RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA JAMES VOLUME 05

  Рет қаралды 12,994

SHARE & HEAL

SHARE & HEAL

Жыл бұрын

Пікірлер: 82
@shaluuanthony1836
@shaluuanthony1836 Жыл бұрын
Nimejifunza sana sana sana sana laana za ukoo zipo😢 maagano 😢ni vya kuvikataa na kukemea kwa damu ya Yesu Mungu wetu mwaminifu ataviondoa
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@williammushi4674
@williammushi4674 Жыл бұрын
Jaman mnaoskiliza redio vip anatoa mkasa uko redion uku KZbin tushatemwa
@FarajaMushi-tw2lr
@FarajaMushi-tw2lr 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu niletee mwanaumee sahihi KWeny maisha Yangu
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 7 ай бұрын
Mimi mwenzenu hii simulizi imenifunza sana. Kumbe ukipenda penda hizi mbunye zinaweza kutuathili sana kwenye maisha yetu aiseee😊
@naomimkemwa8760
@naomimkemwa8760 Ай бұрын
Nashukuru sana kwa haya mafunzo mazuri kweli nimejifunza kitu asante dada vero
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Kirusi kibaya mungu awaepushe hao watoto
@mozasalim7725
@mozasalim7725 Жыл бұрын
Daah nashukuru mungu mm nadhani Nina upepo mzuri kuna jamaa aliwahi kuniganda nikutane nae kimwili kila akiwa na jambo lake la kumuingizia pesa na alikuwa anafanaikiwa
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Ni kweli da vero huyo jamaa ni wa mombasa ameo familia ya kichawi amefilisika kabisa
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Kwer kabisa j nineema tu ya Mungu,Asante kwakutuleta changamoto ili nasi tuendelee kujifunza🙏
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Hivi vitu vipo kuna jamaa amefilisika hivi hana chochote na mke bado anae
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Kaka usiji laumu kwakua hao watoto ilikuwa lazima wazaliwe na huyo mama nuksi hivyo ndivyo babAngu alivyo niambia mm
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Shukran sana kwa story nzuri sana yenye mafundisho makubwa
@MaryMkwande
@MaryMkwande Жыл бұрын
Duuuh hii huwa ipo unakuta mwanamke anafariki halafu huku nyuma mwanaume anafilisika kila kitu,,, kumbe alikuwa anatembelea nyota ya mwenzie, even watoto pia,,, kila mtu anabahat yake na anamchango kwenye familia
@fallymetoo191
@fallymetoo191 Жыл бұрын
Yeah!👍
@JacklineMtemela-km9bz
@JacklineMtemela-km9bz Жыл бұрын
1
@fettyrcial2790
@fettyrcial2790 Жыл бұрын
daaaa imenifungua akili yangu ukooo wangu unashida sana nikuitana wachawi kila kukicha kama laaana fulani kiasi chakwamba adi familia zina vunjika ata sijui niwasaidiaje ila maombi ya mama yamenisaidia atakupata akili yakujitenga nao Mungu nimwema sikuzote yupamoja nasi 😢
@williammushi4674
@williammushi4674 Жыл бұрын
Jaman mnaoskiliza redio vip anatoa mkasa uko redion uku KZbin tushatemwa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
M/MUNGU mwema sana hongera uyomwanamke saaizi anakiona chamoto asante sana ant vero
@petitrichard9504
@petitrichard9504 Жыл бұрын
polee sana James kwa mapito! Lakini nakupa hongera sana kwa hatua ya sasa! Lastly but not least naomba kaziiiiiiii
@williammushi4674
@williammushi4674 Жыл бұрын
Jaman mnaoskiliza redio vip anatoa mkasa uko redion uku KZbin tushatemwa
@hurumalupasa3844
@hurumalupasa3844 Жыл бұрын
Pole sana kaka na hongera sana MUNGU mwema sana
@erastonzogela1405
@erastonzogela1405 7 ай бұрын
Hao watoto nao pia James inabidi awapeleke madhabahuni wakombolewe wasije kuwa wamebeba nuksi ya mama yao wakaja kuwasumbua wenzi wao baadae!
@user-du9jy5pm9i
@user-du9jy5pm9i Жыл бұрын
Alhamdulillah sisi waisilamu kabla ya kufanya kitu chochote kile lazima tusali na kumuomba mungu wallah mwenyezi mungu Anakujibu kama hicho kitu ni kizuri kwako au kibaya unajuwa subhana Allah mungu ni mwema
@mariamsaronga8195
@mariamsaronga8195 Жыл бұрын
Nakupima nyota lazima
@MakwinyaHilda-ir1xb
@MakwinyaHilda-ir1xb Жыл бұрын
Nacoment kabla cjskiza
@gloriajoseph4947
@gloriajoseph4947 Жыл бұрын
Natumai kaka James atawaombea na hao watoto wake alozaa na huyo mwanamke ili hali ya mama yao isiwafuate wakiwa wakubwa😊
@vyoxerhama2417
@vyoxerhama2417 Жыл бұрын
Mbona Tangu umeisha hii stori sijaona story yeyote wiki yote hiiii
@ZaynaaBakal-ct9vb
@ZaynaaBakal-ct9vb Жыл бұрын
Asantee simulizi nzuri nimejifunza
@PendoSalvatoryMinja-tp9qk
@PendoSalvatoryMinja-tp9qk Жыл бұрын
Jaman mbona me natafuta ripot mpya ya baada ya jemsi siioni uku au aijaweka mtu anosaidie jmn
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Жыл бұрын
Simulizi yenye mafundisho thanks Vero 🇰🇪
@marthakitinusa9696
@marthakitinusa9696 Жыл бұрын
Dah,asanteh Kaka James
@IvetaFagenc-tu8qz
@IvetaFagenc-tu8qz Жыл бұрын
Nimebarikiwa saba sana asante da Vero
@maryumamapunda8910
@maryumamapunda8910 Жыл бұрын
Na mie nimewahi leo ✌️✌️🔥🔥
@daudiathanasio1872
@daudiathanasio1872 Жыл бұрын
3
@mozasalim7725
@mozasalim7725 Жыл бұрын
Alikuwa akinivuruga hapati akiona kanikosea atanibembeleza mpaka moyo upowe ndo atafanikiwa
@lauraalex7409
@lauraalex7409 Жыл бұрын
Sisi wa KZbin tumekosa nn hatupi simulizi mpya
@daudiathanasio1872
@daudiathanasio1872 Жыл бұрын
Gonga like kama zoteeee
@williammushi4674
@williammushi4674 Жыл бұрын
@ all ni mm peke ang siskii notification za dada vero au 😢
@ireneherman76
@ireneherman76 Жыл бұрын
Sant mkasa mtamu huuu😊😊😊
@chancelleakimana6747
@chancelleakimana6747 Жыл бұрын
Asante daa Véro🇧🇮
@stevensteven4513
@stevensteven4513 Жыл бұрын
Yaaan haya Mambo yapo kabisaaaaa Mia pacenti
@mabelmaxie
@mabelmaxie Жыл бұрын
Asante da Vero..❤
@user-hl2kn6si2i
@user-hl2kn6si2i Жыл бұрын
Lakin ukisimama vyema na MUNGU atakuonuesha mambo yaliyo silini
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Wapo wanawake kama mke wa james kuna mtu sasa hivi anapitua kama james
@gracekretus1851
@gracekretus1851 Жыл бұрын
Mungu mwema katika maisha yangu
@kristinakeneth5657
@kristinakeneth5657 Жыл бұрын
Wenzetu story mpya imeshatoka Kwani? 😂..mana da Vero tayari jumatano hii umetusahau sie wa KZbin baada Ya kuisha hii Ya James.
@god2023photographer
@god2023photographer Жыл бұрын
Mbon wiki nzima hakuna simulizi veronica anafel wap
@jacklinegodifrey8607
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
Aisee huu kwakweli ni funzo kwasisi vijana tunaotarajia kuoa au kuolewa
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 Жыл бұрын
Ndio umeishia HII simulizi mbona kmy unatutesa
@AminaSaidi-pz4yh
@AminaSaidi-pz4yh Жыл бұрын
Nilikutana na shetanii kama mke wa James jaman nkizaazaa nilpata npo na mtoto wake n maombi nafanya kila Leo MUNGU amtenganishe na laana za kwao
@user-jk6gj9hu8b
@user-jk6gj9hu8b Жыл бұрын
Unachelewa sana kupost da Vero simulizi mpya kwenye KZbin adi leo simulizi mpya bado .. mm kwangu kuna hii ya James bado tu tuendelee kusikiliza James tu
@evepaul5377
@evepaul5377 Жыл бұрын
yaan nachungulia Kila saaa jmn 😢😢
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HASANTEE
@hamidahamdun3646
@hamidahamdun3646 Жыл бұрын
Da vero mbona week hii umetusahau? Toka jumatatu kimya
@sofiampelembwa9867
@sofiampelembwa9867 11 ай бұрын
Duuh atar
@verosteve3612
@verosteve3612 Жыл бұрын
Next time wajina tuletee kali zaid kama ile ya desdeliutha
@agnesngalanda113
@agnesngalanda113 Жыл бұрын
Kama ya onesmo jamn ni hatar
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Veeeeroo asante
@salamsinani2301
@salamsinani2301 Жыл бұрын
Mimi yalimemkuta kaka angu na mkewe bado anae naombeni msaada kwa kaka angu
@maimunashaban4932
@maimunashaban4932 Жыл бұрын
Maombi na kuvunja hayo maagano
@verosteve3612
@verosteve3612 Жыл бұрын
Duuuh balaaa
@rosekileo9389
@rosekileo9389 Жыл бұрын
Nimejifuza mengi San
@christopherkiza6552
@christopherkiza6552 Жыл бұрын
Dada vero unazingua mama mbona hurushi simulizi mpya Leo siku ya nne
@francymutua7022
@francymutua7022 Жыл бұрын
Mimi nmejunza kitu kuhusu nuksi za ukoo nilijua laana tu
@hawahawa8877
@hawahawa8877 Жыл бұрын
❤❤❤
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu humleta alie sahihi,ila tusikilize na maoni ya wazazi pia,wazazi huwa wanaona mbali
@happyyohana9881
@happyyohana9881 10 ай бұрын
Ameen 🙏
@MightyLumber
@MightyLumber Жыл бұрын
Mademu wengi wanao tembea na Diamond hukutwa na hali hii sema tu wao hawatamaniki tena na thamani yao hushuka katika jamii huku mwenzao akipaa kimaisha!
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 Жыл бұрын
😢
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 5 күн бұрын
Umbeya tuu
@fatmahamadi8928
@fatmahamadi8928 Жыл бұрын
Watu wamewahi uwii 😂😂❤
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
👨‍✈️
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Hivi vitu vipo kuna jamaa amefilisika hivi hana chochote na mke bado anae
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Ana bahati huyo jamaa mm nime shuhudia babaangu akifilisika na kuwa hwa mchana kweupe n
@ftimaramadan4748
@ftimaramadan4748 Жыл бұрын
Hali hiyo ilinikuta nikiwa na 17 years maskin mateso makumbwa nilio pitia ila nashukuru mungu kupata vz na kusafir kama kadama Alhamdhulilah
@AshaAlly-kn8dn
@AshaAlly-kn8dn Жыл бұрын
Watu mko fasta wa 4 leo😂😂😂😂
@williammushi4674
@williammushi4674 Жыл бұрын
Jaman mnaoskiliza redio vip anatoa mkasa uko redion uku KZbin tushatemwa
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Hivi vitu vipo kuna jamaa amefilisika hivi hana chochote na mke bado anae
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Жыл бұрын
Mm ninae kaka yangu kabisa yamemkuta kama jemsi
@elizabethsilumbe6615
@elizabethsilumbe6615 Жыл бұрын
Duuuuh
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 01
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 15 М.
RIPOTI YA LEO  HIDAYA VOLUME 01
39:36
SHARE & HEAL
Рет қаралды 13 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 35 МЛН
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 03
44:05
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 10
39:51
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 04
41:40
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 04
41:16
SHARE & HEAL
Рет қаралды 10 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 08
44:09
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 03
40:59
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
RIPOTI YA LEO  MUSSA VOLUME 02
42:10
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН