CHIEF GODLOVE APEWA SIKU TATU / HATUTAMWONA TENA.

  Рет қаралды 35,099

Ngasa Tv

Ngasa Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 422
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 17 күн бұрын
Sawa, Ila yeye c Yesu, wala wewe c Nabii kama unavyojiita.
@Hamisahemedi-h2q
@Hamisahemedi-h2q 16 күн бұрын
Kunywa pepusi Kwa mangi ntakuja kulipa 😂😂
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c 17 күн бұрын
Alafu wa Africa mnaotuletea neno lamungu muache mungu mwenyewe akajizungumzie
@petertimothy7882
@petertimothy7882 17 күн бұрын
Sehemu nyingine muhimu haisikiki.Kwa sbb onyo lako ni la muhimu rekebisha au kurudia sehemu isiyosikika mtumishi. Shetani ashindwe kwa jina la Yesu Kristo.Amina🙏
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 17 күн бұрын
Upo sawa. Ila na yule kwenye picha mnaemuita yesu pia sio yesu. Weka wazi na hilo.
@jeffreymgaya7568
@jeffreymgaya7568 17 күн бұрын
Hauko sawa wewe na hata shule sizani,,,,tunatumia njia hiyo kufikisha ujumbe hata asiyekuwepo enzi apate picha,,na wala hamna aliyesema yule ni yesu,,,
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 17 күн бұрын
@jeffreymgaya7568 we hjui chochote nyamaza. Watu wanampaka visanamu vyake wanavisujudia unajifanya hujui hilo!
@DannyWriter-m1y
@DannyWriter-m1y 16 күн бұрын
Unalalamika, kamaunaweza kutaka kueleweshwa nenda kwa katekista au padri..akueleweshe. Ila kama hauhitaji kwenda deep just chill na usilamu wako
@woah.africa99
@woah.africa99 16 күн бұрын
​@@DannyWriter-m1y ww ndio ueleweshwe hata hiyo bible huijui kwani uongo masanam yamejaa kwa wazungu mnauziwa mnayabudu ja na bee ibrahim alivunja masanam na musa alikataza kwa hiyo ujue mana bee wote ni waislam na hata yesu ni.muislam sio mzungu wala sanam la mzungu mzungu hana nabee hata mmoja ujue hilo
@mauajonelo8675
@mauajonelo8675 15 күн бұрын
​@@jeffreymgaya7568 duh😂😂
@PiusMaswili-wq8wc
@PiusMaswili-wq8wc 11 күн бұрын
Ni kweli Mungu ajizungumzie mwenyewe lkn Mungu peke yake awezi bila kuwatumia watumishi wake
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 18 күн бұрын
Amina mtumishi,Yesu apewe heshima yake !!
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 17 күн бұрын
ameni ameni ameni
@AgnesMussa-t7r
@AgnesMussa-t7r 16 күн бұрын
Mungu huwa anajitetea mwenyewe hatetewi na mtu maana yeye yuko hai,godlove huko ulikofika mdogo wangu ni mbali sana
@DavidDostea-z8u
@DavidDostea-z8u 17 күн бұрын
Mungu uwa hasamehi mtu anayemdhihaki
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w 16 күн бұрын
Asante sanah Mjoli wa Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru sana kwa kuonya kukaripia kwa wasiolinda IMANI yetu Ubarikiwe sana
@IsufuRajabu-v9c
@IsufuRajabu-v9c 17 күн бұрын
Mmuache sasa yesu mwenyewe amamuhukumu
@ChristanahChristanah-oo8jn
@ChristanahChristanah-oo8jn 18 күн бұрын
God love shenzi Wacha kuchafua jina la Yesu christo jinga
@AlinaniSiame-d5p
@AlinaniSiame-d5p 4 күн бұрын
yes yes God bless you and family🎉🎉🎉🎉🎉🇿🇲🇿🇲🇹🇿🇹🇿
@AronThomas-ws1sy
@AronThomas-ws1sy 17 күн бұрын
MUNGU akubaliki sana mtumishi .
