SALIMU MTANGO AMVAA HASSAN MWAKINYO KUMTUKANA TWAHA KIDUKU/MUDA WAKE UMEKWISHA/ANATUKANA WATU

  Рет қаралды 16,171

JEMBESPORTS

JEMBESPORTS

6 ай бұрын

Пікірлер: 69
@MnangwaOmari1971
@MnangwaOmari1971 6 ай бұрын
Dogo upo fresh ulingoni, na Busara pia ipo! Mwenyezi Mungu akujaalie uweze kufikia ndoto zako Inshaa Allah!!!
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x 6 ай бұрын
Wew Salim mtango hauna lolote boya wew ni mtoto mdogo tuu kwa mwakinyo
@DicksonMsenga-sh2kb
@DicksonMsenga-sh2kb 6 ай бұрын
Kama alivyo babaako
@emmadominic9601
@emmadominic9601 5 ай бұрын
Dogo yuko vizuri kuliko uwazavyo, Mwakinyo mwenyewe anamuelewa huyo dogo. Yuko timamu kila idara
@user-vj1fz7qe7p
@user-vj1fz7qe7p 6 ай бұрын
Messi umetisha sana ndugu kauli nzuli sana mungu akuongoze
@BeteseLameck
@BeteseLameck 3 ай бұрын
Saf sana kaka nimekuelew
@seiphomary834
@seiphomary834 6 ай бұрын
Tambo hazina ukwel # mwakinyo ndio nembo yy kaangusha mzungu uingereza kwa record na ss washabk
@emmadominic9601
@emmadominic9601 5 ай бұрын
Kuhusu viatu kumbana vipi, na kusahau begi hapo unasemaje? Au umesahau
@SaidZavallah
@SaidZavallah 6 ай бұрын
Unafosi kujulikana sana mdogo wangu hahhahah pambana sana
@ssulking8136
@ssulking8136 6 ай бұрын
Mtango kauli zako ziko vizuri...big up bro
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 6 ай бұрын
huyu mtango fala kweli mwakinyo ndo nembo ya tanzania acha uchawi we
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 6 ай бұрын
Nembo ya Tanzania we huijui au
@emmadominic9601
@emmadominic9601 5 ай бұрын
Sawasawa na ndo mana alishindwa kupigana kisa kasahau begi airport
@user-cx7hm9ih1f
@user-cx7hm9ih1f 6 ай бұрын
Nakubali sana bulo ngumi unaweza
@AbalMuhsin-vi9wk
@AbalMuhsin-vi9wk 6 ай бұрын
Hilo twalijuwa vzr sana km Messi ndo wakwnza kuingya ktk Ngumi kulko Mtoto wa Kungwi
@jamesmartin7026
@jamesmartin7026 6 ай бұрын
Hawa waandishi wa mchongo bora serikali iwafungie tu, wanaaibisha taaluma. Mwandishi hata hajui kuuliza maswali yenye akili
@MakameMimma-oc4dr
@MakameMimma-oc4dr 6 ай бұрын
Tasinia yangumi imepotea tokamwakinyo asimame 2achenimabifu hassani anajua
@bausiwessaomar983
@bausiwessaomar983 6 ай бұрын
Mambea achaneni nae katika ugomvi wenu
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 6 ай бұрын
Alafu wabongo huwa atujielewi kabisa unajua ngumi ni mchezo wa kihuni kuna mda lazima umchokoze mtu ili kuweka vitu sawa
@HajiJuma-in2jj
@HajiJuma-in2jj 6 ай бұрын
Mbona mfaume kazi yake kutukana hatumuoni kwenye lingi na hamsemi mwanzo mmesema anamuogopa kiduku Sasa iv kakubali kwaiyo mambo yasiwe mengi tungoje tuone mwamba nan
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Sahivi ana njaa na pia kaona Kiduku kapoteza mapambano 2 anahisi nae atampiga
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 6 ай бұрын
Wewe mpuuz tu mwaknyo ndo bondia bola tanzania
@hamisally3576
@hamisally3576 6 ай бұрын
Mwakinyo hana hekima na mi namuona hajitambui
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 6 ай бұрын
Wewe unae jitambua umefanya nn chamaana
@rahmaidd8818
@rahmaidd8818 5 ай бұрын
Thank youu​@@user-zp5tm3wd8b
@yusuphkwaya7843
@yusuphkwaya7843 6 ай бұрын
Ww sijui unataka nn kwa mwakinyo
@mwamngoya
@mwamngoya 5 ай бұрын
mwAkinyo ndo kila kitu,tatizo nyie hamumfikii ndomaana
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 6 ай бұрын
Mtango kuwa na heshima mwakinyo ndo benders yenu acha kuogopa majiha unamfananiza na mwakinyo vpi wew dogo
@rajabuathumani1586
@rajabuathumani1586 5 ай бұрын
Dogo mjinga sana ww mwakinyo ndio tz one boya ww
@MakameMimma-oc4dr
@MakameMimma-oc4dr 6 ай бұрын
Mpakapiko alitambasana kuwaanamtakamwakinyo mudaumefika msitafutesababu mwakinyoooooooooooo😅😅😅
@sidearsenal666
@sidearsenal666 6 ай бұрын
Mtango fundi sana
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 5 ай бұрын
Ndio mana anaongea shombo kumbe kalitemwa
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 ай бұрын
Hata muungane MAFIA nzima hamumuwezi Mwakinyo mnajichoresha tu kwa Watanzania
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 6 ай бұрын
acha ushamba mi mkigoma mwakinyo hamuwezi twaha hata kwa nini
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 6 ай бұрын
😂 Akitukanwa Mwakinyo Hamsikii Ila Akiongea yeye Ndo Mnamuonaga Anataarqbu Kwel Naamin Ukifanikiwa N Changamoto Piah
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Una akili?
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 6 ай бұрын
Sawa ww ambae unazo
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 6 ай бұрын
Mtangazaji usimlazimeshe mess awe upande wa upinzani wakati hiyo sio weight yake wala hana ugomvi wowote na champion mwakinyo waache vijana wafanyekazi
@user-cp1bu1lr8t
@user-cp1bu1lr8t 6 ай бұрын
Wanajitamba wakina Mayweather mbna ndo mchezo wa boxing lazma uchangamshwe angali kweny mziki kila hiki
@abdulrahmanramadhan8285
@abdulrahmanramadhan8285 6 ай бұрын
Ww dogo mtanga nahisi umevuta
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 6 ай бұрын
Tanga kwa mashoga kataaneni mtajua wenyewe mashoganyie chambaneni tukanen.sisi atustuk tushawajua mnaroho mbaya ona ata wenyewe kwa wenyewe ampendani leo mtwango anatamani nagasi yamwakinyo.bas wandaaj kabla yamwakinyo nakiduku.bas anzeni mtwango namwakinyo ili mtwango rohoyake itulie mana naona anangaikasana
@makamenyotrainingboxing9421
@makamenyotrainingboxing9421 6 ай бұрын
Mbona munanengeneka kama zuchu😂 wakiongea wengine wakaa kimya akiongea hasani mwakinyo munaongea Muna washwaa sindiyo 😅😅😅😂😂 wacha Shobo mzee utaumiya una maajabu
@DiniMwambashi
@DiniMwambashi 6 ай бұрын
Mandonga akili hana ndio maana akipigwa kama kuku wamdondo
@DiniMwambashi
@DiniMwambashi 6 ай бұрын
Dogo unahekima sana tanga hatuna matusi
@user-iw3he7um7v
@user-iw3he7um7v 6 ай бұрын
