SAMIA AMCHANAAA!!...Lissu AKIIONA hii VIDEO Atalia hadi AZIMIE!!!

  Рет қаралды 39,377

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 3 ай бұрын
Lisu Risasi zilimwathiri akili sasa amekosa busara ndiyo Maana anamtukana hovyo RAISI. LISU HUYU SI YULE WA ZAMANI .SASA AMEKUWA HOHEHAHE.HAFAI KUWA KIONGOZI TENA.
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 3 ай бұрын
Mh,Rais kwanza nikupe pole sana na hongera sana kwa kuvumilia mashtum na matusi ,kwanza umeonyesha busata kubwa kutokujibu chochote hiyo ni hekima kubwa sana, endelea mbele chapa kazi Mungu atapigana na adui zako tuko nyuma yako mimi sio ccm wala chadema ni raia tu wa Tanzania tunakupuenda.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 ай бұрын
Halafu eti ndio mtu anataka tumpe nchi atuongoze kweli jamani! Mdomo umejaa maneno machafu sera sifuri! Unajiongelea wewe kila siku bila kujali wenzako! TUNASIMAMA NA MAMA KWISHA!❤❤❤SAMIA S. HASSAN
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 3 ай бұрын
Mama usikatishwe tamaa, kazi iendelee ❤❤❤tunakupenda sana
@kapatazaina5444
@kapatazaina5444 3 ай бұрын
Pole sana mama kwa hizo changamoto!!Lakini usikata tamaa endelea kuchapa kazi mara nyingi mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe! Unafanya kazi nzuri sana .Carry on mama!!.
@FrolaMkolo
@FrolaMkolo 3 ай бұрын
Pole mama!! Piga kazi kura zetu zipo.tumeuona utendaji wako!!!panga pangua yako siyo mbaya !!! Tafta watu kama makonda wakuwakilishe Kila mkoa utavuka kwa kishindo!! Jipe moyo mkuu utashinda
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Sio atafute watu Kwan yeye ana fanya NN ww adi una shauli ata fute watu kwani yeye kazii yake NN we vp unakijua unachokiongea
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 3 ай бұрын
Mungu Awasamehe pole Nyakati na majira yanapita Simama Mungu Atatusaidia tunakuombea sana Raisi
@erickmsigala138
@erickmsigala138 3 ай бұрын
Waombee wazazi wako wenye dhiki Rais ni taasisi kubwa hana umasikini wa kuombewa na masikini
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 3 ай бұрын
​@@erickmsigala138kama nchiyetu aina machafuko na mama amesimam anafaaa kuombewa saan
@NuhuM-s1x
@NuhuM-s1x 3 ай бұрын
Umelazwa ulikua upo nje huko kama mkimbiz mama samia ndie kiongoz wajuu pekeake alie kuja kukuona mama alifanya ziara nje ukaja ukaonana nae sasa ubaya wamama uko wap mama samia ndie rais wetu mungu ametupa ndio maana ana uvumilivu sana mungu mbariki rais wetu mama samia suluh hasani tundulisu kua nashukrani
@frocoissango8973
@frocoissango8973 3 ай бұрын
Kipindi anapigwa risasi tundu alikuwa nani tz na yeye samia alikuwa nani tz? Kuja kumuhona siyo sababu yakuto kusema baya analo fanya
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 ай бұрын
Mama achana nahuyo risas zilimfanya akawa chiz Nan ampe chiz urais ndyo maana mbowe anampa agombee urais kil mar maana anajua hawezi pata
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Ilo sio tatizoo Aya na sisi ambae atuja lazwa tuna faidika nn zaidi maisha magum ivi nyie mna kuaga mna jitambua amaaa
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 ай бұрын
@@mbikamtanganakimaisha magumu unajiletea ww mwenyewe pambana upate maisha marahisi hata walio nayo wana mikono miwili na miguu miwili kama ww ku kosa kwako usibebeshe lawama wengine amka uka pambane
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 3 ай бұрын
Mh ayo ndo malipo unayo mlipa mama? Ulikosewa kuuliwa hapa ukahama nchi mama kakuruhusu kuja nchini tena akakuekea amani leo unamtukana km ivoo?
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 3 ай бұрын
Mama nikupe pole kwa yote ya mtaani, itoshe kusema wewe ni mama kweli kweli naendelea kukuombea Mh Rais wangu Mungu akulinde akupe nguvu na Afya, piga kaz mama Asiyekubali kua wewe unapambana kuleta maendeleo, achana nao mama.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Polee Mama Samia hata Magufuli alikuwq anatukanwa hivyo hivyo Mungu akupe nguvu na afya njema utashinda kwa kishindo
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 3 ай бұрын
Jamani tusiwe napamba Lissu mafuta wakati anakosea viongozi wetu
@NAFTALIMUNDANGA
@NAFTALIMUNDANGA 3 ай бұрын
Kwan Lissu kakosa nini? Kwan hamuoni hayo anayosema na yanayotokea? Abdul sasa hivi ndo anagawa rushwa sasa Lissu kakosa nini? Samia ukweli umetuangusha sana. Nadhan inatosha utupishe tu kwakweli
@nicodemshello163
@nicodemshello163 3 ай бұрын
Halafu mama SAMIA alikuja kukuona ulipopigwa risasi na watu wasiojulikana Leo unaongea hivyo yaani hauna shukrani wewe hata dakika Moja huwezi kuiongoza TANZANIA
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 3 ай бұрын
Sasa iyo nakuambiwa ukweliii ina usiana nn na wana nchiii
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 3 ай бұрын
Yaani kiukweli lisu kuwa raisi Ni ndoto za mchana
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 3 ай бұрын
Mama piga kazi wacha watukane wameshaona makonda ananguruma huku ,vijana wamejipanga vizuri hofu waliyo nayo ni kubwa mno
@VeronicaBayyo
@VeronicaBayyo 3 ай бұрын
Pole sana mama yetu mungu yu nawe❤
@agneskimario5197
@agneskimario5197 3 ай бұрын
Tundu lissu amelaaniwa. Tumwombee tu ili Mungu amhurumie
@JamesMuthangya-y8v
@JamesMuthangya-y8v 3 ай бұрын
Wewe lisu asha kutushi mama mama amekuonea huluma ukatoka ungaimbuni sasa wewe unatushi mama wewe Huna maana kabisha
@HappyMsuya-og7ok
@HappyMsuya-og7ok 3 ай бұрын
Pole mama Mungu akutie nguvu na akupiganie
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 3 ай бұрын
Maji ya moto hayaunguzi nyumba mwacheni apwagemshenzi na mwizi wa fadhila
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 3 ай бұрын
Kumbe ndio maana lisu alipigwa ilikua sahihi sasa inajionesha wazi domolake nadhani anakula mavi huyu sio chakula sio.riziki huyu
@jumannegeorge5594
@jumannegeorge5594 3 ай бұрын
Lissu ni mbaguzi Sana, ogopa mtu anayetaja dini ya mtu na kabila ya mtu hovyohovyo
@eliassimkonda6540
@eliassimkonda6540 3 ай бұрын
Kwa maelezo haya ukitaka utekelezaji wake maana yake kikokotoo kimekufa.maana uwepo wake ni kuwaadhibu watumishi huku chini ,Bigup my president.
@zaishanga1622
@zaishanga1622 3 ай бұрын
Usijali mama mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe na debe tupu hakuachi kutoka nakukubali mama piga kz achana na waropokaji❤
@JoyceKivugo-j8w
@JoyceKivugo-j8w 3 ай бұрын
Oyeee Mama Samia piga kazi tunakuombea unaeleweka vizuri.acha waseme kwani kazi ya ko inatisha una huruma ya kimama wee wasi kubabaishe.si bibi ni Mama wa nguvu.
@HappyMsuya-og7ok
@HappyMsuya-og7ok 3 ай бұрын
Usiogope kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji Mungu yupo pamoja nawe endelea mbele
@JulesNonda-sp1lx
@JulesNonda-sp1lx 3 ай бұрын
Hoyeeeeee Tanzania
@Abbas-fp5mc
@Abbas-fp5mc 3 ай бұрын
Kama SERIKALI inapokea MAGAWIO,KIPI KINACHO FANYA SERIKALI ISIWALIPE NYONGEZA ZA MISHAHARA NA WASTAAFU WAKAONGEZEWA ZILE %50-67 ZILIZOAHIDIWA.WATU WAPEWE NYONGEZA NDIPO TUTAAMINI.
