RC CHALAMILA AMCHEKESHA RAIS SAMIA - ''HATA MIMI PIA ni MSANII - INABIDI MJE MCHEZE HAPA''...

  Рет қаралды 56,062

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

RC CHALAMILA AMCHEKESHA RAIS SAMIA - ''HATA MIMI PIA ni MSANII - INABIDI MJE MCHEZE HAPA''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 45
@globaltv_online
@globaltv_online 27 күн бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@matukutajuma156
@matukutajuma156 28 күн бұрын
HONGERA SSSSSSANA MH RAISI WANGU KWA KUJIACHIA URAIANI! NCHI IMETULIA KIMYAAAA!❤
@NurdinSaleh-jf8so
@NurdinSaleh-jf8so 22 күн бұрын
Kwa kweli kutoka moyon mwangu nampenda sana Rais mama Samia SULUHU HASSAN
@samwa9496
@samwa9496 29 күн бұрын
Mama kapendeza 👏👏👏
@juliusphaustine
@juliusphaustine 28 күн бұрын
Big up harmonize
@user-cu9sq7yk3z
@user-cu9sq7yk3z 28 күн бұрын
Ladies in publck hongera mama uko vizuri tuko pamoja unanweza
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 28 күн бұрын
MashaAllaah MashaAllaah mama samiyaa uumependezaaa khan saa khamasaaaaa
@diplomaticdiplomatic3931
@diplomaticdiplomatic3931 25 күн бұрын
Hata Mimi pia. Msanii
@angolina1768
@angolina1768 28 күн бұрын
Love you mama ❤❤❤
@dn.n4983
@dn.n4983 28 күн бұрын
Kweli kabisa hili tukio ni kubwa nzuri nipwnda ningetamani niwepo kwa kweli
@deogratiaskatinda9232
@deogratiaskatinda9232 29 күн бұрын
Kuna kuchanganyikiwa kwingi kwa viongozi wetu kwa sasa
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 28 күн бұрын
Ki ukweli mpka roho inauma sana,,Nani anaangalia kesho ya Tanzania??? 😭😭😭😭😭Tnajenga nchi ya namna gani ??? Tutakuwa na vijana wenye uwezo wa kudhubutu kufanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi???😭😭😭😭 Tanzania nchi yangu nakulilia sana,,umepoteza mwelekeo,, Tanzania nchi yangu unawayawaya kama kondoo walio kosa mchungaji . Ole wako Tanzania kwa sababu kesho yako ipo hatarini, huna uwakika wa kustawi tena ,tumain lako limefifia, usatwi wako umezikwa kwenye makaburi ya maiti wanaoishi. Sikia Tanzania,,usikie kutoka mashariki,na uwe makin kupokea sauti kutoka magaharibi na ujifunze Maarifa yalitwayo na upepo kutoka kaskaszini na uvute hewa iliyo toka kusini . Ndani yake Kuna maneno yameandikwa" ujitetee kwa maana watu wako wamekusaliti, miti yako ikutetee,maji, hewa, udongo, wanyama, mawe, na kila kitu kilichopo kisimame kukutetea sasa maana umebaki mpweke""
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 28 күн бұрын
Huyo ndio Raisi Mstaarabu na ni Mama mwenye upendo Mungu Ambarik na Amkinge na kila aina ya shari
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 28 күн бұрын
Amin
@shinipapaya846
@shinipapaya846 28 күн бұрын
Muuza Tanganyika 😂😂
@Sheba4651
@Sheba4651 28 күн бұрын
​@@shinipapaya846Kauza kiasi gani, acha izo
@peterkasonso3169
@peterkasonso3169 28 күн бұрын
Dizeli petroli inazidi kwenda juu,maisha yanazidi kuwa. Magumu,Kila mahali upigaji tu,alafu eti anaupenda ,dah!!!!!!!!!?
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 22 күн бұрын
Imebuma hiyo
@twalibmassea6593
@twalibmassea6593 28 күн бұрын
Siku ya wafanyakazi anamtuma mipango, Uzinduzi wa album yupo😅
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 28 күн бұрын
Ndio labda siku ya wafanya kazi hakuwepo nchini na pengine iyo siku ilikua mchana na hakupata nafasi
@beatricefelix1271
@beatricefelix1271 28 күн бұрын
😆😆😆😆
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 28 күн бұрын
Mama kaonesha ishara wa2 wakacheze mbele aone wanavo serebuka watoto wake na wajuku zake
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 28 күн бұрын
Mama wawatu acheni chuki. Mama yetu habagui wa mtu wa khali yeyote penda sasa mama love sana Rais wangu. Siku zote siichoki kukuombea na sintokaa nichoke kukuombea mama yangu
@muniraahmed624
@muniraahmed624 28 күн бұрын
Chalamila comedian mno asee
@AzoryIgnas
@AzoryIgnas 28 күн бұрын
Hata mm pia ni msanii
@Gracemagoma-mi9ub
@Gracemagoma-mi9ub 28 күн бұрын
siyo siri mama kapendeza sana leo
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 28 күн бұрын
Mama ni Mrembo Sana. Ana roho ya Upendo Kwa watu wake
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 28 күн бұрын
Makubwa hayo
@shmaiderkiborey5144
@shmaiderkiborey5144 29 күн бұрын
Mbona mama huwa anakwenda kwenye matukio mengi
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM 29 күн бұрын
Chalamila huna taarifa. Mbona huyu huyu alienda kwa Sugu?
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 26 күн бұрын
Mama karibu kwenye wedding yangu, nitafurahi sana kukuona maana nayo itakuwa pambe
@user-nm8ym6iq7n
@user-nm8ym6iq7n 28 күн бұрын
Kwa sugu , samia alikuwepo
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 28 күн бұрын
Haikuwa kuzindua Album.
@sarahmuhammed6872
@sarahmuhammed6872 29 күн бұрын
Sound poor jeshi hawa managers zako wanaocontral spund wafute kaxi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 29 күн бұрын
Mbona kila siku hafla za ajabu ajabu mama kuwa siliuzi kama baba mambo ya harmonize we unaenda kufanya nini
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 29 күн бұрын
Sio ya ajabu ajabu sekta ya michezo na sanaaa inachangia uchumi wa nchi nyingi analengo analengo la kuikuza kama diamond kodi analipa zaisi ya ml 300 kwa mwaka msanii mmoja wakiwezeshwa wengi kodi itakuwa kiasi gani
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 29 күн бұрын
@@AllyMaya-yj3xd kwani nani kasema haiingizi. Ameshindwa kuzuia wezi wanaitafuna nchi anaharibu muda kwa mambo ya mipasho huo muda akautumie kuzuia wezi ambao wanatuibia Kodi zetu Kila siku nchi imemshida kafeli kusimamia rasilimali za nchi nchi Sasa hivi imekuwa pango la wanyanganyi huku akipoteza muda kwenye mipasho ya harmonize
@mwakimedia291
@mwakimedia291 28 күн бұрын
UliSkia wap rais joe biden kaudhulia uzinduzi wa album ya Tyga😓😭😭😭
@aminakasim1198
@aminakasim1198 28 күн бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh
@NDEWARA
@NDEWARA 28 күн бұрын
​​@@Hussein-gx4quPole sana. Faida ya hili jambo analofanya Mama yetu siyo rahisi kila mtu kulielewa. Inahitaji mtu kuwa na mtazamo chanya wa mambo😂
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 19 МЛН
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 26 МЛН
Khóa ly biệt
01:00
Đào Nguyễn Ánh - Hữu Hưng
Рет қаралды 19 МЛН