Polisi Anayedaiwa Kudhulumu Nyumba ya Kikongwe Kwa Tsh. Laki Tano Aingia 18 za RC Makonda

  Рет қаралды 38,988

Tiki Tv

Tiki Tv

Ай бұрын

Polisi Anayedaiwa Kudhulumu Nyumba ya Kikongwe Kwa Tsh. Laki Tano Aingia 18 za RC Makonda.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

Пікірлер: 112
@Devota-mr6ng
@Devota-mr6ng Ай бұрын
Mama Samia mwangalie makonda anatenda haki anakusaidia sana tunapenda viongoz kama Hawa kwa kweli tunamwombea asibadilike
@careensamson
@careensamson Ай бұрын
Uyo samia ndo hamna kitu.. uyo ndo fake kabisa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah Ай бұрын
Samia mwenyewe 🚮
@Ambwene
@Ambwene Ай бұрын
Tatizo Samia halieleweki lile Janamke akiona mtu anapendwa sana na Raia anambadilisha 😢😢😢😢😢
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Makonda alindwe sana sana
@AfricaQueen
@AfricaQueen Ай бұрын
Makondaaaaa Paul 🗣️🗣️🗣️🗣️🥁🥁🥁🥁Piga kazi na fyekelea Ndani wote wanaozulumu Watu wengi waizi haoooooo🗣️✍🏽✍🏽
@lennyyusuf255
@lennyyusuf255 Ай бұрын
1
@lennyyusuf255
@lennyyusuf255 Ай бұрын
,
@neemasalema1546
@neemasalema1546 Ай бұрын
Kweli kabisa piga kazi Baba
@AbubakaryOmar
@AbubakaryOmar Ай бұрын
Mungu akulinde makonda safi sana uongozi unaweza
@anitarafa
@anitarafa Ай бұрын
I'm from Kenya but now niko Saudi but napenda makonda kwa kazi nzuri
@user-uf1ji4no7i
@user-uf1ji4no7i Ай бұрын
😂
@user-uf1ji4no7i
@user-uf1ji4no7i Ай бұрын
Kenya,,, Saudi 🙄😂
@anitarafa
@anitarafa Ай бұрын
@@user-uf1ji4no7i Yes, I'm from Kenya, I work in Saudi Arabia, what surprises you?
@sebastianmwakulya8146
@sebastianmwakulya8146 Ай бұрын
Dah kuna mengiii mh yanajificha asante kwa kazi nzuri
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Ай бұрын
Makonda Hongera sana ni utaperi wa hali ya juu Million 22 Advice laki tano wapi na wapi makonda endelea kuwa kileleni big up Brother hizo ni pindisha pindisha2💪🏽👊🙏🏼
@johnsimba
@johnsimba Ай бұрын
Haki tusimung'unye maneno huyu kijana Makonda kaletwa na Mungu ona uamuzi wa mwanzo ilikuwa ni wazi wamempa huyo bwana nyumba eti alipe m 22 ndani ya mwezi achukue nyumba uamuzi wa kipumbavu kabisa, mtu kaka Bure miaka karibu kwa laki Tano tu alafu unatoa maamuzi hayo eti mkataba unasema uongo mtupi sijui nae alipewa kitu kidogo alipomoigia simu huyo security, Makonda kafafanua vizuri sanaaaaa hongera Makonda haki siku ukija Mwanza nitakutafuta nikupe hongera, Mama mbona wakuu wengine wako kimya atusikii wakiwasaidia watu? Ina maana hakuna matatizo kwenye mikoa Yao? Mmmmm Mama mpe ulinzi mkubwa Makonda Tena makomandoo wa jeshi kijana ni Lulu tuitunze isizimike ANAKUSAIDIA sana na Arusha haki kura zitakuwanyingi
@goodluckndunguru995
@goodluckndunguru995 Ай бұрын
Huyu mwanasheria wa pili yupo makin sana ,endelea hivyo hivyo,nakukubali sana brother
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 Ай бұрын
Mtamjua tu! Huyu jamaa anajianini sana
@kareem1182
@kareem1182 20 күн бұрын
Makonda makonda makonda Watakulogaaaaaaa
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Ай бұрын
Safi mwanasheria uko vizuri kwa ushauri wako kwa mkuu wa mkoa
@lucasmlowezi9214
@lucasmlowezi9214 Ай бұрын
Sina maneno mengi. Mi nachekaga tu, mzee wa spana, dah Mungu akupe maisha marefu Makonda
@omaryonga-hv3lk
@omaryonga-hv3lk Ай бұрын
Kama VIONGOZI wote wataenda kwa MFUMO huu kiukweli wanyonge tutafurahia NCHI yetu.... Mungu akubariki sana mh. Makonda..
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Ай бұрын
Nikweli usemacho kaka Omy
@godykilian
@godykilian Ай бұрын
Makonda ana akili fulani hivi ya ziada
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Kabisaas
@user-uh7to2kw2z
@user-uh7to2kw2z Ай бұрын
Huyo mnunuzi tapeli anataka kumzulumu huyo bibi mshenzi kbs
@yaceenmohamed858
@yaceenmohamed858 Ай бұрын
Big up RC
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando 28 күн бұрын
Pole makonda maana mmmmmmh Hadi Leo sanaaa
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Alaaniwe amchukiae paul makonda
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we Ай бұрын
Makonda Rais wangu ajae Mungu anasikia na itakuwa
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Kwa kweli makonda yupo vizuri sana…kweli nyumba ipigwe thaman ya sasa sio iliyopita makonda hoyeee kazi iendeleee
@dionisiajohn519
@dionisiajohn519 Ай бұрын
We kijana nakutabiria mema sana mbeleni ukiendelea hivyo. 💕💕💕💕Makonda. 💕Juu
@elevenmeela8713
@elevenmeela8713 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa Arusha ni kweli unafanya kazi kubwa huyu mnunuzi muda aliyokaa happy alivuna pesa nyingi happy huyo Bibi arudishiwe nyumba yake
@geraldjames2557
@geraldjames2557 Ай бұрын
Ndg wananchi mm naomba mnisaidie tu mawazo kwa uelewa wng mdogo Haya maovu tunayoyashuhudia ktk mkoa wa Arusha inawezekana ni nchi nzima mambo ni haya haya? Lkn mkoa wa Arusha si ulikuwa na viongozi, vipi viongozi hawa hawakuwa na muda na shida za wnaanchi jamani??😢😢
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 Ай бұрын
Maovu haya yapo kila mkoa, lakini shida ni viongozi wamelala, watu wanateseka, watu wanazulumiwa lakini hawana kwa kusemea
@jeanmiruho4770
@jeanmiruho4770 Ай бұрын
Kwakweli Mungu awasame wanadamu!!Bibi kikongwe kama huyu kumuzulumu haki yake!Makonda miye simu Tz Nakupata 5/5 från Stockholm Sweden na Mungu akutiye nguvu na awalinde kwayote Usiku Mwema
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Ай бұрын
Yani wakuu wa mikoa hii ndio maana halisi ya kuitwa mkuu wa mkoa kuwa karibu na wananchi kuna matatizo mengi sana kwetu wananchi
@carteq
@carteq Ай бұрын
SALUTE RC MAKONDA
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 Ай бұрын
Yaani everyday I have to listen to these things, kutatua migogoro. Cout of laws take years but this way it's solved in few minutes. Heko Makonda
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh Ай бұрын
Piga sperner mkuu sisi tunakuombea mungu akulinde na hasad za mafisadi wala rushwa.
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Ай бұрын
Hadi umezeeka uso kweli pole kiongozi wetu...
@WazirJuma-gd5oo
@WazirJuma-gd5oo Ай бұрын
Umeonae Yani jamaa amekuwa na makunyazi ghafula. So mchezo changamoto
@HulumaMwandenuke
@HulumaMwandenuke Ай бұрын
Makonda Mungu akujalie saaaana ww ni malaika wa Mungu
@user-ml9oe2ex4p
@user-ml9oe2ex4p Ай бұрын
Huyo ayubu mweusi ivi masikini wa kutupa alizoea rushwa za pikipiki kipindi kile faini elfu 30 hajajenga saivi arudi tu kwao kijijini
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 Ай бұрын
Hata hiyo bei Sio. Mkataba nao sio ni batili. Aliwaonea sababu aliwagundua shule haipo.
@kinemorwangisho2168
@kinemorwangisho2168 Ай бұрын
Makonda ww kiongozi ambae mafisadi wazumaji hawawezi kukupenda ebu chek bibi kama huyo angepatawapi hiyo haki yake
@user-ot4xg4yk1p
@user-ot4xg4yk1p Ай бұрын
Makonda nakufuatilia sana kwenye mikutano yako yote huko Arusha mungu akutangulie uendelee kuchapa kazi uko sawa usisikilize kelele za wezi tuko pamoja na wewe endelee kutetea wanyonge
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Ай бұрын
Pigeni majungu Makonda anachapa kazi kihalali wakati Mama Samia kamkubali mliobaki na mvimbe mpasuke Makonda mbele kwa mbele spana ziendelee
@vero57
@vero57 Ай бұрын
Katika million 20?????? Unalipa laki 5???????? Huo sio sawaaa kabisa!!!
@mussaelias3535
@mussaelias3535 Ай бұрын
Arudishiwe pesa yake huyo jamaa
@chire4574
@chire4574 Ай бұрын
Pesa gani irudi wakati amekuwa akitumia kwa mda wote
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Ай бұрын
Pesa hairudi zaidi huyo jamaa anadaiwa kwa kutumia nyumba ya bibi bure kwa miaka 5
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o Ай бұрын
Spanaaaa spanaaa spanaaa mboni kimyaaa aifanyiii kaziii
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo Ай бұрын
Hi imekaa vizur
@MaAmal-gv3qs
@MaAmal-gv3qs 18 күн бұрын
Makonda kweli una tenda haki naomba baadaye uje kuwa raisi wa Tanzania kwa uwezo wa mungu
@gladysnyambura3947
@gladysnyambura3947 Ай бұрын
Zamani nlikua naogopa wakenya naheshimu watanzania nakuwaamini lakin siku nlikuja kugudua hawa watu wana lugha kali sana ya kutapeli mdomo mtaamu alafu nkatapeliwa wah , Tanzania ni shida
@johanawarkialoisi7200
@johanawarkialoisi7200 29 күн бұрын
Kaka mwanzoni nilikuwa sikuelewielewi ila kwa sasa hata uraisi unakufaa kabisa piga kazi brother!!
