KAMA UMEONA HILO ROLY LIMEANDIKWA "" PAMBANA NA HALI YAKO"" dakika ya 2:35 gonga LIKE
@pascalmhilu34035 жыл бұрын
We ni atar
@khamiskamtoi50945 жыл бұрын
😂😂😂
@emmanyambuya89204 жыл бұрын
🤣😂😂😂
@dutchsafari75625 жыл бұрын
Ohoooo leo wa pili ku comment Mwanri:eleza ilivyokua babuuuu...... Gari: PAMBANA NA HALI YAKO hahahahahaha wanao endelea kuweka MBs kwajili ya huyu mzee tujuane hpa
@robertobunga31585 жыл бұрын
THIS IS BEING PETTY... MPIGE FINE ALIPE Y ARREST THE GOODS
@matikumhele39295 жыл бұрын
Dutch tz n n
@timezonlinemedia26655 жыл бұрын
Kwahiyo kwenu Kigoma mnapalamia miti😂😂😂😂😂😂😂😂
@NiteStopa-er4xt2 ай бұрын
Kama umeangalia 2024 like yako tafadhal
@joshuajacob94875 жыл бұрын
Mkuu unafanya kazi nzuri sana ubarikiwe
@geraidjastini96532 жыл бұрын
Simba
@alphamwasakyen76965 жыл бұрын
Hatari tabora nimeipenda mkuu wetu wa mkoa
@danielmwampepu39345 жыл бұрын
Alpha Mwasakyen hana lolote huyu asubili so mdaa mungu atamuonesha kuwa yy ndiye mwenye sifa
@mwinukafundibombanjombe5 жыл бұрын
Sheria itawapa kinachowastahili..Kaz nzuri hakuna uonevu hapo ni uwajibikaji kazini..!
@aloycekiwia86135 жыл бұрын
😅😂🤣🤣 Yaani mfanyabiashara wa Mbao ,alafu anaharibu Miti.!? Kesho atafanya biashara ya Mchanga.?
@elienezarumisha99965 жыл бұрын
Dah umewaza parefu asee, nmeipenda...
@jimmiejr95315 жыл бұрын
Daah!! Deep
@jacksonmathayo65105 жыл бұрын
Gari yake ime mwambia pambana na hali yako
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😁😁
@mosesmkoma68825 жыл бұрын
😂😂😂aisee huna akili nyingi saana
@shabanimbaga89215 жыл бұрын
Japo hata mimi linaweza kunikuta pengine kwa bahati mbaya lakini hii nimeipenda. Tusipuuze vitu kuona kama ni vidogo. Safi wananchi
@barakakihiga50875 жыл бұрын
Mwanli pigs kaz tutamuomba rais magu akulete KTV milima inageuka jangwa viogoz wamelala hongela sana agrey
@edwingwesso1295 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mzeee huyu kwa kumuona Ni mkali ila Ni mpole Sana
@sethmdj5 жыл бұрын
Kwa kumwona wapi? Sisi tunamwona kwenye uhalisia wa matendo yake ya ukali. huo upole anauonyesha kanisani na nyumbani au?
@elienezarumisha99965 жыл бұрын
Mtu kabeba mbao bado tena anavunja miti midogo...hyo Sheria ipo hata nchi nyingne kwamfano China ukigonga mti faini yake usiombe
@samirarsan20245 жыл бұрын
sasa china ni sawa sawa na Tanzania China ni nchi inayoongozwa by laws kule ata kiongoz wa juu ukifanya ubadhilifu, ufisadi unayongwa hawaangalii cheo wanafata sheria Tanzania ni nchi inayoonea wanyoge tu hakuna kufuata sheria
@elienezarumisha99965 жыл бұрын
@@samirarsan2024 Hzo Sheria mdogo Sanaa, ni vile wabongo hatujali,
@samwelmashauri94145 жыл бұрын
Kama umeona anaendelea kuugusa mti ni mchochezi enjoy
@wistonkimaro61665 жыл бұрын
Hahaha
@azimediafilms5 жыл бұрын
Haaaa haaaa
@renardphilipo21125 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@pratickocomedian14613 жыл бұрын
@@wistonkimaro6166 1
@subzzero55853 жыл бұрын
Nimelipenda gari lilivyomktaa dereva
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Hahahahaaaa
@publicadvisor69525 жыл бұрын
Pointi hapa sio kumuonea wala kutafuta misifa bali nikufikisha ujumbe Kwa wengine. Binadamu wa kawaida huwezi mwelewa. Hapa Moshi tunamsoma maana mambo huku yanafanyika Kwa userious na ndio maana Kimkoa tupo juu ukilinganisha na mikoa mingi.
@alexjosephat90305 жыл бұрын
Mh pole
@saidkessy65185 жыл бұрын
safi sana kamanda watanyooka tu
@luqmaansaleh53995 жыл бұрын
Ukiwa kiongozi ni mtihani. Unatakiwa uongeze kwa hekima na busara kuna baadhi ya viongozi wakishapata uongozi wanaji sahau kama wao ni binadamu ipo siku watapita watakuja wengine kwani hakuna atae ishi milele mungu atu ongoze katika njia iliyo ya haki kwa watanzania wote na viongozi wetu.
@christianchando704110 ай бұрын
NI SAWA UONGOZI NI WA MUDA. ILA UNAPOPATA NAFASI YA UONGOZI INAPASWA KUIFANYA KWA UKAMILIFU, BILA UOGOPA MTU WALA KUONEA MTU
@vincentauxerbius75545 жыл бұрын
Duuuuh kisanga kanyea debe mtu kudharau vitu vya huyu rc.......like hapo sote tunawajibu wa kutunza mazingira
@bwajerisangi58425 жыл бұрын
Sio vzr lakini hicho kitu nimemusikiliza vibaya Sana Ina maana leo. Kigoma ni nchi nyingine
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
😂😂😂😂 Pambana na hali Yako,Jamani Amejifunza naye hata Mchicha hataugonga.
@maase2023 Жыл бұрын
Safi Kisha badae sukuma ndani tu
@akimmbwego7975 жыл бұрын
Mimi mtoto wako mpendwa,Team Rc Tabora number one TZ NAMWOMBEA ASAMEHEWE MTU HUYO KUHUSU FINE ATOZWE 50,000/= ili akajifunze kutofanya uzembe tena.
@liberathmhagama25505 жыл бұрын
Gari inamkana dereva wake inamwambia apambane na hali yake
@jumamwadhini60665 жыл бұрын
msameheni
@kimrudiger50845 жыл бұрын
Hahahahahaha
@jacquelineadrian11125 жыл бұрын
Hahaaaahaha
@abelymembe23345 жыл бұрын
huyo niowenezi
@livingstoneherman66645 жыл бұрын
hahahaaaa
@singujoseph28965 жыл бұрын
Huyu rc noma sana,Huyu akiwa makamu wa raisi,Magu raisi ,majaliwa wazir mkuu,daa timu inakamilika
@flova70222 жыл бұрын
Utateseka Hadi wewe...pesa itakua ngumu kitaaa xn
@keila45215 жыл бұрын
I like the punishment and they are also trying to discourage destroying trees and uphold afforestation. muhimu.. Very good of mheshimiwa Mwaniri
@kingwatabata42305 жыл бұрын
Mtanzania unaesema mwanri anaonea, Nenda kakanyage mti mdogo China afu uje unambie wamekufanyaje! Nilazima tuheshim kilakitu kilichopo sio uambiwe
@latiphzimbwe50295 жыл бұрын
Sifa za kijinga
@samirarsan20245 жыл бұрын
sasa china ni sawa sawa na Tanzania wewe vip?
@samirarsan20245 жыл бұрын
sasa china ni sawa sawa na Tanzania China ni nchi inayoongozwa by laws kule ata kiongoz wa juu ukifanya ubadhilifu, ufisadi unayongwa hawaangalii cheo wanafata sheria Tanzania ni nchi inayoonea wanyonge tu hakuna ufuataji wa sheria
@bahatiswago10275 жыл бұрын
Yani wewe box kabisa usipende kuiga nchi za watu ndio maana mmeiga mpaka ushoga
Hapo mzeee umechemka baba mana vitu vyingine vinaa malizika kibinadamu
@asiliyakechuma43195 жыл бұрын
Garma Wa town ww upo wp muxoma nn
@bahatiswago10275 жыл бұрын
Msimlaumu inaonekana ni ulimbukeni wa uongozi
@godfreygozbert49735 жыл бұрын
Kazi nzuri xana
@queencharles7155 жыл бұрын
Nakukubali sana baba Mungu akulinde na akuzidishie katika kazi zako. Nakupenda sana baba
@miriam57355 жыл бұрын
Nimejifunza kuwa ukiwa kiongozi hasira za nyumbani kwako unamalizia kwa wengine, naomba viongozi wote wenye roho mbaya muishi milele ili mtutese vzr n amkifa tuwakute na kazi zenu
@hubertgerishon24015 жыл бұрын
Sheria ipo pale Pale
@bahatiswago10275 жыл бұрын
Halafu huyu jamaa inaonekana chapombe
@rashidyahya57275 жыл бұрын
Kazi nzr my friend mpangala
@sarahmollel547710 ай бұрын
Hivi kumbe ni Hako kamti.mzee presha juu.mfinanga Hana bahati.baba mkwe I salute u
@mohamednyenyema9975 жыл бұрын
Safi sana
@frenkingonyani10865 жыл бұрын
Hunnakili duniani hujui kama tunapita tu
@mohamednyenyema9975 жыл бұрын
@@frenkingonyani1086 hongera ww mwenye akili
@gracelauzi97464 жыл бұрын
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️ Nitarudi kidogo na fika chooni 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️💃💃💃
@pwalter335tv55 жыл бұрын
Not fear bahati mbaya zipooo gar ina rud reverse bahat mbaya zpoo jamani
@raymondkaswaga83345 жыл бұрын
pwalter335 TV kuna bahati mbaya na uZembe
@Millidady5 жыл бұрын
turn boy aliambiwa akawa mbishi ubishi wake ndo unamponz
@Boazmosses82045 жыл бұрын
Hapa cjamkubali huyu mzee
@vicentelias4914 жыл бұрын
It is fair and Not fear
@AbdallaRashid-s2m4 ай бұрын
Watu wanapotea mpo kimiya mnaongelea miti hii mchi shida sana
@leonardkambona36083 ай бұрын
oa hii miti watu wa tabora boys wanaelewa tulivopambana kila sku lazima umwagilie afu km5 airpot ni msala😊
@athumanially78235 жыл бұрын
Yani kwa staili hii huyu mzee akipewa urais maisha yatakua magumu sana
@AyubuNgubi Жыл бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤
@storytownTv2 ай бұрын
Tanzania inahitaji viongozi kama hawa ili inchi iende mbele..😢
@barakamweta99584 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa huyu yuko safi sana, wengine mnafanyanini? Raisi umechaguwa mtu, safi, muweke uwaziri Raisi. Atakusadia,
@frankshegga42974 жыл бұрын
unapenda sifa kwan kila unachofanya lazima waadixhi wawepo
@zainabmaulid9637 Жыл бұрын
Jamaa anaroho mbaya Sana Kama mmbwa binaadamu anakua Ana huruma # pengine bahati mbaya# tu#
@SmilingTropicalSailboat-op2jk5 ай бұрын
huyu mt alooo nafrah sana anavojali hadi mt anaupa kipaumbele sema tunakukumbuka sana aggrey
@humphreysamson65615 жыл бұрын
Mti wenyewe mmoja ingekuwa msitu je xo ubinadamu mambo mengne siyo kila kitu mbka media
😂😂😂😂😂eti nampigia jirani yangu,watu wake wametoka kwao wamekuja kutuvunjia Miti......
@ibrahimally77354 жыл бұрын
Dah aiseeee kumbe mtu kua masikin ni kugusa tu pole sana suka ndo mambo ya road hayooo
@Dillarare5 жыл бұрын
Ajali ni ajali...haina Haja ya kuzuia gari...kisa mti....utakua unazuia uchumi....ni bora apewe adhabu ya kupanda na kumwagilia....siyo kuzuia gari.....Haifa bana...ni ajali
@udizungwahimalaya52132 ай бұрын
Huo mti sasa😂😂😂😂😂😂😂😂
@rudydeda65535 жыл бұрын
RC Mwanri Mungu anakuona unahukumu akat we hujahukumiwa
@frankmaganga89305 жыл бұрын
ha ha haaaa duuu We Mwari ni nomaaa.
@leahjoseph63 жыл бұрын
Dereva mpk gari yko imekukataa et Pambana na hali yko😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣
@athumanomary11715 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU endelea kuwasimamia vyema wakuu wetu wa mikoa na kuzidi kuziimalisha ayfa zao
@mageuzimwampamba28555 жыл бұрын
Kaeni na mkoa wenu... Manyanyaso mengi utafikiri yeye sio binadamu...
@makamenyikombo42205 жыл бұрын
Kwe kabsaaa yan nchi hii mti una haki kuliko binaadam...
@florencejames-jo1cz8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo sasa amesahau mti anaangaikia gar
@ramadhanmahongole56633 жыл бұрын
Hiyo ndiyo serikali ya Magufuli 😆😆😆😆😆
@mctidohondoa16525 жыл бұрын
Hataree hvi huo mti bei gan hizi mb zetu hazitoshi kulipa
@kesterkanyala77185 жыл бұрын
OO HOOO...!! SUKUMA NDANI...!!DHARAU HIZI,HATUTAKI HAPA KWETU..TABORA..'MNANIMALIZIA MITI YANGU'..?..OTESHA MINGINE NA UKAFANYE USAFI MAENEO YA ""MAENEO"" YA RELI.👏👍👋
@Unclerammaschannel5 жыл бұрын
Mfinanga njoo panda miti kata mti kazi kweli kweli wata elewa tu
@simonphabiano90504 жыл бұрын
Mtoto Iddy kazua balaa 🙉🙉🙉
@moturithevictor25225 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa jamani......hata mke nyumbani anaona taabu kweri...hahaha
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Gari Ina ujumbe mzuri wacha apambane na Hali yake
@peterkailembo41015 жыл бұрын
Duh Tabora kumenoga. True yaani miti ni uhai
@naomyalex58595 жыл бұрын
Kiukweli mm kama mwanamazingira ninajua wengi wanaongea lakini tutunze mazingira ambayo ndio uhai kufikia muda flani mvua zitaongexeka kwasababu ya kuweka mazingira vema kwa kuoanda miti kwetu wanamazingira tunaongozwa na sharia
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Uongozi ni mtihani huko ni kuwadhalilisha hao wanyonge wa mungu tuuu lkn yanamwisho
@nebartmuyagala95455 жыл бұрын
Mkuu unanimaliziaga mb zangu yn huwa napata burudani Sana MUNGU akubariki uje BAC nahuku singida
@ramosfally23184 жыл бұрын
uyu jama noma sana aise adi raha.
@younggeneration79825 жыл бұрын
Duh Ndo ujinga huo kuna mti gani apo mpaka Lori zizuwiwe shanz kbs
@godwinkileo77025 жыл бұрын
Hahaha
@marcondokeji89825 жыл бұрын
Mzee msamehe tuuu bad luck
@sultannassor97564 жыл бұрын
nimecheka Rc nampenda sana huyo jamani
@makulazomorice37665 жыл бұрын
Anagaka kadi original ya gari 😁😁😁 linataka lipigwe mnada nn
@samatafelix67305 жыл бұрын
mzee noma Sana 😁😁
@issaabdi91295 жыл бұрын
Kwa kwel binadamu ukosea na mkuu wa mkoa hakutumia hekima. Sasa kumtia adhabu kaka wa watu na ukiangalia ana majukumu ya kifamilia i
@habari33215 жыл бұрын
Mi narudi Tanzania😰😰😰😢😢😢😢😢😢😢
@barakanyoka54824 жыл бұрын
Hhhhahaha huyu Mzee ni mafuta ya Taaa
@yahayamkone40405 жыл бұрын
Safii Sanaa mzee wangu
@godfreypolisikiwipa31904 жыл бұрын
Mwanri nouma kweli kweli
@busyladyfashion5825 жыл бұрын
uho ni uonevu sio maisha ktk utendaji uho si utendaji bali ni kutumia madalaka vby
@prosperjuma9055 жыл бұрын
Lofa kweli wewe. Kuna uonevu gan hapo? Kusema sheria ifuatwe?
@gulinjaantony66785 жыл бұрын
Sheria ifuatwe na yeyote,,dereva ana makosa hapo,,,shida sisi tunachukulia poa kila jambo
@yassinponera42715 жыл бұрын
bahati mbaya
@frankkiondo42274 жыл бұрын
Kwann umestafu mkuu wew ni kiboko yao
@mathiasmagesa83085 жыл бұрын
Mnatoka kigoma kuja kutuharibia miti
@NjinaBahat5 ай бұрын
😂😂😂😂😂dah
@simonnembomadola75125 жыл бұрын
Aisei ila sawa tu wawe makini
@eliahedward74904 жыл бұрын
Njoo njoooooo mfinanga njooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NuruNswebe10 ай бұрын
Mpangalaaaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@samkaranja45697 ай бұрын
Hii inawezekana huko Tanzania 2 lakini hapa Kenya woiyee shida tupu
@bockernyarusahi36555 жыл бұрын
Bila sheria kufuatwa,hiyo miti haiwezi kukua na Watu wengi wanadharau miti ila hawajui kazi yake ni ngumu hadi kufikia hicho kimo,na ikiwa sehemu yenyewe ni kame,Rc yupo sahihi kabisa,bila uangalizi wa karibu hiyo miti haiwezi kukua kamwe.
@emmanuelchilimo4 жыл бұрын
Lorri la kigoma Lavinia mti wa Tabora😁😁😁😁😁
@lenatiusjonas31205 жыл бұрын
Uyu mzee ana loho nbaya atakfa na lahana uyu mambo mengine tumien busala jaman
@kagomabhihusi3915 жыл бұрын
Mmh, sasa Tabora sio kwa kwenda kichwakichwa
@kelvinjonathan47725 жыл бұрын
Ukishika nafasi ya Uraisi tu sikumoja...... haki naama na Uraia kabisa yani... Kaaah !!!!
@ibrahimthadeo85005 жыл бұрын
not fair
@hamishemed93965 жыл бұрын
Dunia
@Harid-d2j6 ай бұрын
haposawa nakubali wanszalaunamgaliyao
@BeniMasolwa4 ай бұрын
Huo mti mpaka 2024 hii unahaligani jamani mliopo tabora
@Mbugokilonda4 жыл бұрын
Daaah huyu mzeee noma xana
@bakarymsumary39412 жыл бұрын
Gari inamkataa dereva,het PAMBANA na HALI YAKO
@hisanmwakijungu105 жыл бұрын
ILI NI FUNZO KWA WENGINE,, NYIE MNAO MPINGA NI WAPUNGUFU WA AKILI