Katika Nchi hatari kuishi ni Africa Kusini. Bora kipato kidogo lakini uishi Nchi salama. Allah mghufirie madhambi yake umjaalie malazi mema. Ameen.
@fatmaahamadabass80802 жыл бұрын
Kuishi ughaibuni ni mtihani sana watu wanawivu wa mafanikio wakiona watanzania wanaendelea
@rehematawalani7332 жыл бұрын
Hiyo nchi inasifa mbaya sana wabaya sana wanaunyanyasaji na ubaguzi wanataka wake wao km wao tu
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Inalilkahi wainailahi rajuun... Subuhanallah. Allah atamlipa hakiyake Ahelah lnshaallah
@bonifacekirundu90412 жыл бұрын
Watanzania tukae kwetu
@HalimaHalima-id2cb2 жыл бұрын
😭😭😭😭Allah amlaze pema peponi aameen yarabbi 😭 poleni sana jamani huko sauths africa huu ndoukweli wa ndugu yetu Abdi 😭😭😭
@hadijaalpha75472 жыл бұрын
Hakuna alie kamilika!Allah awape ulinzi ndugu zetu,hawa wenzetu wakatili sana!kuuwa kwao ni kawaida tu!Mnyazi mungu amrahamu amlaze pema peponi Amiin
@soundmale Жыл бұрын
Vp Kenya patulivu .au vilevile2.
@saidilindukwa2 жыл бұрын
Imefika wakati. Mambo ya kutaka tuonekane wakarimu sanaaa watanzania sasa tuseme basi,nasi tuwe wakali saa hii,South hapa ww mgeni hata km una haki as longer alo kudhulumu ni mzawa ujue polisi watamfever mzawa utakosa haki yako,na jina la kishenzi la makwerekwere utaitwa huo ndio ukweli.njia ni moja tu serikali yetu iwakumbatie wazawa zaidi kuliko wageni sababu sifa tushaipata na saa mataifa ya wenzetu hawajali wamekaa na watu wao chini Lao moja kuwa against wageni.imagine mtu unakitambulisho lkn bado unakamatwa na pesa utatoa htaki weka ndani ukafie humo,huu ni ukweli nausema sifichi kitu,utapata salama na unafuu km askari alokukamata aliwahi ishi TZ hapo kidooogo utapata afadhali.naiomba serikali yangu ya TZ ILIANGALIE HILI kwa kina y wa TZ tunanyanyaswa namna hii,Bwana balozi kazi kwako
@salimharrasy70472 жыл бұрын
Back to the history raia wa Africa Kusini waliteswa sana na watawala wa kigeni leo ni Taifa huru ilikuwa washukuru sana na waishi salama na raia wa Nchi jirani.
@oman77102 жыл бұрын
Innalillaah wainna ilayh rajiuun,Allah amsamehe madhambi yake na amuepushe na adhabu ya kabri Allahumma amiiin Yarabb
@ummushuraym43192 жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema insha allah
@ahmedabass57932 жыл бұрын
Hakufai huko turudini nyumbani hata kama maisha ni magumu ni bora kuliko kwenda sehemu ambako amani na usalama hamna na mwisho ndio kama hayo yanatokezea
@zawadix95742 жыл бұрын
Ukweli kabisa nyumbani ni nyumbani pabana na hali yako uta toboa
@janetchinga6952 жыл бұрын
Poleni sana, labuda walikua naisi anauza dawa zakulevia,jamani vijana unawezaje kuludi 1ock club inchi yawatu mmm
@marthaamenlucas86002 жыл бұрын
Hayo mamifuko atamume wangu alifikwa jaman mungu wangu
@saidilindukwa2 жыл бұрын
Hapa south uwe na kitambulisho usiwe na kitambulisho ni shida tu kwa sasa hivi,wanavamia mijengo au Madukani,au mitaani,mnakamatwa mnapelekwa John vooster police station mwenye kitambulisho ndani huna ndani wataanza kutangaza R2500 wasio na passport ili utolewe,mwenye passport R500 utoke na watu wanatoa kwa shida sasa imagine km hali ndio hivi Kuna haja gani kwa serikali yetu tukufu ya tanzania kukumbatia Wageni
@mwajabukaseke87102 жыл бұрын
Tushamzika tunashukuru mungu
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
M/MUNGU Ilazeroho yamarehem mahalipema peponi pole kwafamilia MUNGU YUPO Ubaya walioufanya wataulipa kwanjia wasiyoijua
@mwalimulali6262 жыл бұрын
Huo ndio ukweli kuusu kifo cha ndugu yetu
@WatagwainMan2 жыл бұрын
Daaah Sijui Kwanini Ubalozi wetu Hauchukuagi Maamuzi Kuhusu Police Wanavyotufanyia Kwenye Hii Nchi, Wanatuonea Kwa Kila Jinsi, Huo Ndio Ukweli Usiopingika, Wanatuua Kwa Kila Njia, Wanatuchoma Sindano, Wanatumia Silaha, Wanatumia Sprey, Wanatusingizia Kesi Za Kila Aina, Na Serikali Yetu Inakaa Kimya Tu, Hata Hili Lenye Uthibitisho Mkubwa Pia Wataliacha Tu, Kiukweli Inauma Sana, Tanzania Kuna Wageni Kibao Na Hatujawahi Kuwaita Forena Wala Kuwanyanyapaa, Au Serikali Yetu Inapenda Jinsi Tunavyofanyiwa Huku, Tunaiomba Serikali Mchukue Maamuzi..
@henrymassawe6992 жыл бұрын
Hapa hapa home pollisi wanatuua kila siku na serekali haiseme kitu ndiyo iwe huko SA?? In short they don't give a f'k
@ezekielkandonga92382 жыл бұрын
Huyu Mama hawezi kitu labda angekuwa Mwamba Magufuli
@ahmedzahor29752 жыл бұрын
@@ezekielkandonga9238 Kwani wakati wa Magufuli hawakuuliwa Wa Tanzania South Africa
@mnubimnubi40812 жыл бұрын
MUONGO mkubwa wewe wp hapa Tanzania watuwanauwawa kila siku!!?
@kudramzee57692 жыл бұрын
Sio south africa tu hata kongo kinshasa watanzania tunanyanyasika
@jzakayo38642 жыл бұрын
Dah
@lakiabalozi563311 ай бұрын
Nimeumia Hadi mtu analia mama nakufaaa hawamuachi puuuh nimelia😢😢
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Subuhanallah wamemuua kinyama ila Allah yupo dhurmahi watailipa lnshaallah inauma saana jamani
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Mtihani
@innocentchikoya50602 жыл бұрын
waziriwa mambo ya Ndani naomba afanyie hii kazi ya Mapolisi wa South Africa kwann wachukue sheria Mkononi
@johnycavishe52072 жыл бұрын
Sauth afrca wanazinguwa t mbn wao wakiwa uku kwet amna matatzo alaf Mambo hayo yanajirdiardia Sana Mambo ya ajabu ajab t
@fatumajumanne59612 жыл бұрын
Innallillah wainnaillah rajoon
@Boyhoodking2 жыл бұрын
In my life sitokubali nije poteza mtoto wangu kwa kuuawa bila kisasi, ntaua Hadi kuku wao. I will go f*cking crazy in the game. Dunia itasimulia ntakachokifanya. Allah atulindie vizazi vyetu na amsamehe Kaka yetu
@husseinmahmoud70002 жыл бұрын
Allahumah amiin
@husseinmahmoud70002 жыл бұрын
Allahumah amiin
@King_Of_Everything Жыл бұрын
✌️🙏
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Hakuna tofauti na police wa bongo. Poleni sana but as foreigners sioni Kama mtatendewa haki.
@Magreth-f2j7 ай бұрын
Jamani watoto wetu tafuteni lizki huku kwetu acheni tamaa ya nchi za watu
@saidilindukwa2 жыл бұрын
Hili tukio la wiki ilopita si la kwanza mengine hatusemi,na tunashangaa mtu washamuua vipi tena aje apigwe sindano ya nini Ile sindano,serikali yetu ya tanzania hiyo ndio hali tunafanyiwa mengi huku.mpaka mmeona haya kutokea serikali msitulaumu tunakubali kufa kwa ajili ya ndugu yetu,na tushaamua wakilirudia tena hawa polisi wa huku tutachokifanya hawatokaa wasahau.tumewalea sana wasouth lkn leo wanatunyanyasa kana kwamba sie ni wadudu tumechoka sasa kikichobaki ni action pia sie wabongo hatuogopi kufa tunayaweza vilevile wanatuchukulia poa hawa watu sasa tunaiomba serikali yetu wakae chini na wenzao wayajadili haya.km mtu ana makosa mkamateni mpeleke kituoni sheria ifate mkondo wake lkn si kutufanya km sie ni ma mbwa.
@salimliemba34582 жыл бұрын
Inna lillah wainna illah Rajiun kazikwa Leo tanga
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Inalilahi wainailahi rajuun
@smartboytz4724 Жыл бұрын
Shida ya huko johansburg ni tofauti Cape town Cape town kuko poa akuna matukio
@yasinichankanda20902 жыл бұрын
Nchi yetu hii tunachezewa vya kutosha viongoz tulio kuwa nao wanachumia matumbo yao tuu hawana uchungu na wananchi, innalillah wainallah rajiuun
@marthaamenlucas86002 жыл бұрын
Yn mume wangu alifariki hivyohivyo naumia sana anamwaka Sasa kaniachia mtoto mdogo naalizikwa hukohuko .dahhh naumia sana
@ramadhanikibenga42842 жыл бұрын
Pole sana
@jayp58712 жыл бұрын
Pole sana dsda, Afrc kusin wabaguz sana
@issamkombo73002 жыл бұрын
pole dadangu watu weusi hatupendani
@jumamhina64432 жыл бұрын
Pole sn
@muye426jb62 жыл бұрын
Pole sana
@saidilindukwa2 жыл бұрын
Ki ukweli polisi wa Africa kusini wanaonea watu sana lkn kikubwa ubaguzi cha ajabu Askari weusi wanabagua raia weusi,polisi wa hapa bora wakukute na uthibitisho lkn km huna kitu chochote kile ni shida unapigwa na unavalishwa plastic usoni utapumua vipi imagine! Sasa vitendo km hivyo ni vingi vinafanyika
@teddymashells26012 жыл бұрын
hawa wa South Africa wamezoweya sana kuuwa watu bila ta Sababu n'a hasa watanzania wanauliwa sana,n'a yote ni chuki tu.
@ashamerey18062 жыл бұрын
R. I. P .😭😭😭😭
@zenachuo29632 жыл бұрын
R .i.p
@suleimanbalemba33482 жыл бұрын
Hao ndo makaburu
@sharoniamiri31142 жыл бұрын
𝐒𝐨𝐮𝐭𝐡 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐮𝐚
@seiflugendo71412 жыл бұрын
Wasouth ni viumbe wasenge sana wamesahau walitupigia magoti wakati wanatawaliwa mmbwa hao
@mwajumakweli2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ukhutfatumah11542 жыл бұрын
Innalillah wainnah Lillah rajuun 💔
@innocentchikoya50602 жыл бұрын
Polisi wa south Africa wahukumiwe kifungo cha maisha
@seifchui42462 жыл бұрын
R. I. P Abdullah
@mwitajoseph83152 жыл бұрын
Pamoja na yote chanzo cha maskari hao nini maaana mtu hawezi tu kuja na kukupiga ovyo lazima kuna chanzo wala sidhani kama madawa ni sababu maalum lazima kutakua na sababu maalum ambayo imemsababishia mwenzetu kufa
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihani kwanini duniya tunaipeleka kasini unamuuwa mwezako bila hatiya lakini aliye muuwa na yeye iko siku atakufa tuuuu
@lillaahilhamdutv53832 жыл бұрын
Kumbe alikuwa anatoka club, hapo sasa kazi ipo kwake mbele ya muumba wake
@mwitajoseph83152 жыл бұрын
Na ukumbuke club sio kanisani yawezekana mzozo ulianzia uko na club hawauzi uji wala maziwa katika swala ya kupiga moja mbili yawezekana kuna matamshi walitamkiana uko
@mohamedsuleiman27852 жыл бұрын
Baba dhuluma kadhulumiwa kwan wangapi walikuwa ktk dhambi na leo wame tubu
@angelamshama12882 жыл бұрын
Marehemu hasemewi vibaya, tuombe mwisho mwema lilaahil hamdu
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
@@mohamedsuleiman2785 katika ulevi ni mthihani Sana
@mrambadiana96782 жыл бұрын
We nae kwendra
@kennethbenjamin2752 жыл бұрын
Ubalozi unasemaje huko
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Walizima umeme kusudi walipanga tukio
@athumanisinga71282 жыл бұрын
Kukataa umeme ni kawaida saasa ivi South Africa ila wamefanya kitu cha kinyama sanaa wana rohoo mbaya sana police
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
@@athumanisinga7128 kweli mungu yupo
@yahyahamad18022 жыл бұрын
wakakuta pepa ambazo ni noti ndio vp?
@luluwhite38182 жыл бұрын
WANAUWAWA NDUGU ZETU LAKINI HAWAKOMI TU
@adamabui61212 жыл бұрын
Hakuna haki utakayo fanyika hapo. Kama polis wameua wamemthulumu kijana. Tafuteni polis kadhaa muwaue basi
@sundaykomba13272 жыл бұрын
Sidhani kama hao watu walikuwa polis watakuwa ni watu ambao walivaa nguo za kipolisi
@jayp58712 жыл бұрын
ata mimi nahis ivo
@ambwenedaniel3582 жыл бұрын
Ni police broo hawa police wa huku south Africa ni wezi sana
@ismailiramazhani35702 жыл бұрын
Wa south sio watu ni ma bowa Sana sio police hao ni wezi wa south ote ni wezi wauwaji tu inabidi tuwe tunawauwa katika nchi zetu na sisi kama wapo uko Tanzania uweni na nyinyi
@muhammadynabeel34722 жыл бұрын
Rip mdogo wang.
@saidilindukwa2 жыл бұрын
Kuna mwaka nilikuja Tz basi kariakoo wanigeria na wamalawi wamejaa teleeee kifupi nili mind y serikali yetu inajaza Wageni Tele ktk nchi yetu,tujiulize hivi wao tukienda ktk nchi zao watakubali? Jibu hapana mama Samia raisi wetu kipenz ktk hili usikae kimya raia wako tulo nje twanyanyasika msione twakaa kimya tunaumia kuona watanzania tunawakarimu sana wageni at the same time sie tunauliwa na kuumizwa ktk nchi za watu,fukuza wageni wote Tz hapo
@fatumahamadi13792 жыл бұрын
Inna Lillah Wainaillah Lajuun poleni Wafiwa Imefikia Kipindi wageni iwe mwisho kuingia nchini kwetu Mama Mpedwa Rais wetu litazame hili ni tatizo masna hat vizazi vyetu vitakosa Bisness z kufanya au Ajira
@fidelyaredi41372 жыл бұрын
Ni aibu sana, kufanya fujo kwa jirani, kwa ajili ya rais wa dawa za kulefya