To his respect for Bro Taji, i created today his Wikipedia profile to honor his legacy and history before he passes away. As anyone can contribute more
@bobrama64744 жыл бұрын
Gonga like kama na wewe haujawahi kupitwa na kipindi hata kimoja cha Salama na....
@wanzakleruu4 жыл бұрын
Pamoja sana Bob
@bobrama64744 жыл бұрын
@@wanzakleruu 🔥♥️♥️
@hopeobeth98064 жыл бұрын
Nakupenda sana kipindi hiki unatubuludisha unatufundisha unatupa ujali katika mambo mbalimbali kutokana na maswali yako mungu azidi kukulinda . .inshallah kofia nyingi sana salama na.....
@subirajohn728 Жыл бұрын
Aiseee! Pole sana Taji kwa historia hiyo ya Mama!
@bahajajuma59474 жыл бұрын
Hatimae tumerudishiwa Jessica wetu😍...fahari ya Yeah Ston Town!!
@najma32684 жыл бұрын
Nimependa sana watu unaotuletea wanatufunza mengi history zao Na maisha kwa ujumla
@matthewpaddy64442 жыл бұрын
Eti bonge la Bibi haaaaaaaaa
@nurukhalifa94134 жыл бұрын
Bi Salama wasuka nywele mbili weyeee umependeza shost
@Djso264 жыл бұрын
mental health ni tatizo kubwa sana! toka kitambo na bado linashika kasi . pole sana kwa mikasa iliyopitia familia yako, ni mengi yakujifunza kutoka kwako. God bless you!
@calvinngowi94144 жыл бұрын
Bonge la kipindi for sure hii alhamis nmejifunza sana nmempenda jamaa wa times FM .....kama tunaruhusiwa kutoa pendekezo nataman kumuona mbwana ally samata anytime you are ready
@Burner_Acc4 жыл бұрын
Mfikishie Taji hili, nilipanga toka zamani kumuita mwanangu Taji after him hata kabla ya kipindi cha leo. Hii interview just cemented it.
@bahatikiwambe23904 жыл бұрын
Mine is Taj,released Taj means crown in arabic,french,portugesee and swahili
@Burner_Acc4 жыл бұрын
@@bahatikiwambe2390 Awesome. Mine will have an "i" in the end to bring that Swahili in it.
@TheMastertz3 жыл бұрын
Oh wow!! Mungu awajalie watoto wema kabisa!!
@swahiliwithZita4 жыл бұрын
Nimekisoma hadi mwisho "I can, I will, I must" Mengi amejitahidi mno kutuonyesha Tz ya zamani na ya sasa. Good interview, story ya mama inauma. Salama, mbona role model Taji hamna maelezo kwenye description kama kawa?
@owlbig4 жыл бұрын
I like this interview
@lulumally91344 жыл бұрын
Always a great show. I would love to see more female guests
@oyay28214 жыл бұрын
Yeye mwenyewe Salama ata hojiwa lini?
@lulumally91344 жыл бұрын
@@oyay2821 Ni kweli. I have a few questions for her.
@mazengomanyama7844 жыл бұрын
yupo vizuri enzi za Allan quartermain alikuwa star
@ronniebertin3563 Жыл бұрын
Salama we mchokozi
@roqerz4 жыл бұрын
Allan Cotarmain Daah Long time😂😂 I love this movies
@rahmaawadh94114 жыл бұрын
Taji daaahh kichwa sana huyu jamaa
@omaressau32994 жыл бұрын
Hatimae Salama amefunguka.., wahuni tushaelewa ila tunaishi
@rehemamajaliwa2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣kweli
@simonsanga21294 жыл бұрын
Niko kwa maktaba ya salama nachimba madn
@bundukitv4 жыл бұрын
MAFANIKIO:- Fanya mambo haya matano (5) kabla hujaingia mwaka 2021👇👇 www.mrbunduki.com/2020/12/fanya-mambo-matano-5-kabla-hujaingia.html?m=1#more
@nurukhalifa94134 жыл бұрын
Taj very humble n smart mi pia ananivutia sanaaa
@OnlyRuky4 жыл бұрын
Salama asante kwa kumleta Bro T but story yake na family imenisikitiishaaa.
@rubyring1003 жыл бұрын
I have never seen a person who can talk about stupid stuff with a straight face 😂😂😂😂 Taji you are so funny...
@oyay28214 жыл бұрын
Salama mwenyewe ata hojiwa lini?
@manyandatimoth74 жыл бұрын
Dah, leo nimewahi like zangu plz
@marthamshana69424 жыл бұрын
Good interview
@honestyerasto4 жыл бұрын
dah! huyo mama alikuwa na roho ngumu sana.
@asnamlawa17184 жыл бұрын
Don't say so, there is beyond !REST IN PEACE MOM DORIS THE MOST WONDERFUL MOM WHO RAISED THE HALF OF THE CLAN INCLUDING ME..
@daviddalama92904 жыл бұрын
Salama Naomba na Jesca awe anabadilisha viwalo kama ww....itapendezaa sana.
@animationsong65114 жыл бұрын
nguo za kazi mzee
@rubyring1003 жыл бұрын
Wooow i am so heartbroken!! 😭😭😭😭😭
@salumuseif33242 жыл бұрын
Bro ana madini sana
@saidishebuge47964 жыл бұрын
50 years
@aliabdi41544 жыл бұрын
I like the guest
@lisamsangi40914 жыл бұрын
One of my best interview
@abdulkhamis66834 жыл бұрын
🇺🇲 somo zito sana
@bkzktx70784 жыл бұрын
REPUBLIC V AGNESS DORIS LIUNDI (1978)
@christiannalimi12584 жыл бұрын
ooh kumbe ni hii case dah
@MrSABYY4 жыл бұрын
Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa..... ------------------ Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa, Asante 1: IST old - 850,000/= 2: HARRIER New-1,000,000/= 3: HARRIER Old-950,000/= 4: RAV 4 - 950,000/= 5: RAUM - 850,000/= 6: SPACIO - 850,000/= 7: PASSO - 800,000/= 8: VITZ - 800,000/= 9: PREMIO - 850,000/= 10: ALTEZA - 850,000/= 11: SUBARU - 850,000/= 12: CARINA - 850,000/= ---------------------------------------- Gharama hizi zinahusisha malipo ya 1: Port Charges 2: Shipping Line 3: Walfage 4: Agent Fee 5: Plate no ---------------------------------------- ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876 ☎️Whatsapp +255 653953900 📧 Email: charlessabikazi@gmail.com 📢Marketing by @cairo_promotions 🏢Company: Mofaz movers 📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue Dar es salaam, Tanzania *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏 *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏
@husseinmaingo71164 жыл бұрын
Wateja wanaonipa raha mmoja wapo "CHESKO" hahahaha Salama bhana
@godlistenorio59504 жыл бұрын
Smart mind
@highthemetv78574 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmiyf6mJiLCNgtU 👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😨
@lichilasalumu79834 жыл бұрын
Uko VIZUR,nimekujua kweny afroeast lunch ya harmonize,uko VIZUR the way unavyoongea.
@richardngwiso75884 жыл бұрын
Napenda sana hichi kipindi but hiki ni zaidi ya vyote nilivyowahi kusikia .
@asmintambwe95474 жыл бұрын
Hili tukio la mama ako kuthubu nakumbuka kuna mwanamama Mto msimbazi alimchoma mwanae kisu nayeye akajichoma Ila mtoto alihamak akakimbia Ila mama akukoma akamkimbiza alitaka wafe wote bahat walitokea wananchi
@greatiq78354 жыл бұрын
Enzi za Business Times zimo?!☺
@waltermauki73684 жыл бұрын
Dkt Leakey abdallah Please
@endlessloveofchristlovewor99914 жыл бұрын
Hiyo story ya mama yake imenifanya nilie. Hakika Mungu anamakusudi makubwa sana na mtumishi wake. Jeremiah 1
@khdigahk42464 жыл бұрын
Imeniumiza kwa kweli 😭
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.
@robisonmabaso47204 жыл бұрын
Kama wavulana wana rursa ya boda na bajaj kwanini hao wasichana wasitoke nao ili mambo yawe sawa badala yake unashauri watoke na vibabu
@TheMastertz3 жыл бұрын
Sorry Robinson, sikuona hii mapema. Nimejibu WATULIE huko kwasababu mahusiano hayo yanaeweza kudumu na kuwa bora. Pia na sisi wakubwa tunaona RAHISI kuwa na binti mdogo zaidi. Mada hii pana sana… Naamini jibu linaweza kuwa wasichana wawe wathubutu zaidi. Wavunje miiko ya kwamba KAZI fulani ni za wanaume pekee. Huwa naadmire sana wasichana ambao wapo site, wanaendesha bajaj, ni konda nk. Ila hizi kazi zinaCHAKAZA sana. Wanawaangalia wenzao wanapeta wanaona khaaaaa… mi mzuri hv nasota ya nini. Hata kama kasoma. Vijana mjitahidi MNO. Wasichana wako kasi mno. Usipokuwa mbele yao utabaki kuwalaumu. Wanataka MAFANIKIO sio story au ahadi. Naamini tunabadilishana mawazo, kama napatia sawa, kama nakosea, nielekeze. Ukifika 50. Mungu akijalia, rejea haya.
@TheMastertz3 жыл бұрын
Actually, swali lako Robison(n?) ni kwanini vijana wasitoke wenyewe kwa wenyewe? Hii ipo tena kwa wingi. Ila wapo mabinti wengi haswa mijini ambao wanaiona dunia pana zaidi na yenye fahari zaidi. Wanasababisha wenzao nao wavutiwe na dunia ya kisasa. Ndo nnachokiona.
@preciouspeter61264 жыл бұрын
Hiyo point ya kuolewa na watu wazima kwa sababu ya hali ya uchumi, I strongly disagree( my opinion). Kuna wasichana wanatoka familia bora na bado wanadate watu wazima kwangu nafikiri its more of a choice.
@calisttemba67434 жыл бұрын
Elewa unachosikia
@TheMastertz3 жыл бұрын
Hi Precious. Muulize msichana mwenzako kiundani kwanini alifanya choice ya kuwa na MTU MZIMA. Wasichana wengi hawatoi siri hii. Kuna jambo la kujadili kwa undani hapo.