Mimi si muislamu lakini nimevutiwa sana na huu mjadala. Ni fundisho kwamba unapodai kusimamia jambo fulani katika dini lazima uweze kulitetea kwa ufasaha. Yesu (Nabii Issa) alisema kuwa nabii hakubaliki kwao hivyo Ustadh Hamza bado ana safari ndefu. Kama kuna ukweli katika lile analosimamia basi Mola atamwongoza. Vinginevyo ukweli utamdhihirisha. Mjadala kuntu. Nimeupenda sana!
@qhatramohamed70064 жыл бұрын
Subhana-Allah huyu hamza anahitaji kutubia sana kwa mola wake,Awache kupotosha wasioelewa. Nairobi( kenya)
@iddtsama51413 жыл бұрын
Am a proud Muslim.. Mashallah we have people of great knowledge who stands firm for the sake of Allah's True Religion. Jazakallah Kheir Inshallah.
@husseinomary44665 жыл бұрын
Mashekh poleni Sana kwa kutumia mpaka silaha za maangamizi kwa huyo kichaaa,, hiyo elimu mnayoitoa hapo nikubwa ukilinganisha na huo ubongo wabange wahuyo jamaaa duh poleni sana
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Alhamdulilah rabillamin mungu amizidishieni kila kheri mashekhe Hawa watu wanaokuja kujitia manabiiii ndio wanao kuja kupoteza waisilamu mungu atusitiri yaarabi ameen
@a.a.70297 жыл бұрын
Masha Allah, nimependa sana nyie mashekhe Kumuliza huyo nabii feki Subuhanna Allah vipi mpaka alijiita nabii mnafiki huyo na akome kuuharibu uislam .
@Najizilmuhsinina6 жыл бұрын
Wallah mm siangalii huyo Mabiit Feki Naangalia jinsi Hawa maulamaa wetu wanvyouchambua ukweli yaani mpaka naona raha
@hamisikulola84815 жыл бұрын
Huu ndio Uislamu banaeee mambo kwa maandiko na dalili Kama wataka unabii kadanganye watu MAKANISANI lakini sio kwa waislamu tutakuumbua tu
@unknownafrica55682 жыл бұрын
Kabisa mpaka zumaridi walimsujudia kila siku makanisani wana kuja mana bee wa uongo na kutoka utajiri
@hassanmbaraka5354 жыл бұрын
Mashekh zangu mnanikosha sana, Shekh Mziwanda natamani use Mwalimu wangu Shule iko kweli kweli inaonekana na Lugha na hukumu zake uko safi sana.
@moanamohammed14064 жыл бұрын
Subhanallah subhanallah..yaan tunapta hacira kumtizama huyo nabii wa uongo wallah mim ckuwah kuckia wala kuona nabii wa uongo katika uislam ndo mara yakwanza...Subhanallah amepotea huyo innalillah wainnailayh rajiuun....
@saumuhassan13656 жыл бұрын
Mumuite jina lake cyo shekhe, Mwarabu tunakuelewa mashallah
@fundibombazanzbar57174 жыл бұрын
we dada upovzur nakufatlia toka mawaidha ya othman oposawa mungu akupe kher
@asinakassim15487 жыл бұрын
aumiza roho sana huyu kaka mana kajifananisha na nabii mara ageuza aya atunga kuunga unga tu juu sasa kiarabu pia hakipati yaani hadi apewe translation ndio afahamu ... Subhannalllah Allah amuongoze huyu kaka
@makakalambaruku95377 жыл бұрын
kama umefuatilia vipande vyoote mwanzo had mwisho huyu shekh wa kiarabu ndio kafunika mashekh wetu walikuwa wanababaishwa na hamza lkn huyu muarabu ndio kiboko whallahi kama unakubali maneno yangu gonga LIKE nyingi
@fatma24967 жыл бұрын
Makakala Mbaruku mashekhe wote wamefunika kwa walicho kusimamia labda huyo mwarabu amekufurahishavkwa kiarabu
@jumahamisi53836 жыл бұрын
Makakala Mbaruku swadaqtah umepatia
@yusuphsalim64696 жыл бұрын
Yap!! Allah atupe subra kwanza!!! Maana hizi ni AaaakhirZzamaaan
@xmilembwana76145 жыл бұрын
Makakala Mbaruku kweli
@jumahamis2275 жыл бұрын
Alikuwa ana hoja nzito zaidi kuliko masheikh wa mwanzo, ndo maana umeona kama kafunika.