Tim mwakinyo
@bornkilla6173
@bornkilla6173 6 ай бұрын
Mwakinyo sio Tanga tu ni Nembo ya Tz
@user-xk7kq5ep8u
@user-xk7kq5ep8u 6 ай бұрын
Heni wivu lwa mwakinyo tafuteni rekodi zenu
@mohameddiago2610
@mohameddiago2610 6 ай бұрын
huyo mwakinyo wenu anatafuta Kiki kwanza hamna anayemkumbuka kwa sasa kutokana na rohombaya yake akutaka kupigana mpaka alinyanganywa mikanda pia kumbukeni haongei na kakayake sasa mnamtetea mtu kama huyo nanyie has mpo kama huyo
@WillyMalale
@WillyMalale 6 ай бұрын
Maneno ya ki utu uzima bro
@user-le6co6yv5i
@user-le6co6yv5i 6 ай бұрын
Uyu dogo nae fala
@georgesteven5185
@georgesteven5185 6 ай бұрын
Kama ulivyo fala ww
@user-le6co6yv5i
@user-le6co6yv5i 6 ай бұрын
@@georgesteven5185 wenae kindi kumbe
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 6 ай бұрын
Acha chuki zitakuzulu
@saimongilala8938
@saimongilala8938 6 ай бұрын
Mwakinyo Hana kosa mnamuchokoza wenyewe umemtafuta sana
@user-zp5tm3wd8b
@user-zp5tm3wd8b 6 ай бұрын
Wewe dogo tulikua tunakuona wamaana kumbe shoga we ukumbuki ulimpiga mtu mtaani kwenu ukakimbilia dar mpuuzi ww
@ngarejumaa1730
@ngarejumaa1730 6 ай бұрын
baadhi yamabondia watanga wanarohombaya hawapendi kumuona mwenziwao anafanyavzr sasa ww mtango nahasani mwakinyo nimbingu na ardh kwaiyo lazima amponde mwakinyo iliyeye
@silvanusmahinda-ts3dx
@silvanusmahinda-ts3dx 6 ай бұрын
Unajitambua sn,ndo ubondia uo
@adamally8705
@adamally8705 6 ай бұрын
Mfateni kiduku na hizo piko zako
@edwardmaguluko6541
@edwardmaguluko6541 5 ай бұрын
HALAFU HAO WASHAMBA TU MNAPENDA KUTETEA WATU HUO NI UZWAZWA TU MFAUME KAMTUKANA MARA NGAPI MWAKINYO?
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 6 ай бұрын
Kwenye ngumi ukweli mwakinyo ndio kabeba bendera ya tanzania.
@richardarord8344
@richardarord8344 6 ай бұрын
Uyo mwakinyo analolote maneno tu wamemtandika mpk kaongopa kasaau begi analolote uyo mwakinyo
@abdullichibela6463
@abdullichibela6463 6 ай бұрын
Shida ya Tanzania 🇹🇿 ukifanikiwa unachukiwa ukiaribikiwa unapendwa😭😭😭
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Muongo ww,
@user-wu2er7go9j
@user-wu2er7go9j 6 ай бұрын
Muongo ww,
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 6 ай бұрын
Oya kumbuka wewe kuwa hapo Ni familia mwakinyo acha dharau kuwa na heshima
@adamally8705
@adamally8705 6 ай бұрын
Acha ukuma mwandishi wewe
Raila aingia serikalini kwa mlango wa nyuma
4:38
NTV Kenya
Рет қаралды 27 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 23 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 323 М.
Amiri Rashidi Matumla. Akiwa kwenye sparring 🥊
4:51
Gerald The Boxing Coach
Рет қаралды 2,4 М.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 1
28:02
YahStoneTown
Рет қаралды 69 М.
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 259 М.
1,2 or 3⁉️ #football
0:11
Radheya Marca
Рет қаралды 6 МЛН
ТОП 10 Итогов Евро-2024
39:51
МЯЧ Production
Рет қаралды 381 М.