SHK MSELLEM: KAZI KUTIANA MOTONI TU | HAO SALAFI WENYEWE HAWAKUWA HIVI WALIVYO KUNDI HILI LA SALAFI

  Рет қаралды 171,768

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

Күн бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar

Пікірлер: 346
@omarymnola1011
@omarymnola1011 2 жыл бұрын
Hakika hekma ni kheriii kubwa I wish nikuone live hakika nakupenda kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi kipenzi chetu
@skjjsj1889
@skjjsj1889 2 жыл бұрын
Shukran sheikh allah akulipe duniani na akhera Allah akuhifadhi
@abdulkarimmavuo645
@abdulkarimmavuo645 9 ай бұрын
Kuweka picha ya sheikh fulani haifai watu wa riyadhTvznz ,kazi yenu mulete elimu tu, ushabiki acheni,analofanya Huyo sheikh mlumuweka ni haq na sisi twajua,kwaiyo musifanye sheikh wetu Allah amrehemu Msellem kuonekana kwamba anaongelea mtu fulani (ilhali sio hivyo )hio ni makosa waislam
@makolokatanda4456
@makolokatanda4456 6 ай бұрын
Acha ushabiki kwe masuhara ya dini
@alhajrahassan89
@alhajrahassan89 2 жыл бұрын
Mashallah. Sheikh wetu kipenzi tunafurahi kila tukikuona na tukisikia darsa zako allah akujaalie afya njema wewe pamoja na familia yako amiin
@anuarhemed4747
@anuarhemed4747 2 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu na akupe afya njema
@idrissajuma7308
@idrissajuma7308 2 жыл бұрын
Ewe M/muungu mjalie Mwisho mwema sheikh Mselem bin Ali amiina🤲🏻
@OusWildChannel
@OusWildChannel 2 жыл бұрын
Allahumma ameen, sote pia
@khadijaali2173
@khadijaali2173 2 жыл бұрын
amin
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 6 ай бұрын
Allahumma Amiina
@GabharSing
@GabharSing 7 ай бұрын
Shekh asalaam alaykum hyo ndo mitihan kupimwa allah kaahidi nusra kwa wanaoinusuru din tambua nusra ya allah i kariib akujaalie miongon mw mashahid wa din hii tukufu
@salimaljahwari1
@salimaljahwari1 Жыл бұрын
Shukran Skh Mseleem. Allah ijaziik milion kheir. Tumefaidika. Allah akupe umri na afya.
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
ALLAH AKUBARIKI SHK MSELLEM ALLY MSELLEM.
@hemedali4910
@hemedali4910 2 жыл бұрын
moja katika masheikh ninaowakubali sana sana,mungu ampe umri,hikma na kheri nyingi!sio vijana wetu wa sasa,kaz kutiana moton tu....
@SHOMARYHIMIRY
@SHOMARYHIMIRY 15 күн бұрын
Yupo vzur sana
@sheykhansheykhan
@sheykhansheykhan Жыл бұрын
Allah akuhifadhi na kila shari shekh wetu tuendelee kunufaika kwako.
@marrowog8975
@marrowog8975 2 жыл бұрын
Shukran sheikh..mselem... *Hakika ya aliepewa hekma amepewa heri nyingi*
@MakameSilima-y4f
@MakameSilima-y4f 10 күн бұрын
Allah anasema "humpa hekima amtakiae natakaepew hikma basi hiyo ndio amepewa kheri nyingi" Mashaa allah sheikh wetu umepewa hikma allah akuzidishie
@gonasaidjuma2700
@gonasaidjuma2700 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu alimwambia muhammad nimekukamilishieni yenu nayo niya uislamu. Na mtume wenu nimuhammad kwahivyo wakina musa issa nuhu lbrahim watahukumiwa tofauti .
@adilhabib8988
@adilhabib8988 2 жыл бұрын
Alhamdullah Maa shaa allah mwenyezmungu atatufanyia wepesi zaid yaliza nyota ya zanzibar ilipo kua haipo shekh wetu
@basakimnguuchannel3402
@basakimnguuchannel3402 2 жыл бұрын
Mashaallah shekhe mselem
@ibugharib389
@ibugharib389 2 жыл бұрын
MASHAALLAH, jazzakallah kheir sheikh Bega kwa bega mpaka Firdaus
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
Usimdharau kiumbe yeyote wa Allah huenda akawa bora zaidi mbele ya Allah
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 2 жыл бұрын
Fact ukhty
@ababukarlinus9355
@ababukarlinus9355 Жыл бұрын
Shekhe Allah amuongoze na ampe umri mrefu sana Inshallah.
@makerebul3650
@makerebul3650 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi ukuengeze busara na hekima,wewe huna kiburi,nakupenda sana.
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
Ila nyinyi watu wa Media si vyema kuweka picha ya kumlenga mtu kama hivi - ujumbe utamgusa anayehusika lakini mnavyofanya basi sdhani kuwa ni busara.
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 жыл бұрын
Huyo bachu mwenyewe hana busara hata moja
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
@@shamimnassor6192 Mimi sijauzungumza upande wowote Ila hoja ni kuwa Sheikh Mselem hakumtaja mtu, Bali amezngumza kwa ujumla wake - hivyo aliyemo yumo. Lakini kwanini hii channel iweke picha ya Mtu fulani?
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 жыл бұрын
@@alhilaltvonline huwenda Kuna ujumbe utakao mfaa kwenye khutba hii
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 жыл бұрын
@@shamimnassor6192 InshaaAllah kheri akhuy. Allah atuhifadhi. Atuongoe na kutuondoshea kibri.
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 жыл бұрын
@@alhilaltvonline amin amin ALLAH atuongoze sote mm nachukia sana haya malumbano ya viongozi wa dini na ndio makafiri wanatembelea madhaifu haya na kupata nafasi kuwahadaa waislam wenye elimu ndogo..angalia yule mchungaji WA kenya ndacha anavoyouchafuwa uislam na vitabu zake za uongo na kuna watu wanamuamini,so watu wale ndio wakupigana nao sio sisi twapigana wenyewe kwa wenyewe
@nurasalimu2403
@nurasalimu2403 Жыл бұрын
Nampe shekhe mselem maana anatafsir Quruan kwa vizury kwa utaratibu bila ya papala Allah akuhifadhi shekhe
@gyeong5972
@gyeong5972 Жыл бұрын
Nampenda sana Kwa ajili ya Allah Sheikh Mselemu Bin Ally
@suleimankhalid5978
@suleimankhalid5978 Жыл бұрын
Alhamdullah tumelia tumekesha kumuomba Allah awatoe masheh wetu jela leo Alhamdullah
@salmaalisalim2462
@salmaalisalim2462 2 жыл бұрын
Sheikh Allah akuhifadhi akulilpe kheri duniani na akhera
@jamalmohamed3400
@jamalmohamed3400 2 жыл бұрын
Jazakllahu khairan... Sheikh
@abasmuniru142
@abasmuniru142 2 жыл бұрын
Assalamualaiku alykm warahmatullaah, naamshekh jazaaka ALLAH khaira, Ila Nina uwelewa tofauti kidg kwamba hao mayahudi manasara walio tajwa niwale walio amini kabla ya MUHAMMAD SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA, walio muamini issa kisawa sawa na musa kabla ya mtume MUHAMMAD, lakini baada ya kuja mtume hawatakubaliwa Imani zao kulingana na tafsiri ya ibnu kathiir na wengine na ushahidi Ni aya hii :- وَمَنْ يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri. Pili hadithi ya mtume والرسول صلى الله عليه وسلم يقول : " لو كان موسى حياً ما وسعه إلا اتباعي " . Kwa mba hata Kama nabii Musa angekua hai Ange mfuaata MTUME SWALLALLAAH ALAIHI WASALLAMA kwasababu sheria zake zimeshapia. Pia ANASEMA :- وعَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم أَنَّهُ قَالَ: "وَالَّذِي نَفْسُ مُحَمَّدٍ بِيَدِهِ لاَ يَسْمَعُ بِي أَحَدٌ مِنْ هذِهِ الأُمَّةِ يَهُودِيٌّ وَلاَ نَصْرَانِيٌّ، ثُمَّ يَمُوتُ وَلَمْ يُؤْمِنْ بِالَّذِي أُرْسِلْتُ بِهِ، إِلاَّ كَانَ مِنْ أَصْحَابِ النَّارِ". رواه مسلم. Kwamba hato nisikiliza Mimi yahudi Wala nasara katika umahuu na Kisha asiniami kwa Yale niliotumilizwa ila atakua nimiongoni mwa watu wa motoni. Kuonesha kwamba lazima mtu awe muislamu kwaanza kwa kupiga shahada ya kumuamini ALLAH na MTUME.
@mouzamohmad8743
@mouzamohmad8743 2 жыл бұрын
Sahihi 👌
@mouzamohmad8743
@mouzamohmad8743 2 жыл бұрын
Sahihi 👍
@mohamedmkami7017
@mohamedmkami7017 Жыл бұрын
Nasubilia majibu ya hii comment.
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 6 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheri na akuepushie kila la sharri na atujaalie sote mwisho mwema Inshallah 🙏
@nuramoboy
@nuramoboy 2 жыл бұрын
Alhamdulilah maalim wetu ,wewe ndio tumekuelewa
@YudaJuma-n5e
@YudaJuma-n5e 5 ай бұрын
ALLAH akuhufadh shekh
@abasmadodo9964
@abasmadodo9964 2 жыл бұрын
Allah akupe pepo inshaallah
@twalibuabdallah6243
@twalibuabdallah6243 7 ай бұрын
❤❤❤aamin
@samwelbunzali1914
@samwelbunzali1914 2 жыл бұрын
Nyie Riyadhtv znz mnazingua mamb ya din msifananishe na udaku achen kuchonganisha mashekh kwa mashekh: hapo anasoma Qur'an itakayomgusa ndo huyo huyo msilazimishe aonekane kamuongelea mtu huo ni ichochez ambao Allah amekataa
@ashrafseif9460
@ashrafseif9460 2 жыл бұрын
Swadakta
@Jadidatz
@Jadidatz 2 жыл бұрын
Wanataka followers kwa kivuli cha dini
@kimedyrashad9271
@kimedyrashad9271 2 жыл бұрын
Napenda san kumskiiza huy sheikh wng mselem bin ally... Allah ukujaalie mwish mwema
@samwelbunzali1914
@samwelbunzali1914 2 жыл бұрын
Kisiwa cha maalifa shekh: mselem Ally. Nasaha zako ni nuru kwa wamchao Allah:
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah kumbe mashekhe watazania dini mmeifanya kama watu wasiasa wanavyo pigana vita ya inchini na nyinyi ndio mnaelimisha dini kwa watu na ndio mnao leta picha mbaya ya dini 💔💔Inalilah wainalillah rajuuni mwenyezi mungu amjalie mpatane nampendane muache chuki binafsi
@kindi4926
@kindi4926 Жыл бұрын
Mijadala na hikma kama hizi ndio sahihi, sio yule kijana mdogo aliekosa heshima.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 ай бұрын
@@kindi4926 Hakika na huo ndio uislam na ndio hekima na busara za kulingania uislam. Sio matusi au dharau au chuki. Tanzania hii kwetu ni hazina kubwa.
@omarkhamis1539
@omarkhamis1539 2 жыл бұрын
Maashallah
@tumajunior6080
@tumajunior6080 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh mselem kwa kuwa ukweli wauma usihofu Allah humpenda msema mkweli
@mohamedkhamishamad
@mohamedkhamishamad 6 ай бұрын
Masha Allah shekhe
@takdirmahmoud
@takdirmahmoud 2 жыл бұрын
Shukran Sheikh
@cashewnutboardtz7325
@cashewnutboardtz7325 Жыл бұрын
Islam Eliasi,Allah akubarik shekh mselem Ally
@hawahassan1623
@hawahassan1623 2 жыл бұрын
Alafu nyie Riyadh mtafute heading nzuri kama waislam mnaweka heading za ajabuajabu muwe makini
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Sheikh mselem na muhammad bachu wanafahamiana viziri msiweke picha za uchochezi mnaharibu
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 2 жыл бұрын
Mbona Mohd BACHU kasema yeye akiwapinga muamsho na kuwachukia sana kwa sababu akifanya maandamano lakin walipo weka jela akiwaombea duwa walipo toka akatowa hutba kuwa makhawareej ni wafanyao maandamano ktk nchi vp ?
@infocontentchannel
@infocontentchannel 2 жыл бұрын
Assalam Alykm warahmatullah wabarakatuh. Hii Anatumia tafsiri ipi? Naomba kujua tafadhal. Jazaakallahu khayran Sheikh
@habibuchipeka7934
@habibuchipeka7934 2 жыл бұрын
Swifiwatu ttafaaasiir cha mwanazuoni ally swaabuni
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Taabu Kubwa Iliyopo Kwasasa Tunajisomea Wenyewe. Twende Tukasomeshe Kwawanaostahiki Kutusomesha. Tusijisomee Tu.
@أبوسليمان-د6ه
@أبوسليمان-د6ه 2 жыл бұрын
صفوة التفاسير - الشيخ محمد بن علي الصابوني
@ابوسهلالسهيلي
@ابوسهلالسهيلي 2 жыл бұрын
Mashallah sheikh wetu
@yusuphkombo8423
@yusuphkombo8423 2 жыл бұрын
Shekh mungu akulinde
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Ukiwa pocho huwezi kumfahamu sheikh mselem ila ss tunamuelewa sana
@khamishamad5044
@khamishamad5044 2 жыл бұрын
Pocho
@willajr9513
@willajr9513 2 жыл бұрын
@@khamishamad5044 pocho ni nini? 🤣
@salummazurui3270
@salummazurui3270 2 жыл бұрын
Mashaallah sheikh
@Kimochatv
@Kimochatv 6 ай бұрын
Allah akupe mwisho mwema
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Shekh mselem basi ijumaa itaekewa hutba usemwe
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 2 жыл бұрын
Hahahahahaahhahaa sasa ah hahaaa
@ayoubsadi5186
@ayoubsadi5186 2 жыл бұрын
Sharti hapo ni kumuamini Allah. Ni wazi kuwa ukimuamini Allah ni lazima umkubali mtume S. A. W, ndio kusema hao Mayahudi, Waswabiin na Naswara ili wapate kuingia Peponi ni lazima wamkubali Mtume S.A.W na Manabii wote wa Allah. Na ndio Uislamu.
@DreamGirl-xn7ce
@DreamGirl-xn7ce 2 жыл бұрын
👍
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Uko sawa sheikh
@anuarhemed4747
@anuarhemed4747 2 жыл бұрын
Shekh mselem sema kwel japo kua chungu
@ramadhankheir4793
@ramadhankheir4793 2 жыл бұрын
Shukran kwamba umewakubali wema waliotangulia
@husnamohamed9448
@husnamohamed9448 2 жыл бұрын
Hata mimi nimewakubali sana hao wema waliotangulia ila hawa wema walioko wallahi ni tafauti kabisaaaa.Maneno yao wallahi hayaniingii akilini kabisaaaa
@ramadhankheir4793
@ramadhankheir4793 2 жыл бұрын
@@husnamohamed9448 ayo matamanio yako tu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Watu wa vitabu walioamini wakatenda mema wataingia peponi ikiwa hawatomshirikisha Allah. Tena wale waliopita nasi hawa walokwisha birua Injil na Tawrat na wasioitaka kabisa Qur-an. Qur-an 3:199
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Qur-an 6:21 Na nani dhalimu zaidi kuliko anayemzulia uwongo Mwenyeezi Mungu, na akazikanusha ishara zake? Hakika madhalimu hawafanikiwi.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Qur-an 6:22 Siku tutakapowakusanya wote pamoja. Kisha tuwaambie walioshirikisha. Wapo wapi washirikishwa wenu mliokua mnadai?
@DreamGirl-xn7ce
@DreamGirl-xn7ce 2 жыл бұрын
Na watu wa kitabu wanaomuamini Allah (s.w) , na ulichoteremshiwa wewe na walichoteremshiwa wao, na wakatenda mema na wasimshirikishe Allah (s.w). .. 3.199
@shabaniali9825
@shabaniali9825 2 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 ahsante sn
@loveofficial74
@loveofficial74 2 жыл бұрын
Hii Aya naona haijapata mfafanuzi wa kina utende mema unavyotenda na unajua Mungu yupo na hauximamixhi xwala 5 bc ujue n bure kabixa.
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Kijana una pupa huna skills za kisikiliza, umefika darasa la ngapi? Hebu msikilize vizuri
@yussufsaid654
@yussufsaid654 2 жыл бұрын
Na kama ukiwatii wengi walioko ulimwenguni, watakupoteza na njia ya Allaah. [Al-An’aam: 116] Na Allaah Anajua zaidi
@alindaro7978
@alindaro7978 2 жыл бұрын
As long as watakuwa wanaamini Allah yupo na wanafanya amal njema.....hawatojutia mwisho wao. Hizi Aya usipokuwa mankini utajitatza bure. Be positive hakuna mkamilifu katika dini na dunia na hakuna anaejua hukmu isipokuwa Allah.
@mahirkombo535
@mahirkombo535 2 жыл бұрын
Masalaf wafitin tu hapa kwetu zanzibar
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 2 жыл бұрын
Allah akulipe hakika umefikisha.
@shaabanmrishoshaaban1945
@shaabanmrishoshaaban1945 2 жыл бұрын
Halafu we uliounganisha HIZ picha kwenye video hii we ni mtu ulioubeba FITNA dhidi ya UISLAMU Chuki zako na mtu unazifungamanisha na mtu ambae kazungumza tu hakumtaja mtu Kisha we kwa chuki zako unafanya makosa haya Usiwe hivyo unakosea FITNA ni mbaya kuliko KUUA
@hawahassan1623
@hawahassan1623 2 жыл бұрын
Kabisa yaani. Angalia hata heading zake
@saidmaulid4478
@saidmaulid4478 2 жыл бұрын
MashaAllah
@yussufsaid654
@yussufsaid654 2 жыл бұрын
Basi yule ambaye Allaah Anataka kumhidi, Humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na yule ambaye Anataka kumpotoa, Hufanya kifua chake kuwa na dhiki chenye kubana kama kwamba anapanda kwa tabu mbinguni…[Al-An’aam: 125]
@JumaaChaurembo
@JumaaChaurembo 8 ай бұрын
Dini hii kuna wanachuoni,wenye maarifa zaidi na wanaojua tafsiri zaidi,wala si dini yakuzungumza tu watu wakusifu.wanachuoni ndio dira ya uislamu.
@murshydali2953
@murshydali2953 2 жыл бұрын
Mashallah Bora uambie ukweli Mana dini no moja ila wameifanya ziwe dini nyingi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 жыл бұрын
Wewe ni zaidi ya dhahabu laiti watu wangejua thamani yako basi ungenunuliwa zaidi ya wacheza mpira lakini mpaka media za kidini siku hizi dili hawana mpaka ubunifu wa kazi
@khadijasaidi4834
@khadijasaidi4834 Жыл бұрын
Allah akulipe Kila la kheri shekhe wetu hao masalfi waliwacheka walokole wa kikiristo sijui wenyewe ni kinanani?Kwa hakika Wana KERA sana kuvaa ngozi ya kondoo wakat ni chui
@mussaathumani9814
@mussaathumani9814 Жыл бұрын
Shekhe wewe Allah atu patie umuri mlefu napenda sana kuskia mawaiza yako
@abdulrahimsalim8809
@abdulrahimsalim8809 2 жыл бұрын
Alhamdu lillah
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 2 жыл бұрын
Sasa hizi p8cha mbona zimewekwa hivi yani makusudio niyepi???
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 2 жыл бұрын
Picha hazijaendana labda alieweka hajui anachokifanya
@jumaabdurahmani2733
@jumaabdurahmani2733 6 ай бұрын
Huyu shekh inabidi umsikilize kiupole ndio utamuelewa. Na mimi namuelewa kila wakati
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 2 жыл бұрын
We riadhi tv wewe usiweke picha kama ivoo hio unayofanya ni firn kaka
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 2 жыл бұрын
Shekh kaeleza vzri lakin sjaskia kama kmtaja mwanachuon gani au swahaba gani alitafsriii hivo hiyo aya ya 62 suurat bakaara.kwamba wanao abudu viumbe watalipwa ujira kwa Allah. Naomba ufafanuzi kidg hapo Samahan kwa usumbufu
@alisalimhamad3550
@alisalimhamad3550 2 жыл бұрын
Mashallah umefafanua vzr shekh ila nashkuri kwakua sote ni waislam basi tusinyoosheane vdole hasa kwakueka picha zidi ya wengne maana lengo ni kufanikiwa siku ya mwsho
@abumussabnassor6141
@abumussabnassor6141 2 жыл бұрын
Hawa riyaztv wakajifunze dini Co kugombanisha mashekh mselem jee alimtaja mtuu waache ujinga hao
@khatibrashid172
@khatibrashid172 Жыл бұрын
Allah atuongoze sote tuliotoa michangio tofaut
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 2 жыл бұрын
💯 💯 sheikh
@abumussabnassor6141
@abumussabnassor6141 2 жыл бұрын
Kawa munguu? Hata umpe uhakiwa wa 100%%
@شيخنيف
@شيخنيف 2 жыл бұрын
Usimpe asilimia zote hizo hakuna Mwanaadam mkamilifu
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 2 жыл бұрын
@@شيخنيف Kuna point kuzungumza ndio nimemuga mkono 💯 💯.sio kma ni mkamilifu
@شيخنيف
@شيخنيف 2 жыл бұрын
@@abdullahalbalushi3856 sawa Muhimu Point imezingatia Qur-an ama Sunna basi hakuna shida
@allysuleiman517
@allysuleiman517 2 жыл бұрын
Sasa wewe ukivyochanganya dini na siasa ilikuwa sahihi na kama si sahihi mbona hukubainisha kwa watu kama yale ni makosa hiyo ndo tabia zenu munababaisha watu wasijue basi kama makundi yapo kwa sababu hadithi inasema ktk umma wangu yatakuja makundi 73 je ni ya uongo
@mohdhaji2186
@mohdhaji2186 2 жыл бұрын
Shekhe ujuwe kwamba dini ya kiislamu haikugawa vitu mafungu mambo yote kesho kwa mungu yatakuwa na malipo. Hiyo nyimbo ya kuchanganya dini na siasa imetungwa na makafiri na sie WAISLAMU tusiojielewa tunaiimba na kuicheza. Lazima tuwe makini sana. Ni vyema tukavijua vitu kwa undani kabla ya kutuma comment. Au unadhani wanasiasa hawataulizwa kwa mungu juu ya nyadhifa zao?
@mchajuma4271
@mchajuma4271 2 жыл бұрын
Kwan unaijua tasfri ya dini na hiyo siasa au ukereketwa umekupanda kichwani maana maajabu kwa muislam mpaka Leo bado Hana utambuzi juu ya mambo Kama haya ila shu hatutaki kusoma tusomeni hii hatari et ulipo changanya dini na siasa shida kwelo
@allysuleiman517
@allysuleiman517 2 жыл бұрын
Usibabaishe watu sheikh zungumza inavotakiwa kuzungumza
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Dini lazima uguse engo zote endelea kutupa daawa sheikh mselem wanobweka waache wabweke
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 2 жыл бұрын
Nakukubali kaka,lkni samahani usitumie lugha ya kubweka anaebweka ni mbwa so nimakosa kumfananisha mwanadamu mwenzako na mbwa
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 жыл бұрын
Wanakera sana lkn nashkuru kwa kunikumbusha
@abdulhamidhaji5056
@abdulhamidhaji5056 Жыл бұрын
@@khamisrubea5083 na ukweli unakera eti
@abusumayyah2338
@abusumayyah2338 2 жыл бұрын
Tubieni Enyi waja wa Allaah acheni ukhawaarij
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 2 жыл бұрын
Khawarij Yuko wapi hapa sasa😂
@burhanhaji769
@burhanhaji769 2 жыл бұрын
Kwani Ili watubie waje kukwambia wewe au we ndo mwenye daftari la watu wanotubia unaandika?
@helefkdk5125
@helefkdk5125 6 ай бұрын
Sawa kabisa
@salmasalim3525
@salmasalim3525 Жыл бұрын
MashaAllah
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Kama ingekua nchi zetu ziuadilifu mselem aliy engekua kadhi lakini sii nchi hizi zinekosa uadilifu
@يحيىاحمد-ت9ض
@يحيىاحمد-ت9ض 2 жыл бұрын
HIVI WALE WASIO KUWA WAISLAMU AMBAO WANAMINI MUNGU PAMOJA NA KULIPWA SIKU YA MWISHO NAO WATAINGIA PEPONI????
@ahmadayub3197
@ahmadayub3197 2 жыл бұрын
Alie kua c muislam haingii pepon ata amin kias gan mpaka akubal kuslim awe muislam na atende mema
@mmn595
@mmn595 2 жыл бұрын
hata mm najiuliz hili swali
@abdul-azizabbas6991
@abdul-azizabbas6991 2 жыл бұрын
Qur-an sura 40 aya ya 40 inaeleza vizuri ilo swali, lkn ndo mungu anajua zaidi
@شيخنيف
@شيخنيف 2 жыл бұрын
"3:85" Qur-an , Jipu lipo hapa
@abdul-azizabbas6991
@abdul-azizabbas6991 2 жыл бұрын
Pia Qur-an 43:67-70 inaeleza vizuri tu, M. Mungu anajua zaidi
@youssouphsalum786
@youssouphsalum786 2 жыл бұрын
Allah humma amin
@uledihassan6065
@uledihassan6065 2 жыл бұрын
Hili genge linalojiita Salafy ni wahuni watupu
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 2 жыл бұрын
Wewe je hahhaahaah
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 2 жыл бұрын
Ni kweli ndg yangu Uledi, wanaojiita salaf ni hovyo tu.
@hafanabdallah3112
@hafanabdallah3112 2 жыл бұрын
Shekhe aya hii ipo ila ulivyo fafanuwa sivyo ama umesahau allah kasema wan yabtakhii khairal islaami dina falan yuqbalu minhu wahuwa fil akherati minal khasiriin kwa sababu huu wakati dini ni uislaaamu tu.
@harithnyara1948
@harithnyara1948 2 жыл бұрын
Hukumfaham sheikh usitoe hukumu tu.. Mwanzo kaanza kutafsiri kama aya ilivo kawapa challenge kisha ndio katoa maana ilivokusudiwa ..
@mansoormannix1753
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Lakini tuseme ukweli salafi hawana kheri na uislamu, wameacha hata kusoma bismillahi Rrahmani Rraheem kwa sala, kato hawasomi moyoni wala kwa siri, wamefanya msikiti kuwa nyumba za ukimya na ubinafsi na wala hawataki dua kamwe. Dua ni miongoni mwa vitu Allah anapenda sana na dua especially kwa sala na baada ya sala. Tuzingatie sana kuhusu dua za jamaa na tuzingatie sana umuhimu wa bismillahi kwa kusoma Qur'an aidha kwa sala ama qiraha. Bismillahi Rrahmani Rrahim ni neno sheitan yuaogopa sana na hakuna fatiha bila Bismillahi Rrahmani Rraheem.
@sharriffcharo1915
@sharriffcharo1915 2 жыл бұрын
Kwa hili huyu sheikh sija muelewa
@khaalidal-esry2211
@khaalidal-esry2211 2 жыл бұрын
Sheikh alianza na tafsiri ya neno kwa neno ndiyo ikakuchanganya. Kisha akafafanua kuwa waumini(yaani waislamu), mayahudi, manasara na maswaabii hawa wote hawa km watarekebisha mapungufu yao wakaacha wanapokosea yaani wakimuamini mungu inavyotakiwa( yaani waislamu wasimame ktk uislamu ipasavyo na wasiokuwa waislamu wawe waislamu sawasawa) na siku ya mwisho, kisha watende mema hao ndiyo hawatapata khofu. Msikilize tena kwa makini sheikh utaelewa ndugu yangu
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 2 жыл бұрын
*HIYO Aya Ni MANSUHU Sheikh mselem ebu angalia vizuri*
@AliHassan-oe8sy
@AliHassan-oe8sy 2 жыл бұрын
Mbona ameiweka sawa hayo makundi 4 wakimuamini Mtumme Muhammad s a w na kuikubali Qur an hao ndio wamafaulu
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Hebu na ww msikilize vizuri usikurupuke ku comments
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
@@AliHassan-oe8sy Acha kukurupuka
@yussufsaid654
@yussufsaid654 2 жыл бұрын
Enyi walioamini! Tubieni kwa Allaah tawbah ya nasuha (kwelikweli); asaa Rabb wenu Akakufutieni maovu yenu, na Akakuingizeni Jannaat zipitazo chini yake mito. Siku ambayo Allaah Hatomfedhehesha Nabiy (Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم) na wale walioamini pamoja naye. Nuru yao itatembea mbele yao na kuliani mwao, watasema: “Rabb wetu! Tutimizie Nuru yetu, na Tughufurie, hakika Wewe juu ya kila kitu ni Muweza. [At-Tahriym: 8]
@AbdullBakari
@AbdullBakari Жыл бұрын
mashallah ni shekh mwenye elmu ya juu Allah amuhifadhi aendelee nadaawa kutumbusha amin
@anuarhemed4747
@anuarhemed4747 2 жыл бұрын
Unajua hawa salaf wakiambiwa ukwel wanachukiwa
@saadmohammed3640
@saadmohammed3640 2 жыл бұрын
Darsa za sheikh msellem inakua ni wapi na muda gan ?? Naomba niambiwe
@mustamimmushajara8992
@mustamimmushajara8992 2 жыл бұрын
Kabla hajaekwa mahabusu ilkua jumatatu masjid nour ila kwa sasa sielewi
@ridhwaniyassir3579
@ridhwaniyassir3579 2 жыл бұрын
Allah atuhifadh
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 жыл бұрын
Shaikh mselem nimependa ulivyomjibu huyu kijana mana hatuna amani hatujui tufanye nini mana anatuambia kila kitu kimekosewa mwanae bachu mpuuzi mkubwa
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 2 жыл бұрын
Al habib nakukubaki kwa elimu yako, asilimia miamoja. Hivi ndio wanatakiwa maulamaa wetu. Naonba uwaelimishe hao wasiojua kutowa elimi waache kuwakhofishe wasikilizaji. Nungu akuhifadhi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 жыл бұрын
Anachozungumza Ni Talbisi. Bado Hajarud ktk Kufuata Sunna. Kama Mtume Alisema Yatatokea Makundi 73 Ktk huu uislam.Leo hii utalikataa vip hili na wakat ni Waaqii kabisaaa. Kuna Mashia,Maibadhwi,Makadiyani,Masufi na Twariqa zao,Makhawaariji na Makundi yao,.....Halafu wakataa eti waislam hawana Makundi
@أبوسليمان-د6ه
@أبوسليمان-د6ه 2 жыл бұрын
Mwalimu akishatoa mtihani basi anaesahihisha ni mwalimu na sio m.fnz mwenyewe kujisahihishia . In case you dont know
@salamanyale2226
@salamanyale2226 2 жыл бұрын
Hujamuelewa shekh
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 жыл бұрын
@@salamanyale2226 Ww umemuelewa haya twambie
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 3 ай бұрын
Nadhani bachu amekuskia maana baleghe haijamuishia
@fatmamudy4508
@fatmamudy4508 2 жыл бұрын
Mashaallah
@babaajnaty8629
@babaajnaty8629 2 жыл бұрын
Hujmb ww
@leonardmbonea4117
@leonardmbonea4117 2 жыл бұрын
salafi wanawakosesha usingizi wagonjwa nyie. alafu mnajifanya mnajitetea kwa kudanganya kwamba mmeambiwa nini ni watu wa motoni . Ninyi ni watu wa bidaa waambie watu wa kawaida watu wa bidaa maana yake ni nini, msipindishe mada
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 2 жыл бұрын
Povu
@binaamour318
@binaamour318 2 жыл бұрын
Mgonjwa mkubwa ni ww uciejua unaloongea hii cio mpira was siasa
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 2 жыл бұрын
@@ahmadmadaai1357 limekuuma lkn
@nduguviongozi6584
@nduguviongozi6584 2 жыл бұрын
Tutakufa na mtoa hukumu yupo na hakuna shaka katika hilo. Kila mmoja ajiangalie kwa umakini sana badala ya kusemana
@abdurahimnassoro1667
@abdurahimnassoro1667 2 жыл бұрын
Ukisoma sura al imran aya 19 na 85 utajiuliza je sheikh ndo hakuelewa tafseer vizuri au quran inapingana yenyewe kwa yenyewe ?? Naombeni mnisaidie hapo waislam wenzangu siyo malumbano ila tuelimishane maana sheikh nae ni binadam
@yababuluku685
@yababuluku685 2 жыл бұрын
Shekh mserem umeeleweka uliobaki ni ubishi tu hamna lolote
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 2 жыл бұрын
Ila iyo ya kukufulisha watu mi nashangaaga sana kuna watu wanapenda sana kukufulisha wenzao utadhani wao wamejihakikishia kuwa wao ni wapeponi
SHK MSELEM NIMEKOSOLEWA NAAMBIWA NA POTOSHA
57:48
Adil TV
Рет қаралды 25 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
BALAA LA KUVUTA MIBANGI (A. K. A) MADUDE- SHEIKH NYUNDO.
20:17
SOMENI ONLINE TV.
Рет қаралды 4,4 М.
KISA CHA ABUDHARI KUSILIMU KWAKE //SHEIKH MSELEM
34:54
arkas online tv
Рет қаралды 20 М.
Hivi ndivyo wanavyofanya wanasiasa SHEKHE MSELEMU ALLY
54:49
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 72 М.
BACHU BAADA YA KUMJIBU SHEIKH AFUNDISHWA NA MWANAMKE ZANZIBAR
17:57
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 14 М.