SAFARI YA MSUMBIJI, ILIVYOGEUKA SAFARI YA KIFO.../UCHAWI UPO JAMANI/MISITU..(REVIEW..2022)

  Рет қаралды 132,502

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
poleni Sanaa kaka zanguni🙆yani wanaume wanapitia changamoto🔥nyungi sanaa ktk kusaka maisha,japo nasi tunapitia hila kwawanaume to much 😭kikubwa msikate Tamaha Uwezi jua Atua hipi italeta fraha 🎤Mungu yupo kikubwa pumzi🙏
@WingoAsake
@WingoAsake 2 ай бұрын
Ela za ugenini zinachanganya sana ata mimi sijui vizuri ela ya tz. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@simontamba1285
@simontamba1285 Жыл бұрын
Hongera kw kujaribu kuliko kukaa tu vijiweni wazungu waoikuja Afrika sisi tushindweje kuzunguka afrika No reseach No Right to speak
@franklukazula
@franklukazula Жыл бұрын
Upewe soda miniko Malawi 🇲🇼 bana napambana😂😂😂😂 from B 🇧🇮 safari hadi 🇺🇸 laxima itimiy Inshaallah
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 27 күн бұрын
​@@franklukazulaupo Malawi sehem gani
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Mulijichanganya kwamasai angewasaidieni ila yote nifunzo nishapitia aya Mozambique nilitembea kwamiguu mweda adi tz sopoa tunapitia mengi kwenye utaftaji asa machimbo ya msumbiji hatuyasimulii mengi tunayaacha nisiri ila nimambo magumu saana tunayoyapitia pia nifunzo katka maisha
@alfamgayatv872
@alfamgayatv872 Жыл бұрын
Kaka nawewe umewahi kwenda
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Жыл бұрын
Duuuuj kwa hayasemwi yote kumbe, Sasa semeni tujifunze sisi
@fedrickamosy2190
@fedrickamosy2190 Жыл бұрын
@@barakamanga5502 mengine hayafai kusimuliwa maana itaonekana Ni una ikashfu Nchi pamoja na uongozi uliopo madarakani, Nimetokea kupachukukia sana Mozambique
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Жыл бұрын
@@fedrickamosy2190 ok hakunasheria huko
@neemasampeta6255
@neemasampeta6255 Жыл бұрын
Ooooooooo
@HusseniHashim
@HusseniHashim Жыл бұрын
Hayo ndio maisha ya madini kawaida san kaka zangu maisha hata mwanajeshi hafik hiyo kaz mtoto wa mama hawez 😊
@molelpeter7922
@molelpeter7922 Жыл бұрын
Poleni sana ndugu zangu maisha ni mitihani
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Жыл бұрын
Mbanga kitambo Sanaa endelea kutupa Stori za Ughaibuni nilizimiss Sanaa🙌
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Ukiwa mwanaume uwa ni mitihani mingi migumu unaiptia katika kutafuta maisha..ikiwa nyumbani hali c hali poleni kwa misukosuko ndio kiume mtafanikiwa tu mungu yuko nanyi
@robathalbertonamunda9762
@robathalbertonamunda9762 Жыл бұрын
Poleni sana kina brother ni mitiani ya maisha,ila kalibuni tena moçambique,vir mais ak memo, tamos espera d voçes
@silvestremauronambala9107
@silvestremauronambala9107 Жыл бұрын
Sinto muito meus irmãos Sou moçambicano poleni sana ndugu zangu
@NELDIZZYHvD17.
@NELDIZZYHvD17. Жыл бұрын
Tambem sinto meu
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 ай бұрын
Mungu watunze wanaume wote🙏🙏🙏🙏💪
@henrypambisa5483
@henrypambisa5483 Жыл бұрын
Bado tupo huku ila unahitajika uwe na moyo wa kijeshi
@WingoAsake
@WingoAsake 2 ай бұрын
Boa tentação de procurar vida na verdade a vida tá muito difícil, que Deus vos abençoe tanzânianos,, Poleni Sana lakini Mungu yupo pamoja nanyi
@ashamfunga7875
@ashamfunga7875 Жыл бұрын
Maisha marefu Ila yanakikomo kuweni na subra na riziken mungu atawalipa
@faithzamani1965
@faithzamani1965 Жыл бұрын
Inabidi ufanye kazi ndio ufanikiwe Hakuna aliye kaa tu akafanikiwa
@janetdaniely7945
@janetdaniely7945 Жыл бұрын
Pole sana wa pendwa
@ashirafhamad4861
@ashirafhamad4861 Жыл бұрын
Be strong all the time 💪🏻💪🏾
@omarymohamed168
@omarymohamed168 Жыл бұрын
Daah broo dupa. Kitambo sana kakaa tumemis hivi vitu
@aishaddddhh6272
@aishaddddhh6272 Жыл бұрын
Polen sana ilanifunzo kwavijana wengine kilichowaponza nikutokuwa namsimamo
@mussanavas1283
@mussanavas1283 Жыл бұрын
Walikuwa hawana msimamo na Subra
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Ela yao ubanguni inathamani Ila nchi ya utata sana
@salehali178
@salehali178 Жыл бұрын
Qswida
@salehali178
@salehali178 Жыл бұрын
Qaswida
@fatmahidd679
@fatmahidd679 Жыл бұрын
Poleni kwa hyo yaliyo wapata
@armindodamiao3201
@armindodamiao3201 Жыл бұрын
Mozambique ravia napafahamu mi Niko Ravia apaaa leo
@abednegojulius4554
@abednegojulius4554 Жыл бұрын
Uko ravia kuna nini
@seifwashule274
@seifwashule274 Жыл бұрын
I tried to looking for the next episode but is not available. Any idea.
@WingoAsake
@WingoAsake 2 ай бұрын
Sinto muito irmão parece piada por enquanto sério sinto muito....nawaonea huruma sana jirani zangu..tz 🇲🇿🇲🇿
@johnjaimejoseukoti4174
@johnjaimejoseukoti4174 Жыл бұрын
Mnaacha njia ya kwenda nampula mnaenda niia ya meluco ukipita minyanya 150 inaitwa cento cinquenta😅
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Kweli wanawake wanapinga ila hakuna kuwasukiliza nikusonga mbele tu mana maisha nimapambano
@edwardmenawezkuzamakwadaki4825
@edwardmenawezkuzamakwadaki4825 Жыл бұрын
Inasisimua xana mungu awabark xana hao jamaa
@mustafarbacardaruquia7330
@mustafarbacardaruquia7330 Жыл бұрын
Poleni sana,mulitembea sana wazee 150
@christopherfredy7269
@christopherfredy7269 Жыл бұрын
Huyojamaa mwenyeshati yapundamillia naombanambayake
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Huyo lafiki yako anayechekacheka Sio mtu mzuri husimuamini sana hatari kwako take care lafiki
@ericfelician7996
@ericfelician7996 4 ай бұрын
Kweli siyo mtu poa jamaa
@MagomaPalma
@MagomaPalma 2 ай бұрын
Kweli maisha ni maisha
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mtihani
@mussajohn1708
@mussajohn1708 Жыл бұрын
Sio poa mzee
@abdullahnanda1800
@abdullahnanda1800 Жыл бұрын
Nimecheka leo jamani mumewangu yalimkuta uko yeye alitembea kwamiguu😅😅
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Hahaa ngojanikusaidie maana kutembeana miguu huku namchozi ulimtoka
@ananiaszinns7324
@ananiaszinns7324 Жыл бұрын
Mbaga nami ninayo story kutoka lringa to south Africa da yaaani sisi wanaume usione watu wametoboa maisha Kuna mengi wamepitia
@athumani2755
@athumani2755 Жыл бұрын
Acha2 mwanangu si tulichanganya lre vamshi tuka toka nanyup tukaelekea nampura pesa lkakata tuliangaika wiki chakula ni mihogo ya watu polisi tuliwakimbia lakini mwisho wa ck tulisimamisha gali la polisi naawakusimama mahisha na tulipoteza mwenzetu kwa njaa
@kilogreek4050
@kilogreek4050 Жыл бұрын
Chechemua mda mlefu sijakusikia home boy😁🇹🇿🇬🇷👊👊✊
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Poleni
@odiaquesulpreendeu
@odiaquesulpreendeu Жыл бұрын
Tentaram muito sou de Mueda Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Tem nhede ai mueda
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
@@kachabisnea8815 🤣🤣🤣🤣
@saidemuamedeali2678
@saidemuamedeali2678 Жыл бұрын
Poleni sana ,,
@sidrasidra8616
@sidrasidra8616 Жыл бұрын
Wanaume mnae pambana mna stahili heshima haki
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
POLENI SANA WAKINA KAKA HIYO NDO JITIHADA YA KUTAFUTA LIDHIKI
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kitambo sana broo nilimic sana hizi story
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Hiyo msumbiji sio powa ... wa Tz wengi wapo huko
@twahirmohammed2869
@twahirmohammed2869 Жыл бұрын
Sisi tupo huku huku mozambiq
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nimeipenda sana hii simulizi. mimi pia nilikuwaga Mozambique, eu fala Portuguese tambee, mais vivia en Angoche provincia de nampula, mais era muito tempo meu marido trabalhava numa firma de caju. poleni sana kwa misukosuko mliokutana nayo, ila huyo mwenzio hakuwa rafiki mwema.
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 Жыл бұрын
Tua marido e tanzaniano ou???
@nnalotv6370
@nnalotv6370 Жыл бұрын
@@kachabisnea8815 não é tua marido, é teu marido, inabidi ujitaudi kidogo mana una kosa kosa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Huko yupo mdogo wangunadileo yupohuko
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
@@kachabisnea8815 nao meu marido nao era Tanzaniano, era suico ,mais eu sim e Tanzania. ficamos la 5 anos dest 1977 a 81.voltamos na Tanzania, mais agora vivo na suica.queria um dia ir Angoche otraveis mostrar meus filhos onde nos vivia.. obrigada para responder 22.01.23.
@afandehassan1
@afandehassan1 Жыл бұрын
@@hanifatanzania7258 Ka Hanifa Nipe Namba Yako
@johnkimune69
@johnkimune69 Жыл бұрын
Aise jamni
@irenejustine2455
@irenejustine2455 Жыл бұрын
Ila up mji uwe na moyo sana
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 Жыл бұрын
dupa mdupange mbona km nlishawah kukuona saut malimbe
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Uyo rafiki yako hapana hafai kabisa kakosea saana kukuacha ukiwa unaumwa kakosea mno
@jackrinefredy2573
@jackrinefredy2573 Жыл бұрын
😥🙏
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Жыл бұрын
HIYO RAFIKI YAKO USIMWAMINI, HEBU FIKIRIA KAMA SIO KUFIKA PALE WALIPOKUOELEKA HOSPITALI NA UKAFIA ALIPOKUACHA INGEKUWAJE? NA SIJUI MKEO ANGEMDANYA AMEKUACHA WAPI. SI MTU MWEMA KABISA KWAKO JIHADHARI NAYE.
@afandehassan1
@afandehassan1 Жыл бұрын
Ka Dorothy Wacha Sitina
@johnmwangove9928
@johnmwangove9928 Жыл бұрын
Hadithi ya mpemba vip?
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Hahaa yilempemba maashaallah
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 Жыл бұрын
Wanaume siku hizi mnashika pua,,,,bado kdg kuvaa taiti🤓🤓
@davydmlay3264
@davydmlay3264 Жыл бұрын
Part 2
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Жыл бұрын
Kama maisha ya ughaibuni
@baloz8974
@baloz8974 Жыл бұрын
Wacha tu huku kujituma tu
@swadatimmbaga7435
@swadatimmbaga7435 Жыл бұрын
Dar jamaa kakuacha
@buhindalrisi1273
@buhindalrisi1273 Жыл бұрын
part two imetoka
@andrevaleriano4479
@andrevaleriano4479 Жыл бұрын
Bomba tu endelea kutafuta
@meshakirahman7819
@meshakirahman7819 Жыл бұрын
Part 2 lini ina sisimua
@mustafarbacardaruquia7330
@mustafarbacardaruquia7330 Жыл бұрын
Namjuwa uyo massai kuko Montepuez uku
@princessjj8298
@princessjj8298 Жыл бұрын
Huyo jamaa sio rafiki wa kweli. Unamuachaje rafiki yako nchi ya ugeni akiwa ktk hali ya ugonjwa.
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Nimeshangaa kweli unamwachaje mwenzio halafu anaumwa huyu rafiki wahivi anaweza hata kukuuza yani
@irenejustine2455
@irenejustine2455 Жыл бұрын
Muendelezo jamani
@tudoaver8373
@tudoaver8373 Жыл бұрын
1000mt no shilingi 30000ths
@FatmaHassan-t4q
@FatmaHassan-t4q 5 ай бұрын
Sasa ni kororo kwini..au klorokwin!?
@AbdulrahmanBakari-y7e
@AbdulrahmanBakari-y7e Жыл бұрын
Mbona hajamaliza story alivokuwa hapo kwenye mzki na yule mwenzeke alikutatanae vp
@IssahMohamedy-d6l
@IssahMohamedy-d6l 11 ай бұрын
Ndiomaisha vita
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Жыл бұрын
Uyo mshkaji mwengine xiyo pw, japo unaumwa umebeba roba l maembe anakuacha nyuma!! mmepita kwenye njia y watu pia kakuacha njiani yeye kasepa! je ingekua ile njia y maporini x ungekufa peke yako!!
@eliudmbange2278
@eliudmbange2278 Жыл бұрын
Uyo jamaa hana huruma
@cristinasofla5090
@cristinasofla5090 Жыл бұрын
Dag
@TECHTZTV
@TECHTZTV Жыл бұрын
Mwwndelezo tafadhari
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo Жыл бұрын
Tupo apa mueda
@rashidkachaa3666
@rashidkachaa3666 Жыл бұрын
Huo ndo uwanaume, kazi za machimbo asikwambie mtu me nishasota Sana,
@faithzamani1965
@faithzamani1965 Жыл бұрын
Muendelezo
@Fackxela
@Fackxela 3 ай бұрын
Wlixhindwavp kukaza
@innocentamon7722
@innocentamon7722 Жыл бұрын
Wewe huku pamoto tulieni tz ugaibuni Pa moto
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 Жыл бұрын
Maisha hayataki uoga hata kama pagumu Acha waje tu liziki ya mbwa iko miguuni
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
kila sehemu ngumu,wacha waje kikubwa Uzima✍️
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
@gorethkamikazi3306
@gorethkamikazi3306 Жыл бұрын
Tanzania kunamengi jameeni
@mustafarbacardaruquia7330
@mustafarbacardaruquia7330 Жыл бұрын
Kkkkk 150
@ashirafhamad4861
@ashirafhamad4861 Жыл бұрын
Be strong all the time 💪🏻💪🏾
@rashidkachaa3666
@rashidkachaa3666 Жыл бұрын
Na muendelezo mbona c uoni
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kitambo sana broo nilimic sana hizi story
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Жыл бұрын
Poleni
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 2,2 МЛН
А я думаю что за звук такой знакомый? 😂😂😂
00:15
Денис Кукояка
Рет қаралды 6 МЛН
Do you love Blackpink?🖤🩷
00:23
Karina
Рет қаралды 23 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 43 МЛН
NILIYOYAPITIA GEREZA LA MATESO MSUMBIJI, WANAJESHI KUCHINJA WATU NA KULA KINYESI
52:58
Part 2 -- 5 Times in India Yet No Light On This Tunnel
45:52
Anita's Journey with Cerebral Palsy
Рет қаралды 281
Nilikuwa Mwizi Niliiba Mamilion ya Pesa Africa Kusini / Nilizamia
1:05:48
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 2,2 МЛН