RC Makonda: Nijibu Vizuri, Mratibu wa TASAF Hiyo Pesa Yote Hiyo Ipo Wapi?

  Рет қаралды 24,935

Tiki Tv

Tiki Tv

Ай бұрын

RC Makonda: Nijibu Vizuri, Mratibu wa TASAF Hiyo Pesa Yote Hiyo Ipo Wapi?
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

Пікірлер: 56
@SiwaKombo-ze9ol
@SiwaKombo-ze9ol Ай бұрын
Rc .makonda unanikoshag sana..mi naeka bando kwa ajili yakukutizama tuu..mungu akubariki
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Unanipa raha makonda sichoki kukuckiliza kiongozi mungu akulinde.
@edwardsingaru4703
@edwardsingaru4703 Ай бұрын
Mungu akuongoze ktk hii safari ya kuitetea wanyonge
@dicksonmgoga-hj4im
@dicksonmgoga-hj4im Ай бұрын
Kazi nzuri Mkuu wa Mkoa!
@kareem1182
@kareem1182 18 күн бұрын
Makonda makonda makonda Watakulogaaaaa!!!
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Izi ziara za Makonda zinatufanya tujue madudu mengine sana yanayosababishwa na watumishi wazembe na Wala rushwa katika Taasisi za Uma.
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 makonda🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@peterlove4g869
@peterlove4g869 Ай бұрын
Makonda wampe deyiwaka ya mikoa mingine basi hata masaa 24😂
@martinpanga
@martinpanga Ай бұрын
😅😅😅
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
T M U Team Makonda Ukombozi Mungu azidi kuwatangulia..nyie ni watumishi wa Mungu aliye hai Tunawapenda❤ tunawaamini
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Ай бұрын
Team Makonda tujuane 💪💪💪
@RonicaKolimba-ne3zh
@RonicaKolimba-ne3zh 28 күн бұрын
O 3:5o
@martinakessy5413
@martinakessy5413 Ай бұрын
Asante mheshimiwa,tusaidie. Ars jiji ni tatizo. Mh. Diwani yuko vizuri Sana.
@pendael02
@pendael02 Ай бұрын
Hawa viongozi huwa wakipewa nafasi hawaangalii yaliyofanyika nyuma kabla ya kushika ofisi zao.
@robertzingu9889
@robertzingu9889 Ай бұрын
This is very amazing strategy of solving people's problem. Hii ni ishara mbaya kuwa kwenye ofisi zote za umma kuna tatizo kubwa. Hivi inawezekana vipi huyu mkurugenzi wa TASAF apokee ofisi kienyeji asitambue deni la huyu mtu? Are these government officials really serous?
@FredrickMpoma-sg4em
@FredrickMpoma-sg4em 14 күн бұрын
Daaa mkuu wa mkoa kiukweli twakupongeza sana usichoke
@Stay_with_God_tv
@Stay_with_God_tv Ай бұрын
Well done makonda
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
M.ama hawa watu wanao iba pesa za umma wanakufelisha
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 29 күн бұрын
Nchii inamatizo mengi kwa wananchi Sijui Mungu tusaidie watumishi hawa wafukuzwe kazi Hawafai kabisa
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 29 күн бұрын
Mama Hii nchi imeoza Madudu mengi kwa sababu ya kuleana, Tuige sekta binfsi za kizungu,ukiharibu hakuna muda ni kufukuzwa tu. Hii nchi imefikia mahara hapo,
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Ай бұрын
sijawahi kuona mkuu wa mkowa kama makonda ambavyo anavyo piga kaz huyu mungu ampe pepo2
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Huyu makonda aongezwe mshahala
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Sisi hatumujuwi mkuu wa mkoa mwingine tanzania tunamjuwa mkonda tu
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Namimi maaana wakwetu analala tu
@agathasungura5047
@agathasungura5047 Ай бұрын
HATA MIMI😂
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 12 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂wewe
@ndekagotfried
@ndekagotfried 29 күн бұрын
Duuuu htr sana ......... mwisho wa siku dada kaombwa mkakati wake hatimaye Swai atalipwa
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Ай бұрын
Nchi imeamia Arusha saizi
@user-dd8oc6yw9n
@user-dd8oc6yw9n 29 күн бұрын
Asante kaka🙏
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Ай бұрын
Mh.makonda hata huyo mtumishi ni wa mchango maana haiwezekani akakabisiwa ofisi bila nyaraka,hata yeye ni jipu
@AnastaziaCharles-cz2yv
@AnastaziaCharles-cz2yv 29 күн бұрын
Mkuu tuna kuhitaji sana mwanza
@user13375
@user13375 29 күн бұрын
Ukitaka kwenda sawa na makonda jiamini na jibu maswali yake kama alivokuuliza ,acha kujikanyaga, tena huwa anajaribu kukupa njia ya kutokea ,ukibabaika ndo supana itakubana.
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 24 күн бұрын
Hapa ni madudu mtindo mmoja
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
Mzee unadai haki yako huku huwezi kukaza sauti wala kushika mike😅😅
@EmanuelMangula
@EmanuelMangula 29 күн бұрын
Makonda pinga kazi tu
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Ukickia mtumishi wa mungu ndo huyu sasa.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Huyu dada anajitambua...sikuwepo, sijui, yuko vizuri, lkn kweli mtu anawadai mnamuondoa kwenye kazi? mngevaa viatu vyake ingekuwaje?.....
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Ай бұрын
Hajitambui ni vile anaonekana si mtu wa makosa
@ndekagotfried
@ndekagotfried 29 күн бұрын
Umejuaje kama si mtu wa makosa au unamjua
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Ай бұрын
MAKONDA OYEEEE
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Ай бұрын
Traole safiiiiii
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Dada kajibu vzr tuu sf sana
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Rais samia tunamwomba makonda umpeleke geita pia,ni ufisadi kila kona
@leonardoddiaga4399
@leonardoddiaga4399 Ай бұрын
Ajabu sana watu, kwa kusudi tu hatupendi kutendeana haki. Watu tuna tabia za kulanguana tu. Ni vipi imempasa RC Makonda kuingilia kati ndugu Swai kupata haki? Sasa haya ni ya Arusha - nani anawakabili matapeli wa mikoa mengine? RC Makonda endelea kabisa Mungu apendae haki yuko nawe. TBC! hebu kirejesheni kile kipindi cha MIKINGAMO kiangaze dhulma ndani ya taifa.
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA Ай бұрын
Watumishi wa uma hutumiaje akili zao ???
@gabrielsamwelhokororo7624
@gabrielsamwelhokororo7624 Ай бұрын
Ivi mitandao yetu haina habari nini Wakuu mikoa mingine wanafanya?
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Akuna mkuu wa mkoa Kama makonda ,
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Wa kwetu wanalala tu
@epimackjohn461
@epimackjohn461 Ай бұрын
Inawezekana wakuu wa MIKOA mingine nao wana mbinu zao za kutatua KERO huenda kwa UFANISI zaidi ,maana kinachotakiwa ni kutatua KERO tu sio lazima STAILI zifanane .
@boyfromtansania7788
@boyfromtansania7788 Ай бұрын
​@@epimackjohn461shida Zetu hazitatuliwi style Gani izo
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf Ай бұрын
​@@epimackjohn461hakuna kitu kama hicho Hii nchi unamatatizo Kila Kona ukitaka kulijua Hilo kipindi akiwa mwenezi makonda Kwa hapo Arusha mkuu wa mkoa hakwepo matatizo hakuyaona makonda hayupo wa kimfananisha Kwa utendaji saizi watu hawajui kama Kuna bunge Kuna rais Kuna waziri mkuu macho yote yapo Kwa makonda tu
@victaboy7273
@victaboy7273 Ай бұрын
Huyo mama hana tatizo😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
anaro tangu ajuwe tatizo kwenye kirinik kumepita wiki tatu ndani ya hizo wiki arishindwa Nini kupereka mapendekezo kwa mkurugenzi Hadi reo je makonda asingekuwa mtenda haki huyu mama angekuja kumsaidia nini huyu mfanyabiashara, mbona unashindwa kuangaria mbari wewe
@ndekagotfried
@ndekagotfried 29 күн бұрын
Haya mambo magumu sana ukichimba hili jambo unaweza kutana na kitu tofauti ............ maana hii TASAF jiji la Arusha si ndio kuna mratibu alifikishwa mahakamani kwa ubadhilifu wa Million 400 sasaa dada hapo anakosa gani
@ndekagotfried
@ndekagotfried 25 күн бұрын
​@@khadjamhozya usilolijua ni usiku wa giza
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 34 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 122 МЛН
Just try to use a cool gadget 😍
00:33
123 GO! SHORTS
Рет қаралды 85 МЛН
MENEJA WA MAJI AMCHEKESHA RC MAKONDA NA KUISHANGAZA DUNIA
20:50
MUWEKEZAJI MKUBWA AMVUNJA MBAVU RC MAKONDA, SEMA UNA..
18:49
PROF JANABI AMSANUA MAKONDA KUHUSU HUDUMA YA KUSHUSHA KORODANI,.
9:25
Яйца мою 🥚🤣
0:37
Dragon Нургелды 🐉
Рет қаралды 1,5 МЛН
Добейти 100000 подписчиков | Тгк- @Rom4ik539
0:28
Страшно, когда ругается мама😰
0:10
Лиза Вертинская
Рет қаралды 2,2 МЛН
The end for King Kong's bully #funny
1:00
Sơn Hero
Рет қаралды 10 МЛН