RIPOTI YA LEO FATUMA VOLUME 10

  Рет қаралды 10,654

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

3 жыл бұрын

Пікірлер: 97
@leahdaniel271
@leahdaniel271 3 жыл бұрын
Fatuma nakushauri tafuta kanisa la kiroho nenda kafanyiwe toba mpokee YESU kisha ingia kwenye maombi ya kufunga utapokea uponyaji, MUNGU ni mwaminifu kwao wote wamkimbilao hakuna Jambo gumu la kumshinda MUNGU Amini utapokea uponyaji
@gladnessedward8516
@gladnessedward8516 3 жыл бұрын
Kbsa
@monicadamiani4537
@monicadamiani4537 2 жыл бұрын
Ameen apokee uponyaji
@deborasajilo1205
@deborasajilo1205 3 жыл бұрын
Roho inaniumaaaaaaaa meneja kwann hakumuambia dada wa watu,kumuepusha tu na ukimwi hela sawa asingepata ila ukimwi kampa jmani na kamuachisha na kazi mzee ulaaniwe mara elfu kumi mshenzi ww na ukifa maiti yako iwe dana dana ya mchwa mshenzi mshenzi sasa amefurahia nn kumuharibia mwenzake maisha tena binti mdogo sana.meneja nae alaaniwe kwa kushiriki michezo michafu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Mm nilishamtolea laana babu zamani
@jacklinetemba7228
@jacklinetemba7228 3 жыл бұрын
Aisee pole mnoo fatuma mrudie Mungu akupe afya na amani maana umejeruhika isivyo kawaida ila asante sana kwa kushare nasi story yako tunaendelea kujifunza
@user-vf3qt3lb9x
@user-vf3qt3lb9x 10 ай бұрын
Dah pole sanaa fatu😅😅
@hellenashely2167
@hellenashely2167 3 жыл бұрын
Skuhiz familia chache sana ambazo hazina janga kama hilo siwez kumtaja hapa nlie muona amepona kama utakua na imani nenda kwa mwamposa na makanisa mengi tu yanayo hubiri wokovu me naamim utapona mpnz na miyaka yako yote iliyo liwa na nzige itarudisha uponyaji ni bure gharama iman yako nenda Dada utapona
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Kweli kabisa,Imani,kujikubari pia
@happyperson3016
@happyperson3016 3 жыл бұрын
The Bible says the heart of man is extremely wicked and only God knows how much wickedness man has
@estermjenga682
@estermjenga682 3 жыл бұрын
Apo ndo utajua wanaume si watu wazuri kabisa
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
Waa pole Sana Fatma, Wazee wengine jamani hawana huruma, tuned 🇰🇪 🇰🇪
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 жыл бұрын
Yaani wanaume wote ni sawa na kuhusu hili 2simlaum fa2ma😭😭😭😭
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 жыл бұрын
Wee nawe akili huna ..
@hellenashely2167
@hellenashely2167 3 жыл бұрын
Wanaume niwanyama sana lkn yeye alie kuleta kwenye hii dunia alisema hakuna asilo liweza hata huo ugonjwa anaponya na maisha anabadirisha pia imani yako itakuokoa nenda kwenye makanisa yawatumishi walio pewa kibali cha kugukuz mapepo kama hayo maan umaskini ni pepo na magonjwa pia ni pepo unapona bur bila gharama yeyote ile gharama iman yako ninasema hivi kwakua ninaushuhuda Dada
@lisangiadidja342
@lisangiadidja342 3 жыл бұрын
Tatizo meneja ulikuwa nataka kiasi kikubwa sana kuliko muhusika
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Kiuno akate mwingine pesa achukue mwingine
@immaculatakadyanji5927
@immaculatakadyanji5927 2 жыл бұрын
Babu tapeli, nilijua atamuoa fatma, inaumiza sana.
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Pole sana mungu akulinde inshallah
@annasarungi5848
@annasarungi5848 3 жыл бұрын
Da..inasikitisha sana..pole Fatma..n funhouses kubwa..😭😭
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Maskini,kumbe tulimlaumu bure meneja,pole Fatuma lkn usijari futa machozi anza maisha mapya kila kitu kitakuwa sawa
@credomogela3349
@credomogela3349 3 жыл бұрын
Nyie wadada mnao penda pesa upo humu....oooh.. tuma na yakutolea..
@otiliahaule6867
@otiliahaule6867 3 жыл бұрын
Dah pole Sana Fatuma nimejifunza pia
@satwanthoogan6746
@satwanthoogan6746 3 жыл бұрын
Tuko pamoja my dear Vero! 👍😍
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
imeisha hiyo😢😢😢steling kafia kwenye maua
@nancymushi4677
@nancymushi4677 3 жыл бұрын
Nakupenda dada vero unasimulia vzr mnoo
@latifayusuphu8846
@latifayusuphu8846 2 жыл бұрын
Pole fatuma,,,Uyo mzee Alaaniwe jmn Khan ata huruma ana loh???
@monicadamiani4537
@monicadamiani4537 2 жыл бұрын
Pole Sana Fatuma 😞Dahhh Pole Jamaniii
@satwanthoogan6746
@satwanthoogan6746 3 жыл бұрын
Ama kweli, tamaa mbele mauti nyuma! 😭😭😭
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 жыл бұрын
Imekwisha au bado nasubiri jamani🥰😍🇴🇲
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 жыл бұрын
Hyu babu ni mshez jaman sijawahi kuona😰😰😰
@mwanaidihamisimtupa5126
@mwanaidihamisimtupa5126 3 жыл бұрын
Pole sana fatuma
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Alikua mkombozi feki,.. Pole sana..
@satwanthoogan6746
@satwanthoogan6746 3 жыл бұрын
My god, 😭Pole sanaa Fatma!
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Mapenzi hayachagui mzee wala kijana
@saraasatenisanasimlizimixc9232
@saraasatenisanasimlizimixc9232 3 жыл бұрын
Ndah pole sana Fatma ila jipe moyo kuasilika sio mwisho wamaisha
@alimasially109
@alimasially109 3 жыл бұрын
Pole san fatum mungu yuko pamoja nawe
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Kabisa
@allytv1714
@allytv1714 3 жыл бұрын
Pole sana ila kiukweli wanawake wengi mmeweka mbele tamaa kwenye mahusiano kuliko upendo ndo maana manatuua ss ambao atuna hatia
@lucyjoseph9142
@lucyjoseph9142 3 жыл бұрын
Hapana unajua nikwasababu ya shida mbona yuda alikua mpenda pesa kwani yeye girl?
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 3 жыл бұрын
Asante sana kwa funzo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
No 1
@muniraally2529
@muniraally2529 3 жыл бұрын
Pole sana fatma
@joviaajuna2386
@joviaajuna2386 3 жыл бұрын
Duh shilingi Maua Pole Fatuma
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 жыл бұрын
Daaa pole Sana fatuma
@pricillahningah5582
@pricillahningah5582 Жыл бұрын
Poleh Sana Fatma😭😭
@maryumamapunda1989
@maryumamapunda1989 3 жыл бұрын
Daah...Pole fatuma
@yonayoh3736
@yonayoh3736 3 жыл бұрын
Mnapo ambiwa tamaa mbaya muwe .mnaelewa hasa nyie kina dada😆
@sadabahla7120
@sadabahla7120 3 жыл бұрын
Na nyie nae mnatamaa mbona mnawapenda mjimama mnataka mini kule kama sio tamaa
@yonayoh3736
@yonayoh3736 3 жыл бұрын
@@sadabahla7120 lakin mm sipend hayo majimama😆
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
We acha tu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Hata nyie sikuhizi mnatamaa ya pesa kuliko wanawake
@yonayoh3736
@yonayoh3736 3 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 sis hapana bhana 😆
@zainammary5676
@zainammary5676 3 жыл бұрын
Jaman wanaume n washenz sana na ndo.
@allytv1714
@allytv1714 3 жыл бұрын
Acha kulamu wanaume siyo jila mwanaume ni mshenzii nyie tamaa mmeweka mbele sana kuliko upendo
@aishayunusu6550
@aishayunusu6550 3 жыл бұрын
Daaa pole fatuma
@samsonalossi1270
@samsonalossi1270 3 жыл бұрын
Pole aisee dah😭
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Acheni kumlaumu, wengi mtapita humo humo
@mwanahawayunus3653
@mwanahawayunus3653 3 жыл бұрын
Sorry but remember karma is shupening his nail..atajuta huyo Mzee Na gawadi be wake
@khadijarajabu761
@khadijarajabu761 3 жыл бұрын
Jaman kwann lakin kamfanyia ivo
@joviaajuna2386
@joviaajuna2386 3 жыл бұрын
So meneja sio Babu wote wauaji tu
@maguga
@maguga 3 жыл бұрын
Wakwanza .wenyewe
@febostanyika6464
@febostanyika6464 3 жыл бұрын
Dah jamn
@sarahisanzu2123
@sarahisanzu2123 3 жыл бұрын
Kama vile namuona Fatma
@felisteralias4405
@felisteralias4405 3 жыл бұрын
🥺🥺😭
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
duh😢😢😢😢
@jemamhando8172
@jemamhando8172 3 жыл бұрын
Dha!
@felisteralias4405
@felisteralias4405 3 жыл бұрын
😒😒
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Nilisem meme Ukimwi Utapata🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌Nime jifunza Asante sana veronica
@vailetadam3366
@vailetadam3366 3 жыл бұрын
Sasa unacheka nn?
@vailetadam3366
@vailetadam3366 3 жыл бұрын
Unaijua kesho ya watoto wako??
@shaniasuleimanchamchuashan426
@shaniasuleimanchamchuashan426 3 жыл бұрын
@@vailetadam3366 me pia nmemshangaa
@tausisaid1991
@tausisaid1991 3 жыл бұрын
@@vailetadam3366 ndo Hawa wanafurahia mabaya ya wenzao jaman cjui yukoje
@samsonalossi1270
@samsonalossi1270 3 жыл бұрын
Unacheka Nini sasa 😏
@didaher7087
@didaher7087 3 жыл бұрын
20 percent alivoimba "CHUNGA TAMAA MBAYA" hakukosea jmn daaah inasikitisha kwakwel pole fatma KAZA ROHO Mungu yupo yeye ndo mtoa riziki na sio shortcut hizi.... asee
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
Fatuma aumizwa na mapenzi na sipesa moyo haezi kumkosa mzee
@didaher7087
@didaher7087 3 жыл бұрын
@@ftimaramadan4748 na pia pesa ndo ilimfanya azidi kuvutiwa na babu bila pesa hata acngefika naye huko SAD TRUTH HAYA NDO MAISHA YA UKWELI YA SASA TAMAA ...
@lulukamanga6945
@lulukamanga6945 3 жыл бұрын
Ni 20 percent 🤣🤣🤣
@didaher7087
@didaher7087 3 жыл бұрын
@@lulukamanga6945 asante nilikua nahuzuni jmn🤣🤣🤣🤣🤣sio Kwa sele boy
@elisifamsengi9196
@elisifamsengi9196 3 жыл бұрын
Jamani cyo pesa ni vishawishi2
@marynyella2888
@marynyella2888 3 жыл бұрын
Pole sana fatuma
@fredrickedward9832
@fredrickedward9832 3 жыл бұрын
Mm pia kuna m babu ananiitaji ila namchega chega sana kwan ananiaminisha yuko salama kisa wanapimwa kwenda nchi za nje kumbe ndivyo walivyo
@alimasially109
@alimasially109 3 жыл бұрын
Hahahaha jarb nawew tuna subr simuliz yako
@shaniasuleimanchamchuashan426
@shaniasuleimanchamchuashan426 3 жыл бұрын
@@alimasially109 🤣🤣🤣 jmn
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 3 жыл бұрын
@@alimasially109 hahaha
@fredrickedward9832
@fredrickedward9832 3 жыл бұрын
@@shaniasuleimanchamchuashan426 hapana ananingangania ila siwezi
@fredrickedward9832
@fredrickedward9832 3 жыл бұрын
@@ftimaramadan4748 due nimejifunza kitu babu Leo yupo ulaya kanada namchega akija na zawadi namwambya mpe boda aniletee tena sio nyumban naogopa
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 14 МЛН
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME  09
42:54
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
UTURUKI KUILINDA NIGER DHIDI YA UVAMIZI WA ECOWAS/MAGAIDI NA UMOJA WA AFRIKA
11:40
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 02
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН