ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (IV) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 12,428

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Sio kila ambaye anazuia matokeo yako ni lazima atoke mbali,mara nyingi shetani hutumia watu walio karibu na wewe sana.Wakati Samweli ametumwa na Mungu kwenda kumpaka mafuta ya kuwa mfalme mtoto mmoja wa Yese,Yese mwenyewe hakumuhesabu Daudi kama anaweza kuwa mfalme.Baba yake mzazi ndio alikuwa wa kwanza kutaka kukwamisha safari ya Daudi ya kuelekea kwenye ufalme.Na hata baada ya Daudi kupakwa mafuta bado aliendelea na kazi aliyokuwa anafanya(kuchunga mifugo ya baba yake).Sio lazima Mungu akisema kitu na wewe uanze kuona matokeo hapohapo,siku zote Mungu hufanya kazi kwa majira sahihi.
Sauli alikataliwa na Mungu lakini hakutoka kwenye ufalme siku ileile na Daudi alipakwa mafuta ya kuwa mfalme lakini hakuwa mfalme siku ileile.Kwa kuwa tu unapotaka kufika unaona kuna watu tayari tena wenye majina makubwa haina maana kuwa nafasi yako haipo.Wanaweza wakawepo lakini Mungu akawa ameshawakataa.Majira yakifika ya Mungu kukuinua atatengeneza mazingira ya wewe kufika pale alipokuitia,atawatoa wengine na wewe atakuketisha.
Endelea kushikilia neno ambalo Mungu amelitamka kwako, haijalishi mazingira yanapinga,Yeye aliyesema atathibitisha.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 20
ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA
1:39:54
ROHO ZIZUIAZO MATOKEO (III)  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:09:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:31
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 13 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienve Ministries online
Рет қаралды 2,7 М.
SHIMO NYUMBA YA UHARIBIFU  ( DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:01:56
Reality of Christ Church
Рет қаралды 20 М.
LAZIMA UWE NA UFAHAMU WA KIMUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
16:00
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 31 М.
SIKILIZA KWA MAKINI  MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA
6:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 396 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 21 М.
MAOMBI YA KUONDOA VIPINGAMIZI VINAVYOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
40:32
Reality of Christ Church
Рет қаралды 11 М.
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН