No video

"NI UONGO, NIFUTENI, WEWE NDO NAKUTAKA" MVUTANO MKALI, UFISADI WAFICHUKA MBELE YA MAKONDA

  Рет қаралды 318,582

Uhondo TV

Uhondo TV

6 ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 291
@costantinejohn-xn6lw
@costantinejohn-xn6lw 5 ай бұрын
Magufuli kwenye mwili wa Makonda..... Eeh mungu tunakushukuru!!!!
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 6 ай бұрын
Hongera Mhe Rais kwakumteuwa huyu Mwenez Ccm inogile
@user-qz7dk1tt2e
@user-qz7dk1tt2e 5 ай бұрын
mungu akulinde siku zako zote
@jaylossiame3077
@jaylossiame3077 6 ай бұрын
Huyu mwamba 🎉🎉❤❤ Ungewai kuja hiki cheo walikuwa walikuwa wapi kukupatia. Mungu akupe uhai mrefu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 6 ай бұрын
Uhakika hao wengine akina pole pole walikuwa wapiga mapambio
@KogaDenha-yy8lt
@KogaDenha-yy8lt 6 ай бұрын
Mweshimiwa makonda mwenyezi mungu Akulinde Akukinge na Kila baya Akutunze uendelee kusaidia watanzania tunakuomba sana
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 6 ай бұрын
Hongera Sana mheshimiwa Makonda Kwa utendaji wako uliotukuka.
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 6 ай бұрын
Safi kabisa Paul na mungu akutangulie.
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 6 ай бұрын
Kama ndivyo askari wako walikua wanamkamata diwani kwa lipi
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 6 ай бұрын
Au wanamuweka ndani au kumuita ili iweje
@MathewPhilip-cf4xw
@MathewPhilip-cf4xw 4 ай бұрын
​@@omaryjudasymwanga7172❤❤❤❤❤❤❤❤
@MichaelJames-tp6co
@MichaelJames-tp6co 6 ай бұрын
Mh. Makonda hongera umakua matumaini tena kwa watanzania
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 6 ай бұрын
Mh makonda nakupenda sana na siku nikikuona nitapambana nikushike mkono ata kwa kupigwa na walinzi wako💯💯
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 5 ай бұрын
Hahahaaaa
@EmmanuelMwakyendenge-fd2mz
@EmmanuelMwakyendenge-fd2mz 6 ай бұрын
Makonda mungu akubaliki pia raisiwetu mama samia kwa kazi njema .ombi langu naiomba serikali na chama chetu ccm fikeni mbarali wananchi wana machozi juu ya arizi yao
@user-hx3mq5fg7v
@user-hx3mq5fg7v 6 ай бұрын
Cheo ulichonacho Ndg Makonda nahisi n kidogo na hakina meno. Nakuombea kwa Mungu upande zaid ya hapo hili utusaidie Watanzania.
@user-uz9kn3kv8t
@user-uz9kn3kv8t 6 ай бұрын
Mh pomakonda nakupenda sana umenikumbusha mbalisanaa
@user-rd8cg7su6v
@user-rd8cg7su6v 6 ай бұрын
Kweli makonda anafanya nyayo za hayati magufuli
@dennishyera5448
@dennishyera5448 6 ай бұрын
Duu! Tanzania tunakazi kuna mijitu haina upendo, Mh Makonda big up,kazi nzuri ila uko pekeyako. God bles you.
@ramsonramadhan4156
@ramsonramadhan4156 6 ай бұрын
Ww hayuko pekeake uyo ..kapewa kazi maalum na ana watu uyo..na Ujue watu walimbeza sana mwanzoni
@spendjulius-qz9mt
@spendjulius-qz9mt 6 ай бұрын
Good Mr. Makonda the next President 💪🏿
@gracewayanga7509
@gracewayanga7509 6 ай бұрын
Mh Makonda mungu akupe maisha marefu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂Makonda Oyeeeeeeeee kuwaa.uyaonee😂😂😂😂😂😂😂 Manyaraa nziiiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
@JamesChrizestome
@JamesChrizestome 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa wafanyakazi wa ardhi ndiyo chanzo cha migogolo na hata Mkoa wa Kagera mpaangalie kwa jicho la pili
@user-jf1sq7lk4g
@user-jf1sq7lk4g 6 ай бұрын
Hongera sana mh. Makonda kazi yako ni nzuri sana Mungu akulinde usiku na mchana.
@dassustephen731
@dassustephen731 6 ай бұрын
Huyu so Rais WA nchi Hana mamlaka yoyote.Hayo NI maigizo Tu Magufuli ndo aliweza hayo na alikuwa na mamlaka akiwa Rai's WA nchi
@saimonntani6831
@saimonntani6831 6 ай бұрын
Sasa mazungumzo yanini wakati mnasema mwekezaji alifutiwa kweli bongo nyoso😂😢😅
@user-qq3fg3kq5j
@user-qq3fg3kq5j 6 ай бұрын
Mh Rais tunashukuru Kwa kumteua Makonda ombi langu kama itakupendeza mteue na polepole washirikiane na huyu mwamba
@MwanneHussen
@MwanneHussen 5 ай бұрын
Safi sana Makonda wakomeshe watanyooka tu hao mungu akulinde❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@kantategodwin6627
@kantategodwin6627 Ай бұрын
Hongera sana Makonda ❤
@mbematv7588
@mbematv7588 5 ай бұрын
Good too! 🇹🇿
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
M.mungu atakubariki makonda
@njuka3515
@njuka3515 6 ай бұрын
The coming presdent paul makonda❤
@deogratiusmgute5983
@deogratiusmgute5983 6 ай бұрын
Excellent Dc
@kulwaemmanuel2875
@kulwaemmanuel2875 6 ай бұрын
Yaani haki ya Mungu huyu diwani amenifanya nimetoa machozi kwa hayo maelezo yake especially hayo ya kwanza daaaaa!!! Nimegundua hii nchi wanyonge hawana sehemu ya kulalamikia, big up sana Makonda your a voice ya wanyonge, Mungu azidi kukuhifadhi kwaajiri ya hili taifa.
@beatrice4780
@beatrice4780 6 ай бұрын
❤AMEN. Mungu azidi kumuinua.
@user-xh5ds2mb5w
@user-xh5ds2mb5w 6 ай бұрын
Lakini wananchi tuwamke jamani na tuacheni kuburutwa na C.C.M. kwani walikuwa wap miaka zote hizo mpaka leo miaka 60 wakitawala wananchi wake wakinyanyapaliwa? Lakini ikifika miaka kuelekea uchaguzi ndyo wanajitokeza kutuvumba macho kuwa wanatujali Sisi wanyonge ili wapate kula zetu ili waendelee kututawala. Na yote yakiwa yanafanyika wanaotawala ni wao wao tu C.C.M. Kwa hivyo niwaombe wananchi wenzetu tuwamke na tusiwe kama vile tumekorogwa na C.C.M.
@margaretkato5178
@margaretkato5178 5 ай бұрын
Hata mimi machozi yamenitoka
@LalasalamaBB
@LalasalamaBB Ай бұрын
Mungu akulinde makonda sio rahisi kazi unayoifanya maadui wko.kma ungekuwa kwetu Kenya ungekuwa zaidi ya ruto
@ndayizigasamson665
@ndayizigasamson665 5 ай бұрын
Aise mweshimiwa Makonda MUNGU akupemaisha marefu yakuwasaidia wananchi. Mwenyewe nimeipenda.
@costantinejohn-xn6lw
@costantinejohn-xn6lw 5 ай бұрын
Duuuuuh kwenye kazi Kuna kazi
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 6 ай бұрын
Diwaani pita hapa Safiiii..mh MAKONDA.❤❤❤❤
@mistahkeytvkenya4211
@mistahkeytvkenya4211 Ай бұрын
Walipo mumaliza John walifikiria kuwa wameimaliza Tanzania,Hila mungu nae ni mkuu akamuamusha maguu mwingine mwenye jina tofauti kuwa makonda,,twakushukuru shuja makonda
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Ай бұрын
Eti heeeh 😂😂😂😂walipo muua Yesu walizani amekufa kumbe badala yake injili yaendelea, Makonda endeleza walicho kuanzisha Baba zetu wa taifa mwalimu Julias kambarage Nyerere pia Mwalimu Johnie pombe Magufuli hiyo ndio faida ya kuzaa viongozi hao wameonyesha uzalendo tunajifunza mengi.. Mungu pekee astahilie sifa zake njema na wakati wote akutangulie popote duniani
@user-cu3dg8xd7q
@user-cu3dg8xd7q 6 ай бұрын
Makinda amebadilika sana utoto umemtoka amekua sasa anajua majukumu . Kudoss to his mentor hayati magufuli😢
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 6 ай бұрын
Diwan naomba apande cheo
@margaretkato5178
@margaretkato5178 5 ай бұрын
Diwani anafaa sana, anaongea vyema..bigup....na kijana Makonda you are doing wonders.
@user-th4fv9ro2v
@user-th4fv9ro2v 6 күн бұрын
Namkubali sana diwani,
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 4 ай бұрын
Hii kazi ilipendeza aifanye waziri mkuu ila ccm mjitafakari muda ni mrefu miaka zaidi ya 60 hatukupashwa kuyasikia haya ya enzi za ukoloni
@user-kd3ky8tb4v
@user-kd3ky8tb4v 5 ай бұрын
Hapa kwa makonda nakiona kiatu alichokua akikivaa magufuli taar kimepat mrithi . Mungu akulinde mh makonda
@annejacobilkiuyoni2971
@annejacobilkiuyoni2971 6 ай бұрын
Mungu akulinde🙏
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 6 ай бұрын
Makonda Ukuje na kwetu Kunamajizi hatareee
@touches4lifeonlinetv46
@touches4lifeonlinetv46 6 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki na akulinde saana 🎉❤paul makonda
@ev.manassehbayori8560
@ev.manassehbayori8560 4 ай бұрын
Kwa kwerli mzimu wa Magu umerudi katika nafsi ya Makonda
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 6 ай бұрын
Watalaam wengi ni biashara binafsi.Wanamezwa na,kwenye ukwasi Kuishi eneo moja kwa miaka mingi mtumishi mtalaam nalo nitatizo.
@bonifacemushijoseph9382
@bonifacemushijoseph9382 Ай бұрын
Mhe. Ningetamani sana sana ujue dhuluma inayoendelea Tchibo estate mikataba yao tulitamani wananchi kujua, barabara mbaya tofauti na wawekezaji wengine
@misembe
@misembe 6 ай бұрын
Safi sana makonda
@Pastorsteverotali
@Pastorsteverotali 6 ай бұрын
MAKONDA UNASTAHILI KABISA KUONGOZA HII NCHI NA WATU WAKANYOOSHWA KAMA ALIVYO WANYOOSHA MAGUFULI
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 5 ай бұрын
Makondakm magufuli wetu jmniii Mungu mwema akubariki Sanaaaa Baba....maombi yetu hayatakuwa bureeeee aminaaa
@SuzanaPokella
@SuzanaPokella 2 ай бұрын
Uko vizuri sana kiongozi
@cvaginga9956
@cvaginga9956 6 ай бұрын
HONGERA SANA MHESHIMIWA MAKONDA. MTU KAZI. HUNA MBA MBA MBA. TUPO NYUMA YAKO. KAZI IENDELEE
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 5 ай бұрын
Ee Mungu ninaamini unasikia Kila kitu leo ombi langu kwako ulinde mh Makonda na mh Rais wetu Mama yetu Mpendwa Dr. Samia Suluhu Hassan aliyemteua licha ya wengi kumchafua lkn mama aliiona talanta yake ya uongozi kwa Kijana huyu mchapa kazi. Mungu ibariki Tanzania Amen
@mussakashinje8733
@mussakashinje8733 11 күн бұрын
mikoa mingine hazifanyi kazi only mkonda baba fanyakazi
@DenisRamadhani-mg1gu
@DenisRamadhani-mg1gu 3 ай бұрын
wakisema unakiherehere bora uwajibu nawatengenezea nchi nzuri watoto na kizazi endelevu waishi kwa haki na furaha na kuichukia tamaa"
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 6 ай бұрын
Kazi ipo sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Hii nchi haki haipo yan kuna uozo sana wananchi wanalia
@Juniorbaraka21
@Juniorbaraka21 5 ай бұрын
Diwani upo sawa sana nice one
@robertmbuji1903
@robertmbuji1903 6 ай бұрын
Kidum chama chetu hicho chuma sasa, Mungu akujalie
@user-ho7er6en5x
@user-ho7er6en5x 6 ай бұрын
Mungu akulinde makonda namimi nimezurumiwa ardhi namwanangu
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Ай бұрын
Sasa mwana kakudhulum au kachukuwa cha mzee wake
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 ай бұрын
Wananchi wanateseka saana leo hii mtu kama Rostam anawekwa ni tajiri Africa kupitia uwekezaji wa ajabu
@henrykanyumi6882
@henrykanyumi6882 5 ай бұрын
Mungu aifariji family na watanzania wote
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 6 ай бұрын
Jiwe walilolikataa wash @Makonda Mwenyez Mungu akutie nguvu ndugu yangu
@MichaelRobert-ot9zh
@MichaelRobert-ot9zh 6 ай бұрын
Uko vizuri Sana mueshimiwa makonda
@user-vf6qm9ek7r
@user-vf6qm9ek7r 6 ай бұрын
Siku ukigombea uraisi nitaa muka saa8 usiku ili niwahi kukupigia kula maana namuona magufuli ndani yako .mungu akubaliki sana siku moja uwe raisi ktka inchi hii haki itatendeka sana
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 ай бұрын
Hahaha Labda tumuulize Tundu lissu kuhusu Makonda..😂😂 Kumbuka huyu jamaa alikuwa mkuu wa mkoa DSM unajua kuna mauchafu mangapi alifanya? Akataka kuwa mmbunge wa Kigamboni unajua kwa nini alikosa ubunge? Sasa huo uraisi ataupataje na nani atampa.. Ccm oyee..😂😂😂
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 Ай бұрын
Namimi pia❤
@user-yr1cb2ql1h
@user-yr1cb2ql1h 6 ай бұрын
No ya mheshimiwa makonda inapatikana
@user-pz9by1ml2x
@user-pz9by1ml2x 6 ай бұрын
Yani nchi hii watu kama Makonda yatakiwa muwe kama mia mbili ndo mtaiweza hii nchi
@chalespamagila4783
@chalespamagila4783 6 ай бұрын
Makonda ipo siku mungu utaongoza hii inchi
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 6 ай бұрын
Haya ndio tunayataks,
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 6 ай бұрын
Mh Mwenezi kuna box limefungwa la siri(Ebu wasaidie wananchi hao na diwani wao box hilo lifunguliwe.
@AnoliasiKope
@AnoliasiKope 2 ай бұрын
Mungu nimwema
@allyfutto8763
@allyfutto8763 6 ай бұрын
Big up to makonda watu wabadirike wawache Ufisadi 🇹🇿💪🏿
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 6 ай бұрын
Mnawafunga wadogo je wezi wa mabilioni huko juu mbona hawafungwi?jela ipo kwaajili ya wadogo kwa vyeo na maskini.Tanzania mahakama zipo kwaajili ya wanyonge
@akidabakary9198
@akidabakary9198 6 ай бұрын
Semaa,usiogope semaa
@HamadSwaleh-f9i
@HamadSwaleh-f9i Ай бұрын
Next president bila kupingwa
@FelgusShija
@FelgusShija 6 ай бұрын
Wanazingua
@user-ff4wo9lx6t
@user-ff4wo9lx6t 6 ай бұрын
Mmh jmn Tanzania
@sharafisaidi7999
@sharafisaidi7999 6 ай бұрын
Kazi hii pia ingefanywa na wazili ofisi ya rais temisemi tukupe hongera
@dorcusnkwao5714
@dorcusnkwao5714 6 ай бұрын
Big up katibu mwenezi
@user-kf6gy9tc9v
@user-kf6gy9tc9v 5 ай бұрын
Siasa weee nakukubari mzee siasa
@user-yc1tm4hp4n
@user-yc1tm4hp4n 4 ай бұрын
Mh. Mungu akulinde kwa kila baya. Na hao wanaokushutumu Mungu awalani. Mh.Makonda Tanga umepita lakini hukusikiliza kero. Tanga kumeoza ofisi ya ardhi ndio chanzo kikubwa cha migogoro. Lugha zisizo ridhisha. Mh. Kuhamisha sio suluhu yeyote ahusikae na tatizo awajibishwe ili iwe funzo kwa wengine. Kwani huwa wanafubwa macho na wanazibwa masikio na wenye hela na kushikiana na baadhi ya wenyeviti ambao husema umechelewa Magufuli amekufa. Hii sijui inamanisha nini.
@npiperito19
@npiperito19 Ай бұрын
Laiti kama Mozambique tungekuwa na viongozi wenye msimamo kama wa mweshimiwa makonda, tungekuwa na maendeleo, lakini tunaishia 🤣🤣🤣. Kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri Ай бұрын
Kihalali kabisa sioni haja kuwapora Wananchi Mali zao zozote hasa hata haya mashamba, thamani ni mwenye shamba auze shamba lake kwa anaemtaka, au kwa anaowataka.
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 6 ай бұрын
Daa mngu akulinde muheshmia unakiatu kzto mtu mngne hawez kukivaa mngu skulinde mheshmiwa
@DenisRamadhani-mg1gu
@DenisRamadhani-mg1gu 3 ай бұрын
nyoosha mzeee usiwe na huruma kwa wasiotenda haki " usiogope kulogwa wala kufa maana kufa kupo tuu" piga kazi kaka
@an-noormedia2881
@an-noormedia2881 6 ай бұрын
Dc mzuri saana maashallah
@ElizabethFesto-fv2ku
@ElizabethFesto-fv2ku 6 ай бұрын
Hao ndiyo wanao haribu sifa ya serikali yetu
@ev.manassehbayori8560
@ev.manassehbayori8560 4 ай бұрын
Makonda umenifurahisha kwa kweli naona utendaji kazi wa Magufuli
@maigarasamwel8441
@maigarasamwel8441 4 ай бұрын
Huyu ndo diwani sasa👏
@user-sy3qw2zk1b
@user-sy3qw2zk1b 6 ай бұрын
Msaidie mama kuondoa madudu haya makonda.!!!
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 6 ай бұрын
Huyu si ndo yule fisadi
@user-on2ob2jf1x
@user-on2ob2jf1x 6 ай бұрын
Kimeumana
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 6 ай бұрын
Pole sana diwani wewe nimsema kweli
@zakayomasingoti9238
@zakayomasingoti9238 6 ай бұрын
😅yaan mtathimin anajistaki mwenyewe
@user-bv4mi2wo8o
@user-bv4mi2wo8o 6 ай бұрын
Safi sana makonda wanyoshe sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 5 ай бұрын
Nakuombea Mungu akutie nguvu makonda
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 6 ай бұрын
Jibu ndio au hapana sio maelezo.
@ikajiissa6556
@ikajiissa6556 5 ай бұрын
Makonda mungu akulinde wewenimwamba
@bosssyedmund8785
@bosssyedmund8785 6 ай бұрын
Inaonesha kias gn matatzo mengi hayafanyiwi kaz
@iddiabdallah7352
@iddiabdallah7352 6 ай бұрын
Ona mzee anavyowanyoosha viongozi kwamba uongozi haupo vizuri kwenye maamuzi
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 6 ай бұрын
Kuna wakati hizo zinakua ni deal za watu na zinakuaga na maelekezo kwamba iweje so hao wanajigongagonga lakini wanajua kisanga hapo ni nani wa kumvisha paka kengele
@stevenshija2848
@stevenshija2848 6 ай бұрын
Huyu mkuu wa wilaya safi sana 🔥🔥🔥
@amosmangura
@amosmangura 6 ай бұрын
Tanzania
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Wasafi Media
Рет қаралды 3,9 М.
MBUNGE BABU TALE 'ALIA' MBELE YA RAIS SAMIA "SINA PAKWENDA"
5:03
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 38 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 8 МЛН
USHINDI WA MWABUKUSI NA ATHARI SABA ZA DHULUMA YA DOLA KWA WANATAALUMA
12:02
Usiku wa Kuamkia Leo RC Hapi amuweka Ndani Diwani CHADEMA, KISA?
25:35
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 39 МЛН