Huu ndio UKWELI kuhusu tetesi kuwa GINIMBI alinunua jeneza lake wiki moja kabla ya KUFA kwa AJALI

  Рет қаралды 22,876

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 жыл бұрын

Post za kwenye mitandao ya kijamii pamoja na taarifa mbalimbali zilidai kuwa mfanyabiashara wa Zimbabwe Genius “Ginimbi” Kadungure, aliyefariki kwa ajali ya gari Jumapili ya November 8 mwaka huu, zilidai kuwa alinunua jeneza lake lililokuwa na gitaa jekundu juu wiki moja kabla ya kifo chake.
Ginimbi alifariki baada ya gari lake aina ya Rolls Royce kupata ajali na kulipuka baada ya kugonga mti na kuua watu wote wane waliokuwemo.
Hata hivyo, madai haya si ya ukweli, ni uongo mtupu, rafiki zake wamethibitisha kupitia shirika la habari la AFP, kwa kudai kuwa walinunua jeneza la brand ya Versace lililoonekana kwenye video wakati wanauchukua mwili wake kutoka ulikukuwa umehifadhiwa.

Пікірлер: 65
@gfdasd6287
@gfdasd6287 3 жыл бұрын
Mungu awapokee kwa huruma wake ya Rabb😭😭😭 sote tuaondoka atabaki mweny dunia ambaye ni ALLAH♥️♥️♥️
@hopechidera
@hopechidera 3 жыл бұрын
7:15 jaman hawa wadada na urembo wao wote kifo kimewachukuwa tena kwa kuungua pasipo hata kuwatambua tena nani ninani mpaka DNA inapimwa ndo kujua utofauti wao,so sad😭duniani tulikuja kutembea kabisa.
@anicklawi296
@anicklawi296 3 жыл бұрын
Mungu atusamehe pia na sisi tujuwe kama yeye ni Mungu wa uruma pia upendo wa mtoto wa Mungu.Mungu anatupenda (Yohana 1)...God love you my dear alimutuma mwanaye wa upeke ili mimi na wewe tupate kuokolewa Dunguyangu katika kristo...Tutumbu zambie zetu katika jina la yesus kristo naamini Mungu atatupatiya mwisho mzuri sana bia duniani abina mwanzo ila bina mwisho na mwisho wake ni mbaya sana ,Akuna kitu kibaya sana katika maisha yetu Dunguyangu mtu kukufa bila kumujuwa yesus pia kusimupokeya katika maishani mwake vibaya sana😭,Inauma kwasababu ku zimu kule ni matesso matupu dada,kaka unaponisoma pia tena kunisikiya kupitiya Roho ya Mungu Baba...😢😤,Dungu yangu kama ungali hahi (mzima)na pumuzi yako iyi jo mda wako wakunupokeya kristo katika maisha yako kwasababu bila Christo nakwabiya mbinguni upakanyangi kwa kweli siyo mimi jo nimesema ila neno la MUNGU na neno lile si lingine ila ni Yesus Christo,biblia jo inatwabia ivyo(Jesus speaking)my love sister and brother.🖕🏿📖👌🏿🤲🏿...Jesus Christ is coming soon,Yesus kristo anarudi tayari .🗣🗣🗣🗣
@vanderjoe2551
@vanderjoe2551 3 жыл бұрын
Y6
@sadiyakb8498
@sadiyakb8498 3 жыл бұрын
Sote tunapita. mungu amsamee dhambi zake za siri na zadhahiri
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
Aminaaa 🙏🙏
@KA-yz2ld
@KA-yz2ld 3 жыл бұрын
Amin
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 3 жыл бұрын
Aamin
@alwattanchinga
@alwattanchinga 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eJiweK2rbJ2Mbpo
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
😭Yani sibinadamu wallah mungu atusame mtu akifa wanamteta kumuombea dua wanashindwa wanasahau kua sote tutakufa allah akbar 😭
@kwisa4899
@kwisa4899 3 жыл бұрын
Nimeipenda hii mimi hichi kitu kimenikela sana huyu mtu he was a Real Hustler..
@saniajuma6123
@saniajuma6123 3 жыл бұрын
Asantee sana ka sky kwa habari.Nzuri mungu awalaze hala pema peponi amina 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭
@hamisamaundi5661
@hamisamaundi5661 2 жыл бұрын
Sisi wote ni wa mungu na kwake tutaludi
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 3 жыл бұрын
Dah Mungu awarehemu marehemu wote waliopata ajali iyo ayo mengine n maneno y binadamu yapogo siku zote 🙏🏽🙏🏽
@japhetlust5662
@japhetlust5662 3 жыл бұрын
Sns nawakubari sana mnatoa stori Zaukwel
@sheilamjune1233
@sheilamjune1233 3 жыл бұрын
BINADAMU TUWE NA HURUMA 😥😥🤔🤔🤔☝️☝️☝️WEWE GOOD JOB DR GOD Blesse Dr 🤲🤲🤲🤝🤝🙏🙏🙏R.I.P Pole sana family 😥😥😥😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mpik0boy659
@mpik0boy659 3 жыл бұрын
R.i.p Ginimbi and others ............ila SnS mko vizur kutuhabarsha
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 3 жыл бұрын
Waaaaa!binadamu bwana huwa wanaogopesha ...ukiwa tajiri lazima utasemwa mara freemanson😭😭 ukiwa masikini pia utasemwa duuuuuuh... maajabu haya duniani. May their soul's rest in peace
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Daa mabinti hawa wamenisikitisha sna mungu awalehem wote walitangulia mbele ya haki
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Mnapenda kucheza na akili za watu sasa munatukoroga akili za nn awe alinunuwa awe hakununuwa amenunuwa mwenyewe akijibu kwa mungu
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 3 жыл бұрын
Shukrani sanaaaaa kwa kutujulisha
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 3 жыл бұрын
Mpumzishen marehem wanazengo jaman daa
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Thxs sky for information
@sirabahendayussufu2862
@sirabahendayussufu2862 3 жыл бұрын
Ok nice
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 жыл бұрын
Nice
@maryamm7765
@maryamm7765 3 жыл бұрын
Mungu awarehem 🤲👏
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 3 жыл бұрын
Duh...
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Mzungu akiwa tajiri akiwa mdogo watu tunasema wana Akili sana takutafuta life wapambanaji sana Lakini Africa ukiwa tajiri ukiwa mdogo ni bala utaitwa kila majina kwanini Lakini?
@dijeryusuphu6271
@dijeryusuphu6271 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo uwiiih
@cassperrevindines1620
@cassperrevindines1620 3 жыл бұрын
Ivi mie siwaelewagi watanzania yaani in short wa Africa wengi ..wanaamini mu Africa mwenzao akifanikiwa ni illuminate lakini akina bilgate ni hasler hatakama wote historia zao zinaonesha wanatokea at the bottom au kama wana share same history.
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 жыл бұрын
ALLAHU YARAHM
@jogechi2105
@jogechi2105 3 жыл бұрын
Ukweli wote upo Twitter lakini kwa bahati mbaya wengi wenu hata hamjui kuitumia
@mubarakahussein9950
@mubarakahussein9950 3 жыл бұрын
Hhhh
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Leta hiyo ukweli huku basi
@jogechi2105
@jogechi2105 3 жыл бұрын
@@saidahj2543 Hua wanaziunganisha kutoka huko kabla ya kuzileta huku. Hii Habari ilitoka wiki iliyopita
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@hanifaally4694
@hanifaally4694 3 жыл бұрын
ALLAH AKBAR eeh YARAB awasemehe makosa yao na mimi pia 🙏
@joselynesango4075
@joselynesango4075 3 жыл бұрын
Kia nafsi itaonjwa umauti siote tunapita
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏
@wemanatenda383
@wemanatenda383 3 жыл бұрын
Wapili Leo uwiiii
@zennakailo8106
@zennakailo8106 3 жыл бұрын
Mungu atunusuru kiukweli
@alisasama7744
@alisasama7744 3 жыл бұрын
Mimi sishangai Ginimbi kununua jeneza, maana hata bongo msanii ladyjdee aliwahi kupost jeneza na AKAULIZA kama ni zuri alinunue🙄
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Ni uzushi.hakununua jeneza.
