RC Mwanri: Mimi ni mkuu wa mkoa mkubwa Tz, Tabora ina fursa

  Рет қаралды 34,072

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@michaelmuriithi6808
@michaelmuriithi6808 6 жыл бұрын
Ukiwa na Lengo, lengo litakupa mpango, Ukiwa na mpango, mpango utakupa mkakati, Ukiwa na mkakati, mkakati utakupa mbinu, Ukiwa na mbinu, utapata ushindi...I love this old man...very wise..a good adviser to all and sundry.
@EdwinOmegaodhis
@EdwinOmegaodhis 6 жыл бұрын
Mimi sio mfwasi wa CCM lakini I can proudly say kwamba tukiwa na wakuu wa mikoa wenye vision kama huyu jamaa, tutafika mbali sana. Kila nyumba lazima tuwe na graduate. I like that. Keep it up mheshimiwa. May God bless you.
@abelharry_tz
@abelharry_tz 6 жыл бұрын
Watu wa tabora twajitapia mkuu wetu wa mkoa TABORA ON THE TOP NOW. kama unabisha nyoosha mkono juu jifanye kama UNAJIKUNA
@nsimbepaul3719
@nsimbepaul3719 6 жыл бұрын
Hahaaàaaaa
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Kama unabisha nyoosha mkoni jifanye unajikuna
@othmanshahib1115
@othmanshahib1115 6 жыл бұрын
Huyu jamaa sasa hivi ana trying kwenye mitandao
@willykikwete342
@willykikwete342 6 жыл бұрын
Huu ndio utawala Bora.
@dottoabel3455
@dottoabel3455 6 жыл бұрын
Wakikuzengua fyeka,ambao sio wachapa kazi fyekelea mbali
@godlovemrosso8715
@godlovemrosso8715 6 жыл бұрын
Mpaka namuonea wivu natamani mh rais wetu amrudishe nyumbani siha aje atuinue maana tushaanza kulala sasa kielimu tofauti na miaka ilopita
@rashidyhassan4679
@rashidyhassan4679 6 жыл бұрын
umesomeka
@daudinassary3578
@daudinassary3578 6 жыл бұрын
hahahahahahah,ndyo Mzee wangu
@rashidyhassan4679
@rashidyhassan4679 6 жыл бұрын
umesoka RC wetu
@ajonline7994
@ajonline7994 6 жыл бұрын
Hahahahaha
@ajonline7994
@ajonline7994 6 жыл бұрын
Umesomokaa kamanda
@aloycayubu24
@aloycayubu24 6 жыл бұрын
Kama unakubali huyu nizaidi yamkuu wamkoa coment twende sawa
@mwl_bennehemiah
@mwl_bennehemiah 6 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa bora mwenye malengo yanayoshikika
@pelusemanueli858
@pelusemanueli858 6 жыл бұрын
hahahah jamani
@nrecords7222
@nrecords7222 6 жыл бұрын
ila hyu jamaa kichwa alafu anafani sana,unajua ata mwalim akiwa anafundisha kwa mwanafnz kumuelewa aweke na ucheshi kwanza huyu jamaa raha tu kumsiliza yan. tunampenda sana
@christopherkiwanga4257
@christopherkiwanga4257 6 жыл бұрын
Only one in a million bravo RC
@petermwacha9909
@petermwacha9909 6 жыл бұрын
Hakika Mwandri Agrey ni kboko, atawakomesha wahuni wote
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 6 жыл бұрын
Du jamaa bwana maongezi yake lazima kuwe na vunja mbavu kidogo.
@allymamba2419
@allymamba2419 6 жыл бұрын
Mkuu ni mzalendo kwa nafasi aliyopewa bize na wananchi mungu akubariki mkuu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 6 жыл бұрын
Sidhani km atatokea mkuu wa mkoa km huyu tz maisha yote
@sayeedsaleem6395
@sayeedsaleem6395 6 жыл бұрын
Hahahaha
@theresiakaruhanga9502
@theresiakaruhanga9502 6 жыл бұрын
huyu mtu ni kati ya watanzania wachache wenye akili na kupenda kazi zao zifanikiwe. nasema hivyo maana watanzania tuliowengi tunafanya kazi ilimradi tu.
@kasimuallyakome1864
@kasimuallyakome1864 6 жыл бұрын
Pijakazi nzezbaba
RC  MWANRI TENA: KAMATA  OFISA HUYU, SUKUMA NDANI!
7:06
Global TV Online
Рет қаралды 351 М.
KIZAAZAA CHA RC MWANRI KWA DEREVA ALIYEGONGA MTI WAKE
5:04
Millard Ayo
Рет қаралды 853 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI "SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO"
6:27
DUNIA (Ep 45)
22:51
ASMA FILMS
Рет қаралды 115 М.
The Match That Made Lionel Messi Famous
14:37
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 307 М.
MWILI WA AFANDE MASOUD WAWASILI TABORA, NDUGU WAZUNGUMZA
4:22
Millard Ayo
Рет қаралды 330 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН