Hopefully ❤❤❤ Mamy hatakuwepo kwenye kipind kingine
@annertz996911 ай бұрын
Aaaah yani unaacha kaz kiss ndoa me hayo mambo ndosiyatak
@AlexKamendu3 ай бұрын
Mamy nom
@faidhacute11 ай бұрын
Dah ila mammy baby ❤❤❤
@user-wk2dc5dp2e11 ай бұрын
Anaenda kutunza ndoa ishaallah ikawe kher
@faidhamyovela17911 ай бұрын
mammu bby ndo hu mbaya huyo.khaa 😊😊
@yaziduchiuka314010 ай бұрын
XXL clouds fm the great vibe to me
@bwaji_deo11 ай бұрын
ANAENDA CENTROOO AJAHAMA CLOUD
@user-im2bw2px3m10 ай бұрын
MamyBaby Daah❤
@lydiamvungi998911 ай бұрын
Anaenda wapi jmn😢
@jacksongidione-yo8vg11 ай бұрын
😢
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Mchovu mtu mbadi😂😂 yaaan nakupendaga tu
@officialmkerewe11 ай бұрын
Ila Adam bana 😂😂😂😂😂
@rashidisalumu14411 ай бұрын
Daah kila la heri
@yohananikolaus544311 ай бұрын
Jmn mamy
@daudimagendero469411 ай бұрын
Turupa turupa fanya utarab wa namba kutoka t a
@hanifamziray27711 ай бұрын
Mume ana pesa hata km ni mm ningeondoka
@peacemakune91110 ай бұрын
M naona tangu ametoka XXL Kuna KTU kikubwa kmepungua
@MarkoKasigi11 ай бұрын
Jamani mammy... Daaaa ndoa ndio ikutenganishe na sisi🤔.... Dahh...😢😢😢😢😢
@frankngoloka541611 ай бұрын
Hapo mambo ya ndoa tu,wanaume japo tunakuwa na hela tuwaache waendelee na kazi zao,wttt tunawasomesha Kwa Hela nyingi,kumuoa isiwesababu kumkatisha malengo yake,kisa wewe unahela unaweza kumuhidumia,mwache aenjoy na kazi yke aliyesomea
@EradiusMshoboz3 ай бұрын
Kanda wap jamani
@stevenkiswaga106411 ай бұрын
Elevation,ok nimshidwa kumalizia
@rahimaidd11 ай бұрын
Anaenda majizzo au WCB
@joycekalago53211 ай бұрын
Mammy anapendeza kipibd cha xxxl tu hawez fit pengine kamweee
@ELINET7611 ай бұрын
Andaenda wp ase?
@ukhutfatumah115411 ай бұрын
Kila lakheir mamy auna baya dear
@giftprosper235511 ай бұрын
Ebana mnatufurahisha san
@tanzcanmediatv447311 ай бұрын
Anaenda kuishi marekani karibu mamay bany
@homeandaway281111 ай бұрын
Mume anamuachia nani?
@NdituTV11 ай бұрын
Dah mamy baby & adam mchomvu my favourites personalities
@shabanigenya470811 ай бұрын
Hakika hata mm nilikua nafrahi saana kumsikiliza… Kila la heri Mamy…
@pendosharif-kw4gl11 ай бұрын
Meena ako na hela ila why can’t she fix her teeth? Like WHY?