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 3 жыл бұрын
Dahh inauma sana😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@susanruo8087
@susanruo8087 3 жыл бұрын
Lakini Duh 🙉
@emmysenior4747
@emmysenior4747 3 жыл бұрын
Dou
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😭😭😭
@massimilianoraffadali5482
@massimilianoraffadali5482 3 жыл бұрын
Duuuh jeneza la versace duuuh😭
@nervenb2831
@nervenb2831 3 жыл бұрын
Nishida
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 жыл бұрын
Rest In peace GINIMBI and athers
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 3 жыл бұрын
Hivi ni nan ambaye huwa anagundua kwamba huyu mt ni freemason mpk habar zienee kwa wengine na huwa anawatambua kivip 😦😦
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Ni uzushi tu.na habari za uongo husambaa kwa kasi sana kuliko za ukweli.
@marcelinenakafu7039
@marcelinenakafu7039 3 жыл бұрын
JAMANI WANADAMU
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 жыл бұрын
Duu mapaparazi KIBOKO
@masterwille8877
@masterwille8877 3 жыл бұрын
attention! HABARI NJEMA kwa wanaohitaji huduma ya editing, proofreading, translation, interpretation na transcription . Tuwasiliane kwa nambari 0686187225 au 0711632390. Bei zetu ni nafuu sana na kazi zetu ni za kiwango cha juu na ubora mkubwa. tuna language experts wenye uzoefu mkubwa na uaminifu wa kutosha. tunadeal na kazi za aina zote. Eg DISSERTATION, PROPOSALS, VITABU, MAKALA, HOTUBA, RIPOTI etc. You are all welcome
@derrickzedane9442
@derrickzedane9442 3 жыл бұрын
Broo naomba namba yako kuna issue nataka nijue zaidi bx
@mosesaliy6098
@mosesaliy6098 3 жыл бұрын
H
@dijeryusuphu6271
@dijeryusuphu6271 3 жыл бұрын
Kwan ginimbi hana ndugu jaman?
@ramadhanathuman940
@ramadhanathuman940 3 жыл бұрын
Hilo shilika Afp lenyewe ni Freemasons na huyo rafiki yake mwenyewe ni Freemasons sasa unategemea jibu gan sasa 😁😁😁
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 3 жыл бұрын
Acha uwongoo ww 😆😆
@happynelson1136
@happynelson1136 3 жыл бұрын
Wewe ni muongo na mbishi sasa frreemason ni wewe mwenyewe
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 3 жыл бұрын
𝑺𝑨𝑭𝑰 𝑺𝑨𝑵𝑨 𝑺𝑵𝑺 𝑲𝑾𝑨 𝑻𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨 𝑺𝑨𝑯𝑯𝑰 𝑨𝑴𝑩𝑨𝒀𝑶 𝑯𝑼𝑾𝑬𝒁 𝑲𝑼𝑰𝑷𝑨𝑻𝑨 𝑴𝑬𝑫𝑰𝑨 𝒀𝒀𝑻𝑬 𝑯𝑨𝑷𝑨 𝑩𝑶𝑵𝑮𝑶 𝑴𝑲𝑶 𝑽𝒁𝑹 𝑺𝑵𝑨 𝑵𝑨 𝑴𝑵𝑨𝑶𝑵𝒀𝑬𝑺𝑯𝑨 𝑵𝑰 𝑱𝑰𝑵𝑺𝑰 𝑮𝑨𝑵 𝑴𝑵𝑨𝑭𝑨𝑻𝑰𝑳𝑰𝑨 𝑴𝑨𝑴𝑩𝑶 𝑲𝑾𝑨 𝑲𝑰𝑵𝑨 𝑵𝑨 𝑲𝑼𝑻𝑶𝑨 𝑻𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨 𝑺𝑨𝑯𝑰𝑯𝑰 𝑯𝑰𝑰 𝑵𝑰 𝒀𝑨 𝑲𝑰𝑷𝑬𝑲𝑬𝑬 𝑯𝑼𝑰𝑷𝑨𝑻𝑰 𝑷𝑶𝑷𝑻𝑬 𝑳𝑨𝑩𝑫𝑨 𝑾𝑨𝑲𝑶𝑷𝑰 𝑲𝑼𝑻𝑶𝑲𝑨 𝑯𝑨𝑷𝑨😃
Harusi Ya "Ajabu" Nyeri"
1:25
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,6 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 81 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 128 МЛН
PLAN B _ Episode 4
32:24
kp wa Aquino
Рет қаралды 92 М.
Lulu Diva amburuza Lava Lava Mahakamani, adai fidia ya shilingi Milioni 200
6:47
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.