"SAFARI YA MATESO": NILIZAMIA SOUTH AFRICA KWA MIGUU/ NILITEKWA NJIANI/USIKU/ NILIJUTA (S02EP02"A")

  Рет қаралды 25,967

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Malume...Kijana wa kitanzania anae jaribu bahati yake maishani kwa kufanya safari ya kuingia nchini Afrika Kusini kwa magendo, safari inayo mgharimu na kuacha kovu lisilofutika maishani...... karibu hii ni MBANGA
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Baharia #Kuzamiasouthafrica #Mbangastoriyangu

Пікірлер: 33
@faiongala3012
@faiongala3012 3 жыл бұрын
Jaman katika kutafuta pesa na kusafiri nchi za watu ni kazi sana tunaenyeka sana Ila ukiwa bongo unaona uku Tuna enjoy Ila sio kwel ni Bora ukiwa nchini kwenu uku watu wanakufa vibaya jaman Ila kwenye kutafuta kuna mengi utapitia Ila mm na muamini mungu
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
kabisaaa,Mungu Atusaidiye
@chuseruna5344
@chuseruna5344 3 жыл бұрын
Mikocheni tanzania aaaaaah kwaivyo kijichi kenya
@abdullahsaidi8009
@abdullahsaidi8009 3 жыл бұрын
Sio baaria kwa mtazamo wangu
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 3 жыл бұрын
Yeah..🔥🔥🔥kwa hewa
@amanisoli874
@amanisoli874 2 жыл бұрын
Daaah ninoma kuna home boy yupo hapa captwon kushayangena
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 жыл бұрын
Twende kazi
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 3 жыл бұрын
Watu wanapitia mengi duniani
@nahishakiyeassuman5541
@nahishakiyeassuman5541 3 жыл бұрын
Bob Kate namuomba mlete bwna brother
@AjsProSigns
@AjsProSigns 3 жыл бұрын
Mimi nimesafiri pia. Nikiisoma sura ya huyo jamaa anaonekana mlaini sana kwa maisha ya South ndomana anatoboa toboa siri
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 жыл бұрын
Kuma huyo jamaa
@isunga1964
@isunga1964 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣umenicheka sana jamani sisi tupo huku UAE tunapambana hakuna kutaka tamaa
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
Maisha tu
@AjsProSigns
@AjsProSigns 3 жыл бұрын
mikasa tuliyoupata sisi mtaandika episode mpaka mchoke. Unapoenda sauzi huna hata mtaji unategemea kukomaa na sio kutegemea kula kuku bure
@chuwimkali547
@chuwimkali547 3 жыл бұрын
Kijichi nnje ya dar salaam aw kijichi dar salaam
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
Huyu ni mwendawazimu hajielewi
@felipoaugustino1714
@felipoaugustino1714 3 жыл бұрын
Andika hui ni namba moja au mbili ss hatuekewi ya mwanzo au y’a pili
@babueric
@babueric 3 жыл бұрын
august keriz comedy watched
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 жыл бұрын
tupo pamja sana wa kuchechemua tupo na wachechemuaji wenzetu
@mammam4701
@mammam4701 3 жыл бұрын
Balia mshamba 😁
@jacksonmodesty9504
@jacksonmodesty9504 3 жыл бұрын
Imeishia pazuri
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 жыл бұрын
Stori haina mvuto!! 7bu msimuliaji yupo slow na anarudia rudia maneno, na hawezi kufupisha" sentence"
@theoriginals3240
@theoriginals3240 3 жыл бұрын
We mtangazaji unaongeaga sana, yaan unaboa kinoma
@musamwibela1179
@musamwibela1179 3 жыл бұрын
Kwel aseee anaonges sana
@ashaabdallah9672
@ashaabdallah9672 3 жыл бұрын
Unapo muhoji mtu tafuta sehem ambayo haina makelele kwa nn usimuhoji ndan ya gar yko ukataguta sehem iliokuwa afazl haina makelele ilo ni wazo langu Mimi tu
@shukunyoni6865
@shukunyoni6865 3 жыл бұрын
Yan jino lazima wakutoe
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 3 жыл бұрын
Huyo mnaume baria alikuwa Yusufu bin Ambari? Mke wake ni To ?
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
We reporter uko na ugonjwa wa akili kijichi ni nje ya Daresalaam?
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 3 жыл бұрын
😄😄 sasa kwani ni katikakati ya mji. 😆😆
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Nini maana ya Kujikonekt na aidias? Tufafanulie sisi washamba
@ahmadkasika7114
@ahmadkasika7114 3 жыл бұрын
Kujionganisha mawazo mbalimbali
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 жыл бұрын
huyu baharia gani mshamba!!!??
@josephstephen2047
@josephstephen2047 3 жыл бұрын
Hahaha eti baharia
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Maisha ya ughaibuni na ramazani sehemu ya 1
26:18
BAB SEIF
Рет қаралды 3 М.
Let's Go Southy|| DAR 🇹🇿 LUSAKA 🇿🇲 JOHANNESBURG 🇿🇦 ROAD TRIP 2023
48:50