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 3 ай бұрын
Siasa za matusi lisu ndio anazotoa lkn mama samia bora kunyamaza Allah atakulipia
@alexbayingana7879
@alexbayingana7879 3 ай бұрын
Hakika ALLAH akusimamie Ktk maamuzi Yako ya kila SKU hakika ALLAH akikkupa busara amekupa kilicho bora, tuko pamoja All the way acha wanaokusema vibaya waendelea wamelelewa vibaya.
@JoyceKivugo-j8w
@JoyceKivugo-j8w 3 ай бұрын
Mama pole na mashutumu Mungu alikuchagua hayo ni mapito ila Mtetezi anakuinua jicho la Mungu linamuona uko vizuri
@fadhakirnassir2917
@fadhakirnassir2917 3 ай бұрын
Kawaida ya wakizimkazi hua waungwana
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 3 ай бұрын
Hivi kweli lijama kama Lissu linaweza kuongoza nchi! Anamtukana raisi, Mama, mzazi na mtu mkubwa kama vile mtoto! Huyo jama akipimwa hakiri atadhibitishwa mginjwa tu.
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 3 ай бұрын
Na un ga na na lisu mm Nina mamaangu
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 3 ай бұрын
Hawana shukurani Habari.MUNGU akutunze mama yangu.
@NicholausZongo
@NicholausZongo 3 ай бұрын
Lissu fala tu
@hamisjuma2301
@hamisjuma2301 3 ай бұрын
Pole mama yetu mpendwa wetu mungu yupo nawe
@SaidiSwaleh-ex9nn
@SaidiSwaleh-ex9nn 3 ай бұрын
Lisu jembe tunakupenda sana fanya kazi baba
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 3 ай бұрын
Kumbe URASI MALIPO YAKE NDIO HAYO! nimeahirisha kugombea uenyekti wa KITONGOJI CHANGU 2024, maana kwa kweli mtu akinisema sina uvumilivu wa namna hiyo!
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 3 ай бұрын
Huyu kichaa mjuwe sio mtu wa kawaida au pengine akipanda jukwaani keshapiga maji machafu ndio mana maneno yanamtoka tu
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 3 ай бұрын
Ww L8su nimshenz8 saaana na hautawai kamwe kua Rais wa nchi kwa mwenendo huo hapana.ukitusi utatusiwa...ur days r countng
@asiaabdul8245
@asiaabdul8245 3 ай бұрын
Lissu amekuwa mwehu hana jipya matusi si hoja atoe mipango ili tuchambue hoja zake na ache matusi atafeli
@obednyagani506
@obednyagani506 3 ай бұрын
Lisu oyeee🎉
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 3 ай бұрын
Uyu mzeè ni mshenzi saan ni mshenzi saan na washenzi wanafuraia ushenzi anaoufanya..kweli unaweza ukapewa chi kwa matusi unayotukana mama. Alieilea hii nchi kwaamn kiasi hiiki.WANAO WAZA SIKUMOJA UYU MTU NA CHAMA CHAKE KUPEWA NCHI ANAWEZA AKAINGIZA NCHI HATA KWENY MACHAFUKO
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi 3 ай бұрын
Yani uyu asieeshimu utu wamwanamke hafai kuwa hata mfanyakazi wa michwari ivyokabisa hii takatak
@saiditasher8362
@saiditasher8362 3 ай бұрын
Ukweli unauma atukuelewi polojo tu gawio lamadini mbona kimya acha ungo ndimana tunatukana❌
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 3 ай бұрын
Busala hauna kiongozi gani uraisi ni ndoto kwako baba
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Kwahiyo CCM hiyo ndiyo hila zenu toka mwanzo kuzuia vyama vya siasa kuongea na hili pia mkahalarisha kuiba kura mbona watanganyika wote wanajua CCM wanachofany na unafiki mnaofanyia wanainchi wote.
@childrenincrisisfoundation562
@childrenincrisisfoundation562 3 ай бұрын
Mheshimiwa mama kwa kumfunga PAKA kengele, mapanya yanahangaika !
@binbakrii751
@binbakrii751 3 ай бұрын
Uyo lisu mbona alikimbilia nnje karudi juzi 2 uyo kibaraka wa mabeberu
@MwanaidiMsuya-sl3uu
@MwanaidiMsuya-sl3uu 3 ай бұрын
Mama songa mbele achana na huyo taira hajielewi na hawezi kutuongoza sisi wa halo ya chino
@marygregory7566
@marygregory7566 3 ай бұрын
WEWE NI MAMA NA UTAENDELEA KUWA MAMA YETU ASIYETAKA AJINYONGE NA BIG G
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic 3 ай бұрын
ikumbukwe CCM HAIJAWAHI KUSHINDA kwa kura za wananchi, bali ni wizi wa kura tuuuuu
@jokhaaliy3720
@jokhaaliy3720 3 ай бұрын
Lissu ulikua na akili kipindi hikooooo ila kwasasa 😂 yani unaongea kamananiliu😅
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 3 ай бұрын
Huyu mpumbsvu namatusi yake anataka amuongoze nani hana heshima mbele za wstu mi sina chama lkn haya matusi hapana yaani mtu mzima hana maadili au huko ugaibuni alivuta madawa ya kulevya.
@PULKERIAIZIDORY
@PULKERIAIZIDORY 3 ай бұрын
Kumbe wa Tanzania tunazuiwa kueneza ukweli hatufiki na nchi yetu inaharibika kwa watu wachache kumbe Rais wetu hana shida ila majizi yako pembeni yanamfanya Rais wetu aonekane mbaya wateuliwa wa Rais tunawaomba mumuonee huruma Rais wetu anataka mambo yawe wazi nyie anafanya madudu mpaka Rais anaonekana afanyi vizuri kiss nyie
@LangoiMollel-p1p
@LangoiMollel-p1p 3 ай бұрын
Mama kazi iendelee usimsikilize lisu mwache aropoke
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 ай бұрын
Wala usimtie akilini bi samiya ndo siasa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
We jibwa achana na lisu Yuko mstari wa mbele kupigania uhuru wa pili kutoka mikononi mwa mafisi em
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 ай бұрын
Mitusi yenu ndio inayowaponza! TUNATAKA HOJA HATUHITAJI VIOJA! SAMIA BADO YUPO YUPO SANA. Mpaka murekebishe midomo yenu michafu!!😢😢
@RobertsKibasa
@RobertsKibasa 3 ай бұрын
Busara inahitajika, matusi na lugha za mabavu haitamsaidia sana.
@twahirshali8014
@twahirshali8014 3 ай бұрын
Mwizi ni wewe lisu huna Adabu Wewe shoga wewe
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 3 ай бұрын
Kwa kweli hata Mimi limeniboa wakati katandikwa risas mama ndio alimshika mkono na kwenda Nairobi kumuona Leo anamtukana,hajui wema
@abdullahalsharji9428
@abdullahalsharji9428 3 ай бұрын
Kweli na anataka kukuza na ku Support ushoga tanzania nchi ya amani
@HassanKings-e7u
@HassanKings-e7u 3 ай бұрын
Mtu kama huyu eti awe rais si wananchi wote watakua vichaa huyu kweli ndio anautaka urais kweli watanzania msitutanie japo kua hatupo Tanzania ila kwa huyu hapana sifa ya kwanza ili uwe rais kwanza kuwa na hekma sasa huyu kwa bwabwaja hizi ikesha mnampa urais kwa kweli wananchi wengi nao watakua vichaa kiukweli
@RobertsKibasa
@RobertsKibasa 3 ай бұрын
Anaweza kuwa rais muda ukifika, pengine miaka 40 ijayo.
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 ай бұрын
Mama ulidhani utamgeuza nyoka kuwa mjusi, ukamsogeza karibu, huyo kibaraka wa wazungu
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 3 ай бұрын
Hawana shukurani binadamu.
@dismanManota
@dismanManota 3 ай бұрын
Lissu tumia akili
@alibulushi-d9j
@alibulushi-d9j 3 ай бұрын
Huyu jamaa hana akili mpumbavu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 3 ай бұрын
Samia unatukanwa kwa ajili ya watendaji wako vumilia tu upigwe spana
@MamaBambala
@MamaBambala 3 ай бұрын
Lussu hata umtwange kinuni upumbavu wake hauwezi kumtoka;Na midomo ya mwenye hila haiwezi kuacha kunena hila.Mama jipe moyo nauwe na moyo mkuu .UTAFIKA TU.Mwenyezi Mungu akulinde.
@Magreth-f2j
@Magreth-f2j 3 ай бұрын
Limesahau ulichowafanyia leo anaropoka kama kichaa wa milembe ni aibu mtu mkubwa kama yeye anatoa matuxi ys matakoni
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 3 ай бұрын
Mheshimiwa Rais wetu Mungu azidi kukupa maono na ujasiri umeruhusu mikutano ya hadhra Kwa vyama vya siasa nchin cha kushangaza na kusikitisha badala ya kuitumia fursa hii ili wawashawishi watanzania Kwa hoja zenye mashiko, malengo yao km wakipewa dhamana ya kiongozi Inch,lakini wao majukwani nikutangaza umbea na ukaguzi WA ukabira,udini, na ukanda, kiufupi ni Kwa mtanzania mwenye kujitambua hawezi Potenza muda wake kuandamana na kuwasikiliza wahuni hawo sera hawana wapowapo tu kupata ruzuku Kwa mfano MTU anaye jitambua ukampe kura Lisu awe Rais fuatilia mienendo na matukio yk alivyo kuwa shuleni jitambueni
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 3 ай бұрын
Kwanini samia anafukuza watu why akende kwao zanzibar akawafukuze sio poa
@twahirshali8014
@twahirshali8014 3 ай бұрын
Mulikuwa mumelala Nyie wa Zanzibar kawafungua macho washamba nyie
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t 3 ай бұрын
Afadhali ungemuacha huko aliko kuwa acha mwisho watajuta
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 3 ай бұрын
Kwataarifa yko Lisu...: Mama Samia Amekua Rais kupitia katiba na sheria.lkn mwaka ujao utakiona na utashindwa kwa huyo Mama unae mdharau.kweeenda kabisa punda wewe ulokosa fadhla.hyo hyo mama km sio yy mpka leo ungekua huko hko nje sheenzi typ ww
@sadih5333
@sadih5333 3 ай бұрын
LISSU hana nadhari vizuri ,anaposema huyu mama ni mwizi sio kwa Uislamu wake anamaanisha waislamu ndio waizi? adabu zake ni ndogo sana kalewa sifa.
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 3 ай бұрын
Mh.siutamuke tarakimu tuone mashirikayapi yanaongoza kwakutoamagawio serikalini nakamakilamwaka halitoi. halisitahili kuendelea kuwepo.
@shaibuchapuchapu5385
@shaibuchapuchapu5385 3 ай бұрын
Nchi ikiwa na wanasiasa mambu mbu mbu ni mzigo kwa Taifa,
@AkwilaJoseph
@AkwilaJoseph 3 ай бұрын
Jibwa wewe unayetamka jibwa
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 3 ай бұрын
Huyu jamaa hana hisani hata kidogo wala hana fadhila nilikua nikimpenda sana lakini kwa sasa sitaki hata kumsikiliza kwani yote alofanziwa na huyu Mama Rais mwenye huruma na kumwachia yote alioyataka mwisho anamtukana Rais wetu mpendwa ama kweli fadhila ya punda ni mashuzi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Wewe unapofukuza wamasai kutoka kwao ni sawa kuliko wewe kusemwa? Wewe nani amekufukuza kwenu Zanzibar hata Bunju kwetu hapa Tanganyika umefukuzwa na nani?
@AbdallaHassan-gu6fi
@AbdallaHassan-gu6fi 3 ай бұрын
Iko wapi Tanganyika ? punguzeni midomo michafu. Maraisi wangapi muliwafumbia macho. hawakua na makosa? Raisi huyu Hana kosa. KILA KIONGOZI NA ZAMA ZAKE. ACHE I WAHKA.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 ай бұрын
Mulitaka Wamasai wasalie kwenye nyumba za tembe wakati nyie mpo kwenye maghorofa na Ubelgiji!?? Acheni wivu!
@nicodemshello163
@nicodemshello163 3 ай бұрын
Halafu mama SAMIA alikuja kukuona ulipopigwa risasi na watu wasiojulikana Leo unaongea hivyo yaani hauna shukrani wewe hata dakika Moja huwezi kuiongoza TANZANIA
@DorokasiIssa
@DorokasiIssa 3 ай бұрын
Pole sana mama samia kwa vhangamoto hyo
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 1,1 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Duuh!..Akina KIGOGO Wavujisha SIRI MBAYA,Utalia SANA...KIMENUKAAAAA!!!
52:30