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Ай бұрын
nashauri polisi wakishitaki hicho ki online tv maana taarifa ni mmiliki wa kampuni ya ulinzi nyie mnaandika polisi
@user13375
@user13375 Ай бұрын
Wajinga sana hao online😮😮😮
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 28 күн бұрын
Mkuu wa mkoa mhe makonda,naomba upate muda wa kupumzika na kufanya maombi kwasababu unaposikiliza matatizo moyo unasinoneka
@user-nx4pb3lk5v
@user-nx4pb3lk5v Ай бұрын
Yule msemaji Merry Chatanda yuko wapi hapo? Au yeye kahongwa na yule anayemtetea
@emmanuelqaday6949
@emmanuelqaday6949 Ай бұрын
Mheshimiwa raisi tunakuomba makonda abaki Arusha mpaka baada ya uchaguzi mkuu
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm Ай бұрын
Huyo mwanasheria wa MWANZO mshenzi sn eti wamekubaliana atalipa kumbe mkataba una madudu kibao, huyo nae achunguzwe atakuwa kapewa chochote ki2
@JisamMsuya-vo9zv
@JisamMsuya-vo9zv 29 күн бұрын
Mimi Josam namkuba makonda anapiga kazi viongozi amkeni wanachi wanaonewa mtaulizwa siku ya mwisho
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Mama Samia Huyu ndiye mkuu wa mkoa anayejitambua naomba sana mpeni mda Makonda akusaidie UWT aache Kijana asaidie hivi wizi wa mamilioni anaendaje kucheka na mtu
@alfristricks7515
@alfristricks7515 Ай бұрын
Katika mfululizo wa hii mikutano, Wanasheria wa Serikali wameonesha udhaifu mkubwa katika hoja zao ama kutafsiri sheria na mikataba. Ukiangalia huyo Bro Mwanasheria mrefu, na George Njooka, hawapo katika Serikali. Wote ni wanasheria binafsi. Ukiona wanavyochambua mikataba na vifungu vya sheria, unaona wanajua taaluma zao. Kama ofisi za serikali tunakuwa na watu wenye uwezo mdogo, ni rahisi sana watu kupoteza haki zao, ama kuitia hasara serikali.
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Mikoa mingine muige kazi za RC makonda .Mheshimiwa Samia umpe na cheo unyekiti wa ma RC wote Tanzania .Arusha mngepoteza viti vyote vya mitaa katika uchaguzi wa octoba 2o24 .
@user-mn6qi9gk1g
@user-mn6qi9gk1g Ай бұрын
Tume pata kiongozi waku msikiliza tuka elewana sasa ndio mambo zina takiwa hizi
@obedpeter6874
@obedpeter6874 Ай бұрын
Hii ndio maana halisi ya kuitwa mkuu wa mkoa sio kukaa ofisini tu
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Hiyo nikodi siyo kununua huyo asinunue ni mwizi tu alipe na Kodi zote
@waltermachange7300
@waltermachange7300 Ай бұрын
Mwanasheria huyo yuko makini sanaaa
@vero57
@vero57 Ай бұрын
Huyooo traffic 🚥, lazima alipe pesa zote za huyoo mama!!!leo hiiii!!!!
@geraldjames2557
@geraldjames2557 Ай бұрын
Inasemekana huyu sio traffic bali ni wale members of security companies
@EdwardMghuna-rg8rx
@EdwardMghuna-rg8rx Ай бұрын
Mungu na serikali aongezewe ulinzi RC
@salumjuma3152
@salumjuma3152 Ай бұрын
Duh hatari sn watu wezi kuliko maelezo
@ngelelanangale6798
@ngelelanangale6798 Ай бұрын
Wapo vigogo wanaomchukia Makonda kwa sababu amegusa masilahi yao ama ya ndugu zao. Halafu wanambambikizia madai eti anadhalilisha watumishi
@goodluckndunguru995
@goodluckndunguru995 Ай бұрын
Huyo mwanasheria wa kwanza ananipa wasiwasi kwa kweli,nafikiri angechunguzwa kuna tatizo hapo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Makonda apewe ulinzi sana humo anamopita
@aminashayo9263
@aminashayo9263 Ай бұрын
Mehshimiwa Paul Makonda kama vile Mfalme Suleiman haki bin haki, usawa kwa usawa, uwiano kwa uwiano, kuonewa na kutetewa, kudharaulika na kuheshimishwa hapo hakuna kuchoka hata kama ni masaa 24
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 Ай бұрын
Yule WA kwanza inaonyesha anakula na mwizi
@user-eg1fi6gi7b
@user-eg1fi6gi7b Ай бұрын
Makonda ndiye rais ajae hatuna mwingine kama yeye
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
BIBI USIUZE NYUMBA BALI UIPANGISHE UKIONGOZWA NA MTU UNAYEMWAMINI ITAKUTUNZA HIYO.
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Ай бұрын
Jmn kweli Askari mlinzi wa raia na mali zao Leo ndo anafanya ujinga huu kweli
@ZuberiSangano
@ZuberiSangano Ай бұрын
Arusha mtanizeesha😅😅😅😅
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Hilo askari lifukuxwe kwa udhulumati,mnadhulumu wanyonge hamnaga aibu,mtalaaniwa na mitoto yenu mbwa nyie.
@tiopherysanga2934
@tiopherysanga2934 29 күн бұрын
mwanasheria wa makonda yupo makini
@reganshayo5662
@reganshayo5662 Ай бұрын
piga kazi baba
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 Ай бұрын
Tiki Tv kuwa makini na hizo headling zako
@alexvenas2699
@alexvenas2699 Ай бұрын
Yaani huyu mwamba hata ukimuweka kutawala samaki wa baharini na maziwa na mito yote samaki na bahari na maziwa n.k vitampenda tu.
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx Ай бұрын
NYOOSHA BABA TAKATAKA NI NYINGI SANA.
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v Ай бұрын
Huo sio mkataba umesha kufa miexi 22 ni miaka mingapi?
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 Ай бұрын
Mmmmm kuna mtu anataka hilo eneo
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 Ай бұрын
Jamani laki tano kashafungua biashara kwenye nyumba ya mtu
@allymsafi1716
@allymsafi1716 Ай бұрын
Nime muona msaidizi mpya wa makonda aliye toa story ya necodemas na babu
@user-yd1pc8uy8x
@user-yd1pc8uy8x Ай бұрын
Kwa nini matatizo yamekuwa mengi hivi tanzania?
@nicolasaugustino8449
@nicolasaugustino8449 Ай бұрын
Matatizo ni mengi kwa kuyasemea hakuna
@user-lz3yl4yb5v
@user-lz3yl4yb5v Ай бұрын
Dah! Hiy nizuluma ya mchana kweupe kamuona huy bib mnyonge pia hana elimu msaidieni huy bibi
@LeonardSanga-zn5pn
@LeonardSanga-zn5pn Ай бұрын
Ivi mikoa mingine hakuna matatizo mbona hatusikii kelo kama hizi
@gabriellaizer9925
@gabriellaizer9925 Ай бұрын
Yeye aseme anae uza sio mmiliki halali
@mgayamgaya
@mgayamgaya Ай бұрын
AYUBU malipo duniani, ashaniwekaga ndani bila kosa la msingi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Piga spana Mze Baba
@khadjamhozya
@khadjamhozya Ай бұрын
Huyu mwanasheria yuko vizuri
@MOHAMMEDABDI-lb7yp
@MOHAMMEDABDI-lb7yp Ай бұрын
Hata police jamani
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 Ай бұрын
Sasa mkuu wa wilaya kazi yake ni nn?!
@aminahashim6882
@aminahashim6882 29 күн бұрын
😊b
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 Ай бұрын
magufuli
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Ай бұрын
Wameru lkn mnageukaga watu
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Siyo kwa makataba huo ambao ni kandamizi
@gabriellaizer9925
@gabriellaizer9925 Ай бұрын
Wakili wa pili anafanya siasa Unasema mkataba batili alafu anasema haujathibitishwa na Wakili so stupid alafu unakuja kusema aitwe aulizwe kama anataka kilipa au La kama halipi mkataba uvunjwe
@habibabarker1644
@habibabarker1644 Ай бұрын
Moto wa Jahanamu upo na mtapata vizuuuriii
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 49 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 29 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 13 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Эмоции💫 | Тгк: D1ashenka✨
0:22
D1ashenka
Рет қаралды 2,5 МЛН
Sion princess funny Haribo Donuts 🍊🚆😅🤣
0:35
SION /紫音
Рет қаралды 6 МЛН
Khi em gái tôi đắp mặt nạ || Mask of joy #shorts
0:11
Linh Nhi Shorts
Рет қаралды 5 МЛН