RIPOTI YA LEO RUTH VOLUME 04

  Рет қаралды 11,143

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

2 жыл бұрын

Пікірлер: 31
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
Yaaaani sikieni simulizi tu hivi ila huyu dada aliteseka jamani. Huyu dada pale wilayani hakuna asiyemjua. Hakuwa na maringo wala ugomvi na mtu. Daaaah waraaah nimemkumbuka aiseee. Kweli jina lake hajalibadilisha ni ruthi rameck. Aisee
@jovinkabyemera1703
@jovinkabyemera1703 2 жыл бұрын
Hili ni jaribu kwelikweli lakini najua kumtegemea Mungu ni faida
@hildaruben3372
@hildaruben3372 2 жыл бұрын
Mungu ni.mwema kila wakat Majaribu nimtaji asa ukiongeza imani tumekuja ulimwenguni tuteseke tusmwangwe lkn atuta utupa ujasr wetu.. Mungu yupo nawe ruth
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa mapito yangu. M/Mungu nisamehe pale nilipolalama kwa nilichokua napitia, pia endelea kunilinda na kunivusha salama kwenye kila mtihani utakaokuja. (ALHAMDULILLAH) POLE sana Ruth, mapito yako magumu ssanaa,Mungu aendelee kukupa nguvu.
@rosekileo9389
@rosekileo9389 2 жыл бұрын
Mungu naomba utulinde na watu wabay pole san maan nimajaribu makubwa san
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 4 ай бұрын
Pole sanaaa Ruth
@neemasillah5263
@neemasillah5263 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema atafanya njia hata pasipo na njia
@shamsaseiph3270
@shamsaseiph3270 2 жыл бұрын
Duh mungu atulinde na hawa majini watu kama kina shangazi
@leahdaniel271
@leahdaniel271 2 жыл бұрын
Hongera sana kwa kiwango chako cha imani hakika naamini MUNGU wetu ni MUNGU wa wote wenye mwili hakuna jambo gumu la kumshinda
@alexluvanga4788
@alexluvanga4788 2 жыл бұрын
Binadamu mwenye nacho wanawatesa wasionacho
@jacobotaigo1616
@jacobotaigo1616 2 жыл бұрын
Wa pili leo
@magdalenalucas9199
@magdalenalucas9199 2 жыл бұрын
Mungu akupiganie kwa hilo ruth
@zainaburamadhani1572
@zainaburamadhani1572 2 жыл бұрын
Pole sana Ruth kwa mitihan mungu yupo pamoja nawe
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 Жыл бұрын
watu wenye roho mbaya asilimia 90 uwa ni wachawi nahuyo shngza mtu atakuwa uko
@joycekazungu4003
@joycekazungu4003 2 жыл бұрын
Mungu nimwaminifu atafanya njia pasipo na njia kikubwa kumuamini yeye to
@annakbunga8377
@annakbunga8377 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sn ila pole sn
@nasibubalonzizubusa3449
@nasibubalonzizubusa3449 2 жыл бұрын
Pole sanasana mdogo ewangu ruthi
@yasminmnyoti5040
@yasminmnyoti5040 2 жыл бұрын
Ni chini ya aina gani hii jaman kumfanyia binadamu mwenzako
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Ni majalibu tu yanaitaji moyobwenye subra ili kuyashinda.
@mkudesimba9446
@mkudesimba9446 2 жыл бұрын
polee sanaa ruth
@ilhamjulioo9655
@ilhamjulioo9655 2 жыл бұрын
Watu tunamajaribu lkn wengine mnatuzidi jama pole mamy
@elizabethauma2260
@elizabethauma2260 2 жыл бұрын
Wa kwanza
@miriam5735
@miriam5735 2 жыл бұрын
Huo ndo upumbavu wenu hivi huwezi kujifunza kitu unataka uwe wa kwanza punguzeni ujinga jifunzeni
@gracesongelael631
@gracesongelael631 2 жыл бұрын
@@miriam5735 bora umesema wewe,mie mwenyewe wananikera sana
@sabrinaaugustino6855
@sabrinaaugustino6855 2 жыл бұрын
Daaaaaah!pole Sana Ruth 😭😭😭😭🙆
@joelmarco4554
@joelmarco4554 2 жыл бұрын
😭😭😭pol San ruthi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Ruth 😓🤦‍♀️
@williammushi4674
@williammushi4674 2 жыл бұрын
Sehem.ya 5 kimya
@edinaobed3735
@edinaobed3735 2 жыл бұрын
Mungu atafanya kitu na atawahaibisha maadui wote
@fora2009
@fora2009 2 жыл бұрын
Lakini mungu ni wetu zote
RIPOTI YA LEO  RUTH VOLUME 05 FINAL
22:07
SHARE & HEAL
Рет қаралды 4,5 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 84 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SEHEMU YA 2  SIMULIZI YA SARA - MAY 21
55:20
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 03
40:59
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MOHAMED VOLUME  09
42:54
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 468 М.