@OverdozClassic5 жыл бұрын
Ya Allah nakuomba Uwape subra mashekh wetu.. wanapitia mitihani mikubwa sana.
@coachtemba60027 жыл бұрын
Hamna nabii hapa, sema darasa la maulamaa zuri sana. AlhamdoliLlah
@paulmigoye19714 жыл бұрын
Poleni sana mashk kwa kuchukua muda wenu, kumfundisha huyu bwana. Hili gazeti alilolisoma ni wahii au ni mwandamu aliloliandikaa? Huyu bwana amelipwa na watu wanaoupinga uislam mpaka anasomeshwa na hao. Mwangalieni sana Mashke.
@tanzanian88472 жыл бұрын
Masha Allah. Kuna tofauti kati *kurudi na kuja*. Daah. Masheik mna Elimu. Mnajua Hadi mkera.
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
Angusha sodaaa tuone utumewako😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abubakarmohamed71192 жыл бұрын
MashaAllah BarakAllah, tunawo ma ulama . Mungu awaweke na tupate kufaidika kwenu
@farajiphilipo84065 жыл бұрын
Jazakallahu khaira ... Huyu mwarabu Yuko nondo Sana jamani
@mumeommyz84554 жыл бұрын
Anaye tafsiri Allah amzidishie yuko vizuri sana...masha Allah!!
@issamuzamilu30444 жыл бұрын
Wallah hadi naona raha ☺️☺️
@muhammadmuhaznun3802 жыл бұрын
Mm Nataka kuwa kama huyu sheikh anapeanaga makavu makavu
@rayasloom87112 жыл бұрын
Ameen Yaraabi
@shabanijuma20856 ай бұрын
Mashaallah nimependa hapo ikiwa dalili zipo ya ushahidi .Hijitiadi ni upotofu kwa umma Mashaallah Allah awalipe.
@aboumaburaramadhan41886 жыл бұрын
Subhanallha hamza unabeba dhima ipo siku mwenyezimung atakuuliza unalo jibu .cheza na vyama vya sias usichez na mungu
@OverdozClassic5 жыл бұрын
Ma sha Allah Sheikh.... thanks for coming
@OmarAli-wr1ti7 жыл бұрын
Huyu sio muislam ameandaliwa mda mrefu apoteze watu mwacheni apige kelele lkn mwisho Allah atamuangamiza na wenzake wote hii dini ni ya Mungu sio ya kuchezea bora ata ange anzisha chama angepata wa fwasi lkn Dini amechemka hatofwata na ata kuku
@TanzaniOman4 жыл бұрын
Jamani mbona mazinge hayopo mambo yange zid kua mazur hahahaaeee majadala ulikua mzr san muarab nae yupo makin san
@emmanuelmsigwa7146 жыл бұрын
Mimi ni mkristo nimewackiliza mko vzr.ila hili lakusema nabii clielewi hata cc wakristo hawa watu wanaojiita manabii wanatuchanganya
@dulakess89285 жыл бұрын
Emmanuel Msigwa hkna nabii kaka mana bii walisha tangulia kwa Mungu wote
@fetrishakaza14735 жыл бұрын
@@dulakess8928 nyiwote amjuwi maandiko ya bibilia nandomana mnashangaa poleni sana
@princeshaq31815 жыл бұрын
Emmanuel Msigwa ndugu yangu hakuna nabii zama hiz hao wanaojiita mitume na manabii kama hamza wanatuongopea yaan mtu anamua kujipa cheo ambacho hakistahil biblia imesha sema itafikia zama watakuja manabii wa uwongo ndio zama hiz. Mtu akishiba Dona lake bac anajiita mtume
@vanlago75804 жыл бұрын
😂😂😂emanueli umenichekesha MTU kashiba dona lake huko
@frankfrancisondari51134 жыл бұрын
Emmanuel Msigwa kama mkristo lazima uko na uwezo Wa kumtambua Nabii Wa uongo sio ufuate maamuzi ya wengine
@fatmaally7147 жыл бұрын
yaan masheeik mbeba nyundo, chepe,jembe,shoka, sululu, panga mkuki, mishale na mapanga ya kutosha kumbe mnaenda kumbambana na MBU.
@feisalfarsy65623 жыл бұрын
Hapa ndio unatakiwa ujue kma uislamu sio kukurupuka hii ni dini ya Haki mungu amuongoe tusiwe na jaziba mna wanaokasirika zaid ni hao maulamaa wetu lkn wanaenda nae kwa busara huenda inshallah mungu akambadlisha
@khadijatandia60347 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema In Sha Allah
@عبداللهعليالبيتيسلفي6 жыл бұрын
آمين
@masumakalfan3424 жыл бұрын
Amin
@adijarashidi14264 жыл бұрын
AAmin yaarab
@sofialion49253 жыл бұрын
@@masumakalfan342 Amiiin
@ibnahmad6075 жыл бұрын
Nabii asiye na miujiza. 😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Sijui niseme kasoma sana mpaka kaingia wazimu au hana radhi zawazee ya Allah tunusuru waja wako subhana Allah 😭😭😭😭😭😭😭
@abusaeed90374 жыл бұрын
Fatma Khanii ukosefu wa ilimu na kujitaki lana tuu
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
@@abusaeed9037 yani mtihani ila Allah anamuona anahadaliwa na pumzi inayo weza kukata mda wowote ule
@paulmigoye19714 жыл бұрын
Mimi sijapendezwa na huyu bwana amekufuruu sana, arudi kwa mola wake amwombe msama kwa kujiita nabii. Maskhe mnaribu muda wenu.
@farajiphilipo84065 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi ktk kuijua Qur'an
@godlovemlinge22205 жыл бұрын
Shida kubwa hapo ni Uhuru. Mungu angetoa nafasi ya kuhukumiana duniani, makubwa yangetokea Uhuru unatumika vibaya sana duniani,..Mungu atunusuru. Bora kwa asiyeelewa kuliko anayejifanya muelewa kwa kupotosha . Mungu anawaona
@ramadhanikitenge31827 жыл бұрын
hahahahha, mm wanaonichekesha ni hao maswahaba
@dullamburu16606 жыл бұрын
Wewe Hamza kwani una dini gani hao mpuuzi mkubwa we ukiristo na uislam wapi na wapi
@dazk78614 жыл бұрын
Ramadhani Kitenge hahaha umeona eeeeh
@mandibrochuma90624 жыл бұрын
ramadhan umenicheke kama ulivocheka wewe
@mandibrochuma90624 жыл бұрын
ramadhan umenicheke kama ulivocheka wewe
@AliSaid-yw7jp3 жыл бұрын
😂 Na wako serious... Kina Sayyid naa..
@jadilaraphael36686 жыл бұрын
ashhadu allailaa hailallah , wa ashhadu muhammad laa sharikallaah, nawapgia saluuuuuuuuut masheikh wote , I love sheikh Arabic Yaaaan katririk bila jasho, na pia muharram love u kwa xNaaa
@imamumponda2767 жыл бұрын
nyii muangalieni tuu anaacha kujibu maswali anajifichia kwenye kutaka kujifanya mtoa mawaidha wakati elimu yake ndogo huyo afungiwe ndani kwa muda kama wa miezi 3 au 6 asomewe ruqya atapona huyo
@safinabakari91407 жыл бұрын
wewe umegundua tatizo la huyo mtu. Huyo ana mashaitwan wamo kichwani wame m possess inabidi apigwe ruqia ya maana na mashaikh wa ukweli akili itamrudia. Allah amuongoze
@feisalamos4722 жыл бұрын
Mashaalaah huyu fasaha noma sana wabongo wako vizuli atali ila huyu elissa mmmm ana mashaka kabisa sema mjanja sana analuka sana
@asriyaaljabri95827 жыл бұрын
Tabaraka Rahman kwa waliosimamia jambo hili kwa elmu yenu na subra kumuonyesha utukufu wa Allah na rasuul bila jazba
@abubakarmohamed71192 жыл бұрын
Naomba Jina ya huyu sheikh anaye fanya tarjuma kwa Kiswahili , MashaAllah
@abdulrahmanmpendakaya46842 жыл бұрын
anaitwa Muharram Mziwanda! Mwamba saana huyu Maa Shaa Allaah
@deathrow80045 жыл бұрын
Al akhi anaongea lugha ya kiarabu mpk raha...maa shaa ALLAH
@dinocastico84957 жыл бұрын
FAS AL AHLAL DHIKRI INKUNTUM LA TAALAMUN.. waulizeni wenye kujuwa ikiwa ninyi hamjuwi... bwana HAMZA KAKUMBWA NA MSHANGAO KAMA KAIYONA MELI UBUNGO. Laaana tullah alaih mungu akufufuwe kipofu au nguruwe
@mondnumz77467 жыл бұрын
aaamiin
@imamumponda2767 жыл бұрын
ahahahahahahah habiibi usimuombee hivo huyu si amri yake ni mashetani ndiyo yanamsimua tumuombe allah hidaaya in shaa allah ahahahahaha umenifurahisha kweli ndugu yangu
Uyo aace kutupindisha dini yetu iko vizuri sana labda yuko mwawale waongo matapeli watakayokuja kutiya challenge coroan ivi unaona sisi waisila tusali nawasio sujudu?hujuwi hata coroaaniyenyew
@salimalmahrizi3957 жыл бұрын
JAMANI KWELI NABII ANAWAULIZA MASWAHABA ZAKE AU MASWAHABA WANAMUULIZA NABII? HUYU NI MWANA SIASA .SHIA NA FITNA.
@faridabakari85116 жыл бұрын
لااله الا الله محمود رسول الله astaghafirullah Astaghafirullah astaghafirullah astaghafirullah astaghafirullah astaghafirullah 1000x
@zuberimgwila91146 жыл бұрын
farida bakari لااله الا الله
@faridabakari85116 жыл бұрын
Zuberi Mgwila shukran bro
@AdilTwahir7 жыл бұрын
munarudia kosa kila wakati na kumpa jina la nabii ,ustadh,shekhe huo mukimuita hivyo munakubali au vipi......muiteni kwa jina lake tu
@faridabakari85116 жыл бұрын
Adil Twahir t
@abdullahishareef55776 жыл бұрын
Afaa kuitwa Murtad au mnafiq
@fgjjgbnko43837 жыл бұрын
amechanganyikiwa huyu mungu amuongoze kama anatatizo Allah amuondolee inshallah
@vanlago75804 жыл бұрын
Nabii kashuka bukoba ila kajipanga mpaka maswahaba subuhana llah
@tanzanian88472 жыл бұрын
Kumbe ni mhaya jamaa🤣🤣
@neemaabdul95537 жыл бұрын
Hata mimi hao maswaaba wake ndo wanaonichekesha wallahi hahahahahaaaaaaa
@dianamkuna40266 жыл бұрын
nyinyi wafuga majini na kupigana vita amna jipya
@drimazonechoice98226 жыл бұрын
Naona mwanafunzi wa chekechekea anapewa vitu vya chuo kikuu cha elim ya din hapo al- azhar misri sio pahal pa mchezomchezo huyo mjinga apigwe bakoraa akil itamkaa sawa
@dazk78614 жыл бұрын
Jamani waislamu tujitahidi kuisoma dini yetu tuijue vizuri,,,huyu jamaa akikutana na kina sisi tunaoijua dini juu juu tu aisee anakupotosha
@faysalmussa55934 жыл бұрын
Mashaallah sheikh ZAIYD ameongea elmu tupu mashaallah naskia raha sana
Subhanallah allah amuongoze atuongoze nasi maana hatari atapoteza watu wasiokua na ufahamu wakiislam vzr
@MawazoAmily9 күн бұрын
Nadhani miaka inavozid kwenda Sasa Hamza issa mtamuelewa kuwa ni kweli yeye no nabiii maaana Wote mashekh hamna majibu ya maswali ya leo
@issajuma2477 жыл бұрын
ndugu zang hawa sio waislam bali ni makafir walioandaliwa kuja kuudhalilsha uislam.
@mamuuomar25967 жыл бұрын
Issa Juma kabisaa
@habibusalum58007 жыл бұрын
Issa Juma haswaaaa umesema kweli ndugu. lakin hawatafanikiwa.
@ukweliunauma45704 жыл бұрын
Umemjua ukweli lakini wengine hawaoni kwa sababu za kuamini kila kitu
@kassimsaid18985 жыл бұрын
Naaje zanzibar adai utume tusipo mpangua viungo kama mbuzi buchani
@alhabibalhabib25437 жыл бұрын
Hahahaha.kilemba kimeshuka juu ya kichwa hana point mjaaa wa laaana
@hamisikulola84815 жыл бұрын
leo nabii feki kimyaaaaaaaaa amejua hajui Hahahahah
@fatumashabanfatumawawapimy11573 жыл бұрын
Yaan huyu hamza anatafuta Kiki Sana na anamchezea m. mungu na mtume wetu s, a, w acha mzaha ww hamza
@musamkandama7082 жыл бұрын
Uyu sheikh mwenyezimungu amzidishiye kila lakheir , Wallahi raha kabisa ,jinsi anavyo muibuwa nabii fake
@naifilabdallah94086 ай бұрын
Tatizo letu sisi na hamza ni utume ,anayoongea kweli kabisa ila bado hauna uthibitisho kuwa yeye nabii aseme tu labda sharifu,walii,mcha mungu miujiza pia mnakosea kunawatu wafuas watakuwa na uwezo wa kufufua pia mtaamini kuwa ni manabii hapana hapo
@abdillahchikota430310 ай бұрын
Shabash nyoko yako ya nyuma,,walio kuandaa bora wangekuandaa kwajili ya siasa
@wolfugangtesha57246 жыл бұрын
Ww kama umeamua kuja kwa Yesu njooooooo uwe Mkristo safi. Tatizo la huyu Hamza anataka kuwa muislam na Mkristu kwa wakati mmoja inawezekanaje?
@dulakess89285 жыл бұрын
Wolfugang Tesha kumuamn yesu so ttzo ila unamuamn ysu VP kma muislamu unatakiwa umuamn ysu kmam mtume au mitume mengne ya aliyo ituma mungu
@hassanhaji52474 жыл бұрын
Bangi yako ya wap box
@dinocastico84957 жыл бұрын
Kaka omary hytham. KHERI UWE MJINGA KAKA. Dawa ya ujinga ni elim tu yakukupa utambuzi katika yale usiyo yajuwa. LAKINI USIOMBE UKAWA MPUMBAVU DAWA YAKE NI NGUM MNO MAANA WW UNAKUWA HUJUWI NA HUJUWI KAMA HUJUWI. pahala pa kukaa kimya ww utasema na ukisema inakuwa bora ungekaaa kimya kama huyu hamza kituko.🤔
@emanuelkinimanyandi23194 жыл бұрын
Yesu mwenyewe alifanya miujiza sio kwa kusisitizwa na mtu na alipofanya aliwaambia wasitangaze angalieni msije kuingia kwa masihi dajali
@muhammadmuhaznun3802 жыл бұрын
Mm sioni haja ya mjadala hapa huyu mwendawazimu anawapotezea time Tu ....hakuna kitu anajua....amepotea Tu huyo
@messaramadhan73657 жыл бұрын
huyu si muislamu..kwanza sura yake haifanani kabisa na muislamu.
@nooor11203 жыл бұрын
Msitake miuliza wana nguvu za kiza kanisani hao wataleta big G kweli 🤣🤣🤣🤣
@mwanashazingas66843 жыл бұрын
Mkalimani nimependa Bure masha Allah tabaraka Allah.
@selemanihatibu30743 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa katolewa mpaka glass kwa mfano lkn wapi. Ni msiba mzito.
@naifilabdallah94086 ай бұрын
Asant asante sana usibitisho tu bac
@fatmaally7147 жыл бұрын
yaan huyu anatuletea michongo ya gwajima huku.
@allyissalipawe21185 жыл бұрын
Ana maruhani asomewe ruqya na matamanio yeke Allah amwongoe atubie la sivyo ataiyona gadhabu za Allah.
@ramadhanmussa63185 жыл бұрын
Huku hatumkubal yy aende kanisani
@muhammadmuhaznun3802 жыл бұрын
Unakuja kudai utume Mbele ya masheikh wew unawazimu ...hapo umepewa makavu hakuna kitu unajua nenda kasome tena uje useme wew ni Mungu...
@muhalakibwana40262 жыл бұрын
Huyu aidha anatumiwa kuchafua dini,ama njaa ama akili sio Sawa . Hata mm mwenye elimu ndogo haba ujinga wake siukubali
@francinensavyimana56014 жыл бұрын
Kwanza mutu mwenyewe antafusiriwa kiarabu ataweza coroan uyo,sazingine anafata mafundisho yawanafiki njo nayeye anakuja potoshawatu InshaAllah mungu atuepushe nakuzua zua MAANA MUTUME KASEMA HAKUNA MUTUME BAADA YANGU MINJOWAMWISHO ATAKAYEKUJA NTUMAYANGU NIMUONGO MIONGONI MWAMIONGO ATAKACOKILETA KITAMURUSIRIYA MWENYEWE...
@billamuristambul16422 жыл бұрын
Mashallah tabaraq rahmaan allahu akbar
@mahmadougronkjaer83167 жыл бұрын
jameen nabii haelewi kiarabu kashika tama doooh
@najjykerry90587 жыл бұрын
mahmoud mbonde hahahaaa
@alvinsafi27334 жыл бұрын
Kanaswa kwenye urimbo
@angelinaally81384 жыл бұрын
Hamza Mshukuru Mungu kama Mungu amekuagiza kuifanya kaziyake kweli fanyakazi yaMungu usimuangalie mwanadamu atakaye kuelwa atapona nagarika haounajibizana nao ndio haohao waliomkataa Yesu pamojanakutenda miujza yote hawakuamini mpakaleo sasa wanataka miujuza ,mbonahawa mwamini Yesu ?? Mungu humtumia amtakaye pia ampendae siolazima elimu KwaniYesu Alisomawapi? Mtume Alisoma wapi? Wanamacho lakin hawataona wanna masikio lakini hawatasikia. Wanaufahamu lakinihawata hawafikiri maana ufahamu wao umefungwa kwaajili ya majivunoyao kisa elimu MUNGU niwakanuni hanahaja navibrur humuinua hatakichaa kwajili yawaliowake hatakipindi chaNuhu wenye viburi naelimu waliangamia kujifanya wanajua kwanini Mungu hakuwaambia wao haliyakuwa nimatajir pia wana elmu ww mtumikie Mungu halo nimaharame kwani mwizi anaujuzi mwingi kuliko mwemali .
@alvinsafi27334 жыл бұрын
@@angelinaally8138 Alishasema mwenyewe na kuomba msamaha yeye si Nabii ...so povu lisikutoke sana..blind cannot the one's who see. Only blind can lead a blind like u. Soma biblia manabii wataongezeka. Hamza si nabii Utawajua kwa Matunda yao...je huoni matunda ya Hamza?
@angelinaally81384 жыл бұрын
@@alvinsafi2733 Mimi siisemei nafsi ya mtu ilakama kweli anamaono kutoka KwaMungu hanabudi kumsikiliza mwanadamu kwani Mungu humtumia ampendae na amtakaye Kwani hataYesu walimkamta wakamuhoji eti ww ndiwe mwana Wa. Mungu .Aliwajibu mwasema nyinyi hakuwa nasababu yoyote ile yakuwaambia kwani aliwajua niwagumu wamioyo huyohamza hataakitenda miujiza pia wasinge Amini kwaniwangapi humuduniani leowanatenda miujuza nakujiita Manabii na mitue wanawaamini hao hata mhamadi alisema hajui kusama pia yesu hakwenda shule huwezi kumuhukumu mtu ww ninani unayehukumu eti hanaelmu waowenyeelimu nauchungu kuhusu kuruani mbona batilikibao zinafanyika hawasemi uislamu unachafuliwa akiambiwa kel wanakasirika
@albertwanjala97575 жыл бұрын
Nimependezwa Sana na ukomavu ulionyeshwa na hao watahini, wamempa nafasi mzuri na licha ya kuwa na hisia zinazokinzana na zake, wamejaribu kumkosoa kwa msingi wa kidini, upendo na huruma. Bila kumsuta wala kumkemea bali kukataa tafsiri yake.
@salimalmahrizi3957 жыл бұрын
HUYU HAMZA AL KADHAB ANALIPWA NA MAKAFIRI APOTEZE WAISLAM.LAKINI ANANGOJEWA SIKU YA MWISHO.WACHA APOKEE HELA TU ZA MAKAFIRI.HII NI NJIA NYINGINE WANAYOTUMIA MAKAFIRI.WAISLAMU TUJIKAANGE NA MAFUTA YETU.ZINDUKENI WAISLAMU.TUSIWAPE FURSA HAWA MAKADHAB.
@omaryhaytham65677 жыл бұрын
ama kwa hakika Islam ndio dini ya pekee na imejikamilisha kila upande..... na Qur'an ni kitab kisichokuwa na shakka ndani yake
@khadijaabdallah96134 жыл бұрын
mashekh jitambuen mnavyo sema mkionyeshwa miujiza mtakubali utume wake inamaana mtapingana qur aan kuweni makin
@rezikomer95523 жыл бұрын
ALLAH umuongoza amutakaye na huwa hawaongozi awatakawo
huyu amenunuliwa ili kuwapoteza watu mungu amrudishe ktk haki maana anaijua Quran ila haitendei haki labda tu kwa uchache wa maalifa inshallah mungu mrudishe ktk haki inshallah
@ahmedmohamed90405 жыл бұрын
I can't imagine Hamza issa as a prophet while am not even seeing noor on his face & neither dignity covering him