@BABAZOO-e9k
@BABAZOO-e9k 15 күн бұрын
Daaah wakristo tunaenda wapiii
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 17 күн бұрын
baada ya kusema soma 1 thesalonike 4:16 sauti haipo tena. kazi kweli
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 17 күн бұрын
Cheaf goolive kapingwa na kitu kizito na shetani nae ni msukule wa shetani kuharibu wanadamu wenzao
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 17 күн бұрын
Mafanikio ni ya hapa duniani. Lakini Yesu ni Mungu mtu anawezaje kujilinganisha na Yesu? Pole sana huyu amechanganyikiwa na soon he will be crazy.
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj 17 күн бұрын
Uyo dogo anaakili sana Mungu yupo ndani ya mtu sio nje ya mtu na maana ya yesu tafsiri ya jina yesu ni ukombozi na christo maana yake imani au mafundisho na pia yesu inawakilisha vitu vyote vinavyoonekana kwa mwili na maana ya yesu ni Mungu katika mwili kila biadamu mwenye mwili ni muwakilishi wa Mungu hata ukisoma kitabu matendo ya mitume yesu alipochukuliwa na wingu walibaki wanaangalia juu akatokea mtu akawaambia mnaangalia nin huyo yesu atarudi kwa namna hihi kama mlivomuona.sasa huyo Godlove kwa neno hilo hajakosea hajasema yeye ni yesu amesema kama yeye ndo yesu je maana yesu n mkombozi na kinachokombolewa ni mwili maana mwili ndo unatokosesha na Muumba wetu kipenzi chetu baba yetu kipenzi kwaiyo baada ya kusikia yote na kuona yote tumuulize roho mtakatifu yeye ameletwa kuja kutuongoza na kutafsiri neno la Mungu kua mchungaji sio ndo unamjua msipotoshe watu wafundisheni ukweli msimkosee baba yetu kipenzi wa mbinguni ❤❤❤
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 17 күн бұрын
Chief God love atakuja kupata anachokitafuta fungeni muombe Mungu aonekane Mimi Sina Imani kubwa ila naomba afirisike huko aliko mpaka akatubu ameni naamini yatatimia
@SuleimanDastan-z5t
@SuleimanDastan-z5t 17 күн бұрын
Huyu si prophet Richard 😮
@joycefrances4516
@joycefrances4516 18 күн бұрын
Soma ,sisi tunamwamini Yesu ni MunguTito 2; 13. tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
@jkjonathanlabel4498
@jkjonathanlabel4498 16 күн бұрын
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
@aloyce6583
@aloyce6583 17 күн бұрын
Amefika mwisho huyo Glove
@Annaonesmo-x5b
@Annaonesmo-x5b 18 күн бұрын
Mungu ampe kifo kibaya yena afie kwenye gar
@ClaudKitoki
@ClaudKitoki 17 күн бұрын
HanifaOman hilo ulilolichangia unauelewa nalo au kwa vile inamaana kumkashfu Yesu,je unahabari wewe ni ndugu na makini ndio maana mnafanya nao ibada,Tena inasemekana mkitende mema hapa duniani huko mbinguni mtapata thawabu ya wanawake 70,moja kwa moja Mimi nafikili nyie nasisi tuna Mungu tofauti
@yesutuatosha1460
@yesutuatosha1460 17 күн бұрын
Kemea,kalipia honya. Mwenye masikio na asikie. Huyu kijana @godlove,uhuru umezidi kwake na anacho kitafuta atakipata.
@pungopungo411
@pungopungo411 17 күн бұрын
Huyo Godlave awaulize walioyangulia na mihadhara ya kishenzi yakumkashifu yesu.jua liliwawakia hadi mifukono mbingu zikafunga hadi kwenye afya zao.Godlave ktk hizo siki tatu mungu atakudhihilisha kua wewe sio yesu .jifunzie kwa farao
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 17 күн бұрын
Ww ni mjinga tu km huyu akuna kitu maana unasema maana ww ni mungu ukumu ni mungu anatoa achana yy mungu atadili yy si kazi
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 17 күн бұрын
Uko sawa
@pungopungo411
@pungopungo411 17 күн бұрын
Nyinyi waandishi wa habari washenzi mashetani mmeona. Shetani mwenzenu anapewa maandiko mnaminya sauti tusisiokie.ni.ni hivi Godlave Mungu akukemee kwa jina la yesu
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 17 күн бұрын
Kwani yesu unajua Mungu ndo anae jua halafu tujenge dunia dini kitu gani mzee izo shombo
@khalidharuna7452
@khalidharuna7452 17 күн бұрын
Vimeumana kwani uyo yesu ninani
@ImaniPhilbert
@ImaniPhilbert 16 күн бұрын
Ngoja niwasanuwe kurudi kwa Kristo mala ya2 hatotokea mawinguni kama mlivoaminishwa na viongozi wenu wa dini,,, Kristo atazalia hapa tz watakao amini ni wateule wa mwenyezi Mungu ,, Kristo ni riho ni spirt itamwingia mtu yoyote ila2mtu mweusi kwani hata Yesu alikua mtu mweusi ,kunielea hadi uwe na d2
@MeshackShabani-w1g
@MeshackShabani-w1g 17 күн бұрын
Balikiwa mtumishi was mungu..ingawaje huyo chifu godlove ameshiba na amutafute na kutubu
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 17 күн бұрын
Hahahahahaah ila chief dahh!!!! Amejua kukichafua
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 17 күн бұрын
Labda anatakafa anajua anataka kwenda kuzimu labda mda umefika mwacheni mungu amshugulikie mwenyewe
@farajansekela5763
@farajansekela5763 17 күн бұрын
Mungu ahangaike na Mtu wake ww povu linakutoka utafikili na ww unaundugu na huyo MUNGU,,,,,
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 17 күн бұрын
Oooh safi my bro speak!speak!!
@Malak4.5
@Malak4.5 18 күн бұрын
Mtumishi Neno ls Mungu lilishasema kwamba siku za mwisho watakuja makristo wengi wa uongo haina haja ya ku panic wkt Neno la Mungu lilitimia😅😅😅
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 17 күн бұрын
hiyo sio kweli
@SelinaDorcas
@SelinaDorcas 17 күн бұрын
Uko muongo
@kinkinatv6988
@kinkinatv6988 17 күн бұрын
I like you! umesema neno muhimu, na sisi wa kristo tatizo tunayo tunajipigania wenyewe wakati Mungu ndie yajua yote mwanzo na mwisho kwa hiyo aceni mungu akatende kazi, vita zetu sio za kimwili bali ni za roho mutakatifu aliomo ndani yetu.
@FadhiliOswald
@FadhiliOswald 12 күн бұрын
Ni kweli lakini haina maana tukae kimya pale neno la MUNGU linatukanwa ila hayana budu kutukia ila pia ni lazima tukemee na kutetea
@SilasPole
@SilasPole 17 күн бұрын
Huyo ameanza kuvuta bangi
@iam_maglan101
@iam_maglan101 17 күн бұрын
Mungu na Yesu wapi na wapi. Huyu babu vipi.
@WillBat-gc9ex
@WillBat-gc9ex 18 күн бұрын
Kweli mapumbavu ni mengi hata wewe unamsema mchungaji asiseme yesu ni mungu namuomba mungu akutoe mautini kama alivyo tutoa sisi amina
@eltonmika2797
@eltonmika2797 17 күн бұрын
Mbona papa ni kilema na ndyo kusema Kwa wakristo mbona hamumponyi😂😂
@eltonmika2797
@eltonmika2797 17 күн бұрын
Usituhusishe pambana na chief peke Yako, usitufundishe ujinga sadaka mshakula sana
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 17 күн бұрын
Hizo sadaka ulimpa wewe
@KaizaBiyaka
@KaizaBiyaka 17 күн бұрын
Tuna mengi yakufanya , twende mahospitalini kuwaponya wagonjwa kwanza ya Godlove tuachane nae
@japhetjonathan-l8n
@japhetjonathan-l8n 17 күн бұрын
Mmmh mimi nanyamaz tuu ila nnachojua yote haya yanatokea kwa sababu Yesu yu karibu kuja ila dah pesa hizi sijui zinapandaga kichwani
@JomoKilawe
@JomoKilawe 17 күн бұрын
Din Za Watu Zinawagombanisha😂😂😂
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 17 күн бұрын
Kwanza muandame zumaridi babu wee
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 17 күн бұрын
Acha ajiite hao wapuuzi wenzie wakafe huko Taahira tu ndiyo atamuona Godlove ni Yesu😂acha akufuru mbona YESU YUPO HAI TU WALA HATUNA MASHAKA MASHAKA..MPUMBAVU MMOJA 😂😂
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 17 күн бұрын
UBARIKIWE SANA MTUMISHI
@IsakoKino
@IsakoKino 17 күн бұрын
Na wewe ubarikiwe
@EliaHiluka
@EliaHiluka 17 күн бұрын
Hiyo nikufuru sana tunapaswa kushughulikia nae na kumwambia Mungu aweze kumlipa sawasawa na matendo yake
@barakanatus5676
@barakanatus5676 17 күн бұрын
Kweli hili swala tunatakiwa tushuke jumla naye.
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa 15 күн бұрын
Hiki kijamaaa goodlave ,selikàli kamata
@ChristianityBasicchurch
@ChristianityBasicchurch 18 күн бұрын
Upo vizuri mtumishi 100%
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 16 күн бұрын
Jaman mtumishi wa Mungu kuna sehem hujasikika ni kweli watu wanachezea Ukristo wetu sana 😢
@LilaA-oe6xk
@LilaA-oe6xk 17 күн бұрын
Mbona esu yamatha. Hukuongea bwanawe tupumzishe ss😊
@danielkanso
@danielkanso 16 күн бұрын
Jambo jema Mtumishi wa Mungu ika mbona hiyo thesalonika uliyosoma hatuja sikia ndiyo wenye chombo waliamua kuwa hivyo au
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 17 күн бұрын
Hata wewe pia umeamua kujiita mtume unamuonea tu zumaridi anasema yesu anaye yeye muilini make na anajiita mfalme ila umenyamaza kimyaa mana siri zenu munazijua wenyewe vyeo vyenu munavitoa wapi
@swordsaint.
@swordsaint. 17 күн бұрын
Huyu Chafu Godlove ni mtu mpuuzi sana wakati huu kayakanyaga maana kaingia sehemu mbaya mbaya ambayo hawezi kutoka kamwe. Maana kaenda Kwa mtu Wa Vita Mwenyewe aliyemuadhibu Falao na Majivuno yake, akaadhibu Miungu Baari 450 Sasa zamuyake yaja Atakufa kwa kuvamiwa na funza mdudu ambaye hakuwaih kumuuwa mtu Kama asipotubu kwa Mungu Wetu wa Heshima za Juu Sana hakika atakufa
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 17 күн бұрын
Kwani Yesu akirud atasema ni mim nimerud ?? Mbn hamjamsema yule ambae amesema yesu akirud atapnd gar lake ??😅😅
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂mtafute muongee wenyew😂😂😂😂muulizen vzr uenda ndie
@amanMasumbuko
@amanMasumbuko 17 күн бұрын
Anacho kitafuta god love atakipata akaulize kiboko ya wachawi. Huyo Mungu atamuonyesha yeye ninani kama amevimbiwa na ulevi wa hayo maroho ya kimashetani ata jua haju! Yeye atubu mapema.
@IsakoKino
@IsakoKino 17 күн бұрын
😂😂😂 hivi Kuna mkamilifu hapa dunian mbona zambi ziko nyingi hamkemei hivi ushoga hamuoni mbona mumekaa kmya
@frankmichael411
@frankmichael411 16 күн бұрын
Chief God Love tapeli
@JestinaSembe
@JestinaSembe 18 күн бұрын
Mungu amuhurumie
@MtumishiWaMungu-c6m
@MtumishiWaMungu-c6m 17 күн бұрын
Hawez kufa kama utakavyo.Neema ya Mungu ipo kwaajil yake na si kwaajili yako.Mungu hatetew na Hapangiw!.Amejaa fadhil na wema wake ufunika Ajabu.Yesu akikufuriwa haina shida ila Roho wake.Acha miyemko.Chief G hatakufa hakika
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 17 күн бұрын
Yule amejaa makufulu na kibuli sana na mungu huwapinga wenye kibuli na huwapa neema wanyenyekavu hivyo tambua neema ya mungu ipo kwa ajili ya wanyenyekevu tu wenye kibuli hiyo neema kuiona ni ndoto ya mchana
@MtumishiWaMungu-c6m
@MtumishiWaMungu-c6m 17 күн бұрын
@SmilingCityMap-xb9md leo cku ya ngap!?.Nakufundisha;-ukiona Neno in Bible,99% anaonge na watakatifu wake na si wasioamin!.hata akikufuru vp Neema ya Mungu inamgoja huku Dunia na hao wasiomcha Mungu watakumbwa na Hasira ya Mwenyez .Na Neema waliopewa wanadam ikifungwa,ila ckwa miyemko ya mtu kumhukum mtu,No!
@FloraNyalusi
@FloraNyalusi 16 күн бұрын
Amuulize Petro alipotoa upanga kumtetea Yesu aliambiwaje na Yesu alimwambia nini Yesu hujitetea mwenyewe huyo ndiye tunamjua Godlove ataokoka mpaka utashangaa mtumishi Mungu angekuwa hivyo angeangamiza ulimwengu
@WalterpeterMasawe
@WalterpeterMasawe 17 күн бұрын
Msamehe tyu Mtumishi
@PaulKaisi
@PaulKaisi 17 күн бұрын
Huyu kijana amekuwa na kiburi sana kiasi Cha kujifananisha na Yesu kristo hata mm nasema hivyo hivyo ,hii mizaha juu ya Mungu wetu hatutaki kabisa
@OmaryMgoss
@OmaryMgoss 17 күн бұрын
Mungu tena duuuh 😂😢😢😊
@donkaloza6985
@donkaloza6985 17 күн бұрын
Nauliza sio kwa Ubaya kwan Yesu nae ni MUNGU?
@ShabiniAmri
@ShabiniAmri 17 күн бұрын
Yessu si mungu, hakuna waungu wawili.
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 15 күн бұрын
Ndiyo ni Mungu ndo maana anaitwa Emmanuel Yani Mungu pamoja nasi​@@donkaloza6985
@AndreaPetro-x8b
@AndreaPetro-x8b 17 күн бұрын
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 17 күн бұрын
Mimi sihangaiki na makristo ya uongo maana ilitabiriwa tangu kale. Chief Godlove ni mpinga Kristo wa wazi tu na hakuna sababu ya wakristo kuhangaika naye. Anachokipanda atakivuna
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 16 күн бұрын
Mungu adhiakiwi atamjib godlove
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 16 күн бұрын
Uyu mtt ni kichaa ndio mana yupo mungu msemaji wa mwisho
@MIKISTUDIO-wr6sy
@MIKISTUDIO-wr6sy 16 күн бұрын
Sikiliza vizuri
@NoelMalecela
@NoelMalecela 17 күн бұрын
Kwani yesu Mwenyewe anashindwa kujitetea mpaka UJE umtetee wewe??..🤣🤣🤣🤣, haya mambo yanahitaji AKILI kubwa Sana kuyaelewa. Maana si Kwa minyororo hii ya utumwa wa fikira tuliyofungwa na hizi dini za wazungu na waarabu..
@BarakaJumanne-r6c
@BarakaJumanne-r6c 16 күн бұрын
Nakuelewa sana wazungu wanatuona ss ni wajinga maana tunabisha tuschokijua
@woah.africa99
@woah.africa99 16 күн бұрын
Uarabuni ndio ma prophets walipo tokea kwa hiyo ni dininya ukweli ila kwa wazungu hapana wamebadilisha kila kitu na yesu pia alikua muislam mana ibrahim na Sarah ni kutoka irag na wote mana bee ni kutoka kwa mmungu mmoja hata hao warzbu walikua makafiri mwanzo ndio mana bee wengi wameteremshiwa kwao ujue ktk uislam kila kitu ni kweli hakuna kufuta wala kuongeza ila hao wazungu ndio wanazidisha utamaduni wao mnawafata
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 15 күн бұрын
YESU c wakudhihakiwa
@JasmniAbduli
@JasmniAbduli 16 күн бұрын
acheni ujinga hata ww unayeongea huna cha imani wala ukiristo ila acha mungu awaonyeshe kuwa yy ni nani ndo muwe na hakili hata uyo mnayemuita papa ndo pepo kubwa acheni ujinga rudini kwa mungu wenu
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 17 күн бұрын
Kwan ww unamfaham yesu Au unamlinda yule aliecheza movie ya yesu brayan dekon
@NeemaTarimo-np2yg
@NeemaTarimo-np2yg 17 күн бұрын
Mungu wetu anajipambania mwenyewe huyu kwishiney ndo ameji malizia hivo
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 16 күн бұрын
Msipigane kwa damu na nyama bali kwa maombi, enyi watumishi wa Mungu tunawaheshim sana jaribuni kuasa ni kwa maombi siyo kwa kupigana vita kwa damu, Mungu wetu yupo atatenda awezavyo yeye juu yake maana alimuumba amjua toka tumboni mwa mama yake, sisi ni kufunga na kiomba tu kama ulivosema hakuna kurumbana mitandaoni
@FelisterMichael-r8t
@FelisterMichael-r8t 17 күн бұрын
Kwani yesu akiludi ninani atawaambia kuwa huyu ndiye yesu kwa Nini asiwe yeye god love au mpaka aje mzungu
@SokratesStallin
@SokratesStallin 16 күн бұрын
ACHA WIVU yesu HAJAWAHI KUWEPO mungu muhamad shetani HAJAWAHI KUWEPO NI ZANA ZA WAKOLONI
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 16 күн бұрын
Hayupo kwako.sisi kwetu Mungu yupo
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 16 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ Ameeeni Muñgu hafananishwi na Chochote
@salimahussein1267
@salimahussein1267 16 күн бұрын
Aliyejifananisha na Mungu ni nani na Mungu yupi? Nauliza tu
@saidbakari2408
@saidbakari2408 15 күн бұрын
Mungu wenu wa kwenye vitabu anafanan na mtu maana alisema mwenyewe na tuumbe mtu kwa mfano wetu 😂😂😂 sasa hapo hamuelewi na hako kajamaa kenu kamesema kenyewe
@childofgod3216
@childofgod3216 17 күн бұрын
Wewe hapo uelewi injili kabisa
@edwinamos9734
@edwinamos9734 18 күн бұрын
True Ancle chief anazingua sometimes kuingia kwenye mambo ya dini kwa malengo ya kiovu sio vzr tufanye kila kitu lkn Dini tuzi heshimu !!!!!
@MaulaHussainMaula
@MaulaHussainMaula 17 күн бұрын
TOA HATA SIKU 100 HAKIMKUTI CHOCHOTE CHEEF GOOD LOVE MZEE.
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 17 күн бұрын
Mzee yesu kesha kufa acha watu wapige hela
@LuganoMwalwembe
@LuganoMwalwembe 18 күн бұрын
Dogo mm lugano wa ipinda umepitiliza hapana ww endelea kutafuta kama unavyi jiaminisha ww lakini si kauli zako usiziludie si nzuri ni yangu hayo tu kama ww mjomba eti wa nyumbani mdogo wetu wa nyumbani kwetu mjukuu wa mwakibete mjukuu wa haule mtoto wa ma bedo yaache mengine yapite c yote huyaseme hata wakwaminio utawakwaza
@dunstanchatumba3945
@dunstanchatumba3945 18 күн бұрын
Inafaa kuchukua hatua mtumishi. Lakini una uwezo wa kumchukulia hatua za kisheria - kumfungulia kesi "kukufuru" mahakamani na sheria ya nchi ichukue mkondo wake.....Ni wazi ukikashifu Uislamu watakuvamia popote ulipo na kukuadhibu, pengine hata kukuua.
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 17 күн бұрын
Sisi tunapiganiwa na Mungu hatuhangaiki na watu hao
@JacksonKachila
@JacksonKachila 16 күн бұрын
Wambie❤
@LawrentKaifa
@LawrentKaifa 16 күн бұрын
Mbona mnawaacha wale vijana 2 wanaichambua vibaya dino pia bilbia na wanasema mungu hayupo
@FestoKalenga
@FestoKalenga 16 күн бұрын
Mungu atadili nae
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 17 күн бұрын
😂😂😂😂 huenda yéyé ndiyo Yesu eti tunamsubiri
@charleshotay8229
@charleshotay8229 17 күн бұрын
😂😂😂😂😂pimbi weweee
@hanskidd2290
@hanskidd2290 16 күн бұрын
Mabishana kuhusu stol za watunzi ktok Oxford 🤣🤣🤣🤣 achen upuuzi ban unakazana kpigania mungu je swali ushawai hat kumuona huyo mungu ebu muachen chif wa watu kaongea kulingana na mtazamo wake
@amadiisaa
@amadiisaa 17 күн бұрын
siku tatu zimeisha😮😮
@mcrichiewapekee
@mcrichiewapekee 18 күн бұрын
Nimefuatilia namna Mtumishi wa Mungu unavyotoa maonyo ambayo nami nakubaliana nawe kabisa, ila kuhusu kupigia na kutokukubali watu kufanya dhihaka hapa naomba niomgee kidogo kuwa hatuna haja ya kupigana sisi tunamjua Yesu wetu.... kwa ajili ya huyo aliyekufuru....Maandiko yako wazi 1 sam 2:10. Sisi tutamuhubiri Yesu na wala hatutavuta panga zetu, Yesu anajipigania. Kama ulivyomuonya yule kiongozi na akakataa na huyu naye akikataa basi Yesu aliyemdhihaki atafanya mapenzi yake....tukumbuke hapa Matendo 12:21-23.
@meshackkiselema1349
@meshackkiselema1349 17 күн бұрын
Hili lichungaji Bwege kama mabwege wengine.Halijui hata maandiko. Yesu alitukanwa akanyamaza kimya. Yesu alitemewa mate akanyamaza kimya .Alionewa lakini alinyenyekea. Halafu linajiita lichungaji na linatutaka eti tusimvumilie mdhambi.Limesahau Yesu alikuja kufa kwa wenye dhambi akiwemo Chief godlove. Hili limeshashiba zaka za waumini.
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 күн бұрын
Acheni yesu ajiwongeleye muwenyewe 😮ana uhuru wakusema anachokitaka
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 15 күн бұрын
Wewe mwambie amtukane Muhamad uwaone WAISLAMU watakavyomlalua
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 күн бұрын
@emmanuelshilagi3302 kuwani amemtukana yesu? Awo nanyiye mnataka kuwa kama wa isilamu?
@EmmaBaya-g7t
@EmmaBaya-g7t 17 күн бұрын
Kwani Yesu aliwakosa Nini Kila siku kumdhalilisha
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje 17 күн бұрын
Am so sad 😞
@renatusrutashobya639
@renatusrutashobya639 17 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu pole na ongera kwa sana Ila nashauli usome bibilia kuhusu nyakati hizi maliko 13 soma yote nafikili itakuongezea kitu Mungu wetu tuliye naye apiganiwi anajipigania mwenyewe sisi siyo kama wa Imani nyingine wa wanampigania Mungu wao . Waache walio simama kutimiza unabii wa siku za mwisho ubarikiwe sana
@UfalmewaMungu
@UfalmewaMungu 17 күн бұрын
HAPANA HUYO CHEIF AMEKUFURU SANA,,,,,ANAPASWA KUTENGUA KAULI YAKE NAKUOMBA MSAMAHA KWA WATANZANIA HASA WAKRISTO NA KUTUBU. ANAMUONGELEA BWANA YESU KAMA MTU WA KAWAIDA.
@mohamedisimai
@mohamedisimai 17 күн бұрын
Mimi muislamu lakini huyo jamaa kakosea kwa sababu yy sio nabii issa wala hafanani nae kwetu sisi ni nabii wa allah sio huyu chief mwehu mkubwa
@SiwemaMashauri-ec5qq
@SiwemaMashauri-ec5qq 17 күн бұрын
Samehe saba mara sabini huyo hajui alitendalo
@husenahusena2660
@husenahusena2660 17 күн бұрын
We kiazi kweli unashabikia mambo ya walio potea chief na hao wakiristo wote ni wale wale makafiri tu wote wanamkufuru Allah na wanaompinga
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 17 күн бұрын
Kama ww ni Team Wachokonozi mikono juu😅😅😅
@BarakaJumanne-r6c
@BarakaJumanne-r6c 16 күн бұрын
Nikohapa wachokonozi to
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 18 күн бұрын
Yesu alikuwa mweusi labda ndo Godlove poleni sana 😂
@Everindodie
@Everindodie 16 күн бұрын
Acheni dhihaka Mungu hadhihakiwi jamani
@CosmasJoseph-p1h
@CosmasJoseph-p1h 15 күн бұрын
😂😂
@saidbakari2408
@saidbakari2408 15 күн бұрын
​@@EverindodieMungu wenu wa kwenye vitabu ni mshamba tu heti kamejificha kuwaogopa watu wake 😂
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 18 күн бұрын
Wapi Yesu. Kasema.yeye Mungu?
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 18 күн бұрын
Soma Biblia
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 18 күн бұрын
Soma Yohane 1:1
@Kutaila99
@Kutaila99 18 күн бұрын
Na wala hatakaa akasema
@healingclinic698
@healingclinic698 17 күн бұрын
Huwezi kuona Yesu kuwa Mungu ikiwa unamejificha nyuma Kuran
@MartinOnesmo-rk7hy
@MartinOnesmo-rk7hy 17 күн бұрын
Hatutoagi chakula cha watoto tukawapa mbwa”” ..we km hjapata neema ya kumjua Yesu hatuna haja ya kukuokoa kama yy hajakuokoa bado..alaf Yesu hakuhitaji ww hata kidogo ww ndio unamhitaji.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
DUDU BAYA AWASHA MOTO SAKATA LA CHIEF GODLOVE KUJIITA YESU
14:29
NABII GEORGE AMTOLEA TAMKO KALI CHIEF GODLOVE BAADA YA KUJIITA YEYE NI YESU
5:26
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 234 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН