RC MWANRI TENA: KAMATA OFISA HUYU, SUKUMA NDANI!

  Рет қаралды 351,464

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RC MWANRI TENA: KAMATA OFISA HUYU, SUKUMA NDANI!
MASKINI Ofisa Kilimo, Gasper Olimba wa kata ya Chama, mkoani Tabora amekutana na Mzee wa Sukuma Ndani, RC Aggrey Mwanri akiuza madawa ya kilimo kinyume cha sheria na kuagiza askari wake: SUKUMA NDANI!
#RCMWANRI
www.youtube.com/watch?.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho
#RCmwanri #Sukumandani

Пікірлер: 105
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Daaa Afisa Kilimo mwenzangu pole bana.Sema hizo wanaoziuzaga wakati mwngne huwa ni wananchi wenyewe hssa wakifulia
@alexgeorge4604
@alexgeorge4604 5 жыл бұрын
P
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 4 жыл бұрын
kwahiyo polisi akifulia akiamua kukuuzia bunduki unanunua?mmefeli
@omarybakari1681
@omarybakari1681 4 жыл бұрын
@@nsajigwamwakalonge5702 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@martinezthomas030
@martinezthomas030 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁🔩daah
@OmanOman-v2g
@OmanOman-v2g Ай бұрын
Kaz nzur❤
@金鑫-k9r
@金鑫-k9r 3 жыл бұрын
Huyu mwanri alistaafu akaeda wapi?MTU was aina hii anahitaji kuwa kazini mpaka kifo kimtoe kazini,siyo mambo ya retirement.
@lugendopius1231
@lugendopius1231 4 жыл бұрын
Hapa kazi tu.
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 5 жыл бұрын
wangap wakiangalia video hii wanafurah
@johnsonmalembeka3413
@johnsonmalembeka3413 4 жыл бұрын
Huyu mzee nikiboko yao😂😂😂
@jorossi1174
@jorossi1174 5 жыл бұрын
Pole bro lakini tunaomba mtofautishe chenu na cha jamii. RC msimuchukie hata kidogo chapa kazi.
@edwinkoskei6749
@edwinkoskei6749 11 ай бұрын
Sukuma ndaaani😂😂😂
@omarysadiki9923
@omarysadiki9923 Жыл бұрын
Mzee wee ungeichukua hii nchi upuuzi wote tungeuzika
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 5 жыл бұрын
Freddo Kuckelmann 1 second ago Tusije tukapata Raisi Mchaga Tz, wachaga ni ma-dikiteta no1 Africa
@emmanuelmnyonzi6143
@emmanuelmnyonzi6143 5 жыл бұрын
sio kweli bro
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 5 жыл бұрын
@@emmanuelmnyonzi6143 Huyo mkuu wa mkoa wa Tabora Siyo mchaga? Angekuwa Raisi 95% ya watanzania wangewekwa ndani. Ingebidi kukodi na magereza mengine ya nchi za kiafrika.
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 4 жыл бұрын
@@freddokuckelmann8502 hapo alitakiwa amwambie hongera kwa kuuza dawa za wananchi au angetakiwa amwambie Asante au afanyeje? Wachaga wanapenda Haki hawatakagi ujinga.
@greatamir6494
@greatamir6494 3 жыл бұрын
Dahhh shida
@DavidBiratanguye
@DavidBiratanguye 10 ай бұрын
Et mahal pake mnapafahamu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulissaahmed2479
@abdulissaahmed2479 5 жыл бұрын
Mr no nonsense kamata mutu sukuma ndani 😂😂😂
@mchinaclassic984
@mchinaclassic984 4 жыл бұрын
Pole
@mashaurijames898
@mashaurijames898 2 жыл бұрын
Hivi haiwezekani Aggrey Mwanri kugombea urais wa nchi hiiii!??
@bundaboymararyhmesking8463
@bundaboymararyhmesking8463 3 жыл бұрын
Nikusukuma ndani wote hakuna huruma
@rosebeny5509
@rosebeny5509 3 жыл бұрын
Kamata sukumaa ndaniiii
@zaitunikweka979
@zaitunikweka979 4 жыл бұрын
Tutanyooshana maungo haoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@adammveyange9638
@adammveyange9638 5 жыл бұрын
Siasa raha sana
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 3 жыл бұрын
Enzi hizo ulitisha mzee good
@hamzakalamba4662
@hamzakalamba4662 5 жыл бұрын
Allo
@ramaney1027
@ramaney1027 4 жыл бұрын
Nice
@babarahmababarahma60
@babarahmababarahma60 4 жыл бұрын
Huyu mzee haoni hata aibu kumpelekesha Mzee mwenzake hivyo
@peterrainer3835
@peterrainer3835 4 жыл бұрын
Uwe kiongozi wewe uone moto
@kelvinkanuele8260
@kelvinkanuele8260 4 жыл бұрын
Cool remember me
@ramadhanndemeye6932
@ramadhanndemeye6932 5 жыл бұрын
Sifa ya nini? Ana fanya kazi yake sukuma ndani wote
@amorsalum271
@amorsalum271 4 жыл бұрын
Tatizo sio kusukuma ndani tengeneza mazingira ya watumishi jifunze katika nchi nyingine
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Hahaha take charge mkuu wa police sukuma ndani
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 7 ай бұрын
Daah kakamatwa yeye anawuza na wengine. Et maduka mengine yako apo sio mm tu
@apsontemistokeles8676
@apsontemistokeles8676 5 жыл бұрын
Rc Dahh mungu anisaidia siasa za kuzalilishana aniepushie mbali,,,
@onesmohenry2908
@onesmohenry2908 4 жыл бұрын
Mzee kaz nzur sukuma ndan ao
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 2 жыл бұрын
Muheshimiwa mwanri gombea uraisi walausiokope
@LM-dh1fq
@LM-dh1fq 5 жыл бұрын
Kama ni afisa was serikali sukuma ndani kabisa wanatumaliza hawa
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 5 жыл бұрын
Kua mbunifu matangazo yawe mafupi hata sekunde 30
@godkingdompropheticministr8253
@godkingdompropheticministr8253 5 жыл бұрын
Sekunde30 tungeelewa nini ssa
@mawazomamba9535
@mawazomamba9535 4 жыл бұрын
Jamani tuishi nao hiv hivi tusije na sisi mtandao tukatiwa/sukumwa ndani bureeeeeeeeeeeeeee
@gastogabriel4105
@gastogabriel4105 5 жыл бұрын
Kama unaona jamaa Rc anataka sifa aonekane weka like
@kiperatv2990
@kiperatv2990 5 жыл бұрын
Safiiiii
@abuuhudhaify5195
@abuuhudhaify5195 4 жыл бұрын
hhh sio sif kaz mashin hiy
@beatricenicholausiwasa7601
@beatricenicholausiwasa7601 4 жыл бұрын
Sio sifa yupo kazini
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 7 ай бұрын
Akuna Cha sifa MTU anafanya kazi alio teuliwa kufanya senge wewe unae ongea
@rashidbusso3959
@rashidbusso3959 Жыл бұрын
Basi tena
@yohana-xw3ss
@yohana-xw3ss Жыл бұрын
Tupa ndani
@yuzaaseif3007
@yuzaaseif3007 4 жыл бұрын
Safi
@konganzegatc5873
@konganzegatc5873 4 жыл бұрын
Naamini bado mzee wetu ana uwezo mzuri tu wa kuchapa kazi japo alitangaza kujiuzulu
@susananyasani6526
@susananyasani6526 3 жыл бұрын
Mheshimia Mwamri Lazima uchunguzi ufanyike katika Nchi nzima kuhusika na Maduka Binafsi ya kuuza Madawa sababu ya wanyonge kutoweza kununua dawa wanazoandikiwa na Daktari sorry
@wilsonuhenge1926
@wilsonuhenge1926 5 жыл бұрын
Mngefanya hivyo hivyo na maduka ya dawa za binadamu.
@ibrahimmaneno6484
@ibrahimmaneno6484 3 жыл бұрын
Na mologolo tupate viongozi ka hao jamani
@ibrahimsaid4744
@ibrahimsaid4744 3 жыл бұрын
Alykuwa anatisha
@SadickJohn-i6e
@SadickJohn-i6e Жыл бұрын
Anafaaaa saaanaa
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 жыл бұрын
Alianza kwa upole utafikili anamsamee
@asalasaad7568
@asalasaad7568 4 жыл бұрын
Hata refa uwanjani hufanya kama anakusamehe kumbe anakubutua red card
@immamkenda1026
@immamkenda1026 3 жыл бұрын
Mladiay
@johnmarubiri6729
@johnmarubiri6729 2 жыл бұрын
Sukuma ndani
@hassanmohd6642
@hassanmohd6642 4 жыл бұрын
Dah tamaa mbaya jaman
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 4 жыл бұрын
Mbona anatetemekaaa,aachee uboyaa viongozi hawafaiiiii......katika nchii ....
@chiefkimata9731
@chiefkimata9731 4 жыл бұрын
Atuna viwanda vyamadawa zinapatikana kwa sheria na mikataba ya Dunia sio nchi.
@mohammedjuma3978
@mohammedjuma3978 5 жыл бұрын
Mzee snitch sana huyuu
@moemussa5212
@moemussa5212 4 жыл бұрын
mohammed juma 🤣🤣 Anadai Hayuko Peke Ake
@Unclerammaschannel
@Unclerammaschannel 5 жыл бұрын
Soma hiyoo take charge sukuma ndani
@marthasalum6573
@marthasalum6573 3 жыл бұрын
Wacha iyo habar sukuma ndan imeieha iyo
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 5 жыл бұрын
Siyo hao tu wapo wengi mkuu wa mkoa chunguza wilaya zote kata zote wapo wengi viongozi
@Khanafimas1992
@Khanafimas1992 4 жыл бұрын
Mwanir ananimalizia bando maana kila atakachosema namuunga mkono yuko vizur
@mjarifumaregesi6052
@mjarifumaregesi6052 3 жыл бұрын
Mbona inaonekana kama vile mzee ana hang,over wamemtoa usingizini,
@ChangchunRealstateDragon
@ChangchunRealstateDragon 5 жыл бұрын
Hahaha nina watoto wrng
@yassirkipemba7889
@yassirkipemba7889 5 жыл бұрын
maduka ya dawa za binadamu ndo yangefanyika haya
@danielmkolah3060
@danielmkolah3060 5 жыл бұрын
Hakuna chammuzaj sukuma ndan
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 4 жыл бұрын
Mzee kufa mwenyewe unataja wengine
@ramamchina4730
@ramamchina4730 3 жыл бұрын
Cheo ni zamana allah aki kupa isiwe fimbo kuchapa wezio
@Jakaugagi
@Jakaugagi 5 жыл бұрын
Skuma wote ndani
@muhusinibakari7045
@muhusinibakari7045 5 жыл бұрын
Sukumandani
@chiefkimata9731
@chiefkimata9731 4 жыл бұрын
Mikataba Dolo fadha
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 4 жыл бұрын
Tutanyooshana Maungo
@adammveyange9638
@adammveyange9638 5 жыл бұрын
Joseph mbilinyi ndugu yako huyu
@johnjacob9587
@johnjacob9587 4 жыл бұрын
Mwanri si mchezo
@zakayomsigwa2133
@zakayomsigwa2133 4 жыл бұрын
Nina watoto wengi
@jacobezekielhoya1626
@jacobezekielhoya1626 5 жыл бұрын
mzee kaone ataje na wenzake,,,,,,,asife peke yake
@godkingdompropheticministr8253
@godkingdompropheticministr8253 5 жыл бұрын
Wekayye ndani hahahahaha
@adammveyange9638
@adammveyange9638 5 жыл бұрын
Mtuache kidogo tupo bukoba wanasimba
@mariamnajma2813
@mariamnajma2813 2 жыл бұрын
😂😂😂
@gozibertbenedicto5848
@gozibertbenedicto5848 5 жыл бұрын
sasa wew unakamatwa unawataja wengine
@exaverybatromew7820
@exaverybatromew7820 4 жыл бұрын
Sihapo sasa huo ni Ushamba inakiwa Kufa kishujaa
@husseinhajjihussein6898
@husseinhajjihussein6898 4 жыл бұрын
Yanii Huyu Mzee Mjinga kwely
@allyhamadi3466
@allyhamadi3466 4 жыл бұрын
Sukumandani
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 5 жыл бұрын
Serekali ya awamu ya 5 simchezo
@ResreyWangari
@ResreyWangari 10 ай бұрын
U
@sumaabdy8328
@sumaabdy8328 4 жыл бұрын
M
@mosesmtumishi3818
@mosesmtumishi3818 3 жыл бұрын
F
@hemedysabaya7991
@hemedysabaya7991 5 жыл бұрын
Sukuma ndan
@loleras.razaro1958
@loleras.razaro1958 4 жыл бұрын
Do
@salehhamadi6070
@salehhamadi6070 5 жыл бұрын
Muonee huruma mtu mzima mwenzako uyo
@lawrencekashindyeshija4018
@lawrencekashindyeshija4018 5 жыл бұрын
Sf
@hamzakalamba4662
@hamzakalamba4662 5 жыл бұрын
Allo
@Jamillaglivrwsd1org
@Jamillaglivrwsd1org 8 ай бұрын
Sukuma ndani
@iddseleman5065
@iddseleman5065 4 жыл бұрын
Sukuma ndan
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 255 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
RC MWANRI NA WAKANDARASI WAHINDI "SOMA HUKO INJINIA HUU NI MKOROGO"
6:27
DUNIA (Ep 48)
23:19
ASMA FILMS
Рет қаралды 39 М.
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
4:24
Global TV Online
Рет қаралды 175 М.
Hizi hapa dakika 15 tu! za Kufurahi na Mch. Hananja. UDSM CCT.
15:29
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН