Rolls-Royce lililomuua GINIMBI halikuwa na BIMA, wazazi wa MOANA watifuana kuhusu mazishi yake

  Рет қаралды 15,290

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Gari aina ya Rolls Royce Wraith yenye thamani ya takriban shilingi milioni 760, iliyomuua Ginimbi haikuwa na bima, imefahamika.

Пікірлер: 45
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 3 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema inshallah..
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Dah Mungu atupe mwisho mwema
@susanruo8087
@susanruo8087 3 жыл бұрын
Duh 😭😭
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Subhannallah, mtihan Kwakweli
@user-ij5ig4uu1y
@user-ij5ig4uu1y 3 жыл бұрын
😭😭😭😭Daaaah
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 3 жыл бұрын
Wamwisho Jaman
@zainbomary3970
@zainbomary3970 3 жыл бұрын
Wangemzka tu jamn daah kwa nn wazuie mazshi
@eliaschigugu9590
@eliaschigugu9590 3 жыл бұрын
Ila Jamaa angu unafaa kuja usafini kbs kweny the story book
@juxjemc5768
@juxjemc5768 3 жыл бұрын
Hata uwe na magar ya kifahar ila tunaokuzika ni cc maskin
@freduallughano2301
@freduallughano2301 3 жыл бұрын
ajabu kweli sisi wenye uchumi wa kati gari hizi adimu kweli na ukiliona la miaka kenda!
@Cyper255
@Cyper255 3 жыл бұрын
Makosa hayo
@jefenggg3442
@jefenggg3442 3 жыл бұрын
Dhaaa wanamukoseya marehemu kwakweli😭😭😭 dhaaa
@issayahanthony5681
@issayahanthony5681 3 жыл бұрын
Polen sana
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Punzikeni kwa Amani wote mliotangulia mbele za haki
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 жыл бұрын
Hatari aiseeee 760 .haya wapumnzike salama
@winifrdaerias2693
@winifrdaerias2693 3 жыл бұрын
Lilikuwa likitembeaje bila bima na kuna trafic au la 760 du hata kuuliza bima unarihusu tu au iliungua pale
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Wakwanza
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Wapumzishe tu jamani
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Dah familia kugombania marehemu n ushamba jmn ebu wampumzishe kwa amani😭
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 3 жыл бұрын
Huwezi kujua athari yk siku ya hukumu ndio maana wasema hvy
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
@@hassanisadiki824 wewe unaijua?
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 3 жыл бұрын
@@lilianjeremia1024 Alhamdulilah kwa kila muislm anajua
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Ya ALLAH tupe mwisho mwema sasa billionaire anatembeaje na gari haina bima inamaana anamagari mengi ya gharama hvy halaf alikuwa hayakatii bima kweli?
@amanimanase8799
@amanimanase8799 3 жыл бұрын
Mbona apa usa waislamu wanazika nasanduku, wenyewe wazike kivyovyote harudi tena.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Yaani, sasa ilo joka la Ginimbi wanalosema limemeza watu wengi, lenyewe liko api muda huu? Afu Moana si aliungua kabisa wapumzishe mabaki yake kwa amani tu jamani
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 3 жыл бұрын
Wamuhache marehemu apumuzike kwa amani😭😭
@mastaplan
@mastaplan 3 жыл бұрын
Adhabu ya kabuli hakuna pumziko...
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 3 жыл бұрын
Kifo kikifika hakuna wa kuzuia.... Najiuliza kwanini wasingetumia mlango aliotolewa ginimbi mpaka wakaungua beyond recognizition😩 Allahuallam nawaza tu kibinaadamu
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 жыл бұрын
Wanadai hawa walibanwa sana. Na milango ya gari ilikuwa na lock .sasa walipomtoa mmoja dk chache tu gari ikawaka
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
Hizo gari ni nzur lkn mlango ya kutokea iko mbele tu nyuma hakuna Milang design yk ilivyo then dakika chache baada yakutolewa ginimbi ikalipuka hakuna mtu angeweza kusogea au wao kutoka yaan ukisngalia video yao hao wadada wanavyolia aisee huwez taman chchte yaan ALLAH atupe mwisho mwema
@Excuvation04
@Excuvation04 3 жыл бұрын
@@hanifaally4694 hio video yao inapatikana wap
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
@@Excuvation04 kwa tempestitouslyracheltemu Instagram dear lkn mpk umfollow maana yu private
@Excuvation04
@Excuvation04 3 жыл бұрын
@@hanifaally4694 sawa
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Binaadam Tunamatatiz Huy Ata Akizikwa kislam Habitamusaidia Kituchochot Wanajidanganyat! Kafilinikafilit!
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 жыл бұрын
Kwa nini unasema hivo?
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
Kila ginimbi akitajwa naskia ucungu 😢allah ampekauli njema
@tajjudinihaji2776
@tajjudinihaji2776 3 жыл бұрын
Allah awezi kumpa kauli njema wakati yeye alimkataa wakati yu hai.watu wasijiongopee km ujakubari allah ni mmoja mtume ni mmoja. Wewe auna salama
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 3 жыл бұрын
@@tajjudinihaji2776 kweli kabisa
@lailachaka5334
@lailachaka5334 3 жыл бұрын
Amiin
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 3 жыл бұрын
Futaa hiiii kauli yako ni haramu kusema hivyo
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
@@tajjudinihaji2776 atawe pia ujakamilika kwaiyo usiukumu 👌
@misapinamiswi5751
@misapinamiswi5751 3 жыл бұрын
WATABOMBSHELL
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
Meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Tanzania yazama Taiwan
4:34
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 12 М.
HAWA NDIO MASTAA TISA  WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM
4:59
The Problem With These Headlights
17:55
The Engineers Post
Рет қаралды 901 М.
Ginimbi Last Dance before The Accident
0:31
Reactions With Junia Blaze
Рет қаралды 17 М.
80 Year Olds Share Advice for Younger Self
12:22
Sprouht
Рет қаралды 1,5 МЛН