KAKA YAKE MARTHA MWAIPAJA AFUNGUKA KILA KITU KWA UCHUNGU "SAKATA LA FAMILIA HII"

  Рет қаралды 43,059

S500 TV

S500 TV

Күн бұрын

Пікірлер
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO 7 күн бұрын
Béatrice Mwaipaja haja koseya kitu chochote shida DAWA IME UMA KWENYE KIDONDA mutu aki okoka lazima aweke yote hazarani shetni apate aibu, hongera ana Béatrice Mwaipaja ku shinda shethani ✍️
@Hadia-99
@Hadia-99 7 күн бұрын
Umeweka yako yote hadharani?
@gracepittman1985
@gracepittman1985 6 күн бұрын
Amen
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 5 күн бұрын
mungu angeweka yako hadharani ingekuaje acheni kujidanganya
@SophiaPatson
@SophiaPatson 7 күн бұрын
Mungu amwinue mtumishi wa Mungu Matha amebeba Hatima kubwa sana!
@LenoxKitsao-z1r
@LenoxKitsao-z1r 7 күн бұрын
uyu ata sio kakayake martha mwaipaja linajiongelea tu.
@MamaSamKK
@MamaSamKK Күн бұрын
Mungu akubariki kaka ❤❤❤. Umenena kwa hekima, Beatrice hana siri, hata sidhani kama ataaminika katika jamii. Maana hana siri.
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v Күн бұрын
Maovu hujiweka hadharani, huwezi jua chanzo
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 7 күн бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji
@baliSkk
@baliSkk 4 күн бұрын
Beatrice hakukosea that is the begining family deliverance and martha will be delivered too
@NoahSimukoko-o7l
@NoahSimukoko-o7l 7 күн бұрын
Huyo dada Yuko vizuri anataka kuokoa roho ya dada yake
@HappinessMwaiseje
@HappinessMwaiseje 5 күн бұрын
Sio kwa style ile.
@veronicathomas89
@veronicathomas89 7 күн бұрын
Mchungaji MUNGU akubariki sana🙏
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 4 күн бұрын
Hongera sana mtumishi
@joycemwitore4375
@joycemwitore4375 5 күн бұрын
Mchungaji ukovizuri BB mungu akubariki
@revocatusmihayo3886
@revocatusmihayo3886 7 күн бұрын
Pastor uko sawa
@JosephinaNgoma
@JosephinaNgoma 5 күн бұрын
Upo vizuri kaka angu
@elizabethtimothy3947
@elizabethtimothy3947 7 күн бұрын
Kunyamaza ni ushindi tosha dada matha endelea kunyamaza🎉
@SelinaDevid
@SelinaDevid 7 күн бұрын
Asante mchungaj
@BajouNizeye
@BajouNizeye 7 күн бұрын
Kweri baba, niukweri,Beatrice arifasha makosa sanaaaa,ndugu ni ndugu tu
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema 7 күн бұрын
Mnapenda sana kuficha uchafu. Yesu alishawai ona mtu akifanya makosa akanyamaza
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 5 күн бұрын
Nijue kuwa kabla y kuwekwa waz nijue wameyaketia chin na wakashidwa saw,,,,,pia watumishi wa Tanzania tembeen kiroho
@SarahNgoy-e7i
@SarahNgoy-e7i 6 күн бұрын
Ubarikiwe
@carolinecaroline-rs7pr
@carolinecaroline-rs7pr 7 күн бұрын
Asante kwa hushauri
@MalwaSamike-hh7py
@MalwaSamike-hh7py 8 күн бұрын
Good
@ErickMakozi
@ErickMakozi 7 күн бұрын
Niko pamoja nawe ndugu. Uwo sio ushuuda, pia aupendezi Mungu. Uyo dadake Ana roho mbaya sana Beatrice. Sio vizuri kumwanika mwenzake vile.
@deborahajabushuhuda5703
@deborahajabushuhuda5703 3 күн бұрын
Pastor nakuunga mkono! Huyu Beatrice hakupata ushauri wa watumishi wa Mungu wa kweli! Hiyo siyo ushuhuda alipenda kumuharibia dada yake jina! Matha Mimi ni mchungaji Kenya ninaumia na kile unapitia, kwa kimya Kuna mtetezi ambaye hapokei rushwa, Uesu Kristu atasimama wa mwisho
@fikiriselemani100
@fikiriselemani100 7 күн бұрын
Mama kathibitisha ,ww ni kaka wawapi, ondoa njaa zako big
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 7 күн бұрын
Wanazuzuka baada ya kupata hela😢😢
@asteriakayange9556
@asteriakayange9556 7 күн бұрын
Nimekuelewa Sana mtumishi , maneno yako Yana busara Sana japo baadhi hawataelewa mpaka Yesu ataporudi mara ya pili
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 7 күн бұрын
Madhabahuni kila kitu kinapelekwa mbele za Mungu
@joycemwitore4375
@joycemwitore4375 5 күн бұрын
Hata mm siamini
@hurumakibona3687
@hurumakibona3687 6 күн бұрын
maagent ni wengi
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 5 күн бұрын
Ni ushuhuda upende usipende.Beatrice amefanya vizuri…
@AkwiliniQawoga
@AkwiliniQawoga 7 күн бұрын
Hakuna cha siri.Hii ni njia ya Mungu kuwaaibisha wanafiki ili wapate kumrudia Mungu
@AlphonceKyomo
@AlphonceKyomo 6 күн бұрын
On the day of judgment there will be many things, that every one will wonder
@GadiEdiomwakanyamale
@GadiEdiomwakanyamale 6 күн бұрын
Hawezi pata shida
@RemyEmily-l4i
@RemyEmily-l4i 7 күн бұрын
Mtaongea sana ila mwisho wa yote Yesu atadhihirisha ukweli ulipo tuache kutetea utumbo hata huyu mtumishi km kweli ni mtumishi wa Mungu bado ajitafakari amejibu kwa kukurupuka achieni Mungu kazi yake
@tezrantangeki5845
@tezrantangeki5845 7 күн бұрын
Hamjamuelewa Bite! Mchgj rudi kwny clip usikilize vzr na hasa lile suala la yule mama Nabii wa uongo!
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 7 күн бұрын
Good pastor love you sir
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 3 күн бұрын
Majibu ya swali la kwanza blanders.
@happyfrank9919
@happyfrank9919 7 күн бұрын
Mtu mwenyewe anaongea kama muha😂😂😂 Hajui hata kupangilia anachokiongelea. Aibu imewakamata. Joan toka sio kwenu unaingilia mbo ya watu umeleta ufreemaso kwa Martha toka. Beatrice hongera sana.
@GlorySakagobela
@GlorySakagobela 6 күн бұрын
Yesu tutetee
@annebernard5621
@annebernard5621 6 күн бұрын
Mambo YA family hayazungumzwi hadharani wengi yanamalizwa kimya kimya
@MathayoAlfredsaruni
@MathayoAlfredsaruni 5 күн бұрын
Pastor uko vizuri sana..but iyo ni swala la kifamilia ..hao wanasumbuliwa na wivu juu mwaipaja ameinuliwa na wao hawajainuliwa..iyo ni wivu tu
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 7 күн бұрын
Ndoa haikuandikiwa wakristo tu.yeyote Yule ameandikiwa ndoa.awe mkristo.asiwe mkristo.ndoa kwakila mtu.pili ndoa sio rahisi .nineema ya mungu Tu inatusaidia.
@DianaMrema-mu7lw
@DianaMrema-mu7lw 5 күн бұрын
Wapendwa hamna anayejua ukweli wowote, ni beatrice or martha, wana mambo yao ya ndani or la, ila neno linasema MUNGU adhiakiwi Apandacho mtu ndicho atakachovuna, uwezi kupanda mahindi utegemee kuvuna maharage, na malipo yote ni hapa dunian tunamalizana hapa hapa, mbinguni hakuna vikao, tuombe maisha marefu tutaona kwa macho yetu.
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 7 күн бұрын
Huyu siyo kaka yake MARTHA na BEATRICE wako wawili tuuu wa kwanza alifariki huyo anajiongelea tuu wala haijui familia inavyoishi
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 7 күн бұрын
❤❤❤❤
@simondismas3604
@simondismas3604 6 күн бұрын
Sioni kosa la Beatris
@machakuroger7068
@machakuroger7068 6 күн бұрын
Huyu nae sawa na Joan tu
@PatriciaChemtai
@PatriciaChemtai 4 күн бұрын
Martha chunga sana usione uko na uwezo wa kuimba ukajiunua,,,ata shetani alikuwa anaimba sana,,, na huyo Joan jaribu sana atoke kwa maisha yako ni jini kubwa amalo litakuangusha wewe nwenyewe
@eliasraphaelpuju82
@eliasraphaelpuju82 6 күн бұрын
Huyo hakili hana
@ChikondiMadaliso
@ChikondiMadaliso 8 күн бұрын
Nishetani amewavamia arafu wako kiveze zaidi. Kingine hajampokea mbwana yesu hawajiwi utam wa yesu piriwako kifeza siyo kumpenda mungu huwezi kufanya kazi ya mungu bira mume ni uwongo arafu bado ni vijana
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 5 күн бұрын
Huyu ni Pastor kweli???????
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 7 күн бұрын
Hujui maana ya ndoa
@evastoniyonzima9969
@evastoniyonzima9969 7 күн бұрын
Wewe siyo mchungaji
@songolomgallah4017
@songolomgallah4017 8 күн бұрын
Sio kweli kwamba wanawake wengi waimbaji wanaachika ila kwasababu wao wanafahamika lakini ukiangalia uharisia ni huo
@MagrethFrancis-uq4eg
@MagrethFrancis-uq4eg 7 күн бұрын
Wakati wa Mungu ni sahihi, Bitris ametoa ya moyoni na yeye ajesema amtunze ye ye amtunze mama Yao km hamtunzi amtunze
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 7 күн бұрын
Yeye Beatrice anamtunza au ni haki ya mtoto mmoja tu kumtunza wale wamekataliwa toka 1995 na ndugu zao. Warudi nyuma kwanza kwenye familia zao. Sababu hata Beatrice ni muimbaji pia asaidie mama yake kwa mfano Martha aone aibu sasa wote hamumsadii alafu unalaumu dada.
@mmangasalum2195
@mmangasalum2195 8 күн бұрын
Wewe Bado sio mchungaji,na Wala hamjamwelewa vizuri Beatrice Rudi kwenye cripu yake na umsikilize vizuri,tuzidi kuomba neema ya Mungu itusaidie maana watu wamemwelewa vibaya
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 8 күн бұрын
Muelewe mchungaji! Mambo ya familia uwezi kuyaweka kwenye mitandao
@josephlorri431
@josephlorri431 8 күн бұрын
Kila mtu amwelewe kama wewe... acha upotofu
@gidiongervas2489
@gidiongervas2489 8 күн бұрын
Shida pia wew uelewa wako mdogo
@OscarFrancis-mx7iy
@OscarFrancis-mx7iy 8 күн бұрын
Uwo sio ushuhuda ni udaku unasopoti umbea pumbavuuuu
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 7 күн бұрын
Sijui kwanini beatrice hawatak kumwelewa
@RoseFrank-g1q
@RoseFrank-g1q 6 күн бұрын
Ndo aone aibu.
@ANGELAROBERT-094
@ANGELAROBERT-094 6 күн бұрын
Naitwa Angela robat ni mwimbaji wa njimbo zainjili usiogope yatapita mungu atakuvusha apa
@DenGospels
@DenGospels 6 күн бұрын
Hero amuombeae mwingine. Afanya jambo jema
@AgrentinaKinyaga
@AgrentinaKinyaga 7 күн бұрын
Yaani haya mambo ni magumu
@BajouNizeye
@BajouNizeye 7 күн бұрын
Mitandao haiko njo itareta jibu,beatrice na Maman yake juyanini hawakwenda kwa muzazi wa kiloho wa Matha awapatanishe?jibu latatizo sio mitandaoni wa Kriso,munanja myoyo ya watu wengi sanaaa, Mungu amufundishe kweri kunyamanza Matha,kakimya Mungu akuteteye,samahani kwaki swahili,Niko mutu wa buja
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 7 күн бұрын
Eeee Mungu atuaaidke sisi ni barua Sasa ni barua ya aina Gani hii jamani inawezekana Mungu aliamua kuweka baadhi ya vitu hadhalani
@faustinelias3284
@faustinelias3284 6 күн бұрын
wwe sio mchungaji wara nabii madhabahu na ichunguze kwa jina rayesu
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 7 күн бұрын
Mtumishi nahsi hamkumuelewa Betris ule ilikuwa ni ushuhuda hebu jalibuni kusikiliza
@magdalenasirikwa517
@magdalenasirikwa517 6 күн бұрын
umesema vyema mtumishi
@mathiasmarwa8999
@mathiasmarwa8999 5 күн бұрын
Wewe ni mchungaji kweli
@estherobed8693
@estherobed8693 6 күн бұрын
Kwahiyo mchungaj ,, mama katoa pia maelezo kua vimekaliwa vikao imeshindikana thats why,,,, JE ni vyema anavoacha huyo joan kufikia hatua ya kumtusi mamaake?? Hata wagomband vip mama ni mama unamsaidia mtu bak mama unamwacha mfsyuuuuuu we nae bure tu hata iweje mamaangu cwez acha kumsaidia, labda aniue
@MwasitiMasoud-j8j
@MwasitiMasoud-j8j 5 күн бұрын
Wewe pepo
@irenenjeri6609
@irenenjeri6609 7 күн бұрын
My question is martha anaishi na huyo joan kama nani kwake? I hope it's not what am thinking, there's a very BIG RED FLAG THERE YOOO, and there's is something so fishy going on with those 2, but our GOD JEHOVAH can never be moked everything will come to light, because JEHOVAH HIMSELF created The Light.
@YusterUliza
@YusterUliza 7 күн бұрын
Exactly
@DenGospels
@DenGospels 6 күн бұрын
Mh
@MoshyMichael
@MoshyMichael 4 күн бұрын
We humorless unajipendekeza kwa math
@MagdalenaSamuhenda
@MagdalenaSamuhenda 6 күн бұрын
Ni ukweli si vema kusema mambo ya familia. Migogoro ya familia ni ya familia. Watu wote wanamigogiro.
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 6 күн бұрын
Amna kitu hapo
@NickmbeckNkinda-z3g
@NickmbeckNkinda-z3g 6 күн бұрын
Jifunzeni kupenda wa nyumbani mwenu
@SemeniModo
@SemeniModo 7 күн бұрын
Wewe ni mbwa tu kama wangeuwana bila kuyasema haya ungesemaje
@allymwotela4224
@allymwotela4224 6 күн бұрын
Huyu ni kaka yake jamani Au ndo uchawa hata kanisani
@OnesmoKanyanka
@OnesmoKanyanka 6 күн бұрын
Martha ndo anamatatizo
@AntonySimoni-b2h
@AntonySimoni-b2h 7 күн бұрын
😮
@BajouNizeye
@BajouNizeye 7 күн бұрын
Irikuwa mambo ya familiya,Matha anyamanze tu
@furaha7154
@furaha7154 6 күн бұрын
JE BEATRIGE KASEMA KWELI AU KASEMA UONGO?KWA VILE JAMBO NI MUDA MREFU BASI BEATRICE HAKUKOSEA
@ScolaMussa-il4fs
@ScolaMussa-il4fs 7 күн бұрын
Betric Yuko sahihi pengine limeshindika ndy maana ameleta pabric ko yupo saw anahitaj kusaidiwa
@happyelia-r3w
@happyelia-r3w 7 күн бұрын
Wewe hujamuelewa Beatrice Rudi kwenye mazungumzo yake vinginevyo unajipendekeza kwa Martha, kwendraaaa...
@BaadayazkFalaja
@BaadayazkFalaja 5 күн бұрын
Mathar mxaidii mama tu mama hata awe mchawi awe mwehu atabaki kuwa mama yako mxamehe na umuxaidie
@HappyNass-mu3lu
@HappyNass-mu3lu 7 күн бұрын
Mchungaji wa hoyo sana
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 7 күн бұрын
Mchungaji wa hofyo uyo
@nusraKaneza
@nusraKaneza 7 күн бұрын
Nakuunga mkono baba
@samuelpaschalofficial5557
@samuelpaschalofficial5557 7 күн бұрын
Umenimalizia mb tu
@jovithageorge8220
@jovithageorge8220 7 күн бұрын
Huyu siyo mchungaji
@law93king
@law93king 8 күн бұрын
mchungaji kanjanja anahojiwa na mtangazaji kanjanja
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 8 күн бұрын
Kweli hiki kichanel ni chamchongo namtangazaji wa mchongo pia huwa mchonganishi namuonaga kila wakati anamhoji magoma upuuzi mtupu
@PATIENCEKIRINDIRO
@PATIENCEKIRINDIRO 7 күн бұрын
Martha Mwaipaja asione umaarufu wake Ila ajuwe kama mama ndiye Mungu wake chochote ana choweza kusema kita mukuta maana ni Mungu ame mupa mamlaka muzazi, uki ona mamake Martha Na Martha kiukweli âme fungwa Hana roho ya kiutu, mupaka ame mukana mama ni laana, INAFAA NINI KUPATA DUNIYA UKOSE MBINGU? Ukweli una uma Ila Martha atafute mama ukiona mama ya Martha UTA towa machozi
@Isack-b9k
@Isack-b9k 7 күн бұрын
Mchungaji wa mchongo et kwao wachaw au hawamtaki wakat anaolewa hakujua katika maono ambayo mnatuambia Mungu kaonesha niolewe na mume flan ,tupe neno acha porojo
@KisaMasudi-ky1cm
@KisaMasudi-ky1cm 7 күн бұрын
Ukiona hivyo jua yamezidi ila Beatrice hajaongea vibaya wewe a uncle unaongea tu kwa hiyo na mama yake mbona kaongea kama bite acha wewe
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 6 күн бұрын
Ndio mnampotezs Martha badala ya kumsaidia
@charlesbabag1424
@charlesbabag1424 7 күн бұрын
Huyu jamaa si ndio anahubiri pale mbezi mwisho😄😄😄
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 7 күн бұрын
Safi mchungaji
@HildaMhando-g3p
@HildaMhando-g3p 6 күн бұрын
Kaka ww mzima kweli mana kama mama amekubali alie mzaa matha SS ww ni nani
@EuniceMangi-i4q
@EuniceMangi-i4q 2 күн бұрын
Beatrice alikua amechokeshwa na mzingo uliokua moyoni mwake akaamua kuushukisha sasa nyinyi mpende msipende yeye bora ako huru .
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 7 күн бұрын
SIO KAKA HUYU UNADHANI UNGEKUWA WEWE NDIO MAMA UNGEJISIKIAJE? TUONDOKEE
@BajouNizeye
@BajouNizeye 7 күн бұрын
Iko kweri baba, shetani arimutega nyala beatrice,na Maman hangefanya hangesema ivo mitandaoni,angemufichiya basi Matha,yarikuwa Hayako mambo yakusemeya kumitandao,munamushusha urimwengu muzima sanaaa mumekoseya,wahenga wanakata Hadisi mtoto anauwa ,lakini Mama Huawi,
@DativaDaud
@DativaDaud 2 күн бұрын
Kweli la ndoa mwachie yeye
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 7 күн бұрын
Waimbaji wakike wengi ni makahaba
@AnnaliceKokuKayungi
@AnnaliceKokuKayungi 7 күн бұрын
Kuhudumia wazazi ni lazima na muhimu kibiblia. Lakini bado Beatrice amekosea sana, kumtuhumu dadake, na hicho alichokielezea sio ushuhuda wa kujenga, alikuwa amejaa uchungu tu moyoni akaongea kwa uchungu lakini sio ushuhuda wa kujenga. Alitakiwa aelezee level ya elimu aliyoifikia na namna Mungu alivyomvusha kufika hapo. Kuna mapungufu mengi katika hii story yake. Joan naye kaharibu, hatakiwi kuingilia. Mungu ataitolea jawabu hii issue!!
@YusterUliza
@YusterUliza 7 күн бұрын
Beatrice hana kosa jmn ule ni ushuhuda anachopigania yeye ni ukomboz ktka familia yake iliyoingiwa na giza na ili ukomboke au upone ni lazma ugonjwa uwekwe peupe ndio tiba ipatikane eleweni bite yupo rohon zaidi akin watu mnatafsiri kimwili et kamzalilisha dadaake kivip
@TYN-o1r
@TYN-o1r 7 күн бұрын
Kweli, ni kujiosha yeye na kumpaka dadake uchafu , kila mchungaji angeandika mambo ya waumini on Internet mhhh
@toney..
@toney.. 7 күн бұрын
Yesu alik ya anahudumia baba ake ?😂😂yesu alijibuje kuhusu baba yake na mama ake? Daudi? Yusuf? Seleman? Abraham? Usilazimishe mtu ahudumie familia kila mtu atafanya kwa utashi wake biblia haijatuforce kusaidia ndugu na wazazi huo ni utu binafsi…ila biblia inamlazimisha mzazi kumsaidia mtoto…biblia imetuambia tuheshimu wazazi wetu sio tuwanunulie magarvkama yetu 🤣🤣
@YusterUliza
@YusterUliza 7 күн бұрын
@toney.. kinachowaumiza ni kwamba ndugu yao kafungwa na miroho ya kipepo na sio Mali anahtaji ukombozi jmn elewen hilo
@PatriciaChemtai
@PatriciaChemtai 4 күн бұрын
Kumaniisha huyu pia hamsaidii mama yake ,,,Wana Hila Hawa
@aishaz1
@aishaz1 7 күн бұрын
Wewe si mtumishi niwaokota sadaka za watu😂
@aishaz1
@aishaz1 7 күн бұрын
Mama ameogea ukwel asaidiwe ju ata mtoto wake amtaki akunashida atapata mlitaka anyameze sikwel mama ndio amamaliza yote chuki gani na mama ameogea yote msikilize mama wacha kupadisha presha mzeee
@felistermsigala-ew5jy
@felistermsigala-ew5jy 7 күн бұрын
Tumishi kumbuka kuwa asiyewajali wa nyumbani mwake ni
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
IBADA TAKATIFU YA KUMUAGA NORBERT GODFREY MSHANGA-ROMBO KILIMANJARO
2:33:15