RECAP: MARIOO kuchukua nafasi ya DIAMOND na ALIKIBA BONGO, awapita ALIKIBA, RAYVANNY, msanii bora TZ

  Рет қаралды 1,817

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@JackChildishKE
@JackChildishKE Күн бұрын
We welcome him again to KE 🇰🇪
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 Күн бұрын
Anaandika sanaaa
@museojohn3879
@museojohn3879 Күн бұрын
Marioo amejituma sana Na hajawai kuwa kwenye label Na soon anatoboa kweda international tumpe muda
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 14 сағат бұрын
kbs tumpe mda tu yupo vzur sana
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Күн бұрын
Jamaa anasema kweli ila saa nyengine Ni mnafki😂😂
@feruzimwile2369
@feruzimwile2369 16 сағат бұрын
Ahahahaa ,ni upepo tyu siyo kwamba ana mashairi
@mohamedassumanesumailassum1823
@mohamedassumanesumailassum1823 23 сағат бұрын
Recado, 2kwelewe aje wiki zilizo kupita ulikuwa unaponda sana hii albamo anaongeleia leo. Yani hauna msimamo ww.
@AkonJacquesAkonkwa
@AkonJacquesAkonkwa 9 сағат бұрын
Kwani marioo ana pandisha na musani gani huko isipokuwa harmonize njo amemupeleka saaana?
@IssaIssa-h1d
@IssaIssa-h1d Күн бұрын
Wewe mkuda mnafki sana ... Recap Yako ya juzi umemponda sana marioo
@AlfroLyd
@AlfroLyd 13 сағат бұрын
Bro, usiwe na ongea kwa feelings zako za dakika tu bro, kama mario kafia hiyo level naku karibia Harmonize, ni sawa kabisa ila uliongelea diamond PLATINUMZ, bro album ya mwisho ya DIAMOND PLATINUMZ ni A BOY FROM TANDALE, mwaka gani tena, ni zamani sana, sijuwi ilikuwa mwaka gani, na hizi platform nyingi zilikuwa hazija kuwepo, mario kaachia album ngapi bro tangu huo mwaka hadi sasa. Sasa acha DIAMOND PLATINUMZ aachie album yake, tena utakuja hapa unasema DIAMOND PLATINUMZ ndo mfalme wa bongo flavour. Bro alikiba haja wahi kumtoa msanii mkubwa, nani alikiba kamtoa eti ni msanii wa levo za Harmonize, VVNB Rayvanny, nani bro? Sometimes una bowa bro, try to talk fact, not your own feelings bro. Hiyo album ya Mario haifiki hata robo ya album Zuchu,mupe zuchu wakati utaona album yake itakavyo paa juu jama taï, sema ya mario tu ndo ilitoka mbele.
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Күн бұрын
wewe hatukuelewi mara waponda mara wasifia sasa tukueke wapii??juzi hapa umemponda eti hata promo hajafanya Leo uko hapa wapiga kelele....
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 14 сағат бұрын
Utamuelewa tu leo utamponda kesho utamsifia
@BahatiPascal-t6i
@BahatiPascal-t6i 23 сағат бұрын
Acha ukuma wewe chokora 😂 munafki 😅
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
ALI KIBA NI FUNDI ZAIDI YA HARMONIZE KWENYE MUZIKI - RAYVANNY
2:12
Wasafi Media
Рет қаралды 220 М.
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58
Duy Beni 14. Bölüm
2:22:58
Duy Beni
Рет қаралды 3,6 МЛН
Kardeşlerim 62. Bölüm @atv
2:13:03
KARDEŞLERİM
Рет қаралды 4,6 МЛН