SABAYA AMTAJA RAIS SAMIA BAADA YA KUACHIWA HURU, "AMEFANYA KWA WENGI, ALIWEKA MFUMO"

  Рет қаралды 123,091

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 250
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote. Mungu sio athumani.
@granciamsanisa5369
@granciamsanisa5369 2 жыл бұрын
Sabaya Mungu anakupenda alitaka utambue ukuu wake wakati wa Shida na Raha Barikiwa.
@upendooffice2342
@upendooffice2342 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana sabaya mtu wa Mungu na hakika maajabu makubwa Mungu ametenda na ataendelea kutenda muijiza juu ya sabaya🙏🏾
@evalinemgendi2418
@evalinemgendi2418 2 жыл бұрын
Tumshauri tuu awaombee maadui zake na awasamehe
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Nashukulu mungu sana kiukweli sabaya Alikuwa ananipa mawazo sana. Nashuku mahakama na mmsamia pia.sabaya mungu akulinde usiku na mchana
@MaaneML
@MaaneML 2 жыл бұрын
Mungu ndiye hakimu wa kweli. Kama ulitendea watu mabaya utakutana nayo katika lango la Mbinguni. Ukatubu na utubu Sana. Huruma imepita tu hapo na usijidai kuwa umeshinda. Mshukuru Sana Mh. Rais kwa huruma yake. Ukimtaja Mungu mtaje kwa ukweli Pasi Shaka. Tafakari Sana ndugu Sabaya.
@modetheo5182
@modetheo5182 2 жыл бұрын
kwani wewe ni mkamilifu acha Mungu amefanya kazi yake.
@andrewmachibya3170
@andrewmachibya3170 2 жыл бұрын
jee wewe nj mungu jee wewe mkamilifuuu jeee unauhakika na hayo ni kweli aliyatenda ama hakutendaa
@devothangondy4322
@devothangondy4322 2 жыл бұрын
Nakuombea kaka angu sabaya Mungu akuponye na uwo uvimbe kichwani
@rosemongi5273
@rosemongi5273 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana siku zote na njia zake hazichunguziki,usiogope Sabaya mtumain mungu na mkabizi njia zako zote yeye atafanya,usimwache mungu nakusihi hata upitie magumu yanayo tisha wewe simama na mungu tu.
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni akubariki Sana Sabaya
@fraviansweetberty8819
@fraviansweetberty8819 2 жыл бұрын
Da!!!!!!!!!! Mungu Ahsante kwa kumfunguli Sabaya njia
@odethadismas1410
@odethadismas1410 2 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa neema yake, hadi viongozi hawa kuachiwa huru kupitia mahakimu wenye hofu ya Mungu iliyowaongoza kutenda haki kwa viongozi hawa, ndugu zangu watanzania hakuna mwanadamu aliyekamilika siku zote tutubu na kumrudia Mungu.Tusiwe wenye visasi,kisasi ni cha Mungu pekee, sabaya mshukuru Mungu kwa mema aliyokutendea na usimwache kamwe.
@felixmsale9244
@felixmsale9244 2 жыл бұрын
Hivi ungekua ni yule aliyekatwa masílkio ungejisikiaje??? Ungesamehe tu uendelee na maisha bila masikio?au mke wako amebakwa au wewe mwenyewe ulibakwa ungesamehe tu na maisha yaendelee?
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
@@felixmsale9244 acha unafiki nasema acha unafiki mbona waliyo muua braitoni huku WAMEJIVALIA UNIFORMS ZA CHAMA CHAO MAISHA YAO YA NAENDELEA NA UNAJISIFIA VIZURI? CHUKI TU ZIME KUJAA KUTAFAKARI DHAMBI ZA ADUI YAKO
@felixmsale9244
@felixmsale9244 2 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Hata hilio sio sahihi .Nachosema mimi dhambi inasamehewa na kitubio.na Dunia ya maendeleo inatawaliwa kwa HAKI NA SHERIA hivyo DHAMBI yyte inasamehewa na KITUBIO .hata kwenye vitabu vya Dini vinasema Hivyo.hivyo sidhani kama unatumia Lugha sahihi kuongelea juu ya Unafiki .Hakuna binadamu anayestahili fadhila /Ubora /heshima kuliko mwingine.Binadamu wote wameumbwa kwa Nyama na Damu.na wana Utashi na Hisia Hivyo tunachapashwa kupigania ni Utawala wa SHERIA na HAKI .ktk Ujenzi wa Jumuia bora Kila siku ikuchayo sio kosa wala unafiki binadamu kua Na mawazo tofauti.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Ongera sana Rais wangu Samia mungu akubali sana umekuwa na Moyo wa Huruma na kuwatoa watu hawa,akina Mboe uliwatoa na leo hawa.Akuzidishie Samia.👍👍👍❤❤👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
na uwamsho tuu pia kawatoa yule jinamizi Magufuli aliwafunga mpk Samia amefanya ubinadamu mn wale ndo walikua hawana makosa haswaaa
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 Jamani, UAMSHO walifungwa na JK na si JPM. Ilikuwa 2013, rais alikuwa nani?
@devothangondy4322
@devothangondy4322 2 жыл бұрын
Kama kweli haukuwa na makosa Mungu akulipie kisasi kwa adui zako wote ktk mashabiki wako pamoja na mimi nakukubali sana, niliumia sana lakini Mungu ametenda muujiza
@suzymasawe8666
@suzymasawe8666 2 жыл бұрын
Mimi mwenyewe nilimtetea sana mtaan kwetu mimi n wa hai sikuamin kilichomtokea mungu awalipie
@fanuelykitambule5542
@fanuelykitambule5542 2 жыл бұрын
🙈🙈🙈
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 жыл бұрын
@@suzymasawe8666 alikuwa anafikia kwake na kumulekeza wabaya wako wanakoishi ili wasurubiwe na were second degree offender pamoja na kuachiwa kwa rafiki kiaina
@luciamsabi1131
@luciamsabi1131 2 жыл бұрын
Tunamshukru Mungu kwa hatua hiyo,ni is ishara njema,kijana wetu,SHIKAMANA SANA NA MUNGU,na Mungu atakuonekania
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 2 жыл бұрын
Nyie watanzania😭😭😭😭😭asante MUNGU kwaajili ya Sabaya
@ynyynyyny
@ynyynyyny 2 жыл бұрын
Pole Sabaya, kijana mdogo sana imeniuma
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
Asante kwa Mungu🙏 ametenda yalikua ni maaombi yangu, Mungu aingilie kati kuhusu huyu Kaka, hakuna mkamilifu duniani
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
Haya ndugu zetu na chama chenu kipya ni UMOJA Party haraka sana chukueni kadi zenu mapema kimya kimya #tukutane2025
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 жыл бұрын
Hebu rejea
@salamanhonya9677
@salamanhonya9677 2 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa Amàni ya Tanzania. Mama Yetu, Raisi Wetu Endelea kusimamia Haki Tanzania. I love you MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. Mama Mpenda Haki na Amani. MUNGU IBARIKI Tanzania MUNGU IBARIKI Afrika
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Amshukuru rais kwa kumuonea huruma hakuna Cha mahakama
@tato8979
@tato8979 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema 🙏🙏
@joackimondara4565
@joackimondara4565 2 жыл бұрын
Mungu anakupenda sana,,Sasa ukamtumikie Mungu ikibidi hata use Mchungaji.
@bashiruamri2167
@bashiruamri2167 2 жыл бұрын
Sabaya sabaya sabaya,nimekuita Mara tatu nataka nikwambie kuachiwa kwako nimachozi na maombi ya watu kwa mungu Mimi naishi mkoa kagera lakini pamoja nakuchafuliwa kwako watu tulikuwa hatuamini Asante mungu
@humphreysangito3099
@humphreysangito3099 2 жыл бұрын
Umeshinda na unaendelea kushinda.Mungu akubariki mnoo
@mercypeter162
@mercypeter162 2 жыл бұрын
Hallelujah MUNGU ametenda nenda ukawe thahabu safi kwa jamii Na watanzania tunawapenda
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 жыл бұрын
Mungu kasimama na sabaya na wenzio🤲🤲🤲
@lilianhigilo2527
@lilianhigilo2527 2 жыл бұрын
Mungu ni Mwema.Nimefurahi sana
@salamanhonya9677
@salamanhonya9677 2 жыл бұрын
Pole kaka. Endelea Kumtumainia MUNGU.
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
AMINAAA SANAA.
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 2 жыл бұрын
Kama mashitaka sabaya wenzake yalikuwa ya ni ya uongo ,basi haki imetendeka lakini kama mashitaka hayo yalikuwa ya kweli MUNGU ni mhukumu wa haki.
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 2 жыл бұрын
Kongore Sana kijana Sabaya, wahurumie wote waliokuumiza.
@brigmtafutanjia4561
@brigmtafutanjia4561 2 жыл бұрын
Hakika Mungu unastahili !
@harunarashid6404
@harunarashid6404 2 жыл бұрын
Ahsante🙏🏿 mungu
@SaidCannal
@SaidCannal Жыл бұрын
Kwa maelezo yao nami pia naunga hoja kumshukuru sana Rais kusimamia haki , wakati wa ukuu wa wilaya nilimfuatilia sana Sabaya alikua KIONGOZI mzuri wa kufuatilia shida za watu na kuwabana wakwepa kodi , nadhani ni Fitina za wahujumu nchi waliobanwa na Sabaya ndio hawakumpenda, lakini Mungu ameona na sharia imeona ndio maana mahakama ukiacha ya kwanza zilizofuata Mungu amezielekeza , Sabaya ni kada mzuri aliyefanya kazi Bila woga,
@salomeyuvenali3700
@salomeyuvenali3700 2 жыл бұрын
Mungu mbariki kijana wetu🇹🇿🙏
@bernadette6266
@bernadette6266 2 жыл бұрын
Thank you so much God is good
@blandinalukole5535
@blandinalukole5535 2 жыл бұрын
Sabaya sikufaham ila Mungu wangu wa mbinguni anajua furaha yangu kwa kutoka kwako. Mtegemee Mungu siku zote za maisha yako
@johasaeed391
@johasaeed391 2 жыл бұрын
Kwani alifanya nini huyo jamaa
@dominickndomba4474
@dominickndomba4474 Жыл бұрын
Pole saaaaana SABAYA hayo ni mapito tu AMANI KWAKO
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 жыл бұрын
Viva sabaya
@anashabani5785
@anashabani5785 2 жыл бұрын
mungu amlinde raisi wetu
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 2 жыл бұрын
*Mungu awalinde asante sana Mungu*
@nancymwangi7926
@nancymwangi7926 2 жыл бұрын
huyo tajiri aliyewabandikiza kesi ashughulikiweeeeeeeee
@jimj8285
@jimj8285 2 жыл бұрын
Weeeh weeeh Nancy weweee!!! Jifunze kufua chupi zako ukimaliza kutombwa!!! Coz wewe unakojolewa ukitombwa then unaendelea kuvaa chupi yako wiki nzima! Unanuka bwaaaNa!!! Then Acha kujitia vidole kwenye Kuma na kuinusa nyau weyee!!!
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Jmn wametoka kweli? Dah wamesota Sana Sana polen sana
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Asante mungu wa haki umewatetea watu wako,🙏🙏
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Kama ulifanya hayo ukome maana duniani tunapita cheo ni dhamana
@mamapeace6730
@mamapeace6730 2 жыл бұрын
Poreni kaka zangu mungu ni mwaminifu mungu ni wawote siku zote
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 жыл бұрын
Sasa Apo ndo mjifunze kua ukipata matatizo wanao kuja kulia ni masikini na siyo tajili viongozi muajali sana wananchi jeshi la wananchi ni kubwa one love
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Nilikuwa naumia Sana huyu yaani Sisi tuliyozaa watoto wakiume tunachangamoto kubwa sana
@johnonkoba740
@johnonkoba740 2 жыл бұрын
I'm soo much happy too
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
😭😭😭dunia ina watu wabaya sana , sabaya Mungu ni mwema
@mahonameshack4196
@mahonameshack4196 2 жыл бұрын
Asante MUNGU
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 2 жыл бұрын
Mkatende mema sasa Looks like Rais amehusika kutoka kwenu sina hakika hizi shukrani kwa Rais zinasemwa tu Moyoni mwenu mnajua mlichokifanya kipindi cha utawala
@adamsanga062
@adamsanga062 2 жыл бұрын
Sabaya anajua Hindi alivyo umiza watu kwa kunivunja yupo mungu mtu
@aminamnega1778
@aminamnega1778 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Magufuli alimponza Sabaya.. Hizi kinga mnazoweka kwa rais alafu wanaotumwa wao hawana kinga. Sabaya ubabe uache na kama hutajifunza basi utakua sikio la kufa.
@muhammedsuleyman6501
@muhammedsuleyman6501 2 жыл бұрын
Si alijua atakaa milele madarakani
@wardw3022
@wardw3022 2 жыл бұрын
Hii kesi ilibidhi ishe ikiwa ya mbowe iliisha hii nayo pia ilfika kikomo
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
huyu jamaa enzi za Magufuli alijiona mfalme sana akiwatesa sana wapinzani kupitia ukuu wake wa wilaya
@prosperitymaarifa1336
@prosperitymaarifa1336 2 жыл бұрын
Acha hizo na wewe..
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
@@prosperitymaarifa1336 ubabe wake ulikuwa huuoni? au kwakuwa ni mwana ndugu wa sabaya
@godblessjrtz.8652
@godblessjrtz.8652 2 жыл бұрын
@@ramadhanmahongole5663 peleka ushahidi zwazwa wewe
@kichwachafamilia
@kichwachafamilia 2 жыл бұрын
🙏🙏
@gracemima5234
@gracemima5234 2 жыл бұрын
Natumaini serikali itamulipa Sabaya kapsto yake Sabaya Kama alivyolipwa Tundu Lisdu na Gaudí Mbowe
@godsonlaizer1988
@godsonlaizer1988 2 жыл бұрын
Si fedha Wala werevu wa mawakili Bali ni huruma tu ,namaadui walokufanyia hayo usiwahukumu kwa hayo ,Bali wasamehe na kuwaombea rehema ,kwa kufanya hivyo mungu atakuinua tena ,
@jamesswai6583
@jamesswai6583 2 жыл бұрын
Hapo kwenye kichogo vp tena sabaya. Pole sana. Ata kama utatoka lakini unaujua ukwel.
@mussaissa6796
@mussaissa6796 2 жыл бұрын
Hakuna lolote Hili jamaa leua watu wengi sana Na kubaka wake zao huku waume zao wakilazimishwa kuangalia Kama kwa sababu ya uccm mmeliachia Mungu hatoliachia Kabisaaaa
@devothangondy4322
@devothangondy4322 2 жыл бұрын
Kwa kweli nimefurahi sana sana, Mungu alipe kisasi kwa adui zenu
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 2 жыл бұрын
We Hujui hao walio umizwa walivyolia haki zao kudhulumiwa. Yani we unaona ni sawa?😃😃
@justinemico1871
@justinemico1871 2 жыл бұрын
Poleni Sana washtakiwa wa kisiasa Baada ya yote mkaishi Maisha mema. Vinginevyo viuno vyenu havitatumika nadhani mmeona wenyewe wakuu.
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 Жыл бұрын
TEHEHEHEEEEEE😂!!!
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Hakuna Jina lingine Ila Jina lako YESU.,MUNGU upo na unaishi hujawahi kushindwa..
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Alhamdulillah
@einotikisivani9447
@einotikisivani9447 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@stevenkisinda2904
@stevenkisinda2904 2 жыл бұрын
Mungu mtenda miujiza na azidi kushukuliwa
@AzabeOficial
@AzabeOficial 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana Kuona Sabaya Amegunguriwa Jala siyo mahari pazuri
@alsonsemoka5019
@alsonsemoka5019 2 жыл бұрын
Ashenalee
@jackmsuya6842
@jackmsuya6842 2 жыл бұрын
Asante mama samia
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 2 жыл бұрын
Mahakama imemaliza kesi lkn mbadilike na muombe toba kwa mwenyezi mungu
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 2 жыл бұрын
Wamshukuru raisi alieamua watoke...lakini hukumu ya mungu inshaallah iko pale pale lazima waangaamie...sabaya alijifanya mungu mdogo...aliowaumiza lazima mungu awalipie
@shabidenis5424
@shabidenis5424 2 жыл бұрын
Hukumu ya mungu haina nguvu, ila Mungu ndo kaamua waachiwe huru hivyo Mungu ni mkubwa kuliko mungu wako
@musasalum2873
@musasalum2873 Жыл бұрын
Chama kimemlinda n kumpa fundisho she kuongea na clouds
@hamadlucago8951
@hamadlucago8951 2 жыл бұрын
Mungu mwema ssna
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 жыл бұрын
Mungu ndiye anayejuwa
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 2 жыл бұрын
Rais hatoi haki ila mahakama
@manasekabusha7180
@manasekabusha7180 2 жыл бұрын
asante tusie kujua ametenda tusio yajua
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 жыл бұрын
AMINA SABAI MSHUKURU MUNGU WAKO WA MBINGUNI NDIO KATENDA NI MUNGU KAKUTENDEA NAMI NAMSUKURU MUNGU ALIIEWATENDEA MUUJIZA.
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 жыл бұрын
Ujumbe mtegemee Mungu kwa kila jambo, Mungu amekusamehe na amekukumbuka, usimwache, unapendwa na Mungu kaka
@Electri-ambi
@Electri-ambi 2 жыл бұрын
Hatua alizopitia huyu brother zinatosha kujua maisha ni ya namna gani na nni maana ya maisha
@husseinkhaji895
@husseinkhaji895 2 жыл бұрын
Mwaka ni kidogo sana
@boscomwangosi1042
@boscomwangosi1042 2 жыл бұрын
Ndio ujuie hata wale tunaowaamini kusimamia haki ni sehemu ya kutunga kesi za uongo na ngumu kwajili ya kuwafurahisha watu wenye pesa,lkn wanasahau kua MUNGU yupo anaishi
@yeunhiasrwetze8377
@yeunhiasrwetze8377 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏#sabaya kaupga mwing
@jacksongabriel4693
@jacksongabriel4693 Жыл бұрын
Mungu mwema
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Hukumu ya wanadamu na ya Mungu tofauti maana Mungu anajua kweli
@hildaeliapenda3938
@hildaeliapenda3938 2 жыл бұрын
Mungu Ametenda Muamini Mungu hakuna gumu lolote lile Asiloliweza
@robertkusena4902
@robertkusena4902 2 жыл бұрын
Hakna haki hApo raisi amektoa sabaya ila Mungu anajua kwa upuuzi wako
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Lesson learned.
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 жыл бұрын
Safi sana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 жыл бұрын
Mungu mwema kuweza kuwezesha Sabaya kutoka ndani.kwani mtu anaheshimi kesho yake yule aliye muweka hayupo na wewe unawekwa ndani hii yote ni kuwa na KATIBA
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 жыл бұрын
Naona kama naota sabaya kuachiwa hulu nolikuwa naumia jamani. Asante mahakama
@newmulendastudio9935
@newmulendastudio9935 2 жыл бұрын
Hongera
@ntopangonyani6964
@ntopangonyani6964 2 жыл бұрын
Yaani huyu jambazi anaachiwa huru kweli, huyu amebaka, amepora na kudhulumu. Ila Mungu yupo na hulipa hapahapa duniani, huyu amewabambikia watu kesi, ameharibu mali za Mbowe kwa hila leo hii anaachiwa.
@hassankatema2574
@hassankatema2574 2 жыл бұрын
Toa ushahidi wewe fala sio unaropokaropoka tu kwa sababu una bando#mfu
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 2 жыл бұрын
@@hassankatema2574 kabisa atoe ushaidi kama anajua. Mungu pekee ndo anatoa hukumu
@husseinmaula5960
@husseinmaula5960 2 жыл бұрын
Samia ni Raisi mzuri sana hata sisi tuliokua hatuipendi ccm tumekua wakereketwa kupitia yeye naamini hata wasiomuelewa watamuelewa taratibu kadri siku zinavyokwenda.
@194summer
@194summer 2 жыл бұрын
Mkishapaga shida ndio mnajuaga kuna Mungu
@malindisamwel7630
@malindisamwel7630 2 жыл бұрын
Ameeeee
@rebekamwambatata9512
@rebekamwambatata9512 2 жыл бұрын
Poreni.na.ongela.sana.kaka.zangu.mungu.awalinde.
@M7-Band
@M7-Band 2 жыл бұрын
Kwa style ulivokuwa unapambana na mawikili wa serikali,nilijua hapa hamna kitu,Ila nimekukubali Lengai
@sarahmgaya4870
@sarahmgaya4870 2 жыл бұрын
Dah Mungu ni mwema kajibu maombi yenu
@selinamichael6504
@selinamichael6504 2 жыл бұрын
Umkumbuke MUNGU mpaka utakapokufa na usimwache MUNGU kakangu na uwasaidie watu.MUNGU amekusaidia ukamtumikie tena.uwe mwaminifu kwake kwani tulikuombea kwa MUNGU msamaha Kam Kuna mahali ulikosea akusamehe na awasamehe wote na awakumbuke.nanyi pia msisahau kuombea wenzenu.nausifanye kisas kwa yeyote aliyekuudhi ukiwa katka kesi yako.na uwambie na wenzako Kwan MUNGU anaona.samehe wote na muwe na aman nao.kwan MUNGU anapenda anayesamehe nae anamsamehe kakangu.mbarikiwe!!!
@marwamaisa659
@marwamaisa659 2 жыл бұрын
Hilo nifundisho kwa viongozi ambalo linakuwa kama mfano kuwa hapa tz hakuna mtu ambayee yuko juu ya shelia leo kwako kesho kwangu viongozi wameona mfano hai.
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 2 жыл бұрын
Nashukuru mungu
@salcle9702
@salcle9702 2 жыл бұрын
Nyie kupitia hapo ni sehemu yenu ya maisha ilisha pagwa na mungu ili mjifunze kitu kwenye maisha na iwe funzo kwa wengine pia.mshukuruni mungu kwani bila yeye hiyo furaha msinge kuwa nayo leo
Հարցազրույց Արամ Սարգսյանի հետ
35:31
Լուրեր
Рет қаралды 101 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
VURUGU ARUSHA BARABARA ZAFUNGWA.
0:57
Millard Ayo
Рет қаралды 4,5 М.
SABAYA ACHANGANYIKIWA NA MASWALI MAHAKAMANI/ AKIRI KUMILIKI SILAHA
6:06
Zelensky is ready to talk with Putin / Border closure
13:18
NEXTA Live
Рет қаралды 687 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН