili Kubeba Abiria na sio hao Bajaji
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 Ай бұрын
hilo sio jukumu la shirika ni jukumu lako abiria KUHUSU usaffiri
@samkratos1
@samkratos1 Ай бұрын
why no update on lot 3, 4and 5??????????????
@AliAli-r9c
@AliAli-r9c Ай бұрын
Mimi natumia wheelchair, nitapandaje?
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 Ай бұрын
Inatakiwa muondoe izo pick pick zilizochoka, muwape refractors na elements, na wawe wasafi pia
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Ай бұрын
Japo Kiingereza hujui lakini una point. Nikusaidie.. "Refractors" -Reflectors, "Elements" - Helmets
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Mh mkuu kuna bajaji kubwa ambazo xinabeba watu sita itapendeza zaidi
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Ай бұрын
Yaani tatizo ni miundo mbinu mahala hapa bado ni mibovu sana
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 ya mavi kunuka yaani ndio usafiri huo bajaji Na Boda Boda kwenye train station 😅🤣🤣🤣 Na mama ntilie wanauzia vyakula chini kweli bure kabisa Tanzania 😅
@mkude
@mkude Ай бұрын
Acha kulaumu laumu wewe,hapa hatuko ulaya haya ni mazungira yetu Africa huwezi kukwepa boda boda na mama ntilie kuna watu wapo wanakula chakula nawao wanatafuta riziki.
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@mkude mkude simba tembea afrika ingine uone wako wachafu na wasio na mipango mizuri kama Tanzania yaani mmezoea vitu vya ovyo ovyote
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Jengeni barabara
@salumalriyamy
@salumalriyamy Ай бұрын
Nani Sasa TRC?
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
wamekusikia ila hakuna jema hata moja?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
​@@ndukulusudikucho_😂😂😂😂 wanachojua wao ni kuponda tu!!
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 ya mavi kunuka hawako serious Na Morogoro ina bahati mbaya uwa inapata viongozi wabovu hata mbunge wao ni bomu
@salumalriyamy
@salumalriyamy Ай бұрын
@@Kabwela776 mzee wa kuharisha kashafika kwenye comment
@nassorshaaban7295
@nassorshaaban7295 Ай бұрын
Shirika la Reli Tz Linunue coater Kwa kila vituo ili Kubeba Abiria na sio hao Bajaji
@NM-yl2uw
@NM-yl2uw Ай бұрын
coater ni nn?
@kigodathecreator7753
@kigodathecreator7753 Ай бұрын
Coater ni nn hii tutoeni ushamba
@mkude
@mkude Ай бұрын
Watu wengine bwana unataka uwape kazi tena TRC ya kushughulikia coaster tena,wao wanakazi kubwa ya train.huo usafiri mwingie hauwahusu
MORARA OR HUSSEIN, WHO IS LYING?
15:28
Iko Nini
Рет қаралды 2,9 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 92 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 10 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 17 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
KIPINDI CHA RELI NA MATUKIO | WALIO NYUMA YA HUDUMA ZA SGR
26:29
TRC RELI TV
Рет қаралды 2,5 М.
Africa Ports Privatization: The Kenya, Tanzania experience
6:55
TRT Afrika
Рет қаралды 1,7 М.
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 23 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 92 МЛН