RC MAKONGORO NYERERE AKABIDHIWA OFISI RASMI RUKWA

  Рет қаралды 211

Rukwa Online TV

Rukwa Online TV

Жыл бұрын

Mheshimiwa Charles Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Rukwa amekabidhiwa Ofisi leo tarehe 23 Juni 2023 na Mheshimiwa Queen Cuthbert Sendiga ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Awali Mheshimiwa Queen Sendiga (kushoto) alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kabla ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Makongoro(kulia).
Makabidhiano hayo yamefanyika mjini Sumbawanga na kushuhudiwa na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Kamati ya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa Dini, Balaza la waee,Wakuu wa Taasisi za Umma na Serikali na Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.
Aidha Mhe Queen Cuthbert Sendiga Mkuu wa Mkoa wa Manyara mapema kabisa amefika Katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Rukwa kusaliamiana na kuagana na viongozi wa Chama Mkoani Rukwa,Sendiga amewaomba kuendelea kutoa Ushirikiano wa Dhati kwa Mhe Charle Makongoro Nyerere ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa kama walivyofanya kwake kipindi akihudumu kama Mkuu wa Mkoa wa Rukwa

Пікірлер
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 36 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Makongoro Nyerere Alipua Wala Rushwa
9:03
SIMU. Tv
Рет қаралды 99 М.
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 84 М.
RC MAKONGORO AWAVUNJA MBAVU VIONGOZI
22:21
Uhondo TV
Рет қаралды 30 М.
WIMBO WA TOT PLUS BAND WAMLIZA MAMA JANETH MAGUFULI
7:14
LONGA TV
Рет қаралды 924 М.
MAKONGORO NYERERE
1:09:15
Maulid Madeni
Рет қаралды 189 М.
КАЧЕЛИ ИЗ АРБУЗА #юмор#cat  #топ
0:24
Лайки Like
Рет қаралды 1,9 МЛН
Откуда эти паучки??? @zackdfilms - автор анимации.
0:29
Время знаний
Рет қаралды 3,7 МЛН