RECAP: KOMASAVA itamsumbua DIAMOND kupata HIT nyingine, AFANYE haya ajaze 02 ARENA, MABANTU watikisa

  Рет қаралды 9,320

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@NatashaChebukati
@NatashaChebukati 2 ай бұрын
Konde boy anabonge la laana kutoka kwa babake simba. Ni mchawi ama chizi ndiye anaweza mdharau mtu Allah amekutumia kwa iyi dunia kukupigania na kubadilisha maisha yako. Konde anaweza Fanya kubwa zaidi ya comasava na akuwe ndie msani wa tz mukubwa ila adi amalize na diamond awachane na mashabiki na kulewa umahurufu
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf 2 ай бұрын
Diamond platnamz huu mwaka ni wake🎉❤
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign
@HazardHbcomEmmanuelprodduseign 2 ай бұрын
Vraiment Diamond platnumz courage pour les œuvres déjà fait comment ça va nous fait souvent dancé chez nous au Congo RDC précisément à Kinshasa 🇨🇩
@john_1trader
@john_1trader 2 ай бұрын
Hiyo ya diamond kushindwa kumiliki kli kama komasava ni uongo..diamond amekuwa mtu pekee anaeweka marekodi na kuyavunja kutoka african beuty,shuu,time tu party,wah,leo komasava na hivi karubi ashaa jua wanataka nini sasa.mtauskia mgururu wa mwaba aliengatuka kwenye mtego
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi 2 ай бұрын
Kwl Kaka diamond platnumz anatuwakirisha
@bariouskisu2632
@bariouskisu2632 2 ай бұрын
Unasema ukweli bro , huuu ni ushauri mzuri sana , naongea nikiwa Sweden 🇸🇪 ....mzigo wa Koma sava wa machine ya mziki @diamond_platnumz unasumbuwa hanga hizi . Tunamsii sana afanye hit 2 kama hizi awe na consistency na level moja kama ya wakina Davido , wizkid , Rema , Fally ....naamini piya O2 Arena mapema sana tunajaza december....Amini hiyo.
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 2 ай бұрын
, your absolutely right 👍. I really enjoy watching you. You always have excellent advice
@tumainiinnocent8335
@tumainiinnocent8335 2 ай бұрын
100% Bro nimeyipenda hiyo fact yako 🔥🔥🔥🔥
@ZawadiRobati
@ZawadiRobati 2 ай бұрын
Kweli kaka
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 ай бұрын
True say 👏
@gabrielpatrick4351
@gabrielpatrick4351 2 ай бұрын
Kaka sio mbali soon tunazaja pale London
@JaydenJohn-x5n
@JaydenJohn-x5n Ай бұрын
🙏 diamond he is good artist
@MosesMzungu-v9j
@MosesMzungu-v9j 2 ай бұрын
Kondeeee boyyy yuko wappp jamaaaa
@EdmondNyirenda
@EdmondNyirenda 2 ай бұрын
Fact bro🔥🦁
@MansourKalokola
@MansourKalokola 2 ай бұрын
Kwa diamond fikiria tena huyu mwamba aliposema anaujua huu music alikuwa anamaanisha sitashangaa baada ya komasava akaja na hit kubwa tukaisahahu komasava diamind he’s blessed
@ISSACCECYTIN
@ISSACCECYTIN 2 ай бұрын
Ndiiiiooo
@Vivannykizzy
@Vivannykizzy 2 ай бұрын
Bhana nyie mulikuwa munasema kuwa hatotoa hit nyingine toka alipoimba jeje
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Kwel kbs na ata alipoyowa waa walisema ivi ivi nakeo komasava wnasema ivi ivi
@EdgaralbetoEdgr
@EdgaralbetoEdgr 2 ай бұрын
Kalib wasafa kaka unajua sana
@JacksonFredrick-u3z
@JacksonFredrick-u3z 2 ай бұрын
Mr kusisitiza 😂😂😂 haya
@MpembaHalisi
@MpembaHalisi 2 ай бұрын
Mi nasema asiempenda diamond atafanya vidonda vya tumbo bure huyu jamaa anajua bwana
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m 2 ай бұрын
El madro unaongeaga fact bro.
@ElísioMadimba
@ElísioMadimba 2 ай бұрын
Kkkkk O2 arena kujaza sio unavio fikiria kaka
@Myouwj
@Myouwj 2 ай бұрын
🔥🔥
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 2 ай бұрын
*ConsistenT
@HitimanaAbdillah
@HitimanaAbdillah 2 ай бұрын
Simba anajua bro
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Hp kwa mnykyusa hp ndo utilie mkazo mana ss ibi anajifanya kuvimba eti yy ndo kafanya makubwa ktk u mziki yn ht mondi ampati mbwa yule alikiwa km mkata mkaa
@BarakaDaudi-x3d
@BarakaDaudi-x3d 2 ай бұрын
Ww sikia af saiv 2tacha kukufatilia mshamba ww mondi anaweka lekod na anavunjaa âcha kujifanya kila k2 unajua
@HerokuPlatform
@HerokuPlatform 2 ай бұрын
Mimi ata sikuping kaka unachotabiri vitu Mara nyingi huwa vinatokea tuta Jaza 02 arena mwakani🙏
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 2 ай бұрын
Show ya Spain ilikua Afro Branch
@emariusrush7704
@emariusrush7704 2 ай бұрын
Afro branch Harafu msanii diamond pekee???
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Km. Aivyo towaga waa ikamsumbuwa kupata et
@kasereka-vy3mw
@kasereka-vy3mw 2 ай бұрын
ray awekeze sionyimbo ajifunze kutokeya mond wambo moja unaweka matayifa ine kama yamoto bend
@AugustinMuswabantu
@AugustinMuswabantu 2 ай бұрын
Sasa mnaitaja inasumbua Duniani mbona vituo vikubwa avipigi huu wimbo
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 2 ай бұрын
Tumewachoka na nyie
@AmisiIddi-w7d
@AmisiIddi-w7d 2 ай бұрын
Wa kwanz nipeni like zangu please
@BahatiPascal-t6i
@BahatiPascal-t6i 2 ай бұрын
Acha ushamba 😂
@mrenobishoo1118
@mrenobishoo1118 2 ай бұрын
Hakuna msani wa bongo atakaye kuja kujaza 02 Arena labda baada ya miaka 20
@spjr8381
@spjr8381 2 ай бұрын
ww kama nani xaxa?
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 2 ай бұрын
Panajazwa na Simba tena baada ya miezi kadhaa ata sio mwaka tunza hii comment mbwa wew
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 ай бұрын
Marioo
@JohnVicenti
@JohnVicenti 2 ай бұрын
Tuombe uzima na kaul yako usiije ikataaa
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 ай бұрын
Nmejkuta nakucheka kwa dharau 😂😂😂😂
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 2 ай бұрын
Sasa ajichanganye aende 02 arena ndio atajua hajui atajaza wafanyakaz wake tu wa wasfi media😂😂
@DouglasMassop
@DouglasMassop 2 ай бұрын
Chuki
@priscahkerubo6917
@priscahkerubo6917 2 ай бұрын
You are diamond's fun, when Harmonize deed well you didnt congratulate him, but am kenyan thoo.
@DouglasMassop
@DouglasMassop 2 ай бұрын
Harmonize ni mtoto wa diamond kimuziki. Sasa wew unatak mtoto amzidi baba? Tulia wew😂
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 2 ай бұрын
Acha uxhamba ww mond Hana maajabu sema Nini anabebwa na collabo
@sulleymernmannarah7930
@sulleymernmannarah7930 2 ай бұрын
Korosho unafnya nn huku
@priscahkerubo6917
@priscahkerubo6917 2 ай бұрын
Wewe huna fareness, unapendelea sana diamond wako, lakini unamponda sana Harmo, wacha kumupakua mwenzenu bwana.
@RamamambosuperRama
@RamamambosuperRama 2 ай бұрын
Sasa baba mbona mwambino hayimbi solo artist ayimbe yemweye
@bariouskisu2632
@bariouskisu2632 2 ай бұрын
Kaimbe na baba yako na wewe ...😂😂😂😂😂.. Ni mangoma mengi aliimba kama artist solo , kwa mfano Jeje, Ntampata wapi , sikomi , Baba lao , Baila , lala salama , Zuwena , Yatapita ziko nyingi sana bro....Sasa acheni wivu , Mondi yuko ki biashara wewe nyoko
@john_1trader
@john_1trader 2 ай бұрын
Bro mziki hauujui kaka dalaja kwanza lazima ijengwe ili magari makubwa kwa madogo na hata wavuka mguu iwasaidie kwanza tujulikane vyema kisa kuyaangushe wenyewe
@rashidingole1588
@rashidingole1588 2 ай бұрын
Kaimbe ww
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Kaimbe ww mbwa ww kuna msani gn anaefanya shoo anaimba pekrake bila kueka ngoma jwa dj
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 2 ай бұрын
Hao wasanii wote unaowajua wew kua niwakubwa huko Naijeria nyimbo zao zilizotoboa zote ni kolabo
@NicholausKalolo
@NicholausKalolo 2 ай бұрын
wewe jamaaa sikuelwagi kabisa mara kimataifa harmo mara ray mara mond fala na chaneli yako kimaaaaaa wewe
@kelvinmisana
@kelvinmisana 2 ай бұрын
Kweli kabsa kaka
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 3 МЛН