ROSTAM AZIZ AFICHUA YAKE na HAYATI MAGUFULI - ''NINGEKUWA MWIZI ASINGEKUJA KUZINDUA KIWANDA CHANGU''

  Рет қаралды 37,430

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

ROSTAM AZIZ AFICHUA YAKE na HAYATI MAGUFULI - ''NINGEKUWA MWIZI ASINGEKUJA KUZINDUA KIWANDA CHANGU''
MFANYABIASHARA mkubwa nhini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 123
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Kwani ile sumu aliyo pewa magufuri na wale watu reginal mengi alio tutahadharisha nao kwa kuuza na kuto kuwa na huruma na watanzania kwa sababu wao sio waafrika na sio watanzania majina yao ni nani na nani mimi siwajui
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Kweli mzee Mengi ila majina sikumbuki hebu tukumbushe kaka
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Selekali hii ni yenu nyinyi majizi Tambeni sana
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
Utakufa kwa choyo!!!pole
@mangaikwelamatengo8556
@mangaikwelamatengo8556 3 ай бұрын
Big Boss..
@anwarkashaga3573
@anwarkashaga3573 Жыл бұрын
Kabisaaa
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 Жыл бұрын
Subiri slaa akujibu ndo utajua hujui
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Slaa kawakimbia watanzania akaenda kuoewa ubalozi Sweden,atamjibu nini kila mtu anamjua slaa ni mnafiki
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 Жыл бұрын
Ww si mwizi wa madini na dili zingine maana umekomalia sana inshu ya bandari
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Mmmh! Asiye jua historia yake ni mtumwa. Leo watanzania tunatukana watu walio pambania nchi yetu.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@birianination7097 nyoko
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
@@birianination7097 umezaliwa hivi karibuni wewe unaijua historia vzr??
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
@@florencemeza6540 hivi unajua sababu za serikali ya mwaka 1995 kubinafsisha miradi. Unajua sababu za mwaka 1984 nchi kuanguka kiuchumi, ulisha wahi kwenda kununua kitu kwenye maduka ya ujama
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
@@birianination7097 usituambie enzi hizo tunasema sasa hapo Nyerere ndo alikuwa anaongoza nchi ijitegemee swali langu hivi we kwa akili yako kila kitu huwezi?? Mpaka ubinafsishe?? Umesoma kitabu cha marehemu MKAPA?? Hujiulizi kwa nini JPM ALIPINGWA NA ALIWEZA?? KWA NINI HAO UNAOWAONA WA MAANA WALIKIMBIA NCHINI wamerudi baada ya kufa JPM
@jacobche6288
@jacobche6288 Жыл бұрын
pale BANDARI wanaopiga kelele sababu ni TONGE tu nothing more...!!!
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
Ndio watakosa mlo matapeli
@bushirihamisi3819
@bushirihamisi3819 Жыл бұрын
Umejibu vizuri sana, watu kinacho wasumbua njaa njaa wamekalia majungu tu mpeleke mahakamani iliiwe fundisho
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 Жыл бұрын
Ni wivu tuu na roho mbaya
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 Жыл бұрын
Ukishamtaja Magu nakuelewa
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Umeeleweka vizuri Rostam,upo sahihi
@nyerere1259
@nyerere1259 Жыл бұрын
Kapuku anasema Rostam Mwizi 😂😂😂hii nchi uhuru umepitiliza
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
They must understand
@mussalimbe6673
@mussalimbe6673 Жыл бұрын
Kwa kumtaja magufuli tunakusamehe Bure maana mamilion ya watanzania ondoa wachache tu tunamwamini magu kuwa alikuwa RAIS mzalendo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Kwanza alihama nchi akamuulize kaka hake aliyewekwa ndani
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Tamba ni wakati wako enzi za JPM UNGETHUBUTU kwanza msituwekeee huyu
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Enzi za Magu, huyu ndiye alikuwa mzamini wake.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
@@birianination7097 alikuwepo nchi hii ?? JPM adhaminiwe nini??
@marijanimohamed8875
@marijanimohamed8875 Жыл бұрын
mbona bandari ni haramu 😅😅😅 mikataba haramu wapiga dili wapo macho. 😅😅😅
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Wewe ni mwizi magufuri alisema hafukui makaburi lakini kwenye utawala wake uwezi kupata nafasi na alitaka utumie fedha ulizoiba watanzania wapate ajila. Lakini ni mwizi.
@stevenbupamba4161
@stevenbupamba4161 Жыл бұрын
Safi sana.Umejieleza vema kabisa.Wasikuchafue mjasiriamali wa watu.Tanzania ya leo itaendelea kwa kuwaunga mkono wajasiriamali wanaijitafutia kwa jasho.
@chezariboy
@chezariboy Жыл бұрын
Wewe mkapa mlishare kutuibia pesa zetu wtanzania wanakujua sana kuluko unavyofikiri Usione wapo kimyaaaa ..dr.slaa kagusia kdogo sana lakini yapo uvunguni mengi sana.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
1984 nchi ilifilisika 1995 huyu ndiyo alipambana kutafuta wawekezaji, moja ya vitu alivyo fanya ni kusaidia kutafuta watu wa kuinunua Bank ya NMB, leo bank hiyo ndio Bank iliyo wezesha watu wengi.
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 Жыл бұрын
Nimekuelewa boss kubwa
@nyingos
@nyingos Жыл бұрын
Ni kweli ROSTAM unatajwatajwa sana. Nina uhakika unaonewa tu.
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 6 ай бұрын
Kabisa rostam waende mahakamani
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
Mimi nimeishi jirani na muheshimiwa rostam ni mtu mwema sana ni mtu muungwana sana alikua anatualika mtaa mzima kipind cha idd tunakwenda kwao kupata futari..amejenga miradi ya mabwawa ya umwagiliaju mwanzugi, amejenga zahanati kila kata igunga ..he is very smart and a good businessman watu wenye upeo mdogo huwa wana amin ili kufanikiwa lazima uuibe , ila mafanikio yana mambo mwngi nyuma yake
@moshintagata100
@moshintagata100 Жыл бұрын
Umelambishwa asali tuachie bandaliyetu
@andrewbigambo6721
@andrewbigambo6721 Жыл бұрын
Patre wa michongo.
@user-hw3cs1oo9m
@user-hw3cs1oo9m Жыл бұрын
Hii issue inatia shaka kadri siku zinavyokwenda inaendelea kutetewa tena inatetewa na watu waleqale umma wa Tanzania umekuwa ukiwasikia katika masuala mengi controversal huko nyuma. Suala hili limepofosha wana habari wetu karibu wote ! Kitu kinachoendelea kutia hofu zaidi na hata wenye akili timamu wakiongea hoja nzito na mjarabu , wanahabari wanazidhoofisha kwa kutoa habari ya Fulani Ameunga hoja ubinasishaji wa Bandari!? Ili hali ukweli ni tofauti na hicho kichwa cha habari.
@nellyy8165
@nellyy8165 Жыл бұрын
Toka lini huyu jamaa akaongelea jambo kiasi hicho? Kama nichausalama kwann hawa wanajitetea ivi
@soudmoshmnyika5813
@soudmoshmnyika5813 Жыл бұрын
Ukichafuliwa , lazima uzungumze ili kuiweka jamii sawa
@egnokapinga16
@egnokapinga16 Жыл бұрын
Rostam mswahili sana😂😂😂
@chezariboy
@chezariboy Жыл бұрын
Dr.slaa hatupeleki kitikadi acha kuzugazuga na uongo wako,, slaa anataJA KILICHOANDIKWA KWENYE LIMKATABA OVYO mbona lostam hujajibu hoja za woote wanaozungumza kuhusu YALOYOANDIKWA KWENYE MKATABA,, vinginebyo ni sura ya kuhusika kwa siri kutuuzia nchi kwa watu wa Dubai.
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Жыл бұрын
Rostam your very smart God bless u
@usafiaps318
@usafiaps318 Жыл бұрын
Huyu Ndiye BP World (Mtetezi Mkuu).
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 6 ай бұрын
Mimi nimekuelewa
@hassankajembe4118
@hassankajembe4118 Жыл бұрын
Mwananchi Piga kazi,wapotezee tu hao hamekwama hao
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
Hivi mizigo gani itabebwa huku mmesema kuna mashine ? Msituone wapumbavu
@Mjomb
@Mjomb Жыл бұрын
Watu sisi wajanja Utawaruni mafalawezi o
@frankngajilo7137
@frankngajilo7137 Жыл бұрын
Mxxu
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 Жыл бұрын
Eti uncle Slaa ujalizalisha ajira hata mmoja na hukuleta mwekezaji hata mmoja?
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Rostam ametupa faida gani na biashara ya gas? Ike gas yetu ambayo kipindi cha jpm ilikua elfu ndogo sana kati hapa ikapanda kama oryx? Wacha wee ukifuatilia mikataba aliyoicharukia lissu bungeni kipindi hicho huyu alitajwa. Mahakama waaaaaaaaaaapi bana mahakama hua mnazinunua kwa nguvu ya pesa
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 Жыл бұрын
Enzi ya JPM hajawahi kuongea hata siku moja, sasa hivi mafisadi wanajitanulia kwa raha zao - eee Mungu inusuru hii Tanzania.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Enzi za Magu ni huyo ndiyo aliyemzamini na kupambana naye bega kwa bega
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
@@birianination7097 thubutu yako naona wamekutuma kuna siku aliwaita akawauliza nani kamdhamini JPM Alkuwa moyoni unafikiri angepitisha ujinga huu mwenyewe alisema ni KICHAA anayekubali mikataba ya hovyo rejea youtube
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Hata ncbi alihamia canada
@amohamed4969
@amohamed4969 Жыл бұрын
​@@birianination7097acha uhongo wewe huyo alimdhamini Magufuli kwenye nini? Acha akili za kubabaikia wahindi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Жыл бұрын
Mmmmh!!!!!! Shida watanzania mbumbumbu
@AbdallahMasudi-nn1ul
@AbdallahMasudi-nn1ul Жыл бұрын
Huyo dr slaa humuwezi ataanika yako yote bora kaa kimya maana wengi wakuona sasa umeshakuwa tajiri .huyo ataamsha dude ww haya
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Mwamba ukipata nafasi fumua tu.hamna namna.wewe rangi ndo inakuponza.ungekuwa mweusi kama iddy amin. Wasingekusema.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
Well said wachana na wanafiki hao wana wivu hao wameshindwa na ukabila na udini
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Shida ya waislam HAWAJIAMINI MNAKIMBILIA UDINI ROSTAM AKILIANZISHA ataenda nje mimi na wewe je?? Acha kubebewa akili
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 Жыл бұрын
Sawa Kaka Rosta nakuelewa Mnyamwezi Mwenzangu
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Жыл бұрын
Mnyamwezi 🤣🤣
@mandelamandela3150
@mandelamandela3150 Жыл бұрын
@@divaimafuru6844 😆😆😆😆😆
@wisdomwisdom8882
@wisdomwisdom8882 2 ай бұрын
@@divaimafuru6844 Mnyamwezi wa iran
@anickashasha
@anickashasha Жыл бұрын
Ndugu yangu RA, pole sana kwa kadhia hii. Binafsi sina mashaka na uwezo wako wa kufanya, tulifahamiana wakato ndio unaingia kwenye siasa kwa maana ya kugombea ubunge Igunga miaka ya 90 baada ya kifo cha hayati Charles Kabeho, ukiwa na ofisi yako pale Banda la Ngozi. Ushauri wangu mdogo sana kwako ni kwamba usijitahidi kutumia nguvu nyiingi sana kutete hilo dubwashika DPW. Ukubali kwamba siyo kila mchoro wako lazima ufanikiwe! Hili mlilipanga vibaya, limeleta fedeha na taharuki kubwa sana kwenye taifa letu. Ni mpango ambao hauna tofauti kabisa na Sakata la Richmond. Busara ni kutengana nalo ili tuendelee na misha mengine. Ni kheri tukashitakiwe kulikoa kuendelea na hilo dubwShila. Mungu atatupigania.
@user-nt5sd1my6q
@user-nt5sd1my6q Жыл бұрын
Yani huyu sura kama majizi ya kimisri
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Hizi ni fikra duni Mwalimu alizipinga
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Watu kama nyinyi mnaroho mbaya na chuki Kwa watu wenye uwezo.husda imekutawala,mtu kama wewe hata dungu yako wa damu akiendelea utamfanyia husda na choyo na roho mbaya
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 Жыл бұрын
Yote sawa si wenyewe wameshindwa, hata kama hao wanakuja ni wezi poa tu acha wabadilishwe hawa tumrwschoka kama ccm
@hamidumpiga6283
@hamidumpiga6283 6 ай бұрын
Kabisa rostam niko pamoja na wewe
@ymohammed963
@ymohammed963 Жыл бұрын
Kuna mtu huwa anasema makosa yake?
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Жыл бұрын
Huaminiki sana wewe kwanini ulijivua gamba kipindi kile.
@elfacechongera6648
@elfacechongera6648 Жыл бұрын
Huwa unaonekana Kwenye msafara wa Rais na ukisaini baadhi ya karatasi# swali je huwa unasaini nini? Au unaenda Kama nani?
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
HATA KAMA UTAFANYA BIASHARA NA DP WORLD AU SEREKALI,KWANI KUNA SHIDA GANI? ROSTAM UPO HURU KUFANYA BIASHARA POPOTE,MRADI UFUATE KANUNI ZA BIASHAR HIYO!! WASIKUTISHE!!WENYEWE HAWAWEZI KUFANYA BIASHARA HATA YA KUUZA VITUMBUA!! UHASIDI UCHOYO CHUKI ZIMEWAJAA °
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
True 100% choyo tu
@patrickjohn4086
@patrickjohn4086 Жыл бұрын
Well said mheshimiwa Rostam
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
WALIFIKRI ETI WEWE NI MWOGA! SASA WACHAPE KAKA!
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Ningemuelewa kama angeongea enzi yupo JPM
@almasially6509
@almasially6509 Жыл бұрын
uzuri sikuizi wanamtumia magufuli kama reference ya raisi bora
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
Rostam najua wamkubali sana Nyerere, kama your hero.. Maskini! Hujui kuwa mentality hii ya Watanzania kukusakama wewe kwa vile tu una rangi tofauti....ni mfumo uliojengwa na Nyerere, ingawaje pengine hakukusudia hivyo. Mbona hakuna hivyo Zambia wala Botswana wala Uganda wala Kenya?Uzalendo feki wa kupita kiasi, uhaba wa elimu unaopelekea wivu, ubaguzi wa rangi na kukubali vitu bila dalili.....yote haya yamesababishwa na mfumo wa 1967! Eh, pia umaskini wa kupindukia, katika bahari ya utajiri wa kupindukia!
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Жыл бұрын
Huyu alibanwa na magufuli alikuwa kafungadomo nadhani alikuwa kwenye jela na ndani ya jela kutokana na kuibia serikali alinyonda huyu mama Samia ndio kamtoa ndio maana mdomo mrefu mijizi Tu kwenye serikali magufuli alilikomesha hili kitu na kina Mzee madabida na dawa zawo
@mkushioriginalsillo5074
@mkushioriginalsillo5074 Жыл бұрын
kwa hiyo RA anatuambia kuwa Magufuli ni Mtakatifu?Mbona sasa anasema tena Dr. Slaa amepewa Rushwa na Magufuli au akifanyanyiwa mtakatifu akifanyiwa wengine Rushwa
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
HULIPI USHURUR ;JP ALIKUONYA KUHUSU HILO
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Wakati JPM alipokuwa anapingwa kupewa fedha, huyo ndiyo aliyekuwa akimsaidia
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Siku zote akili za maskini zinafikiria kuwa matajiri ni wezi badala watake ushauri kutoka jinsi yakutoboa maishani
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Wewe ni mweusi na akili yako ni nyeusi na moyo wako ni mweusi
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
@@shabanipanya1033 ukweli unauma,
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Жыл бұрын
Hapa hakuna DP walanini ww sema umeamua kutumia hilojina lakini ww ndo DP
@aminitaycoon
@aminitaycoon Жыл бұрын
Acha ujinga ww unaijua DP World ww kwanza huyo Rostam hana hata uwezo wakumiliki branch moja ya DP World vijana ckuiz wakibongo mume kua kma vikatuni akili hamna kila kitu nikujiliza liza tu
@alphoncekidyala6932
@alphoncekidyala6932 Жыл бұрын
Mmmh Nina watoto wadogo wananitegemea ngoja nikalale
@berachahvalleys
@berachahvalleys Жыл бұрын
He's not a Tanzanian.
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Watanzania hatuna ukabila, udini wala urangi, sisi ni wamoja
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Are you Tanzanian?
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
@@jumakapilima7295 mmmh, kama wewe ni mtanzania basi hufai, hata lugha yako unaionea aibu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@birianination7097 what's your problem?
@normanavarro5311
@normanavarro5311 Жыл бұрын
jesus die for me
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Жыл бұрын
Watanzania wapya wengi wabaguzi
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Nonsense kabisa.. Vipi bwana Rostam mbona hoja ni mkataba/makubaliano ya Dubai na Tanzania juu ya DP World na TPA. Ni mtu mwenye akili ndogo sana aweza sadiki akili ndogo na upuuzi huu
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Mbwaaa wewe mkomw hayat wewe ndo ulimuua
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Жыл бұрын
Unasumbuliwa na umaskini ulojaa chuki na fitina.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
@@hamadsheni8997 ukweli ni wao wliofanya huo uhaini
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 Жыл бұрын
Msiwachokoze watz. Hata mbwa mwoga hufika mahali akabweka. Wewe ndiye mwenye mkataba? TLS wanaoijua sheria wameuchambua huo ubia na kuuona unayo mapungufu, wewe ni nani hata upinge mawazo ya watu kwa majina? Wao walikutaja.? Au ndo yale ya wabunge kwenda kumjadili Mbowe badala ya vifungu vinavyolalamikiwa ili hali wakijiita watunga sheria.
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
Huyu wakati wa magu alikimbia kabisa Hawa ndo wapigaji og
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 Жыл бұрын
Fatilia vizuri jamaa yupo vizuri hata kipindi cha magu tena alimpa mpka kiwanda cha ngozi morogoro...watu na chuki ndio zimetujaa
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
Magufuli alimalika Ikulu wee kma hujui nyamaza
@errydeo8865
@errydeo8865 Жыл бұрын
ongelea yaloandikwa kweny nkataba; wewe wenyewe u dont pay ushuru nani hakujui?? unaonga saaaana ; unafadhiri who doesnt know? shut up
@ramsonhudson4013
@ramsonhudson4013 Жыл бұрын
Wewe ulijua wap kuwa halipi ushuru? Siyo kila kitu unaweza kujibu ndugu yangu mengine haya just potezea tu
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
Wanaopiga makelele ya kijinga achananao wivu na choyo kinawaumiza!! MMungu atakulinda songa mbele…
@warren-zs6vv
@warren-zs6vv Жыл бұрын
Very well said, fool me once shame on you, a fool can be fool again.... wanasiasa wanaweza tumika kujenga au kuharibu nchi ... the moment you talk dirty about RA, reminisce your society impact.
@chancesholdan342
@chancesholdan342 Жыл бұрын
Wizi mtupu
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 Жыл бұрын
O
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Жыл бұрын
Wewe mwizi acha propaganda au unataka Rais Sammia akushulikie kama Yusufu Manji walivyomuadabisha mpuuzi wewe
@jonastimothy
@jonastimothy Жыл бұрын
Huna husishwa na hili kwasababu yamatendo yako
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Asee tujitahid sana kutafuta pesa,ukiwa na pesa unaweza ukazungumza chochote tena kwa kujiamini kabisa
@AbdallahMasudi-nn1ul
@AbdallahMasudi-nn1ul Жыл бұрын
Yaani ww usiseme kabisa . Unatukumbusha ugomvi wako na mengi. Acha kutia pilipili ktk kidonda
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 Жыл бұрын
Unachanganya madesa....rostam hajawai kuwa na bifu Na mengi...labda mengi n manji
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 17 МЛН