MAKONDA awatumbua VIONGOZI WAWILI kwa mpigo "andikeni barua wenyewe semeni hamfai"

  Рет қаралды 10,499

Habari Digital

Habari Digital

Ай бұрын

Пікірлер: 39
@michaellusana4409
@michaellusana4409 Ай бұрын
Pamoja sana mkuu wa mkoa Arusha unafanya kazi sana Mungu akutunze
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 Ай бұрын
Sema sio mpira wa miguu,mheshimiwa Makonda ungechukua uchezaji bora wa dunia mpaka ustaafu soka😊😊. Lindwa sana na Mungu,wakuombeao mabaya Mungu asimamishe hizo husda🙏
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Wazuri hawadumu maana makonda nilimchukia saivi namfulahia natamani awe mko wa songwe
@makongorowassira6593
@makongorowassira6593 Ай бұрын
Hao sio wazembe, wanazitumia kwenye miradi yao binafsi wanapata faida na kurudisha mtaji wanapojisikia. Huo ndo ukweli wa mambo na sio wao tu.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Makonda mafisadi wakupendi,mola akulinde sana
@apaikundambise1244
@apaikundambise1244 Ай бұрын
Niipenda hiyo wamepata kiboko Yao ahsante nao wanaoneaga walimu wanaowasimamiaga kwa hyo ni kupatwa kwa zamu
@khatibkhatib2249
@khatibkhatib2249 Ай бұрын
Kuimba kupokezana
@assayusuph3295
@assayusuph3295 Ай бұрын
Kazi nzuli mweshimiwa
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it Ай бұрын
Watumishi wengi ndio wanaongoza kuchat na simu.
@obadiajuma436
@obadiajuma436 Ай бұрын
Roho ya magufuli ndani yamakonda MUNGU akubariki
@saimongilala8938
@saimongilala8938 29 күн бұрын
Hiv mkuu wa mkoa Alie kuwepo hapo alikuwa haon madudu hayo nikama wakati wa kikwete na alipo ingia magufuli akaona mengi Mungu akulinde
@VeronikaKayombo-wf7dc
@VeronikaKayombo-wf7dc Ай бұрын
Mungu akulinde kiongozi upo vzur
@MohamedyOmary-cv6gk
@MohamedyOmary-cv6gk Ай бұрын
Hongera mheshimiwa
@bishoparronmgaya1749
@bishoparronmgaya1749 Ай бұрын
Hongera MUNGU AKUTUNZE
@MichaelLudago-du2xb
@MichaelLudago-du2xb Ай бұрын
hao watumishi ni wazembe hatar
@frankmlinda1181
@frankmlinda1181 Ай бұрын
Fyatulia mbali shenzi zao pumbavu
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Ай бұрын
Tunataka watendaj mkuu, fyekelea mbali
@apaikundambise1244
@apaikundambise1244 Ай бұрын
Hawa viongozi WA elimu wapate kibano tu
@zebedayondelwa4046
@zebedayondelwa4046 Ай бұрын
Nakupongeza Sana mkuu fanya kazi
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 Ай бұрын
Naona Jacho mpaka kwa kipara ikitiririka
@apaikundambise1244
@apaikundambise1244 Ай бұрын
Hao maafisa wapate kibano tu
@aloyceponela3249
@aloyceponela3249 Ай бұрын
Piga kazi mkuu wa mkoa. Ww ni jembe
@eliudgathuthi8601
@eliudgathuthi8601 Ай бұрын
Sema kimeumana
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Ай бұрын
Dah hyu Mzee wa shule ya msingi anatia mpaka huruma pngne Bdo miaka kdgo astaafu Apte mafao yke kizaazaa chamtokea duh?pole Mzee wangu hyo makonda mkiongea nae msitetemeke Hana noma unaweza ukapoteza kazi kizembe kw kutetemeka kwko,
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Msamehe huyo baba wa elim msingi,atakuwa amejifunza jameni
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Ameshindwa kusimamia wajibu wake
@YusufSasamalo-uz4ii
@YusufSasamalo-uz4ii Ай бұрын
Wataalam wataalam wa nchi hii mnatia aibu
@cidewashington670
@cidewashington670 Ай бұрын
Mzee kajiakaanga kwa maneno yake
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 Ай бұрын
Hawa viongoz elimu ni hongo wanataka ili waweze kupewa pesa
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Kwani hawo wakuu wawilaya wanafanyanini na samia anapeleka pesa na wao wapo kimya wote samia angetoa hawana kazi
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Ай бұрын
Kra kiongozi Tanzania yupo kazin kwa ajili ya wizi tuuu
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Bila makonda arusha isingekaaa sawa
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Chamuhimu ujue kujieleza tu na uwe mkweli
@user-fu3hn1ms2j
@user-fu3hn1ms2j Ай бұрын
Aisee Hawa watu wajinga sana
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
Kwanini walikuwa hafanyi hicho walichokuwa wanapaswa kufanya ? Kutofanya ilikuwa inaenda kuwapa Faida gani kwao ? Anaejua naomba majibu jamani
@frankeliakim2267
@frankeliakim2267 Ай бұрын
Walitaka wasubilie bajet mpya ili wapige pesa za bajet iliyo pita
@bilid4128
@bilid4128 Ай бұрын
@@frankeliakim2267 🙏
@Ramadhaniharuni007
@Ramadhaniharuni007 Ай бұрын
Kabisaaa
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 8 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 190 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
1❤️ #shorts
0:24
Saito
Рет қаралды 20 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
0:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 21 МЛН
Время летит быстро 😱
0:19
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 3,1 МЛН
Normal vs Psychopath vs Rich How to heal a cut on your finger ☝️❤️‍🩹
0:19
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН