Mifumo ya tiketi bado haijakaa vizuri, boresheni ili iwe rahis zaid
@Official-bataboyАй бұрын
😢
@swahilitherapytv3846Ай бұрын
Haziwezi kukongana hiyo ndio hofu yangu.....??
@UnitedAfrica-uw9ctАй бұрын
Mabasi ya kwenda mikoani hazigongani , Ndege hazigongani , leo Treni zinagongana vipi
@h.alshidhani8971Ай бұрын
Akili zako ziko miguuni
@zolongOneАй бұрын
😂😂😂😂
@frankmushendwas37Ай бұрын
Kwanini msiweke duka la tiketi maeneo ya mjini hasa morogoro mjini ili mtu anaeondoka kesho anakata tiket mapema au station ya treni ya zamani muweke kituo cha kuuza tiketi
@UnitedAfrica-uw9ctАй бұрын
ticketi zinauzwa kwenye mtandao ..hatuhitaji kukutana na wafanyakazi wa TRC....kama ilivyo kwenye ndege unanunua ticketi kwenye mtandao unakwenda kusafiri
@magorymara5515Ай бұрын
Duh kweli @@UnitedAfrica-uw9ct
@magorymara5515Ай бұрын
Duh kweli @@UnitedAfrica-uw9ct
@frankmushendwas37Ай бұрын
@@UnitedAfrica-uw9ct mimi ndiyo nimejua kununua tiket mtandaoni cku ya kwanza watanzania wengi sio watumiaji wazuri wa mtandao mpaka wapo wasomi hawajui kutumia mtandao ingerahisisha msongamano wa tiket station tosa safariza treni zianze nimewafundisha watu wengi kununua tiket mtandaoni tiket nilizowanunulia watu karibu 40 kituo cha mauzo ya tiket kikiwa mjini inasaidia mtu kununua tiket mapema kule stationya morogoro mbali uwezi kwenda kukata tiket ya kusafiri kesho nikiwa natiket mkononi nikifika station hata dakika 20 kabla nascan tiketi napanda treni