SAFARI YA DKT. TULIA ACKSON KUTOKA KUTOFAHAMIKA MPAKA KUWA SPIKA WA BUNGE..

  Рет қаралды 5,124

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SAFARI YA DKT. TULIA ACKSON KUTOKA KUTOFAHAMIKA MPAKA KUWA SPIKA WA BUNGE..
Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ndiye spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Ameshinda kwa asilimia 100 ya kura 376 zilizopigwa na wabunge Februari Mosi, 2022 baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kutokana na aliyekuwa spika, Job Ndugai kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022.
Mchakato wa kumpata spika mpya baada ya Ndugai kujiuzulu, ulianza ndani ya chama chake cha CCM ambacho kilimpitisha kwa kauli moja chini ya mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 4
@frankmwalingo1632
@frankmwalingo1632 2 жыл бұрын
Hongera mama sasa najinoa zaid kwenye mchezo wabao kama nilivyokuwa bingwa pale Ruanda nzovwe tunakutakia maisha marefu yenye mafanikio,mbeya hoyeeee
@jacobnduya798
@jacobnduya798 2 жыл бұрын
Nakiri tu kuwa huwa namkubali(kumpenda) Dr tulia Askon, nimempendea tu busara yake aliyonayo.
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 2 жыл бұрын
Tulia, tulia tu; umo safarini kuelekea wadhifa wa juu kisiasa nchini!
@jambo3751
@jambo3751 2 жыл бұрын
Hahaha SAMIA TULIA MIPANGO MAJAALIWA.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 43 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 48 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 186 МЛН
RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA
3:00
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 785 М.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН